Km we mpk Sasa japo Al haji Mzee Majuto kashakufa Ila Kuna Mkojani anajitahid Sana kufua nyayo zake na umegundua Hilo maana mpk vichekesho,kejer,kebei mpk msuli anaovaa pass n Mzee Majuto😀😀😀tunapata alternative way hii.japo solution Alikuwa Mzee Majuto mwenyewe.GONGA LIKE twenzetu kuview nyingne zaidi 🤝🤝
Eeehhhhh ❤❤❤mombasa 💙basi weye mkenya wetu mbona kama umetaja mkoa wote humu kwetu ? 😀❤ Njoo kenya from today you are one of us 💖Mombasa , Kisauni karibu mkojani 💕💕💫💫
🤣🤣🤣🤣🤣mkojani heee taimingi za hivyo,kweli Wewe siyo pacha wa nangwa.🤣🤣🤣🤣🤣subiri atoke jela atakufanyiya baridi barafu🤣🤣🤣🤣cheko lako uwa linanichekesha ile mbaya.