Тёмный

MAZRUI ATANGAZA KUSTAAFU SIASA ASEMA AMECHOSHWA NA MAGUMU ANAYOPITIA 

CUF ONLINE TV TZ
Подписаться 1 тыс.
Просмотров 38 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

13 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 96   
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar 8 дней назад
Mazurui nakukubali sana acha siasa fuata uisilamu wako allah atakupa kilicho Bora zaid
@aseelaisaa428
@aseelaisaa428 11 дней назад
Huyo ndio mazrui original..❤.kama me arehem babake.Alllah amraham.lkn huyo ndio Mazrui ❤.waziri wa afya mchapa kazi imara hodari kililah afya ni wizara top znz .hongeraaaaa Sanaaa mdogo wangu kpe it up.
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 10 дней назад
ALLAH na sio Alllah
@hikmanalkanan9365
@hikmanalkanan9365 4 дня назад
Hikman bin kanaan nakusapoti hii siasa nzuri asante nipo pamoja
@aseelaisaa428
@aseelaisaa428 10 дней назад
Tuwe waungwana tuwache tabia za kuwakashfu wati na kutoa maneno yasiyo milla zetu wazanzibar tujitafakari sana inasikitisha tunaeleiwa wapi imekuwa sasa ni matusi kashfa midamu mtu hukupenda mtu alichoongea hata kama ni ukweli.ushauri wangu kwa wote wanaopenda kuchangia tuwe waungwana kama huna la kusema usiseme.tumuogope Alllah sasa imekuwa hatumuogopi Alllah .kila mtu ana uhuru ktk maisha yake kujiamulia anataka nini.hata wewe unaetowa comment lkn usimbeze mzee ea mwenziwo.sio Silka zetu .shukran .
@AbdulysuleimanShemashilu
@AbdulysuleimanShemashilu 11 дней назад
Umefanya vuzur mzee wangu mm nakushauli rudi kwenye dini ya Allah huku ndiko utapata utlivu wakwel
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 10 дней назад
Kwani kakwambia karitad
@AbdulysuleimanShemashilu
@AbdulysuleimanShemashilu 10 дней назад
@@MdNasr-jm8pj ungeielwa sms usingeuliza swali la kizushi
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 9 дней назад
Kwani ameritadi
@saidsalum1419
@saidsalum1419 9 дней назад
Hajaritadi lkn uamuzi wake ni sawa. Siasa za znz maadamu hatufuati uongozi wa Quran na mtume na tunamtumikia Allah na Shetani ni hasara.
@AliMohamed-w3b
@AliMohamed-w3b 10 дней назад
Ongea kiswahili pekee na sio lazima uongeze kiingereza ili uonekane kuwa umesoma
@mahnalamry
@mahnalamry 5 дней назад
Kake mie seambulia kitu
@aseelaisaa428
@aseelaisaa428 10 дней назад
Aslm wapenzi wote walllah cha kusikitisha sana sanaaa Mh mazrui kahojiwa vizuri sanaaa na kajibu vizuri sana kwa imani ya msimamo wake ndani ya moyo wake na ukweli ndio Alivyo.Mh mazrui na influence alonayo.ni mtu wa haki.kinachoshangaza sasa tumekuwa watu wa ajabu kubwa sio milla zetu wala silka zetu wazanzibar kutowa maneno yasoridhisha
@w4058
@w4058 9 дней назад
Ndugu yangu inataka watu wenye akili timamu tunakushukuru sana kwa kuliona hilo hai wanavyo andika tuachane nao maana washajipiga mihuri ya uziwi vipofu wa ndani ya nyoyo zao hata aseme vipi mijitu mengine tuachane nao wapumbavu maana wajinga wakierevusha huerevuka
@FahmiAbdallah-x9w
@FahmiAbdallah-x9w 10 дней назад
THANKS(KWA UFASAHA MH MAZRUI)INSHAA ALLA KHEIR
@HemedSerious
@HemedSerious 5 дней назад
Ufasaha upo apo? Hamna kitu apo kimsingi
@kafanananae5773
@kafanananae5773 5 дней назад
Anajisifu kwa kazi
@faizaannassir2568
@faizaannassir2568 9 дней назад
Mwana ukombozi ana staafu. Wa zanzibar hawapambani siasa wanapambania inchi yao. Huyu kapata ela na anaona akiwemo kwenye mapambano atatumia ela zake pia ana jiwekea miundo mbinu apewe kazi za tenda za ujenzi serekalini. Ukimsoma kahisi kutoka chama na kuingia ccm..roho inamsuta but escape root nikusema najiuzulu siasa nibora kimtizamo wake na maccm
@Mammymuhamed
@Mammymuhamed 6 дней назад
Huwezi jua nafsi ya mtu, tutapata Dhabi bure kwa dhana. Siasa ni mchezo mchafu
@AhmedSaid-mk7qs
@AhmedSaid-mk7qs 10 дней назад
Huyu ni mnafiki toka apate uwaziri anajipendekeza kwa ccm ili aendelee na uwa,iri
@imranijuma6955
@imranijuma6955 8 дней назад
Ajipendekeze wapi Sasa 😅😅😅😅😅😅
@revocatusmalimi4525
@revocatusmalimi4525 10 дней назад
Wanasiasa wengine wa vyama vya Upinzani wajifunze toka kwa huyu mzee kusema ukweli.Pale panapo bidi kusifia mambo mazuri yanayofanywa na serikali wasifie na kukosoa mabaya yanayofanywa kinyume.
@belgieboys9867
@belgieboys9867 3 дня назад
Mwanasiasa mwengine ni Mansour,
@karimdaud3993
@karimdaud3993 10 дней назад
Dk mwinyi anafanya vizuri sana. Sasa mazrui kumsifu ni sawa na maneno yake ni ya kweli kwani .SEIF SHARIFU ALISEMA KWELI KUWA ZANZIBAR ANGEWEZA KUIBADILISHA KWA SIKU 100 .NI MKWELI NA DR MWINYI AMETHIBITISHA HILO.. MUNGU AMUWEKE MWINYI.ameen Mazrui u are RIGHT.
@king-uw8ju
@king-uw8ju 3 дня назад
Dume zima lina simama nimetongozwa mtianihani sasa kama siasa basi huna chama nahumo kenye serekali yetu😅
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b 10 дней назад
Haiwezekani kukisifia kile chama ambacho kinawatowa roho wazanzibari kila kunapokuja kipindi cha uchaguzi ,,mazuruwi una jambo lako tunahisi usharambishwa asali ,,MAZURUWI UMEWAGEUKA VIONGOZI NA WANANCHI WA ZANZIBAR,
@mkadammkadam
@mkadammkadam 10 дней назад
Wazanzibar wepi aliowageuka?
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 6 дней назад
Mbona kiongozi wetu maalim alimsifia mwinyi na akatushauri tumuunge mkono
@ahmadSeif860
@ahmadSeif860 5 дней назад
Utamsifia vipi muuwaji! Mtu Amekaa madarakan kwa njia ya mauaji ksha eti unasifia uongozi wake!! Maana yake unasaport mauaji yalofanywa kwababu yake. Acha porojo, zulma itabak kua zulma. Huwez kumsifu mtu aloua raoho 21!! Ujinga tu
@alihamad7731
@alihamad7731 5 дней назад
🎉🎉🎉 Big up
@bakarHassan-v2l
@bakarHassan-v2l 11 дней назад
KUNA FUNZO KTK HOJA HII,INAWEZA KUFUATWA NA WANASIASA WENGINE
@belgieboys9867
@belgieboys9867 3 дня назад
Huyu sio mwanasiasa huyu ni mfanyabiashara. Kwenye siasa ya zanzibar wafanyabiashara wengi wameingia sio ccm sio cuf sio atc. Hata matapeli wameingia kwenye siasa. Mwanasiasa ni jusa, othman kidogo nimeona.
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar 8 дней назад
Acheni siasa mbaya nyinyi watu wa siasa nilazima kiongizi asifiwe kwasifa zake nzuri mm pia sipo kwenye chama chochote lkn mm namsifia rais Hussein mwinyi kwa kazi yake nzur Allah amfanyie wepesi Zaid aendelee kuikumbuka Pemba kiuchumi kimaendeleo
@omarissamashaallahpresiden2920
@omarissamashaallahpresiden2920 7 дней назад
Ww ni chawa huna chama ila ni muongo mzanzibari aso mpinzani ujue ni ccm hasa nyinyi mnajipendekeza kwa ccm Hali ,ccm haiwapendi kwa rangi zenu
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 6 дней назад
Umeongea kielimu zaid kwanza sisi wananchi tuna haki ya kumtii kiongozi
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar 6 дней назад
@@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm mtihani kwa ndugu zetu wasio jielewa Yani wanatumika tu bila wao kutambua
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar День назад
@@omarissamashaallahpresiden2920 nyinyi mnatumika hamjitambui
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar День назад
@@omarissamashaallahpresiden2920 acheni ujinga Zanzibar kwa upande wa viongozi hawana ubaguzi rangi zote zinaingia nawala hakuna ubaguzi
@rushydahmed9179
@rushydahmed9179 11 дней назад
hapa wasikilizaji wanatakiwa kusikiza mahojiano au kusikimza muziki, mbona ujinga umeharubu..
@MsabahAli-d6u
@MsabahAli-d6u 11 дней назад
Kiukwel Mazrui ulitetereka nanuliumiza watu na Kiukwel ulipaswa ufikirie mara mbili mbili before hujaongea but tunathamni change wako kwa upinzani hatutakuacha labda ukimbie wewe
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 11 дней назад
Mazrui aliacha zile siasa zetu za kishamba zakupinga kila kitu , mazrui akiwa kama waziri alisifia Yale Alioona yanafaa ila kwakua sie siasa ni uadui ndo tukaona vile , mie sio ccm ila skuona kosa alofanya Mazrui
@abdulkadirramadhan5337
@abdulkadirramadhan5337 6 дней назад
Sasa kwel ndo huon alichosifia yeye ni juu ya wizara Yake ya afya
@NoufelSalim
@NoufelSalim 11 дней назад
Mazurui mara nyingi hajui hata chakuongea ,porojo tu jingi
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 11 дней назад
Kujua kuongea ni kupi?
@NoufelSalim
@NoufelSalim 11 дней назад
@@FahadAbubakari icho unachoongea ww
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 11 дней назад
@@NoufelSalim Ikifika point tujifunze kuhishimu fikra za watu siasa ikifika point ya kuona watu wanyama kisa hawawazi sie tunavyowaza ni khatari
@NoufelSalim
@NoufelSalim 11 дней назад
@@FahadAbubakari kwani unaongea vp maana sjakufahmu mpk saiv
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 11 дней назад
@@NoufelSalim basi ka hujanifahamu hutokuja nifahamu tuyaache
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 9 дней назад
Huyu jamaa tangu afe maalim seif naona amekua haeleweki
@SaidShkel
@SaidShkel 11 дней назад
Hawa toka afariki maalim seif bas hawana tena lao maana alipokuwa hai maalim huyu alikua hana unafiki huu alonao sasa wakusifia viongozi wa ccm lkn wp Allah amraham maalim seif
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar 8 дней назад
Acha hiyo kitu unafiki unapatikana kwenye Mambo ya siasa ?
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 6 дней назад
Mbona ht maalim alimsifia huyu mwinyi
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn 2 дня назад
HUYU MZEE KAMA LENGO LAKE NI KUTAKA KUITUMIKIA DINI SASA NA KUJIANDAA NA KIFO ITAKUA ANA AKILI SANA MAANA SIASA ZA SAA HIZI KWA KWELI NI MTIHANI MTUPU NDANI YAKE
@aseelaisaa428
@aseelaisaa428 11 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kaaaq bench nimeipenda walllah raha mtu wa jokes
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 11 дней назад
Ingefaa Mazruia ukajieleza kwa lugha ya Kiswahili,ambayo waliowengi ndio wanayoitumia
@abdulkatalango2890
@abdulkatalango2890 5 дней назад
Kwani hapo azungumza kiingereza
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 4 дня назад
@@abdulkatalango2890 ni mseto
@belgieboys9867
@belgieboys9867 3 дня назад
Maslahi yote ya kibiashara lazima usimame kwenye upande wa serikali. Ili biashara yako iende lazima ukae upande huo. Wengine hujaribu upinzani ili mambo yawe poa.
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 10 дней назад
Inaonyesha hupendi tafrani.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 11 дней назад
Good leader!!
@SazafKiba
@SazafKiba 4 дня назад
Kama unastafuu siasa bs na huyo uwazir wacha
@dullahfar7775
@dullahfar7775 5 дней назад
walio shituka ni baadhi tu sio wote act sisi wengine tulikuelewa
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 Час назад
Usijidanganye kuwa wewe ni mbadala wa Maalim. Kama huamini toka nenda leo CCM uone. Hutubabaishi. Wacha USALITI
@omarhusna1766
@omarhusna1766 11 дней назад
Kumbe muheshimwa ulikua unafata shangwe tu sio mpambanaji wa zanzibar kupata mamlaka yake kamili
@ahmadSeif860
@ahmadSeif860 5 дней назад
Huwez kumsifu mtu aloua roho 21 kwababu yakutaka madaraka. Ww ni muislam kweli??
@SaidShkel
@SaidShkel 11 дней назад
Saiv bora mbuzi anafaida kuliko hyu saga tonge
@fakizubeir
@fakizubeir 11 дней назад
umeifanyia vizuri wizara ya afya
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 11 дней назад
Mana vile siasa ya Zenjibar ndio ilivo hata tawala haikubali kuusifu pinzani ndio utaratibu wenyu
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 11 дней назад
Sauti ya mziki inaharibu usikivu, rekebisheni hilo
@harounramadhan9771
@harounramadhan9771 11 дней назад
Can use bu in very low Volume
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 11 дней назад
@@harounramadhan9771 kwani kuna tatizo gani ukieleza kwa lugha ya kiswahili?
@joojombi2341
@joojombi2341 10 дней назад
Heading mbovu kabisa kwakweli daaah wacheni kupotosha umma nyie bhana
@SaidShkel
@SaidShkel 11 дней назад
Hamna kitu hapo domo tu hyo
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 10 дней назад
Hamna kitu hapo
@alinasor8553
@alinasor8553 11 дней назад
Wanalia kumbe
@w4058
@w4058 9 дней назад
Pumbavu wewe faizanassor Wazanzibar kama nyie wanoko Hasbunallah Waniimal Wakiil
@jumasuleiman7171
@jumasuleiman7171 11 дней назад
Watu walipa thamana kubwa umewangusha stafuu siyasasa
@ibrahimmakame5304
@ibrahimmakame5304 11 дней назад
viojaa alivyoviachaa malim seif hivyoo
@SuolFat
@SuolFat 11 дней назад
Madia ya uongo
@elbattawy2864
@elbattawy2864 10 дней назад
kesha hamna tena kitu
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 11 дней назад
Huyu jamaa sio A.C.T tena wakimueka wamueke tu huyu njaa ya fedha tu
@SuolFat
@SuolFat 11 дней назад
Ni chama gani
@Aisha-lj8bu
@Aisha-lj8bu 11 дней назад
Huyo nimtu namalizake hategemei pesa za ccm
@KhalfanSaid-u9y
@KhalfanSaid-u9y 9 дней назад
Huna ulichokifanya ami yangu umeingia apo kwa maslahi yako umechaguliwa waziri una lip ulichokifanya familia yako umeshindwa kuisaidia uje usaidie wananchi
@maryamkharusy4518
@maryamkharusy4518 9 дней назад
Familia yake ipi kashindwa kuidaidia?
@maryamkharusy4518
@maryamkharusy4518 9 дней назад
Kuisaidia
@mbaroukhamza8508
@mbaroukhamza8508 10 дней назад
vizazi ivi vya kikoloni c vyakushirikiana nao.
@moa4122
@moa4122 6 дней назад
Mkoloni yupi? Wacha ujinga wako ndio nyinyi munaleta ubaguzi. Watu kama nyinyi ni hatari katika jamii. Mtu mbaguzi yoyote yule duniani ni hatari katika jamii
@humoudseyd7310
@humoudseyd7310 11 дней назад
We usha onja madaraka you can tell body language yako....na tatizo we si mwana siasa bisi ndo....umo tu
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 11 дней назад
Sasa mnataka kila siku maugomvi tu yeye kamsifu kwa utendaji wake
@mohamediddi5126
@mohamediddi5126 11 дней назад
@@MohamedAhmada-ie7keswadakta,
@fightermshamu2466
@fightermshamu2466 10 дней назад
Huyu Mzee ame risk sana utajiri wake kwa cuf ambayo baadae ikawa act kwa znz Hana baya
Далее
KAPIGE DEKI - BURUDANI ZA MASHAKA
22:52
Просмотров 35 тыс.
НЮША РОЖАЕТ?
00:17
Просмотров 664 тыс.
Kũmuramura Magathĩti (14/10/2024) #iNooroRũciinĩ
1:20:51
BAKWATA: Mwiba mzito kwa Waislam Tanzania
43:19
Просмотров 23 тыс.
UTAWALA WA DK SALMIN AMOUR-MAKALA MAALUMU
22:46
Просмотров 60 тыс.