Тёмный

MBUNGE SHABIBY ATEMA CHECHE ''MIMI SIO MNAFIKI, SERIKALI INAINGIA KIGUGUMIZI'' 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 19 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 67   
@estermathias8354
@estermathias8354 Год назад
Shabb hajui kupindisha mambo salut kwake
@martinsamatajr7972
@martinsamatajr7972 Год назад
ujawai ongea pumba hata siku moja big up sana kiongozi hakika uiongelei gairo bali unaongelea wananchi wa Tanzania nzima
@mariammjelwa377
@mariammjelwa377 Год назад
Big up Shabiby
@Keezy-tz
@Keezy-tz Год назад
Millardayo good job
@johnmanyema6008
@johnmanyema6008 Год назад
Nakukubari sana mubunge wa gairo
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics Год назад
Tanzaniaaaaaaa Tanzaniaaa nakupenda kwa moyo woteee NCHI yangu tanzaniaaaaaaa jina lako ni tamu sanaaaaa nilalaapooooo nakuotaaaaa weeeeeeweeeeeeeee niamkapo ni KHERI mamama weeeeeee mwingine aendeleee verse ya pili mwingine aingizie korasi mwingine atafute location ya video mwingine awe director wa video mwingine awe produces
@Hasnspop
@Hasnspop Год назад
😂😂😂😂😂😅
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Год назад
Na uwamkapo unaiwaza tz 😂😂😂😂
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 Год назад
Tanzania Tanzaniaaaa ninapokwenda safarini kutazama maajabu biashara nayo makaziiiii !!!! Haya na wewe ulnaesoma hii sms endeleza hapoooooo!!!
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics Год назад
Bado ajapatikana director na produce na mwingine atafute location hila dada rose muhando nakupa kazi ya kutafuta location ya video 📷📸 yetu 🤣🤣🤣🤣✍️✍️✍️
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics Год назад
@@rosemuhandoofficial5676 dada rose muhando nakupa kazi ya kutafuta location ya video 📷📸 yetu 🤣🤣🤣
@efraim1424
@efraim1424 Год назад
Unafaa kua rais boss Mungu akutunze
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb Год назад
Shabib ni kati ya matajiri wachache wenye hofu ya Mungu
@kenosman4780
@kenosman4780 Год назад
JPM bwana alkua MTU sana.😢😢😢 Kuna mawaziri wa mchongo sn ..bwana matozo hamna jambo pale
@yusuphyusuph7566
@yusuphyusuph7566 Год назад
Ajali nyingi tatizo barabara nyembamba kupanda milima nakushuka milima barabara mbovu. Sana
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Год назад
Shabiby unaongea vizuri sana hoja zako, Ila unapotuambia miradi mikbwa ya awamu ya kwanza serikali ilikopa, tunamashaka na kauli yako maana alipokua hai chuma mwenyewe hamkuwai kuongea hizo kauli.🤔🤔 nafikili mnatuzuga ili tuwaelewe uongo weu wa kuliingiza Taifa ktk madeni makubwa. R.I.P JPM😭😭
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Год назад
sio awamu ya kwanza awamu ya tano
@johnkamwendo3867
@johnkamwendo3867 Год назад
Kweli kabisa, anatuzuga tu. Walikuwa kimya pale, mwamba alipokuwa anasema tunajenga kutokana na fedha zetu za ndani!!
@twaibuiddy6851
@twaibuiddy6851 Год назад
Unasahau km ilikuwa ukimchallange tu anakutumbua?
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 Год назад
Big up Shabiby 🔥🎉
@thedickisonilinusi
@thedickisonilinusi 8 месяцев назад
Nahamia gairo kiongozi ukovzr hupindishi🎉🎉🎉
@ikulunimahalipatakatifu7642
Siku zote napanda Basi za shabiby kwa sababu ni tajiri asiye mbinafsi anawapigania wananchi .. uzalendo mtu anazaliwa nao..
@renatuswilson1577
@renatuswilson1577 Год назад
Ningekuwa mkuu huyu jamaa nimgempa Uwaziri au waziri mkuu kabisa
@godisonndyamukama5930
@godisonndyamukama5930 Год назад
Shabib ameanza kumuelewa Gwajima sasa
@babafemie4576
@babafemie4576 Год назад
I love my country i ashamed of my government.
@laprincevonkingpin2538
@laprincevonkingpin2538 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣TATIZO HATUNA MIPANGO YA MUDA MREFU😅😅😅 KAZI KWELI KWELI,, KICHWA CHA MWENDAWAZIMU😆😆😆
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 Год назад
Ila kweli mbona rais mama Samia hebu tufanyie hili weka bandar kavu Moro kupunguza folen
@tatujamadary8028
@tatujamadary8028 Год назад
Je barabara za dsm mbagala na kuna zingine hamna kitu watu wanashida
@juliuskitomari3057
@juliuskitomari3057 Год назад
Hii nchi ina watu wenye dharau sana,hata tuongee vipi wala hata hawatoshiki,wala hata hawaogopi kabisa. Hao watu hawana uchungu na wananchi hata kidogo,wamekinai kabisa,wanawadharau wananchi sana!
@Nedjadist
@Nedjadist Год назад
Huyu Mwigulu hajui maana ya taarifa? Taarifa si statement.
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Год назад
Halafu shabby nilikuwa nakuheshimu ila biashara za kuhamasisha vibaka wakope pesa naunajuwa vizuri hata wakikopa hawajengi chochote bhana kazi nikusafili tuu kutafuta wanaume na kujenga zanziba acha a napenda za mkopo hawazifanyii kitu bhana
@anwaryabdallah7782
@anwaryabdallah7782 Год назад
Yaani Shabiby hutakiwi kuwa mbunge kbsa,Yaani kutokana namaono uliyokuwanayo kwataifa hili watakiwa uweRais kbsa
@dee_star3413
@dee_star3413 Год назад
Huyu ndio rahisi nimtazamiae kila nikilala naota.....
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Год назад
Binge zima mbunge ni shabby luaga mpina KUNTI majala waliobakia wengi ni mataira kama mwigulu nchemba
@sophiapeter7843
@sophiapeter7843 Год назад
Ndo maana tajiri,akili nyingi sana
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Год назад
Walaji wengi co kama awajui awaangalii kizazi kijacho
@lanezboy7016
@lanezboy7016 Год назад
Kwanza viongoz wa mwaka huu hawana mvuto
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 Год назад
Si walipitishwa tuu hawakupewa kura na wananchi ni wachache sana walipewa kura sasa nchi imekuwa ya giza umeme imekuwa balaa na huko mlima nyoka km kuna ajali kila ck si mbadilishe hilo jina? Ni la mapepo pia nchi hii ina vitu vingi vinaenda tofauti kabisa pia viongonzi wengi hawafanyi kazi walinzopewa na rais pia kuna wabunge wako bungeni hatujasikia wakiongea chochote sasa wamefuata nini? Ndiyo shida ya kupitishwa haya mahindi yamekuwa juu sana tumeshindwa kufanya biashara mahindi yanakujakununuliwa na wakenya kwa bei kubwa sana watanzania tunabaki tunatesela gunia la mahindi kwa sasa kilo ni 1200 ni hayaonekani zuieni yasitoke tutakufa na njaa
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 Год назад
Ila habari ya road toll miaka ya nyuma tulikua tunalipa mkahamishia kwenye mafuta ya gari
@gawenemgulwa3971
@gawenemgulwa3971 Год назад
Kopa lakini tuone kazi
@Keezy-tz
@Keezy-tz Год назад
Aya sasa utani bungen
@estherrasoa470
@estherrasoa470 Год назад
Nchi inaendeshwa maono sio porojo za maneno na kulipana posho kufisi nchi na kuingia mikataba ya kuwauza watanzani utumwani mnakopa Hela mafisadi wanaweka mfukoni.
@JIWEtv6484
@JIWEtv6484 Год назад
Tatizo mnawapa wakandarasi wachina Wana Jenga vitu chini ya viwango ambapo hii inasababishwa na corruption mjaribu kufatilia. Barbara hazifiki design life span yake.
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 Год назад
Huyu Ni msafirishaji. Anachotetea Ni barabara tu kwa ajili ya mabasi yake tu. Hawezi kupenda treni hata kidogo.
@josephrutta6834
@josephrutta6834 Год назад
ACHA CHUKI BINAFSI, KAONGEA VITU VYA MSINGI SANA.
@mkude
@mkude Год назад
Wewe itabidi ujitasmini, wewe umesikia bara bara tu,hujasikia na njia za reli alivyotetea? Au na treni pia atakuwa anamiliki yeye.
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 Год назад
Kwa hiyo asitetee kwa sababu ni mfanyibiashara??
@zanzibakongwa4255
@zanzibakongwa4255 Год назад
je hizo treni zinaleta mizigo mpaka vijijini? barabara ni mhimu sana pamoja na bandari kavu
@mkude
@mkude Год назад
@@zanzibakongwa4255 nani kakuambia bara bara sio muhimu,tunawatu wa ajabu sanaaa nchi hii
@omaryteddy535
@omaryteddy535 Год назад
Good good 👍🏾
@moodyramadhan336
@moodyramadhan336 Год назад
Popote ulipo father ujue 2nakupenda
@gabrielmabigi5639
@gabrielmabigi5639 Год назад
🏃🏃🏃
@lanezboy7016
@lanezboy7016 Год назад
Hapa hamna mtu n mav mav tuu limekazania kukopa tuu
@zanzibakongwa4255
@zanzibakongwa4255 Год назад
wewe ndiye hamna kitu sasa ninani alikuwa hakopi?
@selemansalum
@selemansalum Год назад
Kapiga sarakasi kisha kapewa kilomita 20 tu 🤣😂😂😂😂😂😂😂qudadeqqqq lol
@drmussa1220
@drmussa1220 Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Q8pjtadqt9I.html TABIA YA MTU ALIYE ZALIWA MWEZI WA KUMI NA MBILI *# ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Q8pjtadqt9I.html
@fahminasser3855
@fahminasser3855 Год назад
Mipango ya muda mrefu haifai lazima iwe ya muda mfupi ili waibe wanenepe raia tupo tuongezeeni tu maatozo wajinga wenu tupo tutalipa mpaka tozo za kwenda kulala na wake zetu
@petermarwa7818
@petermarwa7818 Год назад
Nikweli wananchi tunaamini hivo magufuli hakukopa kama mnavyosema kwa kusaka vyeo awamu hii ya wapigaji, awamu hii ya sita ya kukojoa na kugawana fedha hatuoni miradi mpya ikianzishwa alioiacha hayati magufuli wanafiki wakubwa nyie walamba asali
@kadaskarim5081
@kadaskarim5081 Год назад
Kwel kabsa hii serkal ni wez watupouu makamba na mwingul mung anawaona
@zanzibakongwa4255
@zanzibakongwa4255 Год назад
kwa akili yako ni mradi gani wa hayati alianzisha na ukakamilika kwenye uongozi wake? je unataka waanzishe mirad mipya nahuku yazamani yaijakamilika
@drmussa1220
@drmussa1220 Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Q8pjtadqt9I.html TABIA YA MTU ALIYE ZALIWA MWEZI WA KUMI NA MBILI *# ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Q8pjtadqt9I.html
@tinahtainah8742
@tinahtainah8742 Год назад
Kjjj
Далее
Китайка и Красивые Глаза😂😆
00:20
новое испытание
00:40
Просмотров 112 тыс.