Kwa kweli hata wazungu Matajiri wanakula kwa mahesabu mno ili wasizidishe Karolis mwilini,ila tunaovipata kwa shida ndo tunataka vingi saana kupita kiasi
Ukweli Mwanadamu ni kiumbe mbinafsi sana. Yaani hata mkipiga picha ya pamoja, cha kwanza ni kujiangalia mwenyewe kama upo na ndo uwaangalie wenzako.....
Mgogo barikiwa sana Mungu awe pamoja na wewe unahubiri ukweli mtupu huna upendeleo wa kumlea mtu hawa ndo wahubiri wanaotakiwa mbele za Mungu ni kuomba na kusali ili kupambana na majaribu mda wote Mungu Mkuu
Pastor Daniel i love your teaching very much even I don't understand very much swahili but the little i understand it bless me much.ilove you and i pray for you. God bless you.
@@solomonnyaholoti4340 Mimi sijuwi ndio nini wala sitaki kujuwa ndio nini lakini dua ninayomuomba Mungu kila wakati ni kunifisha (kufa) nikiwa Muislamu. Ni hasara kubwa kufa na Imani isiyokuwa ya Kiislam.
unajenga sana si tu kiimani kimaisha kiakili. unasaidia sana tuwezi kuishi kwakychukuliana ukushaelewa mafundisho hakitakusumbua chochote ukikutana nacho
I know Im asking randomly but does someone know a method to log back into an Instagram account..? I somehow lost my account password. I appreciate any help you can offer me!