Khutba ya ijumaa inayozungumzia mazingatio yanayopatikana kutokana na qadhia ya kifo cha sheikh Abuu Mua3wiyah (Allah amghufirie na Amrehemu).
Khutba imegusia nukta mbalimbali ikiwemo
- hiyana zinazofanywa na masalafi wa Tanzania!
- makatazo ya kumsema vibaya mtu aliyefariki
- fadhila za kumtakia msamaha na kuhudhuria maxishi ya nduguyo muislamu
Na mengineyo mengi yaliyokuwenonnfani ya khutba hii!
Khatibu: Al akhy Abuu Shaymaa Abdallah Ibn U'mar
Mahali: Masjid Daarul Hadith Ununio, DSM Tanzania
29 июн 2024