Caro was just chilling…. 🤣 aki si mnatuoneanga?! 😊 Otherwise i am blessed by the teachings and the show is a blessing as well. Thanks mchungaji Sam and Symo. Mungu azidi kuwabariki hadi mshangae.
Bado kuna wamebaki wanaedelea kumtumikia mungu wa kweli na haki.pastor sam ni mungu pekee alimchagua baada ya hayo mapito yote.dhahabu nzuri hupitishwa kwa moto.edelea mtumishi na mungu anakupeleka mbali.
Urenda kuuga mugunda na nyumba CIAKWA nigucenjaniio nginyaa ndeigwera thaa....no riu no nginya mundu uria urakaira gwakwa no nginya ekunyokeriia na cookie thaara yothe thieete ya gukoboora nyumba......
Yaani symo umeona kutuletea muchawi kwa jina mutumishi wa mungu wachawi wamejiguza kuwa mapastors w kusambaza nguvu za giza huyu ni muchawi aliyefuzu. Joking naaina ya watu kama hawa hawana mazuri ni maadui wa mazuri.
Huyu mm namjua ni hawker gikomba mrkt.. alikuwa anaauza hapic za choo na zile gas cooker.. I know him very well kwanza kuongea sana😏😏😏watu wa soko tunamjua sana.. nigutee