Тёмный
No video :(

MBOWE AYAELEZA YOTE YA HALIMA MDEE NA WENZAKE KWA RAIS SAMIA 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 96 тыс.
50% 1

MBOWE AYAELEZA YOTE YA HALIMA MDEE NA WENZAKE KWA RAIS SAMIA
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 128   
@gabrielinterschool3539
@gabrielinterschool3539 Год назад
Mungu akutie Nguvu mama Samia Kwa kweli ni kiongozi Bora Sana ni mfano wa kuigwa
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 Год назад
Tanzania hatutapata rais mwenye roho yenye ustahimilivu kama Mama Samiah! 🤔. Hongera mama we ni mwanamke wa shoka 🙏🙏
@mihayoandrew
@mihayoandrew Год назад
Mama.mguu.akutaguliye.ulicho.kifaya.utalipwa
@vanessastafford6426
@vanessastafford6426 Год назад
Kama ndoto vile inchi imepata raisi. Nakubali sana Mama
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 Год назад
Kabisaa
@matumokimatumoki6424
@matumokimatumoki6424 Год назад
Kazi kumsingizia JPM tu kwa vile mnajua hawezi kuwajibu wala kuongea ila MUNGU yupo...
@MsAggie5
@MsAggie5 Год назад
Ndo hivyo hivyo hata aibu hawana
@jamesswai1683
@jamesswai1683 Год назад
Hongera Sana mwenyekiti..hujapepesa hata kidogo
@salwasalum6758
@salwasalum6758 Год назад
Aaaaa muombe radhiii unataka kumfananisha na yule dadaa
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Год назад
I said before and l love to see this between exelence president Samia sluu Hassan with the Freeman mbowe strong opposition in Tanzania call exelence president Samia sluu Hassan on chadema meeting it show Tanzania it has grown up democracy in in Tanzania that is what we are looking for
@boscomushi1010
@boscomushi1010 Год назад
Mama mamaa
@tumainikilembe1008
@tumainikilembe1008 Год назад
Aminaaa
@hildakasyatila8720
@hildakasyatila8720 Год назад
ninampongeza sana mama samia kwa hichi alichokifanya huyu ndio rais maana wote ni wakwake mungu akubariki mama samia
@saimonlyala
@saimonlyala Год назад
Mama samia wewe ni kamanda ongera sana
@maryhaule6448
@maryhaule6448 Год назад
Mama Samia hoyeee
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 Год назад
Samiya kwahili nakupongeza sanna hongera nimeanza kukuelewa
@isaackchambo2642
@isaackchambo2642 Год назад
Hakika itatuchukua miaka mingi sana kupata mwanasiasa km Mbowe.
@yussuphsaleh767
@yussuphsaleh767 Год назад
Ni kweli kabisa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
Siasa,,,sihasa!!!
@MsAggie5
@MsAggie5 Год назад
Hakuna mwanasiasa Tanzania wote njaa tu kashapewa hela hana lolote
@elishuaisaya4176
@elishuaisaya4176 Год назад
@@MsAggie5 ulikuwepo
@MsAggie5
@MsAggie5 Год назад
@@elishuaisaya4176 husomi magazeti wala mitandaoni huoni
@matumokimatumoki6424
@matumokimatumoki6424 Год назад
Ww mbowe mnafiki hakuna atakaewaamini tenaa labda wachaga wenzio na wakurya...
@MsAggie5
@MsAggie5 Год назад
Hahaha yamekuwa hayo tena 😂
@raphaelmchilo-kx4tt
@raphaelmchilo-kx4tt Год назад
Safisana mwenyekiti mbowe
@fredyswai
@fredyswai Год назад
Hao wabaki nao.tuliwapenda ila bunge likawapenda zaidi.hivyo basi kazi iendelee
@julianamushi3392
@julianamushi3392 Год назад
Sema kaka kodi zetu zipone
@crispinmugarula5851
@crispinmugarula5851 Год назад
Men this guy has guts sio mchezo.Yeyote anayejidanganya kwamba jamaa anaweza kulamba asali ni NONSENSE.Huyu jamaa ni the only statesman baada ya NYERERE.
@Bbwaoy
@Bbwaoy Год назад
Those are not guts. What he said was facts written constitution facts tafasiri ya mtu kua na guts, uwezo waku fanya jambo au kuzungumza jambo katika hali ambayo hakuna alie tegemea…
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
Hivi hata kama kalamba , atasema?
@crispinmugarula5851
@crispinmugarula5851 Год назад
@@Bbwaoy Sijui hata umesoma shule gani.Anyway you have the guts yourself to write senseless comments.RAIS mwenyewe amesema wanawake hawawezi bila wanaume halafu wewe unashangaa na unaropoka hapa.Nonsense
@MsAggie5
@MsAggie5 Год назад
Yaani umlinganishe Nyerere na Mbowe? Seriously?
@crispinmugarula5851
@crispinmugarula5851 Год назад
@@MsAggie5 Hujui kusoma?mnapenda kukurupuka.Nimemlinganisha na Nyerere au nimesema baada ya Nyerere.Nonsense
@anoldamkumba3208
@anoldamkumba3208 Год назад
huu mkutano wa siasa au siku ya mwanamke? mbowe mwanamke? inaonekana chadema hakuna wanawake wa kuongea.poleni sana mtamkumbuka halima mdee
@anenragnesmunis8490
@anenragnesmunis8490 Год назад
Sema kaka mbowe
@mcmi469
@mcmi469 Год назад
Mbowe ni snitch tu.. Mama ndie aliemuweka ndani, sasa kamtoa na kumpa asali na Sasahivi Yeye na mama ni kitu kimoja, sasa wanacheza na mindset za watanzania. Politics is shit💩..
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Год назад
Hiyo ndomaana ya siasa mchezo mchafu kikitokea kitu kaa pembeni utizame mwisho wake
@MsAggie5
@MsAggie5 Год назад
Wenye akili mnaelewa, hamna lolote billion mbili zimefanya kazi.
@mcmi469
@mcmi469 Год назад
@@m.mmarckus6298 waanga ni ndugu zetu, watanzania wenzetu ambao Bado macho Yao yanaendelea kufumbwa na majambazi Hawa wa kisiasa. Our job ni kupaza sauti Ili kuwaondoa wenzetu katika kushiriki na matapeli wa kisiasa.
@jimmysameji3602
@jimmysameji3602 Год назад
Hakika
@amedeusshirima6982
@amedeusshirima6982 Год назад
Safi sana
@matumokimatumoki6424
@matumokimatumoki6424 Год назад
Nyie mkubali tu hao wabunge ni nyinyi mliwapeleka wacheni unafki
@Rahulkhan-ce5cj
@Rahulkhan-ce5cj Год назад
Safi
@ramadhanimbulu4941
@ramadhanimbulu4941 Год назад
Anawakataa wabunge 19 halafu anachukua ruzuku inayotokana na wabunge hao hao wa chadema ambao waliwafukuza.Hapa Chadema wanachukua fedha kinyume na sheria.Kataa ruzuku Mbowe au asali tamu?
@chaulenzimalamla4277
@chaulenzimalamla4277 Год назад
Fedha huwa zinatolewa kwa kufuata idadi ya kura ulizopata za Uraisi
@ramadhanimbulu4941
@ramadhanimbulu4941 Год назад
@@chaulenzimalamla4277 kifupi alikataa ruzuku na alikataa matokeo ya uchaguzi waliouita uchafuzi haramu.pesa zimekuwa tamu.
@MsAggie5
@MsAggie5 Год назад
Njaa tu na sasa wame hongwa wote wana jikomba komba Kwa Mama, ama kweli kwenye umaskini hakuna demokrasi ilisemwa
@abiasifredrickdima3255
@abiasifredrickdima3255 Год назад
Kwani na Mbowe ni mwanamke au basi🤣🤣🤣🤣
@josephinegravasiano8860
@josephinegravasiano8860 Год назад
Hahahaha
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Год назад
Mwanamke
@MsAggie5
@MsAggie5 Год назад
😂
@abiasifredrickdima3255
@abiasifredrickdima3255 Год назад
@@MsAggie5 au basi bhana vina muda basiii 🤣🤣🤣
@salehrwigemagisa81
@salehrwigemagisa81 Год назад
Huyu jamaa ana busara sana!Natamani ningekuwa mtanzania kama Mbowe
@warrenmgode1837
@warrenmgode1837 Год назад
Hotuba nzuli
@Trappqueen970
@Trappqueen970 Год назад
😮😢
@selemansaidsaid-yy3ql
@selemansaidsaid-yy3ql Год назад
Safi mjomba
@shukurukoll7269
@shukurukoll7269 Год назад
Hakika umekomaa! Nchi yenye chuki huwa haifiki popote. Linalotokea huwa vurugu. Amani ni muhimu sana
@MsAggie5
@MsAggie5 Год назад
Ngoja tuone wakati WA kampeni kama hali itakuwa kama hivi ndo tutajua ukweli
@jimmysameji3602
@jimmysameji3602 Год назад
Naona sasa wapinzani wa CHADEMA ni wakina Halima Mdee na sio CCM tana
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 Год назад
Hiii ccm tulichemka
@hassannassoro5542
@hassannassoro5542 Год назад
Sema baba sema kamanda
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Год назад
Ana ukamanda gani Sasa huyu nyumbu mwenzio??
@kelvinfussi5210
@kelvinfussi5210 Год назад
@@ndogoroedson199 waliokuita ndogoro hawakukosea.
@wazarendotv7966
@wazarendotv7966 Год назад
Mbowe wewe ni msenge tuu unawivu sana waacha wamama wale posho bungeni hizo Kodi watu wanavyoiba mbona hausemi wale wanaingia kazini hauwezi SEMA Kodi zinaenda bure kupitia wale serikali inapata misaada unasemaje Kodi zinaenda bure acha wivu we mseng...
@nivahnehemiah5765
@nivahnehemiah5765 Год назад
Mmefeli kabisa
@danielmwakyoma4290
@danielmwakyoma4290 Год назад
Tatizo tunasimama katika uchama cio haki
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 Год назад
Shetani mkubwa we ulitakaje
@nivahnehemiah5765
@nivahnehemiah5765 Год назад
@@agustinohizza1395 huna akili.tafuta pesa acha kushangilia wanaume wenzako
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Год назад
Mmm.mbowe.ni.mwanamke
@wechemakambo2182
@wechemakambo2182 Год назад
Kiherehere sana
@boscomushi1010
@boscomushi1010 Год назад
Nani kama mama
@salimkingu2108
@salimkingu2108 Год назад
Hakuna
@MsAggie5
@MsAggie5 Год назад
Mungu kuliko Mama 🙏
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Год назад
Mbowe una Mambo ya Ajabu sa INGINE sasa hao wabunge 19 unashikia Msimamo wa kuwaengua ili iweje..? Hivi Rais anayo Say juu ya Bunge..? RAIS SAMIA UDUMU MILELE...
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Год назад
Politics is the game same times it take grassroots reality clouse to maindset of umanbeng saycologe if your not much understand politics it can take you Rong understand how politics it works but same times is just maindset saycologe
@wechemakambo2182
@wechemakambo2182 Год назад
Mind your language it's wrong and psychology
@franktangeki9342
@franktangeki9342 Год назад
kama wale wabunge wakiondolewa bungeni sababu ya mbowe kumfokea rais ndio nachokiona hapo mimi na familia hatutampigia kura mtu yoyote
@evanceamon9265
@evanceamon9265 Год назад
Hatutaki Kura Yako kwendra
@barakamanga5502
@barakamanga5502 Год назад
Kitendo hiki kinaniumiza saaana kama mtanzania, tunatukanwa na mataifa mengine
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Год назад
Wamewatumia na kuwalipa fedha zetu,uma tumewagharamia miaka yote mitatu kinyume cha katiba, sheria ya tume, sheria ya vyama,na sheria ya msajili,na sasa watawaondoa kupitia maridhiano, kabla ya 2024 tutasikia mahakama itaamua vinginevyo mara moja!
@MsAggie5
@MsAggie5 Год назад
Wakitoka mmmmmh sijui labda lakini usiumize kichwa chako sana kwenye umaskini hakuna demokrasi michezo tu wanatuchezea. Chadema washapewa mihela hapo wanataka kuwafurahisha mashabiki wao ambao senti moja hawapati
@johnfrankmputa9915
@johnfrankmputa9915 Год назад
Wafanyakazi wengi wa selikali waliachishwa kazi kwa sakata la vyeti fiki wengi wapo mtaani wanajishughulisha kupambana kutafuta liziki zao za kila siku Nchi hii inaongozwa kwa sheria hasa Katiba ambayo ndiyo sheria mama kikatiba Haki ya msingi kabisa ni ya kumsikiliza mtu tatizo lake hapa mmekiuka sheria ya vyama vingi
@philipmalach8407
@philipmalach8407 Год назад
kaka mbona unatugeuka kulikoni???
@luseshelomwangole2408
@luseshelomwangole2408 Год назад
Maigizo
@MsAggie5
@MsAggie5 Год назад
Sterling nani?
@agastprudence7639
@agastprudence7639 Год назад
Huyu ndo mwanamke wa suti
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 Год назад
Maridhiano yako wapi? Kwa nini yawe ya upande mmoja tu?
@philbertcelestin7057
@philbertcelestin7057 Год назад
Fafanua hoja yako
@barakamshiu7146
@barakamshiu7146 Год назад
wabunge wa covid 19 watolewe
@mbarouksalim1568
@mbarouksalim1568 Год назад
Heshima kwako
@kitulasamson
@kitulasamson Год назад
Nini mana ya kulipa pessa za walim wa sayans???? Wana nchi mashulen.
@untouchableenglishcentre1402
Haaaaaaa
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 Год назад
Trump hawezi kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa chama cha Democrat. Wala rais Joe Biden hawezi kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa chama cha Republican. Alichofanya huyo Bibi umbumbu na uzwazwa. Chama amachokiongoza kitamfia kifo mende.
@khelefomary4486
@khelefomary4486 Год назад
Lakin hawagombani. Sasa sisi tunataka amani tu
@MsAggie5
@MsAggie5 Год назад
​@@khelefomary4486kwani Amani ilikuwa haipo? Kuna vita vya wenyewe Kwa wenyewe wapi?
@hassanlimited8990
@hassanlimited8990 Год назад
Acha kudanganyaaa watu ruzuku kwa nn uchukueeee ...chamaa ni ccm
@MsAggie5
@MsAggie5 Год назад
Kwenye njaa hakuna demokrasi
@zuberikupaza1184
@zuberikupaza1184 Год назад
Acha kesi iendelee tujue ukweli, unataka samia aingilie mahakama ili tuendelee kuamini kwamba walijipeleka wenyewe bungeni!
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
Exactly!!!
@japhetlaizer3919
@japhetlaizer3919 Год назад
Ccm mmechemka poleni
@aswilasaif2455
@aswilasaif2455 Год назад
Unaropoka Hauna kitu wewe tuliya hapo ww huwezi kitu
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 Год назад
Hunaunacho kujua
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Год назад
Mnazidi kujichafua na kujivua nguo fyoooooo wanafoki wakubwa mnapenda raia tuteseke
@jaymandy8136
@jaymandy8136 Год назад
Toa hoja ya msingi na sio kutukana
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Год назад
@@jaymandy8136 zwazwa tusi liko wapi hapo walafi ninyi watetea mashoga
@jaymandy8136
@jaymandy8136 Год назад
@@florencemeza6540 zwazwa kubwa ni ww na uko wako mzima nyani ww
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Год назад
@@jaymandy8136 yote sema yamekuingia
@DARAJANI_TV
@DARAJANI_TV Год назад
Kazi hawana hao ugali wao umekwisha mwagika
@MsAggie5
@MsAggie5 Год назад
Wasipokuwa na kazi mtapataje hela nje? At least inaonekana bungeni kuna wabunge wapinzani, hata Mbowe analijua hilo anaongea tu kuwafurahisha wasio na ufahamu waone kama kweli ana uchungu nao
@DARAJANI_TV
@DARAJANI_TV Год назад
Mbona Kama umenijumisha as if Mimi ni mwanachadema kiuhalisia wale sio wabunge achana mbowe kuongea kama unavyosema ndio maama kasema tuachie mahakama maana kiso iko mahakamani jiulize kwanini sasa hivi mama nikama Yuko pamoja nawakina mbowe wale ndio watakao kuwa wanatoa makosa ya watu wake aliyowateua ukiwa naupinzani wabunge wako wa ccm wanakua macho hawalali naawafanyi ujinga maaana wanakua watasemwa naupinzani naakisemwa kazi yake inakua iko hatarini ndio maana mama anataka kuwa pamoja nao upinzani ulimsaidi kikwete kukaa madarakani Kama ulikua ujui
@merinachalinze6455
@merinachalinze6455 Год назад
Izo nichuki binafs kosa lao nini
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Год назад
Wewe kweli ziro brain. Hata ambaye ameishia Darasa la Pili anajua kuwa walikosea kisheria.
@seifathumanseif3681
@seifathumanseif3681 Год назад
Kinachonikera chadema ni hiyo zomea zomea hawajui kuwa aliyepo hapo ni mkuu wa nchi na haongozi chadema bali watanzania wote hata wale wasio na chama. Pia wanawake jasiri hawapo chadema tu.
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Год назад
Mbunge.wa.kuteuluwa.kwani.anayeukiwa.na.Chama? Wivu huo
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Год назад
Nalo hili dume jinga limejaa wivu mtupu! Sema roho za wajinga zinavuja damu pumbavu kabisa! Misukule inashangilia tu! Ikiambiwa Tulia inakaa kimya ndyo kanuni ya misukule
@simpsonisoe8994
@simpsonisoe8994 Год назад
How
@nurdinmkwachu28
@nurdinmkwachu28 Год назад
Mkutano wa wanawake waongeaji ni wanaume dah mungu mkubwa sana
@Bbwaoy
@Bbwaoy Год назад
Ndio maana pongezi za siku ya wanawake nyingi zina toka kwa Wanaume tuna taka kuutambua mchango wao katika kuzungumza
@crispinmugarula5851
@crispinmugarula5851 Год назад
Hilo ndo la msingi uliloliona?Mawazo mgando.Nonsense
@selinalawala2270
@selinalawala2270 Год назад
Mbowe wewe mwanasiasa mzalendo ktk hii.
@Bbwaoy
@Bbwaoy Год назад
@@crispinmugarula5851 Tuliza akili, huwezi ni elewa nilicho maanisha kama akili yako huja ituliza vizuri. Re-read my comment at least 3 times.
@alexnhunga2062
@alexnhunga2062 Год назад
Mhuuu 🤣🤣🤣🤣🤣
@merinachalinze6455
@merinachalinze6455 Год назад
Wasamewe wote nao binaadam
Далее
#JasonStatham being iconic
00:38
Просмотров 274 тыс.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 7 млн
Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1
35:15
Просмотров 467 тыс.
Mbowe azungumza mambo mazito mbele ya Rais Samia
25:20
#JasonStatham being iconic
00:38
Просмотров 274 тыс.