Тёмный

"MBUTWAI" Movie sehem ya kwanza" Starling Tinwhite Ringo Olanda 

WHITE FILMS
Подписаться 224 тыс.
Просмотров 97 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 144   
@richadifabiani1531
@richadifabiani1531 2 года назад
We elewa mi ni yatima 🤣🤣 Ringo mmbwge sana,, tulio fulahi kumuona tin na ringo wakiwa pamoja gonga like hapa
@djkangazoh2195
@djkangazoh2195 2 года назад
Ringo ukiongea na sauti yako ya kawaida ndo iko sawa lakini ukibadilisha hako sawa
@Charmase23
@Charmase23 2 года назад
Combination ya mda wote😍😍 nawapenda sana
@suzzyfredrick1874
@suzzyfredrick1874 2 года назад
Ringo sauti yako ni mbaya sanaa si uongee kawaida mmmfyuu
@mwalimumlaula6167
@mwalimumlaula6167 2 года назад
Hii sauti iko sawa Wadau,ukiwa mwandishi wa script au muelekezi utaelewa tu taswira ya muigizaji anaitajika kuwa vp kuanzia mavazi,muoenekano wa mawimbi ya sura na uongeaji wake pia .
@yama_virginhairthequeen1065
@yama_virginhairthequeen1065 2 года назад
Na hapo kweli anatakuwa kuwa zuzu na ktk uhalisia Kuna binadamu wa hivi kweli so nikuwa na uelewa tu ni anavyotakiwa kuwa
@jemimajerome3971
@jemimajerome3971 2 года назад
Ahh sas nimeelewa
@dorcasresiato8929
@dorcasresiato8929 2 года назад
Ringo si uongee vizuri, ivyo unavyo ongea haibambii
@babanahbabanah4004
@babanahbabanah4004 2 года назад
Tin na Ringo hatar sana hii imekaa sawa sana mnachekesha sana
@obedymwilenga7490
@obedymwilenga7490 2 года назад
From tunduma washabiki wenu tunainjoi sana
@jmm1840
@jmm1840 2 года назад
Tatizo White muoga hajawahi kwenda kwenye ugomvi akafanya kweli😂😂.
@prosperswai490
@prosperswai490 2 года назад
Ringo nae hanafeligi hapo tu mbn kawaida inakuwa bomba zaidi
@officialsdominikecomedy664
@officialsdominikecomedy664 2 года назад
Nyinyi ringo na tin white munafurahisha sana naomba muedeleye naomba mu anze movie zenu Nyinyi wawili bana mupendane
@kennedyessau5169
@kennedyessau5169 2 года назад
Nawakubali sana japo kuna mwamba mmoja hayupo mkojani
@tynerpetty8782
@tynerpetty8782 2 года назад
Ringo ukiongea kawaida ndo inakua nzuri, hiyo style yako ya kuongea hapo sio nzuri hata.
@dorcasresiato8929
@dorcasresiato8929 2 года назад
Inakwaza😂
@zeinabluwali7830
@zeinabluwali7830 2 года назад
Afadhali umeongea
@yusrashabani2983
@yusrashabani2983 2 года назад
Hata mimi nilitaka niandike hivyo kwa kweli akiongea hivo inabowa😂
@faizalmombaofficial8229
@faizalmombaofficial8229 2 года назад
Também não gosto nem tão pouco!
@mariolucasatanasio5903
@mariolucasatanasio5903 2 года назад
Ringo badilisha iyo staili please sio nzuri
@KoreanDramaMoviesKiswahili
@KoreanDramaMoviesKiswahili 2 года назад
🔥❤️🔥
@junkloketo9485
@junkloketo9485 2 года назад
Hii poa saan,,,kipindi mlitengana sikuwa happy ila sasa niko happy na mkojani arudi kundini itazidi kuwa poa sana
@alverztv6272
@alverztv6272 2 года назад
Nipo ndani kama kawaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@maasaimkisii9089
@maasaimkisii9089 2 года назад
Baba the 5th
@stevensalum5312
@stevensalum5312 2 года назад
Ringo bro tumia sauti yako yakasaida itakua pow sanaa
@Tanzee301
@Tanzee301 2 года назад
Akuna kusimama kaka wite
@sandekadzomba4747
@sandekadzomba4747 2 года назад
Aiii tin na ringo akh u made my day
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 2 года назад
Sasa huyu ringo mkikutana nae ndio ukamilifu wa kazi nzuri
@phibmasele9916
@phibmasele9916 2 года назад
dahhh insta imenifelisha kua wa kwanza lakin cy mbaya
@enoshmhemakapaya
@enoshmhemakapaya 2 года назад
Hapo sawaaaaaa Ringo ndani
@wilsonvicent9514
@wilsonvicent9514 2 года назад
Ringo sauti yako ya kawaida ndio nzuri
@donzplvg2164
@donzplvg2164 2 года назад
Mmetisha wakulungwa
@vicentgwijuma5149
@vicentgwijuma5149 2 года назад
Wa kwanzaah
@rabiamwambe8215
@rabiamwambe8215 2 года назад
Ringo ukiongea kawaida ndo inapendeza zaidi
@mhehejrtv9637
@mhehejrtv9637 2 года назад
First
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 2 года назад
Dah!!!! Nimecheka kinoma 😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@victormbwilo2488
@victormbwilo2488 2 года назад
Iyo saut ya Ringo ata aija tunogea ni vyema uongee kawaida itakua poa sana
@mrishojordan6285
@mrishojordan6285 2 года назад
Kubari sana mabroo
@harrisonhamisi9971
@harrisonhamisi9971 2 года назад
Tuko pamoja lakini mbona mnakaa waoga hivi mtaweza
@suleymanhafidh6809
@suleymanhafidh6809 2 года назад
Nakubali kaz zenu big up sana
@enockmwilongo5771
@enockmwilongo5771 2 года назад
Ringo humu ndani katuzingua kiukwel kabis hakuna uhalisia wowote
@mukebiidiramazani3102
@mukebiidiramazani3102 2 года назад
Ringo Bana ongeya kawaida aisee unatunyima saha kbxa daaah!!!
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 2 года назад
Ringo ukitumia hio sauti ya kujikaza uwa unaboo, ni bora utumie sauti yako ya kawaida
@omaryteddy62
@omaryteddy62 2 года назад
Good good 👍
@mariolucasatanasio5903
@mariolucasatanasio5903 2 года назад
Ringo fanya mpango wa kubadilisha iyo sauti
@husseinmohamed9583
@husseinmohamed9583 2 года назад
Nice one
@theohassan6534
@theohassan6534 2 года назад
Daaaah nimechekaa sana Ringo anataka kulia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤸🏾‍♂️🤸🏾‍♂️🤸🏾‍♂️🤸🏾‍♂️
@Abdulhamid_Suleiman
@Abdulhamid_Suleiman 2 года назад
Ringo ni Bora uongee kwa sauti yako ya kawaida ina sound good sana kuliko hivi ila all in all movie ipo vzr
@fzlcomrajabu9514
@fzlcomrajabu9514 2 года назад
Shout out to white and ringo 💥💥💥💯
@bettyojiambo8660
@bettyojiambo8660 2 года назад
Hiyo ndio ubaya wa kuva kiatu ambacho kinakushinda Kila wakati tafuta kiwango chako
@key.one_tz2767
@key.one_tz2767 2 года назад
Ringo akiaongea ivo anaboah sana ongea kawaida bhana
@godfreysangawe5489
@godfreysangawe5489 2 года назад
Duhh...nyie jamaa mmeamua kwl safar hii
@jonathanmgimwa9731
@jonathanmgimwa9731 Год назад
Ahahaha😂😂😂tishaaaa sanaaa
@OdiNReax
@OdiNReax 2 года назад
Ringo poa sanaa
@user-fg4pm9nn1o
@user-fg4pm9nn1o 2 года назад
Nimecheka sana 😃😃😃
@qboyclassicclassic2108
@qboyclassicclassic2108 2 года назад
Martin ww ni masta wa kudanganya
@donaldvanjoseph8153
@donaldvanjoseph8153 2 года назад
Sas mkiwa iv inakuwa powa sana tuleeteni aladini season ya nne
@barbanzahs9444
@barbanzahs9444 2 года назад
Nimependa from to Moçambique
@hamso69
@hamso69 2 года назад
We tin white na hiyo kofia yko bana wanimaliza😂
@neemaruhembe6360
@neemaruhembe6360 10 месяцев назад
Bora aongee sauti yake hiyo anaharibu
@falidamwasenga6398
@falidamwasenga6398 2 года назад
Ringo tulikumisi ilasauti hiyo hapana
@evasylvester7897
@evasylvester7897 2 года назад
Hamjawah kuniangusha💕
@kennedyessau5169
@kennedyessau5169 2 года назад
Nimeanza kufuatilia movies zenu toka enzi za utani
@francethomas8059
@francethomas8059 2 года назад
Yani awa watu wakiwa pamoja ni atali bongo ling tin
@orestetomas5678
@orestetomas5678 2 года назад
Nawapeda sana
@hamzajafari4133
@hamzajafari4133 2 года назад
Bora mdogo mtu kamchana akili kumkichwa sas
@gezaulole7501
@gezaulole7501 2 года назад
Queen mzr
@saunyimaaru3133
@saunyimaaru3133 2 года назад
Kazin Safi sana
@purityneema218
@purityneema218 2 года назад
Ringo apana bana sauti gani hio
@magarama8princekey953
@magarama8princekey953 2 года назад
Cool
@masoudhamad635
@masoudhamad635 2 года назад
Ongea kawaida kk ucigize sauti unaharibu
@holylostborn
@holylostborn 2 года назад
I love ❤️ it 🔥🔥
@charlespetro5676
@charlespetro5676 2 года назад
Good all participants
@agnesmakoa7872
@agnesmakoa7872 2 года назад
Hii sauti ya lingo iko poa tyu tena imependeza kutokana na huusika wake msiwe mnaklemishaa
@daproomdangu5953
@daproomdangu5953 2 года назад
sauti hilo ya Ringo ndo nzuri aisee
@bintihassan6534
@bintihassan6534 2 года назад
Tin white uwo mtandio mbn unakusumbua ivo🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ringo bora ungeongea kawaida tuh ili jipicha lipendeze zaidi🤤
@adaumujumbe5025
@adaumujumbe5025 2 года назад
Ringo ongea sauti ya kawaida hiyo haipendenz ht kidog
@crazy3462
@crazy3462 2 года назад
Ringo ukiongea ivyoo unogi br ongea kawaida
@ashashafy2424
@ashashafy2424 2 года назад
C ndo kacheza km mwanamme bwege kwaiyo ata lafdhi yake ya kibwege bwege
@richadifabiani1531
@richadifabiani1531 2 года назад
@@ashashafy2424 we unaelewa sana ndugu🙏,,,! Kacheza na nafasi yake ,,
@richardkennedy7516
@richardkennedy7516 2 года назад
Ad nimeacha kuangali sauti ya Ringo inaboa bhana many marekebisho
@kilengagasper3924
@kilengagasper3924 2 года назад
Nice
@elvismbogo9755
@elvismbogo9755 2 года назад
pamoja sn bro
@boniphacemarwa8806
@boniphacemarwa8806 2 года назад
Haipingwi
@maasaimkisii9089
@maasaimkisii9089 2 года назад
*KENYA TUNAWAPENDA* 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@shedracknzota9818
@shedracknzota9818 2 года назад
Kitu
@sungwevalentin743
@sungwevalentin743 2 года назад
Ringo unaboa na hiyo sauti igiza na sauti yako ya kawaida uaaribu movie
@latthuhassan9848
@latthuhassan9848 2 года назад
mzigo Kwanza iixhe jaman
@gaudencerayner5970
@gaudencerayner5970 2 года назад
Hii style ya ringo ya kuongea haivutii kwakweli
@prosperswai490
@prosperswai490 2 года назад
Tin hujawai niangusha
@mateomkondya3302
@mateomkondya3302 2 года назад
Ase tin una wauasana douyo jama una mmdu
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 2 года назад
😀😀😀ringo jamani
@obedymwilenga7490
@obedymwilenga7490 2 года назад
Lini sasa inaendelea
@lucaspetromassawe2282
@lucaspetromassawe2282 2 года назад
Good adia
@boniphacemarwa8806
@boniphacemarwa8806 2 года назад
💥💥
@nasrikilapo5945
@nasrikilapo5945 2 года назад
Lingo saut Aja kosea kulingan namuvi yenyewe ilivyo kaendan nayo ivyondo navyo takiwa kuchez Kam mboyoyo
@geraldnicodemas8695
@geraldnicodemas8695 2 года назад
Like this maniga mmae
@johnsoka2140
@johnsoka2140 2 года назад
Ringo we nimkali lkn hii sauti unayo itumia haiko sawa ongea orignal yako ndo iko powa
@suleymaniabdallah4446
@suleymaniabdallah4446 2 года назад
Movie nzuri
@johnsoka2140
@johnsoka2140 2 года назад
Sauti ya ringo yaleo kafanya muvikawa mbaya
@purityneema218
@purityneema218 2 года назад
Niya 🔥🔥🔥
@rovinrojaz8013
@rovinrojaz8013 2 года назад
Weweeee🔥🔥🔥🔥
@Papaambowa
@Papaambowa 2 года назад
Shukrani
@mutungambiti2387
@mutungambiti2387 2 года назад
Ringo umearibu na iih sauti haifutii ata ..,
@donzplvg2164
@donzplvg2164 2 года назад
Itabidii muendelezeee ulee utaniii
@muftisuweidkhamis4547
@muftisuweidkhamis4547 2 года назад
Ongea kawaida
@jumakandy2075
@jumakandy2075 2 года назад
Classic movie Ringo na tinwhte nyinyi ni wakali kinoma
@Kabeya410
@Kabeya410 2 года назад
🤣 🤣 Tin white ushakua mndengestan
@mwasa_tv
@mwasa_tv 2 года назад
ringo tumia sauti ya kawaida tu
@gracegama3486
@gracegama3486 Год назад
Ringo ndo unaharbu hapo tu kwenye hlo lisaut
Далее
UMEBAKWA? MKOJANI/ NAGWA /KILANGASO
18:21
Просмотров 908 тыс.
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 164 тыс.
ZUWENA Full Movie
1:05:10
Просмотров 40 тыс.
PENZI LA BABA EPSODE 1 FULL EPSODE
16:23
Просмотров 900
UTACHEKA!  RINGO NA TIN WHITE WAMEYATIMBA
10:46
Просмотров 368 тыс.
MAOKOTO - SEHEMU YA KWANZA | STARLING MKOJANI
17:09
Просмотров 261 тыс.
Tin white na Ringo,, Baharia full movie HD
1:20:15
Просмотров 49 тыс.
KIZUNGUMTI Short films
24:09
Просмотров 26 тыс.
Mkojani Na Mau Nan Zaidi
8:23
Просмотров 114 тыс.