Тёмный
No video :(

MAUAJI YA KUTISHA ARUSHA MAMA AMUUA MTOTO WAKE, FAMILIA YASIMULIA MWANZO MWISHO 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 88 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 298   
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 2 года назад
Pole Ester Bora waameuwaa wakwao .mungu amekunusuru ungekufa wewe pole Sana
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 года назад
Kuna mama wakwe nuksi kabisa. Wafungwe maisha wote wanaohusika ili wengine watie akili.
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 года назад
Subhannahllah pole sana mwanamke mwenzangu. Allah akupe subra katika kipindi hiki kigumu.
@chifuthedoni8889
@chifuthedoni8889 2 года назад
Fimily nyingi hutakiwi kukaa nazo karibu, Ukishaoa unapaswa kuondoka nyumbani ukaishi mbali kabisa! Unakaa karibu na mzazi wa nini? Afu kwa nini wamama wengi wa kilimanjaro wanalewa?
@hagaigospelband_tz4735
@hagaigospelband_tz4735 2 года назад
Unaakili sana chifu wanafeli sana kukaa na ndugu karibu
@edvinaselestine712
@edvinaselestine712 2 года назад
Pole dada mama wakwe changamoto ni shida Mungu tusaidie
@abdulkareemchacha2625
@abdulkareemchacha2625 2 года назад
Doooh...., pole sana.....aisee hiyo familia ni balaa,haya tazama sasa wamemuua mtoto wao!!!! Laana imewarudia wenyewe....,hapakufai hapo ondoka haraka sana. .
@sidratybinkhamis2837
@sidratybinkhamis2837 2 года назад
Tena akimbie mbio za malasoni
@ayshajeffa7343
@ayshajeffa7343 2 года назад
​@@sidratybinkhamis2837 kwa kwel waeza muuwa
@hamedahameed148
@hamedahameed148 2 года назад
Aisee naombaga sana Mungu kama itatokea nikaolewa aisee sitaki kukaa karibu na ndugu wa mume maana maneno huwa hayaishi ukipendwa na mtoto wao bas nishida kiifupi hatuna jema maana hata mimi mwenyewe ni ndugu wa mume
@obillaezra6205
@obillaezra6205 2 года назад
Tanzania Kuna upepo mmoja mbaya sana Wakuuana ndugu Kwa ndugu” Cha Msingi ni kuzuia Hasira zetu, tusipo thibiti basi Pepo la kuuana litaendelea kutuandama”
@superwomanmwenyeheri.1367
@superwomanmwenyeheri.1367 2 года назад
Kiukweli yanahitajika Maombi ya kitaifa siku 40, viongozi wetu msichukulie mzaha matukio haya kisa watuhumiwa wanakamatwa NO! Chukueni hatua viongozi wetu.hali si shwari Tanzania..
@Hamy1109
@Hamy1109 2 года назад
Hata wewe ukiomba peke yako inatosha tu.
@doriceassenga6640
@doriceassenga6640 2 года назад
Kiukweli mzee alohojiwa amebeba busara nyingi sana Mungu amtunze tunahitaji Wazee na Wazazi wenye busara kama huyu baba.Na wanawake tunapoingia kwenye ndoa kama kuvumilia mateso ya wakwe na wafiwi huwezi ondoka wape nafasi ona Leo wanakuacha mjane bado binti mdogo
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 2 года назад
SubhanAllah 😭😭😭 familia nyingine za hovyo eti mwanamke mkubwa kwani alikoma siku si huyo amezaa maisha haya ya kupelekewa mke au mume mbona hata mwonekano si mkubwa sana amefanya la maana kunyamaza angejibu huenda umauti ungemkuta yeye kuna kauli inayosema ukimya jibu tosha kwa mjinga na familia msitetee ujinga hao ni wauajiy msiseme hakutegemea kama angemuua watu wanatumia mbao na nondo halafu mseme hawakutegemea kama wangemuua peleka ndani inauma sana
@afrahoman2844
@afrahoman2844 2 года назад
Loooo mbaya2 kwan mkubwa amemzaaa
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 2 года назад
@@afrahoman2844 ndio hicho cha kushangaza kimtazamo hata hawajapishana sana nimeumia kama namfahamu mnampiga kama mnapiga jambazi kwa kutumia vitu hatarishi dah
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 2 года назад
Kwenye nyumba mama akiwa mlevi ni hatari Kwenye family,,bora baba awe mlevi kuliko mama
@sidratybinkhamis2837
@sidratybinkhamis2837 2 года назад
Wazazi wa huko baadhi yao ni wanaroho mbaya kwel kweli na baadhi nyingine wanaroho nzuri sana tena sana .kuomba mungu tusikutane na mtihani huu
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 2 года назад
Familia zingine ni nuksi tu ,,, hivi unamchukia mke wa mwana kisa umri mkubwa ,,, subhanallah huyo mama hana utu na hana uchungu hadi kafikia kupiga mwanae ona sasa kamua mwanae wacha akakutane na bwana jela ,,,mama mzima ovyo na hao wadogo wa marehemu hovyo shenzy sanaaa
@saidomary6414
@saidomary6414 2 года назад
Nampa pole mke wa marehem hao wengine sheria inawasubiri
@jacklinemichael1069
@jacklinemichael1069 2 года назад
Mungu amlaze mahali pema aisee,namfahamu daaah!!
@ayshajeffa7343
@ayshajeffa7343 2 года назад
polen yaxkitsha
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 2 года назад
Vijana mkitaka kuowa jengine msihishi na wazazi wenu nyumba moja jamani 😭😭
@husseinomary2397
@husseinomary2397 2 года назад
Nisawa
@rashidyally8715
@rashidyally8715 2 года назад
Kweli kabisa unapooa ukaishi kwa wzazi kunakua na changamoto nyingi Sana endapo mke wako watakua hawampendi wazazi wako au ndugu zako
@listerlujiso6009
@listerlujiso6009 2 года назад
Kabisaaaa kiukweli na ndoa Itakuwa na aman na mama mtaishi nae vizur
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 2 года назад
hawa wakimchukia huyo kijana wao, ndio maana waka mchukia na mkewe,, pole sana dada
@highonebalo8289
@highonebalo8289 2 года назад
Hii habari ya kubanana sehemu moja shida sana. Yaani kiukweli watu waache mambo ya kujikusanya sehemu moja watawanyike wakapangishe mbalimbali huko wakutanage tu kwenye matukio, inaleta heshima kuliko kuchunguliana tu kila saa hadi MTU anauliza unamwogeshaje mtoto. Lohh!! Ona sasa😭
@tingbatuuka7278
@tingbatuuka7278 2 года назад
Wafungwe maisha maana wameua kwa kukusudia
@winniecharles8975
@winniecharles8975 2 года назад
Noooo hafungwi mtu bana huyu jamaaa alistahili kufa coz anawezaje kumpiga mama yake kwa ajili yaili zee li Bibi hao ndugu wanawezaje kukaaa kimya mama yao apigwe
@azizahassan5919
@azizahassan5919 2 года назад
Hii ndio shida ya vijana unaoa mke unampeleka kwa mama, mimi kiukweli sitaki Kukaa na mkwe sehemu moja wala ndugu wa mume
@renatusmisigaro6332
@renatusmisigaro6332 2 года назад
Ila wameru niwasengeeeeenyaji sana! Wamekumbatia mamira ya kijingajinga sana!
@baloziubalozini5074
@baloziubalozini5074 2 года назад
Kesi ikianza, watoto watamkana mama yao mzazi, mama mzazi atawakana watoto wake Kila mtu ataangalia nafsi yake Hii laana haitawaacha salama
@baruaninombo291
@baruaninombo291 Год назад
Wamama wakwe mnaroho mbaya sana unavyomfanyia mtt watu nawako lazima afanyiwe sura mbaya roho mbaya mavi enu
@superwomanmwenyeheri.1367
@superwomanmwenyeheri.1367 2 года назад
Mwenyenzi MUNGU inusuru Tanzania,Kuna liroho lisilo la kawaida linamaliza wananchi kimtimdo. Hii imekua too much Sasa mauaji kila kukicha...
@angeljoseph922
@angeljoseph922 2 года назад
Sijawahi kuona familia ya kipumbavu kama hiyo
@vanesakisanga7519
@vanesakisanga7519 2 года назад
Mbona mwanamke sio mkubwa ona sasa familia nzima gerezani
@silviasoka6845
@silviasoka6845 2 года назад
Uyo mwali ajiandae kuondoka apo maana wakimaliza kuzika wanamrudia yeye maana inaonekana ata hao wengine waliobaki hawampendi
@auntdorah9141
@auntdorah9141 2 года назад
Sio mama wakwe wote wabaya, Mimi nimekutana na mama mkwe anayenipenda na ni zaidi ya mkwe kwangu, ni rafiki yangu. Na muolewaji unapoolewa ingia taratibu, wasome, mpende mama wa mumeo na kama mumeo na mama yake hawaelewani wewe sasa uwe mpatanishi , taratibu wataelewana na mama/familia watakupenda tuu. . Na mbaya nyingine ukutane na wifi hajaolewaga au aliachika kwa mumewe!! hawa baadhi yao ni shida!! Ishi nao kwa akili pia.
@leahlucas479
@leahlucas479 2 года назад
Kweli kabisa
@leahlucas479
@leahlucas479 2 года назад
Huyu dada Jeuri kwa nn hakumjibu Mama mkwe wake??
@mwashabanirashidimitumba7788
@mwashabanirashidimitumba7788 2 года назад
Wengine hata ukiwapenda hawapendeki Mm yamenikuta hayooo nilimfanya km shoga lkn wapi Ukitoka uku nyuma anakuponda hatarrrreee Anasema maneno ambayo hata hujawai kumuambia
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 2 года назад
uyu mwanamke ni mjeur na pia kulikua na ugomvi mda mwingi na ugomvi ulianza na uyu mwanamke ndio bwana akaingilia mpaka kukosana na familia yake na sisi wanawake wengi uenda miji ya watu na kuvunja familia za watu waume waume ishini na sisi wanawake kwa akili sisi wengi ndio chanzo cha mume kukosa radhi za wazazi
@jackyluns8224
@jackyluns8224 2 года назад
@@mwashabanirashidimitumba7788 nakupa hongera namm yamenipata hayo tena unamnunulia mizawad yakutosha lakin daah
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 года назад
Inna lillah wainahy llah rajioun pole bint kupoteza baba mtoto wako
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 2 года назад
polee dada! huyu mama kichwa yake ipo sawasawa kweli!!! au sio mama yake mzazi!!!
@elizaeliza4369
@elizaeliza4369 2 года назад
nikiolewa mama mkwe ukae kwa kutulia, ona sasa malipo yako umeyapata 😭
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 года назад
🤣🤣🤣
@mariumpeter6147
@mariumpeter6147 2 года назад
Eliza mama mkwe wako nakuzoom tu hapa utanikuta🤣🤣🤣
@vickmlewa8156
@vickmlewa8156 2 года назад
Na ww pia ipo siku utaitwa mama mkwe
@erickfelix5927
@erickfelix5927 2 года назад
si mpaka uolewe?
@sophiankwera9020
@sophiankwera9020 2 года назад
Jomn mukioa musikae Kwa wazazi mkaembali muwe mnaenda kutembea tu siku mbili mnarud
@malakimollel6044
@malakimollel6044 2 года назад
Upo sahihi kbs
@nameno8608
@nameno8608 2 года назад
Kwa kawaida Mama humpenda sana mwanae sasa huyo Mama ni pombe kumpiga mwanae hadi kufa lo Dunia imeisha mtoto ni miaka anayosoma akioa ni mtu mzima si wako tena
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 года назад
Subhanaallah inalilah wanaileh rajuuni poleni sana familia jamani tupende watoto wa wenzetu wakiolewa na familia zetu sio Vizuri kabisa. Mlevi agombani na mtu ila akikukusudia kuomba na mtu hiyo familia sio nzuri
@auntdorah9141
@auntdorah9141 2 года назад
Kijana akishaoa , kama ni eneo la familia apewe kwake ajenge akas na mkewe , mama mkwe na mawifi mtulie kwenu. Sio wamama wote lkn asilimia kubwa huingilia ndoa za watoto wao , lazima kuwe na mipaka.
@sanekwilabya2341
@sanekwilabya2341 2 года назад
Tumeona upande mmoja wa story. Wakati mwingine wake huchukia kukaa na wamama wakwe hivyo ktk kutafuta sbb ya kuhama BASI huwachonganisha mama mzazi na kijana wake. Hatujui huyo mama ni nini alimwambia mume wake juu ya mama mkwe. Nayeye kimemgharimu kapoteza mume
@hamedahameed148
@hamedahameed148 2 года назад
Hii habari ya kukaa na mama mkwe na mawifi karibu 🙌🙌 yaani wakigombana wao hadi wewe hawakusemeshi Kwa sababu wanajua wewe ndo chanzo
@masanjaabasi8970
@masanjaabasi8970 2 года назад
Point niwalikuwa awampendi mke ona sasa wamemuuwa mtoto wao😭
@deboraadolfu4011
@deboraadolfu4011 2 года назад
Allah kawajibu
@godifreymallya9701
@godifreymallya9701 2 года назад
Zefania tumeagana jioni asubui nambiwa aupotena nas Mungu hiapumzishe rohoyako malipema pepon
@zulfatidrisa7195
@zulfatidrisa7195 2 года назад
pole sana
@emmalyanga3726
@emmalyanga3726 2 года назад
Poleni sana
@zainabuyohana3780
@zainabuyohana3780 2 года назад
Tujifunze tu kuwa wavumilivu sikilatukio unalo fanyiwa na ndugu wa mme wako unamwambia mmeo vingine tunamuachia Mungu sasa Mme kapotea nitaabu sana kumpoteza Mme jaman tunatakiwa kuwa na hekima sana
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Subhannallah, Inasikitisha sana kwakweli 😢
@zaipazzi9490
@zaipazzi9490 2 года назад
Inabidi itwaje na kuorodhesha mikoa ya watu wanao ongoza kwa ukatili. Lakini watu wa bwani hawana sifa ya matukio hayo na ukiona purukushani kwa watu wa pwani ni wageni au wahamiaji , wafugaji kutoka mikoa mingine huwa wanaanzisha maugomvi ya kikatili. Serikal ichunguze mikoa yenye matatizo na kufanyiwa kazi ili kukomesha ukatili
@catherinemusyimi8591
@catherinemusyimi8591 2 года назад
dada kama mama mkwe akutaki Toka Kwa mwanae au umwambie mme wako muhamie mahali kwingine juu malimbano yataishi hapo ikiwa utakiwi.pole sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 года назад
Sishangai kuskia mwanamke wa kimeru ameua kisa kumkataa mwali hata ukiowa huko Meru yataka moyo 🏃‍♀️🙌🙌
@ridhiwanakida3074
@ridhiwanakida3074 2 года назад
Wweeee komaaa shika adabu yako
@josephinekicheleri860
@josephinekicheleri860 Год назад
DAMU YA YESU IFUNIKE DAMU YOTE ILIYOMWAGIKA HAPO HOME JINA LA YESU LITUKUZWE
@agnestemu8382
@agnestemu8382 2 года назад
Dada ungemwambia tu mumeo mkapangishe jmn😭😭😭😭😭😭
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 2 года назад
Innalillahi wa inna ilaiyhi Rajiun ya Allah 😰😰
@neemaruben5427
@neemaruben5427 2 года назад
Sio mnahoji hoji watu wtu mtoe na misaada Millard ayooii plz hii kesi ifwatilieni mpk huyu dada apate haki za msingiiiiiiii plz
@rebeckalameck8390
@rebeckalameck8390 2 года назад
Mama mkwe wangu sio mbaya japo mapungufu kilamtu anayo ila kabla sijaolewa nilimwambia mumewangu siwezi kuishi na mama yake mzazi yani niishi kwao bola aje kunisalimia na mimi niende kumsalimia ila kuishi ukweni hapana
@delishaluhyaqueen6950
@delishaluhyaqueen6950 2 года назад
This is so sad 😭😭😭😭 lord Jesus locate that lady is so painful
@irenewile
@irenewile 2 года назад
Daahh huyo mtoto masikini
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 2 года назад
Innaillahi wa innaillahi rajiun dunia ipo mwishon tutubuni jaman matukio yamekisiri emani hakuna jmn mnampiga mtu kama mnyama aisee inauma sana
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 года назад
Mwanamke mjeuri unamfanyia mkweo dharau
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 2 года назад
Hayaja kufika dada
@bintnouh4483
@bintnouh4483 2 года назад
Hujakaa kwa wakwe tulia
@juliethswai4263
@juliethswai4263 2 года назад
familia za watu zina mambo acha tu
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 года назад
@@bintnouh4483 sijakaa kwa wakwe na sitakaa ht siku moja tukawa hatuelewani. Raha ya maisha kuelewana na kuheshimiana ht kama hampendani. Ukiona hamuelewani na wakwe ni kuhama tu sio mpaka kuuwana
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 2 года назад
Mmmmmmh!!
@nicolauselias9084
@nicolauselias9084 Год назад
Huyo mpumbavu anaonekana. Kabisa kua anamtetea huyo mama mbwa Sheria ifate mkondo wake
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 2 года назад
Duhuu famila ya hovyo sana
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 2 года назад
Daah naulizaje c kwa ubaya ila mbna Mikasa mingi inatokea huku Arusha/Mwanza?
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 2 года назад
@@jaymwinyi6957 Nami nataka jua
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 2 года назад
@@RuzoOwzy au nimekosea bro kuuliza hvyo cz 4ril haimalizi wiki utaskia Arusha /Mwanza matokeo Kila cku wanatuogopesha ss tusiende huko mahali aki
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 года назад
Huyo Mama Mzazi jamani. Unaenda jela uzeen kweli? Mwenyezi Mungu ampokee mja wake.
@nameno8608
@nameno8608 2 года назад
Pombe hizo
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 года назад
Jamani jamani.sasa faida ikowapii sasa wewe mamanamawaifii mungu akupe subra sana dada uliyefiwana mumeo.polesana
@maurinibaraka8469
@maurinibaraka8469 2 года назад
Duuuuuuuh pole sana dada
@shakren427
@shakren427 2 года назад
usa_river nikwetu kabisa yani ningua arusha ningenda kushuhudia
@josephinekicheleri860
@josephinekicheleri860 Год назад
Wazazi waamue sasa hivi kijana akioa aondoke na mkewe wakafanye MAISHA sio kukaa na wazazi na vijana nao wajitambue kwa sababu UKISHAKUAA TAFUTA MAISHA MATOKEO YAKE HAYOO
@aminakasim1198
@aminakasim1198 2 года назад
Astaghafirullah mmmmmmmmmh mwenyezi mungu atujaliee mwisho mwemaa
@claudia1500
@claudia1500 2 года назад
Mama..ulikaa leba,ukajifungua kwa uchungu,ukalea mtoto akakua,ukamuozesha,halafu ukaamua kumpiga mbao kichwani mpk ukamuua...nini umefanya?
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 2 года назад
Dhaaaa ni hero to zero kabisa....
@claudia1500
@claudia1500 2 года назад
@@walinaziontime7300 well said
@mariamaussi468
@mariamaussi468 2 года назад
Hajaumwa
@valeriamtenga3384
@valeriamtenga3384 2 года назад
Ni laana za familia Huwa zinafanyaga ivo, pale damu inapohitajika, hata ukijaribu kuangalia, unashindwa kuelewa
@geraldadolf4928
@geraldadolf4928 2 года назад
@@valeriamtenga3384 yaani umeona mbali sana kiukweli mim nimeshuhudia hilo itakua mama alikua anahitajika atoe damu la sivyo ingemtafuna yey ivyo kuna mikataba ya familia inawatumikisha sio bure.yaani uko vizuri Valeria unajua mazingira ya watu wa kaskazin big up big up GOD BLESS U waelimishe na wengine
@derickmmari594
@derickmmari594 2 года назад
Ntakukumbuka rafiki yangu mungu akulazee mahal Pema peponii
@SAM_163
@SAM_163 2 года назад
Mnafahamiana na Marehemu?
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 года назад
Asa wamepata faida gani mwanamke ataolewa wao wamepoteza ndugu
@mariamcrispo8296
@mariamcrispo8296 2 года назад
Huyo mama Ana laana jamani mie hata sijaelewa kabisa
@mariamali1887
@mariamali1887 2 года назад
Daah inasikitisha mnmuua ndugu kwa ujinga .yote hayo kukaa na famili kazi sana
@suleimansultan3333
@suleimansultan3333 2 года назад
Mtihani inaonesha wifi zake ndio shida kubwa inasikitisha sana
@josephinekicheleri860
@josephinekicheleri860 Год назад
Wotee jela sasa hivi mtoto atomjua baba yake tena na mwanamke ataishi aolewe sasa MSABABISHI WA UGOMVI HAPO NI NANII ..NYIE WA AWAKE PIA ACHENI UCHO NGANISHI MATOKEOO NI HAYOO
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 2 года назад
Arusha !!!Arusha !!!what is going on???
@richardlucas9612
@richardlucas9612 2 года назад
Tatizo dam yao inashida hilotu
@valeriamtenga3384
@valeriamtenga3384 2 года назад
Panahhitajika toba, si hivihivi tu
@KADALAtv255
@KADALAtv255 2 года назад
Acha ujinga wewe huyo kijana sio wa kumpiga mama mnajitetea
@estersaul8180
@estersaul8180 2 года назад
mungu wanguuu..uturehemu
@bahatiagape731
@bahatiagape731 2 года назад
Wameru jamaniiii...duuh...ni balaaa...Nina wifi yangu ni mmeru...Yan ni balaaa....ana mdomo kama bakuli yeye na watoto wake..Yan...siwez elezea...mama neema...duu...umebarikiwa mdomo na neema wako..Yan anachibganisha familia nzima kimya kimyaaa...🤔🤔🤔🤔🥺
@christinachazy8644
@christinachazy8644 2 года назад
Wamama mkwe na wifi hawajawahi kuwa wazuri kwani hata mim wakwangu ni shida na sikai nao karibu lakini hekaheka kweli pumzika kwa Amani kaka,pole dada yangu kumpoteza mmeo karibu kwenye chama Cha wajane kikubwa mtumaini Mwenyezi Mungu wew ndo rafaja tosha
@vickmlewa8156
@vickmlewa8156 2 года назад
Na ww unaenda kuwa mama mkwe so jiandae kubeba lawama za mama mkwe🤣🤣🤣
@hadijamsafiri1767
@hadijamsafiri1767 2 года назад
Dah unaumaa sanaa
@hamedahameed148
@hamedahameed148 2 года назад
Inna lilah wainna ilayhi rajiuni
@getrudathomas535
@getrudathomas535 2 года назад
Duh hao walijipanga mama hakua na busara na watt pia walikuwa na chuki zao wafungwe ili iwe fundisho pia wanaume ukioa jitegemee mambo ya nyumbani kuna nyumba kubwa yamepitwa na wakati.kila binadam anamapungufu yake.mama mkwe asipokupenda lazima ugomvi wa familia uwepo.
@yasinramadhan7315
@yasinramadhan7315 Год назад
Wanaume wenzangu tuwe makini na ndoa zetu wanawake na mama zetu ni changamoto sana usije ukaishi jilani na mama yako ukiwa umeoa na unaona kabisa maelewano kati ya mkeo na mama cyo mazuli Kaa mbali sana ili kuepusha kama aya
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 2 года назад
Inna lilah waina ilayhi rajiun
@mwashabanirashidimitumba7788
@mwashabanirashidimitumba7788 2 года назад
Watu wapo msibani wanazichanga karata habar hawapati😭
@elizabethjakobo279
@elizabethjakobo279 2 года назад
Mmmh Mimi stakaa nikae Kwa mama mkwe wa
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 года назад
Dunia inakwenda kasi sana
@josephamani
@josephamani Год назад
Tatizo la kuishi na wazazi wakati mtu umeoa umeisha kua na familia
@zaipazzi9490
@zaipazzi9490 2 года назад
Sifurahishwi na ivyo vitendo nikiwa m Tanzania jamani tushirikiane kutokomeza ukatili.
@mariamaussi468
@mariamaussi468 2 года назад
Mapenz hayana umr
@abuujr8825
@abuujr8825 2 года назад
Pumzka chali angu zeph...bado siamn asee nilizoea kkuona kila asubu naulipenda kunitania mzee wa man u mbove pumzka kwa amni....mzee wa chelsea mbov uoikua huna baya na mtu hakika nitakumc 😰😰
@janembalinga7074
@janembalinga7074 2 года назад
Arusha ni mji wa laana wanaua sana
@lilianurio9781
@lilianurio9781 2 года назад
Siyo kweli, nakataa hiyo kauli katika Jina la Yesu
@neemabernad4329
@neemabernad4329 2 года назад
Koma tena Ushindwe na ulegee Ujifunze kuzuia kinywa chako kwamaneno yasiyokuwa na ulazima kuyatoa yatakuponza mpendwa.
@reginasigera4204
@reginasigera4204 Год назад
Tatizo ya kukaa kwa wakwe hyo nimazara makubwa
@user-ny2bi8yj1o
@user-ny2bi8yj1o 11 месяцев назад
Mbona arusha matukio nimengi sana jamani
@marylyobha3956
@marylyobha3956 2 года назад
Cjapenda kwakwel Sheria ungekuwa mikononi mwangu ningewanyonga live nmeumia Sana yn mnamuua ndugu yenu hii co haki😭😭😭😪
@hidayamakuka7876
@hidayamakuka7876 2 года назад
Dah point hapa mke alikuwa atakiw lakin madhara yake wamemuua mtoto wao .YANI WANAUME MKIOA MUJENGE NYUMBA ZENU AU KUPANGA MDA MWENGINE WANAWAKE WANAPITIA MENGII KUHUSU KUISH UKWENI
@mariamjuma4136
@mariamjuma4136 2 года назад
Mengi mno mie nilipitea maisha hayo mtihani kweli kweli. Mie ilipotokia tumepishana kauli na mkwe wngu. Mume wngu alikuwa aingilie ugomvi tunakaa kimya tunabembelizana wenyewe na mume wangu mpaka hali inatulia Kosa alilolifanya uyu kaka asinge muuliza mama yake mda uo angekaa kimya angengoja mama yake hasira ziishi kama kumuuliza basi angemuliza kwa upole Kama angeshindwa basi ilitakiwa amsikilize mkewe chanzo nini wengerikibisha kimya kimya Uamuzi ulikuwa wao waendelie kuishi umo au Wahame Kuishinda shetani kazi ndogo tu ukiona pana moto wewe kuwa maji kaha kimya Ila kuishi ukweni ni mtihani mkubwa
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 2 года назад
Wewe mwanamke ndio umemuua mume wako kwani mme wako aliporudi ndio umesababisha hasira za mme wako ulipoonekana unalia aliondoka kwenda kumvamia mama yeke.
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 2 года назад
Wewe mchawi nini? Au ndio km hao wauaji
@happyrichard793
@happyrichard793 2 года назад
Sasa kama wamekuumiza usilie Kwann
@esaumkumbo5586
@esaumkumbo5586 2 года назад
Mmmh ..
@jrjuma7054
@jrjuma7054 2 года назад
Mama na watoto wake hii sio poa 😭😭
@ayshajeffa7343
@ayshajeffa7343 2 года назад
walimchukia😭😭😭😭😭😭
@shakren427
@shakren427 2 года назад
duh wakwe hawamungu anawaona
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 года назад
Natafuta mwanaume aliefiwa na wazazi 😡😏
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 года назад
🤣🤣🤣
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 2 года назад
😅😅
@cherylcheryl7694
@cherylcheryl7694 2 года назад
Hahahahha
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 года назад
@@masalakulwa7601 kweli tena kama yupo niunganishe nae😅
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 года назад
@@cherylcheryl7694 imeniuma sana kakatisha utamu wa mtu 🤔🤔
@loveahmed7892
@loveahmed7892 2 года назад
Mungu tunusuru jaman kk mtu mzima na mkewe kauwawa??? Uwiiiii jaman jaman jaman daah
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 2 года назад
Kwa mini naina mana mkwe ndiyo rafiki , wifi, shemej na familia zima lakini, utakuta familia nyingine hawana upendo lakini
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 2 года назад
Pole mdada.
Далее
Wife habit 😂 #shorts
00:16
Просмотров 65 млн
Why Dogs are So Important In Islam | ISLAM
26:45
Просмотров 12 тыс.
WADADA WAWILI WAFANYIWA MBAYA NA "MTOTO WA WAZIRI"
12:29