Allah Akbar jazakallahu kheir Sh.Abdul Shakur mawaidha mazuri sana yatawafaa wenye kuzingatia alafu ayo maneno mawi umemalizia yamenikosha sana Allah atuwezeshe Inshallah. Nimekuskiliza kutoka Egypt.
Sasa kweli utakereka nguo mtu anayovaa bc utakereka San mwenzangu mavaz yanayomkera mtu ni Yale wanayovaa baadhi ya wanawake Hali ya kuwa wako uchi kabisa hicho ndicho kinachokera tu bc sio kuwa kavaa kofia kaisogeza mbele ndio ni uhuni tunakosea waislamu tujirekebishe maneno yetu hasa kwa watu watukufu km Hawa mashekhe tujitahid kuchunga ndimi zetu kwao wao sio km sie tuelewe jamni nyiii
Kandi kurinda, n'umutekano, n'ubumenyi, n'ibihome, n'ingabo, inkota, icumu, n'amaboko akomeye, no gukumira ibibi n'akaga, ni We Nyirububasha na Nyirububasha. Turamushakira ubuhungiro mu bibi roho n'imyuka, Mana we, uri Umwe uhagije kandi uri uwishingikirije, kandi uri Imbere na Manifeste, Uwa mbere n'uwa nyuma ukomeye, Nyirububasha, Umutsinzi, kubwicyubahiro cyawe nicyubahiro, ibiremwa byose birayoboka. . Umugaragu wawe w'umukene, wicisha bugufi, wicisha bugufi, yewe Wahab, mpa umucyo mu mutima wanjye, ubwoba mu maso yanjye, amacakubiri mu gituza cyanjye, no gushishoza mu mutima wanjye Kandi uburinzi kuri wowe hafi yanjye n'amahoro kuriwe kuri njye, Benshi Nyirimpuhwe, Mana, kubwa Q M H E E Kuri S K K F N Q D R S Kh D L Y B na Mana, Mana, Mana, Mana, Mana, Mana, Mana, Mana, Mana iteka ryose, yewe ubaho, yewe Mbaraga, O Nyirububasha, yewe Nyirububasha, yewe Nyirububasha, yewe Mutsinzi, Mana we, Mana, utsinde buri mukandamiza, umunyagitugu, n'umunyagitugu Ku isi no munsi y'ijuru kubwa Muhamadi, amasengesho y'Imana n'amahoro bibe kuri we n'umuryango we wose hamwe nabagenzi. Mana, nyereka ibitangaza byubushobozi bwawe, imbaraga, gukandamizwa, nigitugu mubagaragu bawe bakandamiza, b'igitugu, Bin Yamin Netanyahu, hamwe nabasirikare ba Zioniste bakandamiza. Mana, tanga abamarayika bubahwa, Gaburiyeli , Mikayeli, Israfil, na Azrael, abasirikare b'Imana bashyizweho.
Sheikh Kishki tafadhali hiyo kofia yako yakera sana uvaaji wako. Mbona unaficha kope. Sisi wake ndio tunastahili kuficha kope. Pole kama nimekuudhi.(Nisamehe Sheikh wetu mzuri)
Jamn watu musiwaambie mashekhe kuwa wanapovaa vivaz vyao kuwa ni uhuni hamna tuelewe tu kuwa Kila mtu anavaa anavopenda Kwan hakuna wanapovaa kanzu fupi na wengine refu sasa Kila mtu na mapendekezo yake
Hongereni Sana mashekh zetu, Kuna kitu huwa chanikera Sana ni uvaaji wa kofia Kama huu wa kishki huu niuhuni Tena huu uhuni wanao ahlu Sunnah, huu uhuni ndo fasheni yao we mtu unapanda mimbari kofia umeeka kwa kope za macho, Kama mwatamani niqabu mseme tuwanunulie
Haikatazwi mtu jufanya jambo ambalo kinakukera wewe, ingekua linamkera mungu ilikua haifahi sheikh kuvaa kofia hivyo, Tupunguze ukali wa maneno,masheikh zetu hao ndo warithi wa mitume Alhabiby....
@@shemsasalum-yn4zc sikumsema kwa chuki na kishki mannhaji yake ndo ya pia dini inaendeshwa kwa nasaha so kiushabiki,, mifumo ya wasomi Hawa wakisasa katika suala la mavazi wanaharibu utaikuta shekh kava nisfi saq. Mashaallah lakini Kama ni suruali mnyonyo, Kama nikanzu imebanwa imeshep mwili, kofia wanavalia kwa kope za macho sasa kofia inavaliwa kwa kope, dini si kujifananisha na watu au mtu, binafsi nimakosa hayo, sikumoja mwalim wangu Allah amraham, shekh sariko, alimkosoa kijana flani tukiwa darasani kutokana na uvaaji huu huu, hicho ni (kibri) utake usitake hicho ni kibri,
A.ww . Yeah mimi yalinikuta . Myaka 8 tulikaa bila tatizo kwa sababu Hana kazi . 1999 mpaka 2007 . Na 2007 ndiyo mwaka alipata kazi ya maana tena nzuri . 2008 nilipata ujauzito . Alihama mji akasema yeye siyo wakukaa kwenye mtaa hule. Kweli alihama bila kuniaga . Kiukweli aliikaa sababu ikifika kunako mwezi wa 11 mwishoni ima 12 lazima Ahamiye mjini town .na kwenye kazi nyingi huwa mwishoni mwamwaka huwa wanapewa Mishahara miwili . Kwahiyo yeye anaviziya mwishoni mwa mwezi 11 anazuwa kisa kisha anahama . Mnamo mwezi wa kwanza ima mwezi wa pili kama tarehe 10 anarudi na nguo zake pesa ya mwisho wa mwaka imekwisha . Patamu kazi mimi ndiye niliyo imtafuriya . Kulipa nyumba halipi . Masomo ya watoto halipi .katika mwezi mtukufu wa ramadhani tunafunga siku 14 hajahemea futari awo daku .awo hata sukari . Nikisubutu kumwita ndani nakumwambiya mbona leo tunataka kugawa mwezi hujahemea futari ? Basi kesho atakuja saa nne usiku tayari yeye kisha futuru huko huko . Kwakweli mungu ni mwema . Leo hii Hana kazi hadi ahata pesa yakupanga chumba Hana. Bali analala barazani kwa mama yake mzazi . Watoto wamesha kuwa na umri wa 20 . Na myaka 15 . Kwakweli mungu analipa hapa hapa duniani .