Mbunge wa jimbo la Buhigwe Kavejuru Felix amekuwa miongoni mwa wabunge waliopata nafasi ya kuchangia makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha 2023/24.
5 сен 2024