ENTERTAIN YOUR CALLERS: SAFARICOM KENYA : SMS SKIZA 8542594 to 811 TIGO MUSIC TANZANIA :SMS LH to 15050 Mkusanyiko wa kile kilichotokea ndani ya Hyatt Regency kwenye hafla ya kutambulishwa kwa msanii Mbosso ndani ya WCB Wasafi
" bado ananijia ndotoni ila nikiamka simuoni, bado ananijia nikilala .." ASANTE Mond kwa hii SMS, maana hii nyimbo kitambo kweli toka uiimbe. Asante Maadam Wemaaaa
Jaman eeh, plz naomba wimbo ambao Mbosso aliuimba kwa kuombwa na Babu Tale kuhusiana na kumkaribisha mtoto mpya duniani. Nliupenda sana na humu siuoniii