Mashaallah Allah bariq hivi ndo vitu vya kusikiliza yani najikuta kama nipo peponi mashaallah mashaallah mashaallah raha tupu alhamdullah kuzaliwa ktk dini ya uislam na Inshaallah Allah atujalie mwisho mwema.
Muhammad , swallallaahu alayhi wasallam. It reminds me from madrasatil Buhri Mahurunga Mtwara. I miss you my people . InshaAllah we shall meet and pray together for Muhammad (P.B.U.H.M)
Mashaallah sifa zake Nabia,Allah atujaalie kheri tuzidi kumsifu Nabii Muhammad,Waumin wenzangu wa dini yetu ya Allah ya Islamic nawashauri msibishane na watu wenye elimu za mazuko maana hao lengo lao kuu n kuuwa Uislam,hao ni Wafuasi wa Sheitwani.
Raha ilioje waislamu kukusanyika pamoja na kumdhikiri mungu na kumtaja mtume kwa wema, mtume SAW amesema atakae nitakirehema na amani juu yangu nita msalia mara kumi. Nyinyi mnao pinga mazazi ya mtume mtuambie watoto wenu watamjua vipi mtume bila kutafuta vitabu vya mazazi ya mtume, kumsalia mtume silazima dufu au firimbi
Jaman mpaka nimekumbuka miaka iyoo Madrasa yangu ya Relwe Shamsiya kwa Mwalim Omari Allah Akulipe kwa Mazuri yako Naakupe kaul thabit Mbele yake "" Jaman Mwalimu twiri "Mwalimu haji """Wanafunzi wenzangu Zaituni""" Ally jasho Salut kwenye Yaan mlikuwa Mnanogesha Maulidi hatariii " Shamsiya Enz izo bhana Relwe moshi Oyeeeeeeeee..
Kuna wapuuzi wanasema maulidi bidaa wakati msikitin anaenda ramadhan baada ya ramadhani unapotaka kukosoa kitu ebu jitasimini ww mwenyewe kwanza ni msafi na sio unabisha vitu ambavyo una elimu yako kwanza fuata yako je kaburini utapokelewa vipi
Hata mimi nilikua mmoja wa kucheza dufu ukweli ni kua watu wa maulidi hata swala mtihani Wao ni dufu tu swala ya mashehe ndo maana vijana wengi tuliopitia madrasa za maulidi mtihani