Тёмный

MAUAJI YA MHADHIRI WA CHUO KIKUU, WATATU WANASWA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@colethanyaku1077
@colethanyaku1077 Год назад
Asante sana kamanda kw kazi nzuri
@arafakiloli749
@arafakiloli749 Год назад
Innahlillah wainnah illah rajiun Allah amrehemu poleni sana ndugu na jamaa Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu. Yarrabi muadhib aliye fanya unyama huo.
@mamachris6811
@mamachris6811 Год назад
Damu ya mtu ni nzito Watajiekeza tu Hongera Kamanda unatoa maelezo ki uweledi Tofauti na wale wanao tia madoido. R.I.P Ndugu yetu 😭😭😭
@aash4145
@aash4145 Год назад
Shukran kwa kuwanasa wanaoshukuwa na mauaj hayo,,,,, mungu atatenda hakki
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Subuhanallah hi Dunia Watu wanajisahau nayo
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 Год назад
Jamani miaka 15???anamunyongaje mtu wa miaka 64 alikuwa amelewa au???nahisi labda hakuwa peke yake
@Official83640
@Official83640 Год назад
Subhannallah 🤔 Innalillah wainnailaihi rajiuun Yaani bint wa miaka 15 marehem mama wa miaka 60 naa aisee huyo bint kweli alidhamiria na hao wenzie
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Год назад
Umeonaee dada wakazi hakuwa peke yke
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Год назад
Umri miaka 15? 🤔🤔🤔
@gaspeldaniel1140
@gaspeldaniel1140 Год назад
Sala mdogo wangu jela kubaya kwa kesi yako uraiani hutokuona tena Condem kubaya sana
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
💔🕊️
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
😥😥💔🕊️
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Год назад
Kiakili tu tu dada wakazi miaka 15 hawezi kumuuwa peke yke lazima kasaidiwa
@charlesmihuwa6287
@charlesmihuwa6287 Год назад
Kama wewe unaona haiwezekani usipate shida mtafute binti wa umri huo akujaribie uone kama anaweza kuku uwa au la.
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Год назад
@@charlesmihuwa6287 soma maelezo vizur mbwa we
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Год назад
@@charlesmihuwa6287 Acha ujinga tatizo umekurupuka hujui lengo wala maana nilokusudiq sishindani nampiuzi mimi
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Год назад
@@charlesmihuwa6287 kwendaa hawani mmoja
@neemamkemae2580
@neemamkemae2580 Год назад
Achana nae aelewi kitu
Далее
How to Build a Homemade Bike Using a Barrel
00:21
Просмотров 890 тыс.
BABA ASIMULIA MAUAJI WANAFAMILIA WATATU
6:13
Просмотров 2,2 тыс.