Тёмный
No video :(

Ijue mikoa kumi tajiri zaidi tanzania na vitega uchumi vyake 

Kasibante Media
Подписаться 10 тыс.
Просмотров 125 тыс.
50% 1

‪@Wasafi_Media‬ ‪@TheChildhoodlifebyLilyGrace‬ ‪@TBJZL‬ ‪@triplestar3377‬ ‪@xCoelha‬ ‪@fadighazi‬ ‪@asofarmtz‬ ‪@onyaz‬

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 216   
@rozianazolanga4450
@rozianazolanga4450 Месяц назад
Tanga ingekuwa ya kwanza kabisa! Iko safi sana kwa biashara! Tanga pokeeni maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
@SeleJackson
@SeleJackson 2 дня назад
Arusha wa jana yule
@janengaga2928
@janengaga2928 2 месяца назад
Mbeya ni kweli ipo juu kweli.ila Iringa hujasema na upo vizuri sana
@Mwl_Sanga
@Mwl_Sanga 26 дней назад
Iringa Ina rasilimali lakini imepitwa na mingine
@JamesKasomi
@JamesKasomi Месяц назад
Shinyanga ni tajiri sana, kuna madini, mifugo ya kutosha, mazao ya biashara yapo kama pamba,dengu, choroko na mazao ya chakula kama mpunga, mahindi, mtama mihogo. Pia Shinyanga ina watu walio na bidii ya kazi
@kazigembeleke5958
@kazigembeleke5958 Месяц назад
Almas pia
@helmanmhanga4905
@helmanmhanga4905 2 месяца назад
Karibu Iringa mkuu
@user-oz6zp8fr1c
@user-oz6zp8fr1c 4 часа назад
Ruvuma!
@Saikalyasi
@Saikalyasi Месяц назад
Mtafiti haujafka Mtwara ukaangalia mazngira na maendleo binafsi na uchumi wao, Wana ges,bandari na ardhi ya vilimo tofauti ikiwemo korosho,mpunga na ufuta na mahindi
@valentinetesha8536
@valentinetesha8536 Месяц назад
mtwara ni moja ya mikoa maskini sana daah kuna sikitisha kwa kweli
@zainabzain3434
@zainabzain3434 Месяц назад
Anzjuzima data wenyewe tunajua ila ipo siku atasema tu
@Munyama675
@Munyama675 13 дней назад
​@@valentinetesha8536Katika mikoa masikini Mtwara haipo au unasema Mtwara ipi?
@mayungarichard7443
@mayungarichard7443 2 месяца назад
Shinyanga ilipaswa ishike nafasi ya pili, msiangalie majengo angalieni rasilimali zilizopo. Ila watu wake ni maskini sana, rasilimali zilizopo madini wanabeba wanapeleka ulaya ndo yanakojengwa maghorofa. Nafasi za ajira hawapewi wazawa, wanapewa wengine wanajenga kwao🇹🇿🇹🇿😮‍💨😭
@marthastephen6600
@marthastephen6600 2 месяца назад
Mbeya nayo ina madini mengi tu na yenye thamani huko chunya kwahyo ni sawa tu
@innocentchristopher7571
@innocentchristopher7571 2 месяца назад
Hv mwanza kwl iwe sawa na shy
@Jackjuneart_tz
@Jackjuneart_tz 2 месяца назад
Hata kongo ni nchi yenye utajili mkubwa lakini sio nchi tajiri zaidi Afrika
@user-ur3pw2rw8r
@user-ur3pw2rw8r Месяц назад
Wewe Jamaa itakuwa umesimliwa hizo taarifa Kwa haziendani na taarifa zako
@theblack_6754
@theblack_6754 Месяц назад
Unaumwa mavi😂
@EvaristoMwasenga
@EvaristoMwasenga Месяц назад
Arusha ingeshika namba 2
@MatokeoKakulu
@MatokeoKakulu День назад
na mm nilijua hivyo
@daudinyello4033
@daudinyello4033 Месяц назад
DODOMA mbali na kuwa Jiji lakini IPO KWENYE MIKOA YENYE WATU WENYE KIPATO CHA CHINI ikiwemo KAGERA, TABORA,KIGOMA NA SINGIDA ila IRINGA umeionea mana ipo top ten
@peterphilipo31
@peterphilipo31 11 часов назад
Mbona ndg mwandishi hujaelezea kwa kina kuhusu huo utajiri kwa kutoa mifano ya rasilimali zinazopatikana katika mkoa husika kwan unatakiwa utaje pamoja na kipato chake kwa kila rasilimali na inachangia kwa asilimia ngapi?
@user-pc3xl3cn9d
@user-pc3xl3cn9d 11 дней назад
Duuh nilijua Arusha inashika top 3
@cyrilmtei700
@cyrilmtei700 27 дней назад
😂😂😂 Arusha hata 5 bora haipo😮
@bishweko
@bishweko 2 месяца назад
Wagamba amazima aho.
@ElishaMollel-ih3jq
@ElishaMollel-ih3jq 2 месяца назад
Ww hujawahi fika arusha nazani pita hv
@robertphilip385
@robertphilip385 2 месяца назад
Kwanza nomeshangaa eti shinyanga inaizidi Arusha hi twakim niyakitapeli asee
@MauriceMwilapwa
@MauriceMwilapwa 2 месяца назад
Siyo mikoa. Sema miji
@MahdouMomba
@MahdouMomba Месяц назад
Sasa huo utajiri inabidi serikali uutumie kutuletea mabadiliko chanya katika sekta mbali mbali, watanzania wapate afya bora, elimu bora, umeme na mabadiliko mengine chanya kwa watu wake
@AlvaroSammiryMwansana
@AlvaroSammiryMwansana 20 дней назад
Ni kweli au unatuchora uenda upo sawa
@LeakeyKanyamaha
@LeakeyKanyamaha Месяц назад
Kagera kahawa
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 2 месяца назад
Uko sawa mwandishi
@meshackmwalongo9798
@meshackmwalongo9798 2 месяца назад
Tunataka takwimu za 2023 2024 ruma na Njombe Njombe haiwezikuzidiwa na ruvuma
@JohnMasatu-oj5mj
@JohnMasatu-oj5mj 2 месяца назад
Kweli Shinyanga inazidi Kwa maana inarasilimali nyingi mfano madini 😊
@nehemiahmgawe975
@nehemiahmgawe975 2 месяца назад
Yupo sahihi kwa shinyanga,mji wa kahamatu uliopo shinyanga unaweza kuishinda hata baadhi ya mikoa mingine.
@DangoteLimitedi
@DangoteLimitedi 8 дней назад
ttzo wazawa awawekezi makwao ndyo maana unashangaa mikowa kuwa chini ki
@gandeone1585
@gandeone1585 2 месяца назад
Arusha ,nilijua itashika nafas ya 3
@muremyi
@muremyi 2 месяца назад
Mikoa Arusha Una jiji moja to Arusha mikoa mbeya shinyanga Zili jiji zaidi moja jiji kubwa
@muremyi
@muremyi 2 месяца назад
Mikoa Arusha Una jiji moja to Arusha mikoa mbeya shinyanga Zili jiji zaidi moja jiji kubwa
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 2 месяца назад
Mashamba wee hujui hata kuandika kwa taarifa yako Arusha uchumi hamna hata Jiji la Arusha linashindwa kujiendesha kimapato
@user-bm5ov6kx3c
@user-bm5ov6kx3c Месяц назад
Arusha ni Jiji lenye Hela sana kuzid mbeya
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn Месяц назад
@@user-bm5ov6kx3c wadanganye wasiojua au nenda kachukue takwimu za serikali za mapato ya majiji na mikoa ndipo utaelewa
@AllyMohammed-nv5sj
@AllyMohammed-nv5sj 2 месяца назад
Takwimu zako siyo sahihi kabisa Wacha uongo unapotoshosa
@jrsaid4270
@jrsaid4270 2 месяца назад
Leta zako zilizosahihi tuone
@AllyMohammed-nv5sj
@AllyMohammed-nv5sj 2 месяца назад
@@jrsaid4270 umedanganya mmno
@SelesiusGration-rq7sb
@SelesiusGration-rq7sb 2 месяца назад
Kwamba.mwanza inazidiwa na arusha mbn km.ripoti ya uongo
@costofamily4861
@costofamily4861 2 месяца назад
Takwimu za ovyo sana, hizi
@juliusdaniel3705
@juliusdaniel3705 Месяц назад
Manyara unaiachaje Kwa mfano,,tafiti haipo sawa.sisi tunalima Hadi tunakosa pa kupeleka,weka na TANZANITE
@johansonmonyo3898
@johansonmonyo3898 2 месяца назад
Siyo kweli!!
@JohnMasatu-oj5mj
@JohnMasatu-oj5mj 2 месяца назад
😮 kweli Shinyanga inazidi Arusha na tanga
@magigesabai8674
@magigesabai8674 Месяц назад
ndio unaijua kahama na madini yake ?
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 24 дня назад
Sikubaliani Arusha ndio ingekuwa mkoa wa 3, kwa sababu ya mbuga mbili kubwa duniani ngorongoro na serengeti, madini ya tanzanite na kilimo na njia ya utalii katika mikoa ya kaskazini rudia mjomba jiografia
@user-nw7by6wk5k
@user-nw7by6wk5k 11 дней назад
Kichaa ww
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 Месяц назад
Iringa tajiri kuliko bàadhi ya uliuotaja, tena mbaka wananchi wake. Wewe mwongo sana
@EstherJulius-cv9tk
@EstherJulius-cv9tk 2 месяца назад
Acah uongo wee mjinga aisee
@user-nw7by6wk5k
@user-nw7by6wk5k 2 месяца назад
Unavuta bangi sana
@careemdulla1629
@careemdulla1629 Месяц назад
Hapo kapatia Dar pekeake ...
@eddyngaga873
@eddyngaga873 Месяц назад
😂😂😂 KAFANYE TAFITI PUMBAVU.
@MosesMayun
@MosesMayun 16 дней назад
Vp kuhusu arusha
@omigrodrasnet7638
@omigrodrasnet7638 10 дней назад
Kaangalia tax collection so mkoa tajiri kakosea
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h 2 месяца назад
Dar watu zaidi ya 7m.
@Ranaimuye
@Ranaimuye 2 месяца назад
Tz ipo katika kundi la nchi masikini. Iweje iwe na mikoa tajiri?
@LUDOVICKMrosso
@LUDOVICKMrosso Месяц назад
Hamna kitu
@eliasharun3273
@eliasharun3273 2 месяца назад
Shinyanga ni Tajiri sana,tena kungekuwa na usimamizi mzuri wa maliasili ya madini ungeongoza kwa kuchangia mapato nchini.Kuna Almasi hakuna mkoa mwingine wenye Almasi nchini Tanzania.Dhahabu nyingi Kahama.Mgodi wa Buzwagi ndiyo unaongoza kutoa Dhahabu nchini Tz upo Kahama Shy.Asilimia 50% ya mapato ya nchi inatokana na madini.na madini mengi yapo Shy
@hassanomary9825
@hassanomary9825 2 месяца назад
Dodoma haipo
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 24 дня назад
Dar es salaam ni kahawa na kashata tuu na utapeli hakuna zaidi , na unawakilisha wananchi wote na wageni kaza buti tuu mzee
@CassimEmanuel
@CassimEmanuel Месяц назад
Jaman tumsikilize
@wilsonm.7376
@wilsonm.7376 Месяц назад
ARUSHA ilipaswa kuwa ya pili, arusha haiwezi kuzidiwa uchumi na Tanga, au shinyanga !!?? sio kweli!
@daudinyello4033
@daudinyello4033 Месяц назад
ARUSHA INAJENGWA NA TANGA.....SARUJI INATOKA TANGA KWENYE VIWANDA VYA SIMBA CEMENT, RHINO NA KILIMANJARO CEMENT NA HIYO MIKEBE YENU MNAYOENDESHA MTAANI UJUE PETROL,DIESEL NK..VINATOKA TANGA PORT NA DSM. SEMA CHUGA NAIKUBALI KUWA NA SMART BUILDINGS TOFAUTI NA TANGA ILA KIUCHUMI TANGA IKO POA. NA HUYO BOYA KAZINGUA IRINGA IPO TOP TEN.
@GodwinKwacha
@GodwinKwacha 25 дней назад
We muhaya acha utapeli😂
@user-ux7kg2bw9l
@user-ux7kg2bw9l Месяц назад
Uongo unapenda, ukweli aaah
@CharlesNzalia
@CharlesNzalia 2 месяца назад
Awap
@valentinetesha8536
@valentinetesha8536 Месяц назад
huyu fala yani tanga kuna uchumi mkubwa kuliko arusha ??
@magigesabai8674
@magigesabai8674 Месяц назад
Arusha ina nini mkoa unategemea utalii
@jumamakaja8802
@jumamakaja8802 Месяц назад
We ndo huelewi.
@DenisMdemu-wc6cv
@DenisMdemu-wc6cv 2 месяца назад
Ajabu sana hii iringa unaacha wap ety ruvuma mwandish huna jipya
@nazarethally9509
@nazarethally9509 2 месяца назад
Kwani we unahisi kinaangaliwa nini me nafikiria wanaangalia pato la halmashauri husika hivyo ruvuma lazima itaizidi iringa coz ruvuma kuna kilimo kikubwa zaidi ya iringa pia kuna mgodi mkubwa wa makaa ya mawe ukilinganisha na iringa
@DenisMdemu-wc6cv
@DenisMdemu-wc6cv 2 месяца назад
@@nazarethally9509 mim siwez pinga ila kiukweli hizo takwimu ni za uongo kabxaaa amin usiamin an mimi ni mtu wa ruvuma tena songea hapa mji mwema akin kusema takwimu za songea zizid mkoa ule.wa iringa ni uongo kabxaa iringa kuna vivutio vingi sana vya utalii tena ni zaid ya vivutio kwamba hivyo haangaliwi an mm naweza sema takwimu hizi ni za uongo bwana kak amin usiamini
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t Месяц назад
Data hizo sio sahihi
@zephaniachallo6260
@zephaniachallo6260 16 дней назад
Liongo
@johansonmonyo3898
@johansonmonyo3898 2 месяца назад
Utafiti huo unatilia shaka,
@theobahatkisakisa177
@theobahatkisakisa177 Месяц назад
Arusha inawezaje kukosejana 3 Bora?
@daudindekeja8938
@daudindekeja8938 15 дней назад
Nashauri tuache kumtukana mtu, kama kuna utafiti bora zaidi ni kheri kutoa ili kuwapa watu ulinganifu wa takwimu. Ni vyema kudumisha uungwana. Nashauri
@EvaristoMwasenga
@EvaristoMwasenga Месяц назад
Uyu kuuma arudishe MB zetu
@JosephMwita-o5l
@JosephMwita-o5l 20 дней назад
Msoma je?
@EvaristoMwasenga
@EvaristoMwasenga Месяц назад
Mbwa muongo sana uyuu duh atA kama hna D atA Moja
@golebenson4597
@golebenson4597 2 месяца назад
😂😂shinyanga tene
@gregorybakuza5796
@gregorybakuza5796 2 месяца назад
Shinyanga mkoa tajiri sana, una machimbo kibao ya madini yanayouingizia mkoa mabilioni ya tsh.
@LemomoMollel
@LemomoMollel 9 дней назад
Sio kweli wewe mhongo arusha 3
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 27 дней назад
Huyu ameenda kwa mapato yanayopatikana inawezekana kweli
@protamwenyegzaketv7408
@protamwenyegzaketv7408 2 месяца назад
Duuuuuuh sijui ila nitakuwepo
@zephaniachallo6260
@zephaniachallo6260 16 дней назад
Dodoma
@user-cu9mj3xj8x
@user-cu9mj3xj8x 2 месяца назад
yukosahihi?unachonga nawelete utaftiwako
@kharashbabar7393
@kharashbabar7393 2 месяца назад
Ukweli nauhalisia kihaki.....kamasioubatilifu wakisiasa basi Arusha, Moshi na Tanga....hii ndiomikoa iliopaswa iwe nitajiri zaidi nihii....kwavipi....utali...kilimo na madini....mikoa hii ndio ilioibeba Tanzania nzima kwamadini
@guyisaac8325
@guyisaac8325 Месяц назад
Una matatizo ya kiakiri Mkuu ,,inabidi ukapimwe
@musaeliasi
@musaeliasi 2 месяца назад
usitudanganye arusha vp
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i 2 месяца назад
Arusha inategemea kitega uchumi kipi? Kanda ya ziwa kuna ziwa, madini, ufugaji n.k
@hasanidadi5791
@hasanidadi5791 Месяц назад
Kadanganya wakat mwanza IPO kwenye mikoa 5 masikin wakat arusha ndo namba2
@lameckjacksongolani280
@lameckjacksongolani280 Месяц назад
Mwanza iwe masikini duuh😂😂😂
@hasanidadi5791
@hasanidadi5791 Месяц назад
@@lameckjacksongolani280 unapoambiwa mkoa masikizi hawangalii mji kujengeka wanaangalia uwezo wa wananchi kipato Chao so usishangae mwanza kua mkoa masikin ukibisha ingia mtandaon uliza mikoa 5 masikin Tanzania utaona
@magigesabai8674
@magigesabai8674 Месяц назад
kapimwe akili
@godfreygissema9052
@godfreygissema9052 17 дней назад
Huna akili wewe
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 Месяц назад
Utafiti wa kishamba! JINGA KABISA PUMBAVU! Shinyanga katika umaskini unafika nafasi ya 2
@YOHANAOLEKIBUDA
@YOHANAOLEKIBUDA 2 месяца назад
Mwandishi hajuwi kitu chochote
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 2 месяца назад
Toa takwimu zako tuzione
@johnshirima6176
@johnshirima6176 3 месяца назад
Uo utafiti ni wa kwako binafsi
@barakamalanga4977
@barakamalanga4977 Месяц назад
Njombe ya ngapi ? Acha usengelema
@bayekefarijala5042
@bayekefarijala5042 2 месяца назад
Shillingi bilioni?😅😅😅😊 Hiyo si ni hela ya kujenga km 2 za lami tu
@NuhuMohammed-nu6ni
@NuhuMohammed-nu6ni 2 месяца назад
😂😂😂
@Grace-s3z
@Grace-s3z 22 дня назад
Acha kudanganya, fanya utafiti
@YohanaJoseph-u1w
@YohanaJoseph-u1w 20 дней назад
Huamini nn hapo
@stellatemu2458
@stellatemu2458 Месяц назад
Uongo
@user-nw7by6wk5k
@user-nw7by6wk5k Месяц назад
Ww ni mpumbavu
@MataroJoel
@MataroJoel Месяц назад
Zanzibar sio Tanzania! Au hapo kwenye 10?
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 месяца назад
Arusha ndiyo mji unatambulika na Dunia umebeba Hadi wadudu hizo zako ni stori tu😂😂
@viatorymkama8925
@viatorymkama8925 2 месяца назад
Inatia mashaka
@frankurio9906
@frankurio9906 2 месяца назад
Mwandishi hujui chochote takwimu za uongo kabisha
@jrsaid4270
@jrsaid4270 2 месяца назад
Leta zako zilizosahihi tuone
@MohamediMussa-fu3ld
@MohamediMussa-fu3ld 2 месяца назад
hizi pesa zinaenda wapii
@saidel-amr3226
@saidel-amr3226 2 месяца назад
Arusha iko wapi
@sarahkingunza1516
@sarahkingunza1516 2 месяца назад
Takwimu yake sahihi
@kamanda007
@kamanda007 2 месяца назад
Bilion 7 kwa mkoa ni utajiri? please fafanua ni kodi wanayokusanya kwa mwaka au GDP ya mkoa, kama ni mapato basi nchi ni maskini kupindukia, bilion saba haijengi hata KM 3 za lami 😢
@jihnmshamba
@jihnmshamba 20 дней назад
mkoa wa lindi
@emmanuelnnko-dv1th
@emmanuelnnko-dv1th 2 месяца назад
Akuna kitu sijui izo tarifa kapata wap
@Faridagongo
@Faridagongo 2 месяца назад
Tujuzeni yote mikoa yetu tujue upi wa mwisho na kwa sababu zipi
@RamadhanBazo
@RamadhanBazo Месяц назад
Tutokee apa umetupga shinyanga hamna kitu kat ya mkoa maskin Tz shinyanga n no 2
@daudinyello4033
@daudinyello4033 Месяц назад
HAHAHAAAAAAAA, Changanya na KAGERA,DODOMA,TABORA,KIGOMA NA SINGIDA
@daudinyello4033
@daudinyello4033 Месяц назад
KAGERA,KIGOMA,TABORA,DODOMA NA SINGIDA NDIO MIKOA YENYE WATU WENYE VIPATO VYA CHINI ZAIDI TANZANIA. Source;ofisi ya makamu wa Rais TZ
@BenjaminNduuni
@BenjaminNduuni 2 месяца назад
We ujielewi unaacha wp chuga kwa mfano
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Месяц назад
Mikoa yote Tanzania ni tajili hatuna viongozi wenye maono mazuri maziwa ardhi safi madini beashara gas lakini tuna viongozi madalali wao wanawaza kuuza tu wakati tungewekeza viwanda na watendaji wawajibikaji na wananchi wangepata kazi safi kuna chokaa na cement vitu vingi mnoo lakini ndio hivyo
@MataroJoel
@MataroJoel Месяц назад
Huyu muongo, yaani Mkoa wa Mara una Madini na Mbuga alafu haumo kwenye 10 bora!
@user-xw1dv3gr8s
@user-xw1dv3gr8s Месяц назад
Tafiti umefanya na shemeji
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 Месяц назад
Wewe mwongo, wakinga wako Iringa na Njombe siyo Mbeya.
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri Месяц назад
Hi jamani samahani kama nakosea naona mbona Dodoma imesahaulika kabisa,ingetoka kabisa kuwa makao makuu.
@cyrilmtei700
@cyrilmtei700 27 дней назад
Wamechemka wa 3 ni Arusha
@jamesmzaki6041
@jamesmzaki6041 Месяц назад
Morogoro ilitakiwa isogee sogee kidogo maana biashara,ufugaji,kilimo na uchimbaji wa madini kama dhahabu,ruby,ulanga,fieldspar,rodillite n.k bado kuna hifadhi kubwa tatu ambazo ni Mikumi, Udzungwa na Nyerere.
@siphaelmbise3175
@siphaelmbise3175 Месяц назад
Arusha iko wapi hujafanya utafiti wa kutosha
Далее
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
Просмотров 11 млн
SE1 EP4 Asili na Historia ya Mkoa wa Mbeya
8:13
Просмотров 3,6 тыс.
7 Largest Cities in Tanzania 2024 (Beautiful Cities)
8:25
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
Просмотров 11 млн