Тёмный

Utambulisho wa Mbosso ndani ya WCB Wasafi - Mkubwa Fella afunguka mazito (Part 3) 

Mbosso
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 60 тыс.
50% 1

ENTERTAIN YOUR CALLERS:
SAFARICOM KENYA : SMS SKIZA 8542594 to 811
TIGO MUSIC TANZANIA :SMS LH to 15050
Mkusanyiko wa kile kilichotokea ndani ya Hyatt Regency kwenye hafla ya kutambulishwa kwa msanii Mbosso ndani ya WCB Wasafi
Mkubwa Fella azungumza mengi kuhusu wasanii aliowasimamia na kumshukuru sana Diamond Platnumz kuwa ni mfano wa kuigwa.

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 21   
@carolmuchiri9921
@carolmuchiri9921 4 года назад
Mola Kamtunuka KINGI Mbosso, Ndo mana Atazidi Kupaa 🙏🏾🤲👍👍❤️
@smwakaglobaltv4010
@smwakaglobaltv4010 5 лет назад
Aisee, mkubwa fella na bro 'mond, Mwenyezi Mungu Awajalie sana neema na muendelea kuwa na moyo wa upendo na huruma kwa vijana wengine wenye vipaj mbalimbali. Busara na hekima viwe msingi wa maendeleo kwenu. Like kama umependa.
@sophicatesalim9757
@sophicatesalim9757 5 лет назад
Ashavuka kwa uwezo wa mungu na baraka zote
@flyracetvkenya
@flyracetvkenya 2 года назад
Tanzania nyinyi ni watu wa maana katika Sanaa ya Africa
@chiefjembe6840
@chiefjembe6840 6 лет назад
sawa fella hongera we n m2 wakazi baba
@maggiechipepe6091
@maggiechipepe6091 5 лет назад
Jamani macho yangu ama wenzangu pia mnaona. ..huyo hapo nyuma ni mlinzi? Kuuliza tuu. .+254
@joysarah
@joysarah 2 года назад
😆😆😆
@sheymahabdulwahidkhalid6355
@sheymahabdulwahidkhalid6355 6 лет назад
utavuka tu Inshallah
@adolphhitler8536
@adolphhitler8536 6 лет назад
namkubali saaanaaaa bosoo noma duduuuubayaaaa moto
@hechkkenya9228
@hechkkenya9228 6 лет назад
support you bro
@Manshyne
@Manshyne 6 лет назад
Yan mi ndo wa kwanza ku view
@calvobabyking5257
@calvobabyking5257 4 года назад
Kazi poa
@DonKhalifa
@DonKhalifa 6 лет назад
hio collabo naingoja.
@hechkkenya9228
@hechkkenya9228 6 лет назад
Nko nawe
@lucaspaul6619
@lucaspaul6619 6 лет назад
Nice
@saidiselemani8393
@saidiselemani8393 5 лет назад
Mbosso good
@sheymahabdulwahidkhalid6355
@sheymahabdulwahidkhalid6355 6 лет назад
hilo nalo neno du wafanya tu
@bushjunior7035
@bushjunior7035 6 лет назад
Mbosooooooo!!! 👊👊👊👊👊
@yussumbishi2608
@yussumbishi2608 6 лет назад
Mbosso Mtu Mtata
@mgetazacharia1061
@mgetazacharia1061 6 лет назад
huyo nyuma ni mlinzi
@hechkkenya9228
@hechkkenya9228 6 лет назад
Nko nawe
Далее
Doors Harpy Hare (Doors 2 Animation)
00:16
Просмотров 702 тыс.
Life of Mbosso (Historia ya Maisha ya Mbosso)
14:28
Просмотров 4,3 млн
Utambulisho wa Mbosso ndani ya WCB Wasafi (Part 1)
8:27