Тёмный
No video :(

MBEYA YETU (Soweto ~Mafiati🚦)  

Mazplusfly
Подписаться 858
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Soweto to Mafiati traffic lights in Mbeya city are one of the busiest places in green city, I had to fly my drone from Kabwe that's in between Soweto and Mafiati about about a distance of 1.8km , Enjoy the View.
#Mwanjelwa #mbeyacity #Mbeya #Mazplusfly #mbeyayetutv #busokeloupdates #soweto #Kabwe #Sido #Mafiati #Mbeyayetu

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 80   
@hoseastephen4508
@hoseastephen4508 Год назад
Huu mji unatakiwa uangaliwe kwa jicho la tofauti. Miundombinu hasa ya barabara iko kwenye hali mbaya sana.
@Fales-co6xz
@Fales-co6xz Год назад
Awamu hii nadhani mambo yataenda vizuri
@ramamrutu4914
@ramamrutu4914 Год назад
Mbeya , arusha , dodoma na mwanza pia tanga walifa subili miaka 20 ijayo ndio waipe hazi ya kuwa majiji
@user-ot7rb6mx5d
@user-ot7rb6mx5d 8 месяцев назад
Mbeya💚💚
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 5 месяцев назад
Jiji langu pendwa mbeya city jiji la kijanjana kidijitari na jiji linaloongoza kibiashara ukiondoa dar mbeya ni full mzuka
@tideone97
@tideone97 Год назад
Home City 🔥🔥
@danielexplore
@danielexplore Год назад
Woooow 😘
@Mazplusfly
@Mazplusfly Год назад
Mr.Gwankaja🙌🏾🙌🏾
@jamesukombozi5216
@jamesukombozi5216 3 дня назад
Katika majiji yasiyo na mpangilio hili ni mojawapo, barabara vumbi ujenzi market duuh!
@chumamasunga8855
@chumamasunga8855 Год назад
Kwanza inabidi wajenge barabara itakayotumika na maroli yanayokwenda nje ya nchi, barabara hiyo ipite nje ya mji na wasiruhusu watu kwenda kujenga nyumba huko.
@naperiantv7297
@naperiantv7297 Год назад
All in all his ndio clip nzuri ya jiji la mbeya kuwahi kuiona
@Mazplusfly
@Mazplusfly Год назад
Karibu sana
@peternassari7634
@peternassari7634 Год назад
Hakika
@Mazplusfly
@Mazplusfly Год назад
@@peternassari7634 shukrani🙏🏾
@MeddyClever
@MeddyClever Год назад
Mbagala rangi tatu imeendelea zaidi kuliko mbeya City center
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 Год назад
Hapo n mtaa mmoja tu umronyeshwa Soweto_mafiati wewe jichanganyee hivohivo Mbeya kilichofel n barabara tu
@tituscostas7
@tituscostas7 Год назад
@@yustomwaisomania2587mbagala rangi tatu imeendelea kuliko mbeya city center
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 Год назад
@@tituscostas7 Endelea kukalilishwa ujinga hivohivo
@Abdul-ol5sm
@Abdul-ol5sm 10 месяцев назад
😂😂😂😂 kweli
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 10 месяцев назад
Kwan hapo n center ya jiji la Mbeya Kama hujawah fika Mbeya hebu kaa kimya
@ShedrackMwisa
@ShedrackMwisa Месяц назад
Mbeya z tz😢😢😢😢
@ShedrackMwisa
@ShedrackMwisa Месяц назад
Ukishindwa kuiishi mbeya bac 🫣🫣🫣🫣🫣
@levensonsinkamba4772
@levensonsinkamba4772 Год назад
Hapa kidogo inasogea mbeya yetu
@Mazplusfly
@Mazplusfly Год назад
Tulipofika si haba, tunazidi kusonga mdogomdogo
@Fales-co6xz
@Fales-co6xz Год назад
Umeona eeeh
@chacha-255
@chacha-255 Год назад
Ila tuwe wakweli tu hapa Mbeya kitengo cha mipango ya mji ni hovyo
@Mazplusfly
@Mazplusfly Год назад
Sehemu nyingi zimejengwa bila utaratibu mzuri ukilinganisha na mitaa mikongwe kama SAI, Majengo, na Block T na kadege kwa mbaaaali ambayo imelangika vizuri
@Mazplusfly
@Mazplusfly Год назад
Imepangika*
@naperiantv7297
@naperiantv7297 Год назад
Hakuna watu wanakula hela za uma kama mipango mji mbeya na hao TURURA
@kingabala1933
@kingabala1933 3 месяца назад
Yani hata Shinyanga... No paukweli kuliko hapa
@calvinmwasambili4080
@calvinmwasambili4080 Год назад
Hivi mby nini jiji kweli au wilaya tarafa
@zachariamgallah
@zachariamgallah Год назад
🎉🎉
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 7 месяцев назад
katika mji siuelewag mbeya japo kwetu mjini kule kumechoka ata apaeleweki pia npo uku balabala kubwa vijumba vimejengwa ovyo ovyo pia mji mchavu sana
@frenkifrenki4775
@frenkifrenki4775 Год назад
Sasa ivi mbeya ndo nzuri inasonga mbele matajili walikuwa wabaili kujenga magolofa sasa wameaka pia wajenge na kule mjini pamechakaa sana paovyo akuna majengo ya maana
@Mazplusfly
@Mazplusfly Год назад
Sasa wanatambua umuhimu
@frenkifrenki4775
@frenkifrenki4775 Год назад
Safi sana kwetu uku ila sasa atupo uko
@user-nx7bz9qi2k
@user-nx7bz9qi2k 7 месяцев назад
Mbeya miondo mbinu ni mibovu balaaa serkali na mbunge wetu hakuna kitu hapa
@kingswebe3251
@kingswebe3251 Год назад
mbeya kuna maghorofa mengi kuzidi mikoa yote ya nyanda za juu kusini pamoja na Morogoro ispokuwa hayajakaa sehemu moja kama iringa, unaambiwa kila mwaka mbeya yanajengwa maghorofa zaidi ya matano, lakini wako wapuuzi wanasema iringa imejengeka (maghorofa mengi) kuzidi mbeya kwanza inabidi wajue kuwa Mbeya kulikuwa hakujengwi maghorofa marefu kwasababu ya kupitiwa na bonde la ufa, hata wanaojenga sasa wanajitoa muhanga tu.
@mussamontellijr2802
@mussamontellijr2802 Год назад
Iringa ina majengo meng marefu ila machache ila mbeya mengi ila sio marefu marefu yanakutafuta
@kingswebe3251
@kingswebe3251 Год назад
@@mussamontellijr2802 yeah kwasababu mbeya imepitiwa na bonde la ufa so wanaogopa tetemeko la ardhi ndio maana maghorofa mafupi
@frenkifrenki4775
@frenkifrenki4775 Год назад
Morogoro mbna inamajengo mengi sana ya gorofa yapo kule mjini pia yapo msanvu nakuelekea njia ya dodoma ilinga pia yapo ila ni machache sana
@naperiantv7297
@naperiantv7297 Год назад
Hizi takwimu namashaka nazo
@mussamontellijr2802
@mussamontellijr2802 Год назад
@@naperiantv7297 naunga mkono hoja
@rashidissa5887
@rashidissa5887 8 месяцев назад
Nimeiacha Mbeya mapema 1982. Natamani kuiona tena. Sitapotea?
@Mazplusfly
@Mazplusfly 8 месяцев назад
Hupotezi kaka
@luganomwaipaja-bj6qz
@luganomwaipaja-bj6qz Год назад
Mchuchukua picha Kila siku unaishia mafiati fika hat magorofani southern Highlands hotel na bonaki kule. Ila mbeya Barbara hazipo
@Mazplusfly
@Mazplusfly Год назад
Nimelichukua na nitalifanyia kazi
@luganomwaipaja-bj6qz
@luganomwaipaja-bj6qz Год назад
@@Mazplusfly Asante kiongozi ila video Yako ni nzuri kuliko yoyote niliyo wahi kuiona ya mbeya
@Mazplusfly
@Mazplusfly Год назад
@@luganomwaipaja-bj6qz asante kaka
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl Год назад
Sasa kule mjini kunanini katika seem iliofulia mjini kunaongoza tuamke jamani tuendelee kupainua
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 5 месяцев назад
Hili ni Jiji kubwa Tanzania baada ya dar ndiyo maana wanashindwa kuchukua picha yote ya Jiji LA mbeya. Mbeya ni Jiji LA kibabe Tena kibiashara
@chacha-255
@chacha-255 Год назад
Samahani unatumia drone aina gani, ni kwamba mnakuwa kwenye gari au mlikuwa wapi mnaicontroll, nimevutiwa sana na hii teknolojia
@Mazplusfly
@Mazplusfly Год назад
Natumia DJI MAVIC 2 pro, nilisimama kabwe wakati na operate na inaweza kwenda hadi 7kn
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 8 месяцев назад
Glorified village of Mbeya😅😅😂
@Mazplusfly
@Mazplusfly 8 месяцев назад
Karibu sana
@kingswebe3251
@kingswebe3251 Год назад
halafu nyie mnaorecord video hizi sijui mnamatatizo gani! kwanini mnaishia mafiati tu mbona hamfiki uhindini na iwambi nk. why kila mtu mafiati?
@Mazplusfly
@Mazplusfly Год назад
Usijali mkuu tutalifanyia kazi
@khamissaleh921
@khamissaleh921 Год назад
Jiji lina mpangilio ovyo sana na chafu sana
@akwinobenarddy
@akwinobenarddy Год назад
Aloo kumbe iringa ni bora kuliko mbeya
@KuntukumuSadam
@KuntukumuSadam 11 месяцев назад
😂😂😂😂unaota unazungumzia hapo mwanzo nenda Hadi mjini
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 9 месяцев назад
Sasa iringa kuna nini kule mjini ulizunguka kidogo tu upo makolongoni kamji kadogo kila kitu kpo seem moja irnga imepitwa ata na songea
@mussamontellijr2802
@mussamontellijr2802 Год назад
Mbeya ipo kama tandale tu hmn mpangilio wowote uliopo
@Mazplusfly
@Mazplusfly Год назад
Soon itabadilika tu hata miji mikubwa ilikuwaga hivi
@mussamontellijr2802
@mussamontellijr2802 Год назад
@@Mazplusfly sawaa kaka
Далее
Historia ya mji wa  wa tukuyu na uzuri wake wa ajabu
7:38
Timings hated him #standoff #timing #meme
00:14
Просмотров 469 тыс.
لدي بط عالق في أذني😰🐤👂
00:17
Просмотров 3,2 млн
AWILO MSAFWA _dada wee. ... salamu yetu mwagona.
10:29
Просмотров 192 тыс.
7 Largest Cities in Tanzania 2024 (Beautiful Cities)
8:25
MBEYA CITY
6:54
Просмотров 46 тыс.
SE1 EP4 Asili na Historia ya Mkoa wa Mbeya
8:13
Просмотров 4 тыс.
MUONEKANO WA JUU WA MJI WA NJOMBE. @2022
4:47
Просмотров 15 тыс.
Timings hated him #standoff #timing #meme
00:14
Просмотров 469 тыс.