Тёмный

MBATIA, RC CHALAMILA USO KWA USO, 'UKILETEWA FUJO TUTAKUPATIA ULINZI' 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 19 тыс.
50% 1

MBATIA, RC CHALAMILA USO KWA USO, 'UKILETEWA FUJO TUTAKUPATIA ULINZI'
Baada ya Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia kwenda Mkoani Mbeya kwaajili ya ziara ya kikazi,Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amepata muda wakufanya naye mazungumzo huko akimuahidi kumpatia ulinzi endapo kutakuwa na tatizo.
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
Email: globaltvbest@gmail.com
abbymrisho@gmail.com
HABARI MPYA DAILY: bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 104   
@neemamwakatika12
@neemamwakatika12 4 года назад
Pole sana Mh. Mbatia ulipoteza hadhi yako wakati ulipoungana na hayo majitu , na zaidi sana nilipokutoa kwenye ufahamu wangu ni wakati ule na wewe ulipofunga kitambaa mdomoni na kutoka bungeni.
@ombennassary7438
@ombennassary7438 4 года назад
Mbatia una hekima Mungu akuinue zaidi na zaidi
@edwardmakonge3371
@edwardmakonge3371 4 года назад
mama tanzania ni msemo anaopenda kuutumia james mbatia.natamani kuwaona na viongozi wengine wa upinzani wakiiga anachokifanya.hongera sana james.
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 года назад
Mbatia bhana!
@jimmundakega8117
@jimmundakega8117 4 года назад
Asante sana Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Charamila Kwa kuujua Mkoa wako Vizuri! Nimejifunza mengi sana leo kuhusu uchumi wa Mkoa wa Mbeya. Asante sana!
@kijokombao5345
@kijokombao5345 4 года назад
Yuda..
@andreakundo4241
@andreakundo4241 4 года назад
Nilichokipenda zaidi ni uelewa mpana wa mkuu wa mkoa kwakweli anaufahamu vzr sana mkoa wake
@deogratiashaule5224
@deogratiashaule5224 4 года назад
Wise man mbatia, kaka una busara sana keep it up.
@othumankaya9495
@othumankaya9495 4 года назад
Matia uko vizuri
@jamesngingo6727
@jamesngingo6727 4 года назад
Mpinzani wa kweli kwa awamu hii huwezi kupokewa hivi na rc sanaa tawi hili la watawala
@nicotv4162
@nicotv4162 4 года назад
Go!go!go!go!go!go! Mbatia ,hakika wew ni role model wa kizazi kinachoitafuta democrasia kwa sababu zifautazo 1:unahekima 2;busara 3:Utu na heshima 4:mwelewa sana, 5:mzalendo 6:very talented and gifted 7: Huna wivu wala husuda 8: 9: 10: 11: 12: Jaman zilizobaki naomba mnisaidie huyu mbatia ni mtu wa mfanoo na na hisi hawa ndio wajenga nchi wa kwelii
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 4 года назад
2020-2025 atabahatika cheo ndani ya serkali itakayochaguliwa. Hii ni ndoto yangu.
@ibrahimharuna9821
@ibrahimharuna9821 4 года назад
Global big up Nimeelimika pakubwa kupitia global tv
@st99ngeni35
@st99ngeni35 4 года назад
NCCR chama kikuu cha upinzani 20-25. Chadema chali...tunawaacha na sera zao za fujo, uhasama na saccos ya mbowe. kila siku tunahubiriwa tundu lisu kupigwa lisasi, mara tutamwaga damu, mara mabomu nk
@petromwinyi4955
@petromwinyi4955 4 года назад
Well said!
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 года назад
So wht?? Hatutaki chama kikuu upinzani! Xccm king'olewe madarakani!! Ccm chama cha hila na unafiki!!!! Mbatia! Sugarizing the words!!
@saidmaginga4171
@saidmaginga4171 4 года назад
Safi sana kwa maelezo mazuri Mkuu wa mkoa wa mbeya Mr chalamila
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 4 года назад
Umdhanie sie ndie.Output ya ikulu hiyo
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 4 года назад
Hekima ya Mh Mbatia inatupa imani kwamba bado tu upinzani nchini
@eddynyaki5539
@eddynyaki5539 4 года назад
Safi sana kwa hekima zako Mr mbatia Mungu azidi kuwajalia viongozi km wewe
@frankndabila1726
@frankndabila1726 4 года назад
Safi sana mbatia kwa busara zako nimejifunza kitu kutoka kwako
@kobelochamanga9757
@kobelochamanga9757 4 года назад
Mbatia uko vizuri sana
@princemgambwa9143
@princemgambwa9143 4 года назад
Nguvu ya chai ya ikulu inafanya kazi mzee baba yaani mmeshindwa kuuliza hata habari ya kupotea kwa ndugu yetu ben wa saanane
@anuaryally6177
@anuaryally6177 4 года назад
Ndio mdudu gani uyo beni sanane
@princemgambwa9143
@princemgambwa9143 4 года назад
Hapo siyo hekima tu bali ni kazi ya chai ya ikulu
@petromwinyi4955
@petromwinyi4955 4 года назад
Mmeshazoea fujo za chadema ndomaana unasema chai ya ikulu.
@saymongwaltu9546
@saymongwaltu9546 4 года назад
Nccm hiyo
@mfaumemwanjali7467
@mfaumemwanjali7467 4 года назад
Ndivyo inavyotakiwa Mpinzani ni rafiki na sio adui anayekwambia wapi utaanguka na urekebishe usianguke .Mwalimu Nyerere alitaka upinzani wa kushindanishaa mawazo kwa ajili ya maendeleo endelevu ya nchi
@hamisikaisi461
@hamisikaisi461 4 года назад
viongozi wote wa upinzani wangekua kama uyu naamini ii nchi isingekua na shida ktk mikutano kabisaaa
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 3 года назад
Wapinzani wangekuwa hivi tungekwisha.Mfano :Nani angeibua ufisadi wa EPA RICHMOND MEREMETA ,TRILLION 1.5 ,UNUNUZI WA RADAR ,n.k
@africanheroestz-acapella2458
@africanheroestz-acapella2458 4 года назад
Mbatia unahekima sana maana hata mchango wako bungeni unatoaga kwa hekima sio Kama chadema wanatapikaga tu
@relaxationalmoments7029
@relaxationalmoments7029 4 года назад
Nakuunga mkono African heroes.
@hamisidale2704
@hamisidale2704 4 года назад
Mbatia Muungwana sana, hivyo ndivyo inavyopaswa kuwa katika siasa, siasa si uadui ni mawazo mbadala yenye lengo moja katika fomula tofauti zenye lengo la kuboresha ustawi wa jamii , Mh chalamila safi sana, kukaa na kiongozi wa chama kingine kumpa taarifa ya Mkoa huko ni kukomaa kisiasa, Hongereni sana kwa staili mbali tutafika na pia inaleta twasira safi kwa mnaowaongoza"Hamisi Dale former civil servant(TISS) Boston USA
@sanurahyusuph6149
@sanurahyusuph6149 4 года назад
Mwiteni na mbowe ili tujue kuwa mnatenda haki tunamfano wa mlema lipumba saizi huyo mbatia fanyeni yote chadema hamtaiweza chadema nikama islaeli hata akibaki mmoja vita itapigwa tu
@japhethlugwisha208
@japhethlugwisha208 4 года назад
Muda c mrefu unakiuza chama cha NCCR.
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 4 года назад
Hawezi kukiuza, ila hekima yako ndio itakayomtoa hapo na ataonekana kuwa kakiuza chama chake. Huyu MTU anatakiwa kupata dhamana kubwa kwenye uongozi wa juu. Yuko kwa masilahi ya wananchi lkn na masilahi yake pia. Hivyo ngekewa ikimwangukia sio atakuwa kakiuza chama. Pole.
@mathiasmavanza605
@mathiasmavanza605 4 года назад
Hii nayo ni mpya. Yaani mpinzani anaenda kutoa taarifa kwa ccm kufanya mikutano ya ndani? Huu ni usaliti katika ubora wake!!
@praygodlymo5665
@praygodlymo5665 4 года назад
Mathias Mavanza tii sheria
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 4 года назад
Iyo ndio maana Alisi ya Utii wa Shelia na mamlaka iliyopo,,,,Kila LA Kher mukafanye mikutano Kwa Amani na utulivu,,,,
@chrismassawe326
@chrismassawe326 4 года назад
Wengine wanahangaika kutibu corona wengine wapo kuhangaika na siasa na maisha yapo spidi
@nikwandukaphilipo7923
@nikwandukaphilipo7923 4 года назад
Sawa kiongozi
@eliankya3272
@eliankya3272 4 года назад
Safi kiongizi
@jellyyatta7597
@jellyyatta7597 4 года назад
Duuuuu mkuu chalamila bonge moja la point nakubal mpaka hapo
@charlsmwamlima6767
@charlsmwamlima6767 4 года назад
Yuko vizur anaujua mkoa wake ipasavyo
@nehemiaisakwisa8604
@nehemiaisakwisa8604 4 года назад
Nimependa maongezi ya viongozi hawa
@relaxationalmoments7029
@relaxationalmoments7029 4 года назад
Wewe ndiye kiongozi pekee mkubwa kwa upande wa upinzani unayeonyesha NJIA YA UPINZANI WA KWELI! HEKIMA YA JUU sana unaonyesha! Hongera sana Mbatia!
@odriusmwakyelu3540
@odriusmwakyelu3540 4 года назад
Chunya wana asali nyingi ila hakuna soko lifinguliwe kama madini
@rutakihama3523
@rutakihama3523 4 года назад
Nimempenda sana mbatiaa
@mlatapatrick4736
@mlatapatrick4736 4 года назад
Apo sawa ni kiongozi wa kuigwa
@siramir5509
@siramir5509 4 года назад
Ukiiwanyenyekea hivi...sahau kuhusu ushindi
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 4 года назад
Mh. Mbatia mzee wa busara, huwa nakupenda sana, kwa busara na hekima yako. Big up baba wa NCCR mageuzi.
@pierestams7681
@pierestams7681 4 года назад
Mbatia utanifanya nipige kura mwaka huu na mm nutakupa kura yangu kule vunjo jiandae wewe ni jembe uko vizuri
@danmsimamo2562
@danmsimamo2562 4 года назад
piere stams muongo sana ww hata huko vunjo hupajui
@eliatalented7592
@eliatalented7592 4 года назад
Naomba kuuliza ivi NCCR ina mbunge
@rehemadani3600
@rehemadani3600 4 года назад
Sasa unauliza NCCR inambunge kwani mbatia mbunge kupitia chama gani?
@eliatalented7592
@eliatalented7592 4 года назад
@@rehemadani3600 asije kuwa yeye ni mbunge na ndo mwenyekiti
@wagundacharles8718
@wagundacharles8718 4 года назад
Big up Mbatia haya ndo mambo yanayofaa tunaamini upinzani siyo uadui tufanye siasa za kistaarabu kama ulivyoonyesha. Mungu akubariki na akutangulie kwenye ziara yako na umalize salama kaka.
@danielalphonce1653
@danielalphonce1653 4 года назад
@@eliatalented7592 mbona mbowe ni mbunge na ni mwenyekiti
@eliatalented7592
@eliatalented7592 4 года назад
@@danielalphonce1653 na anawabunge wengine pia sio kama mbatia
@comrademlewaisavile336
@comrademlewaisavile336 4 года назад
Mbatia una hekima sana Chadema wanatakiwa waige kwako
@mpoleesiyandee7687
@mpoleesiyandee7687 4 года назад
Angekuwa na hekma nccr isingemfia yeye kuwa mbunge in nguvu za chadema.
@suleimanomary8689
@suleimanomary8689 4 года назад
Hata wewe unahekima kulijua hilo. Wengine wanambeza na kusema anajipendekeza.
@gabrielmugabo9223
@gabrielmugabo9223 4 года назад
@@mpoleesiyandee7687 basi Mbowe ndiye ana hekima
@gabrielmugabo9223
@gabrielmugabo9223 4 года назад
@@mpoleesiyandee7687 basi Mbowe ndiye ana hekima
@mpoleesiyandee7687
@mpoleesiyandee7687 4 года назад
@@gabrielmugabo9223 kwel ana hekma ndo maana ameifanya chadema kuwa chama kikuu ya upinzani..mbatia toka aichuwe nccr toka kwa mrema nn kafanya ..hekma siyo kuongea tu inatakiwa na matendo..Act imekuja juzi inamuacha hapo akisema mama Tanzania.😂
@danmsimamo2562
@danmsimamo2562 4 года назад
Pole sana mbatia umefikia hatua hyo hadi rc kukuakikishia usalama namna hyo nimetoa imani kwako kabisa goja tuone km mbowe nae akienda mbeya atapata fursa ya kuhakikishiwa usalama na rc km ww
@danielmlanda2546
@danielmlanda2546 4 года назад
Ila mimi ni ccm lakini Mbatia naweza kumpa kura yangu kwa moyo mmoja maana sijawahi kuona anakurupuka wala kuropoka mambo yasiyo na msingi Mungu akutetee mheshimiwa Mbatia.
@mayalajames4159
@mayalajames4159 4 года назад
Kwa hilo tuko pamoja Mr. Anabusara Sana huyu mheshimiwa Mbatia.
@yasinmuona8198
@yasinmuona8198 4 года назад
Mbatia sio kibara wa Mabeberu kama kina mbowe zitto lisu na wachumia tumbo wengine mama tanzania ndio kauli mbiu ya mh.jemc mbatia mpinzani mwenye Akili timamuu mbati saffi
@danielrukula506
@danielrukula506 4 года назад
Dawa siyo kubembelezana kweli ikulu kuna sindano za ganzi
@hemedmohamed426
@hemedmohamed426 4 года назад
Hahaaaaa haijawahi kutokea hii, kauli ya RC: nmeshapewa taarifa, je umepewa na nani? Tz tufungue macho tujipange wenyewe tusimtegee mtu yeyote chini ya hili jua
@angelinasimchimba705
@angelinasimchimba705 4 года назад
Kama kuna mpinzani nampenda sana Tanzania hii ni James mbatia....japo Mimi ni ccm
@paulebby1552
@paulebby1552 4 года назад
Mbeya iko blessed
@suleimanomary8689
@suleimanomary8689 4 года назад
Kama wanasiasa wangekuwa kama mbatia, tungetamani upinzani uongoze nchi,hata kama chama chake kina mbuge mmoja ni sawa ,kwa sababu ni mbuge wa MUNGU, Siyo wabunge wengi harafu wanaanza kukihama chama.kwa sababu wameenda kwa nguvu isiyosahihi, ni nguvu ya mtu siyo wananchi.
@princemgambwa9143
@princemgambwa9143 4 года назад
We mshenzi podoa kwa hiyo unafikir ben saanane ni mbuzi au kunguru acha ujinga kuku poli wewe
@anuaryally6177
@anuaryally6177 4 года назад
Mshenzi mama yako
@michaeltuingilegewaubaridi8570
@michaeltuingilegewaubaridi8570 4 года назад
Safii
@johannesmaloda8209
@johannesmaloda8209 4 года назад
Mbatia mbali tu nakuwa na hakili nyingi,lkn n mpinzani mwenye hekima na ustaarabu usiofananishwa na ni mzalendo mana anaamini katika undugu,ktk Tanzania kwanza.....
@michaelandrew4616
@michaelandrew4616 4 года назад
Kaka mbati umeonyesha ukomavu wa kisiasa tena wakuigwa Tanzania upinzani sio kuwapinga wengine bali nikuielekeza serikali pale inapokosea .uko vizur Kaka umekomaa kisiasa na siasa sio chuki Wala uadui wafundishe Chadema na kadhalika wao wanajua siasa ni vita . SAFI MBATIA VUNJO hoeeeee
@travellahmsafirihiphop5325
@travellahmsafirihiphop5325 4 года назад
Sikuchagui akiamungu kuna double standard sana na huku jimboni hatukutaki yana chama chako kitakuja kufa kama TLP
@faikomahenge2029
@faikomahenge2029 4 года назад
Ukikutana na mwenye kumbe nawe unakuwa na akili nimejifunza mengi sana leo hii
@marcodominico9503
@marcodominico9503 4 года назад
MH. CHALAMIRA NIMEKUKUBALI SANA SANA, MUNGU ALIWEKA KITU NDANI MWAKO NDO KINACHOKUSUKUMA UGUSWE NA AMANI YA WATU. KUMHAKIKISHIA MTU AMANI NI MOJA WAPO YA TABIA ZA KI MUNGU. ( AMANI IWE KWENU ). LAKINI BADO UNAWAPA WATU ELIMU ZA BIASHARA NA FURSA ZA UCHUMI. NA SHAURI MA RC WENGINE WAJIFUNZE KWAKO, WAPINZANI NI NDUGU ZETU NA SIYO MAADUI ZETU. GOD BLESS YOU BRO
@nampanganyahassan1304
@nampanganyahassan1304 4 года назад
Tuwache masiala mbatia ni kiongozi tena Mimi binafsi Aya anayo yaongea siio ya kukopi maana ata kwenye ngazi ya familia ni kiiongizi bola mungu hakulinde na husda zote xa walimwengu Asante
@grationkato7253
@grationkato7253 4 года назад
Mbatia uko safi na taifa linitaji viongozi wa hivi sio kelele tu kupinga kila kitu huyu anaweza kufanya kazi na JPM mkombozi wa Watanzania
@danielbugwema6969
@danielbugwema6969 4 года назад
Sitaacha kukupongeza Mbatia Chalamila mpe ushirikiano
@alexmzumbwe1328
@alexmzumbwe1328 4 года назад
Mkuu wa mkoa tumepata mzuri na anahekima sana
@simuyangu1356
@simuyangu1356 4 года назад
Ccm wanajiongeza saana..kuwaweka makwapani wapinzani...ccm daima..
@frankminga1450
@frankminga1450 4 года назад
Watanzania fumbueni macho,hebu jiulizeni kwanini mbatia alikaa kimya muda wote huu,kwa taarifa yenu ni mpango maalum ulioratibiwa na Ikulu ili kuzigawa kura ,na ndio maana anapata media coverage,wake up my People
@helbertsabai6490
@helbertsabai6490 4 года назад
Sema wanachadema sio watanzania bana
@gabrielmugabo9223
@gabrielmugabo9223 4 года назад
NCCR MAGEUZI wanarudi kwenye hadhi yao
@floriankiiza7533
@floriankiiza7533 4 года назад
Mbatia anafaa kuwa kiongozi wa upinzani bungeni si huyu mbowe
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 4 года назад
Hawa maneno ya viongozi wa Serikali ni geresha tu, muheshimiwa Mbatia subiri uanze hiyo mikitano uone kama hutazuiwa na kuletewa kila aina ya mizengwe. Tusubiri tuone
@mpondaeliaskimwaga4569
@mpondaeliaskimwaga4569 4 года назад
Ameshakuwa wao huyo
@jumamchina9038
@jumamchina9038 4 года назад
Kongole Mhe Mbatia. Hiyo ndio Siasa ya Kistarabu
@heryfonda7060
@heryfonda7060 4 года назад
ikulu hiyo
@gastordominic410
@gastordominic410 4 года назад
Ahahaha mbatia ashakula matango pori
@elinikomniko4411
@elinikomniko4411 4 года назад
Yaani mtawala anacheza na akili zenu,anatambua fika kuwa uchaguzi umefika Sasa anawasogeza
@marcosowa1565
@marcosowa1565 4 года назад
Wapinzani wangekuwa na busara kama mbatia, tungenufaika wote na siasa na nchi ingesonga mbele
@kulwaswetu4457
@kulwaswetu4457 4 года назад
Sasa wewe ulitakawagombane?
@stevenmjema510
@stevenmjema510 4 года назад
Kabisa yaani tayari watu washashiba chai,mkakati wao umeshajulikana
@anuaryally6177
@anuaryally6177 4 года назад
Kwani unalazimishwa kwenda kapuku wewe
@bayisengejohn570
@bayisengejohn570 4 года назад
je huo ni ukweli huo?
@travellahmsafirihiphop5325
@travellahmsafirihiphop5325 4 года назад
Mbona vyama vingine havipewi hii nafasi??
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 4 года назад
Huyu jamaa ndio mpinzani wa kweli,sio wale wazee wa matusi na fujo, chadema sio chama, ni chama cha kihuni
Далее
When I met the most famous Cristiano
01:03
Просмотров 25 млн
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 7 млн
8 Minutes of Putin Eating Food
8:09
Просмотров 4 млн
When I met the most famous Cristiano
01:03
Просмотров 25 млн