Тёмный

MCH NDACHA AMJIBU USTADHI SHAFII KUHUSU VITABU VYA KUOKOTEZA KWENYE MIDAHALO, AMUOMBA UWANJANI 

SIMULIZI ZONE
Подписаться 220 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

TULIPATA WASAHA WA KUONGEA NA MCHUNGAJI NDACHA NA HAYA YALIKUWA MAJIBU YAKE KWA USTADHI SHAFII KUHUSU KUTUMIA VITABU VYA KUOKOTEZA KWENYE MIDAHALO

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 219   
@AntonyManeno
@AntonyManeno 2 месяца назад
Ndacha Mbane Kabisa Mfinye Kisawasawa Paka Atoke Zee Hadarani❤Shafi Awache Kuji Ficha. Mimi Napenda Sana Dunia Ijue Ukweli Uko Wapi❤❤❤
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 2 месяца назад
Amina,amina,amina,
@solihanegier890
@solihanegier890 2 месяца назад
Weee ndacha acha kufuru mwenyezi mungu siku atayokuhitaji utajuwa kua shekh shafii mkweli au ww tatizo ww ni Kuni ya mtoni
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 2 месяца назад
Ndacha mungu akubariki sana umefanya tunawashinda waislamu wameanza kuingiza baridi,wakristo tumeanza kua mbele,mungu akulinde na akupe maisha marefu na guvu ya elimu na afia tumalize uwislamu huu,
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 2 месяца назад
Mungu kashasema atakilinda kitabu chake na atailinda dini yake
@hamisimwagarashi9501
@hamisimwagarashi9501 2 месяца назад
@@JohnOuya-w7j kuumaliza uislamu ndilo lengo Lake shetani lakini shetani hawezi mshinda MUNGU alo muumba hata siku moja. Nikiwa na maana Dini ya uislamu ni Dini alo tuchagulia MUNGU hakuna wakuushusha uislamu.
@johnosoro6033
@johnosoro6033 2 месяца назад
Ndacha injili ya mungu iendelee mbele ktk jna la Yesu shafii ni Mwoga hkuna kitu anajua Quran Muhammad aliyesomea Mjini na kusilimisha Shetani hkuna kurudi nyuma mpaka Kieleweka maneno yao hasikutishe ss ni Yesu Kristo basi
@marrygicho4050
@marrygicho4050 2 месяца назад
Huyu kijana mwandishi namkubari pia kwa mpangilio wa maswari yake 'utaeda mbali MUNGU akutangulie. Ubarikiwe pia mtumishi Ndacha kwa mikakati hii ya kutufudisha maadiko ubarìkiwe sana MUNGU akutangulie.
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 2 месяца назад
Ndacha akosawa hakika roho ya Mungu ikubariki
@RahmaIddi-s2s
@RahmaIddi-s2s 2 месяца назад
Mungu akuongoe kabla ya umaut ,,,, uislam Ni Dini ya khaki ,,,, Mungu hajaandika kitabu kinaitwa bibiliya
@moshantoj
@moshantoj 2 месяца назад
Mungu hajaandika kitabu kinaitwa biblia biblia ni nini na wapi andiko mungu hajakiandika wewe mtoto wa muta? Kama siyo adui wa jibril aliyeshusha quran toa andiko mungu aliandika.
@sospetermatonya5133
@sospetermatonya5133 2 месяца назад
Sasa Mungu kaandika kitabu gani
@maulidimuhani
@maulidimuhani 2 месяца назад
pongezi kubwa sana ni Kwa Ndugu mtangazaji upo vizuri sana.
@LuisFaustinoLuis
@LuisFaustinoLuis 2 месяца назад
Ndacha mungu akubaliki sana amina
@danielkamau2987
@danielkamau2987 2 месяца назад
Ndacha wasomeshe.. na uwafungue macho
@franciscomtambakuluca2830
@franciscomtambakuluca2830 2 месяца назад
Ndacha mualimo wa Kweli
@joezeno8
@joezeno8 2 месяца назад
Mtangazaji uko vizuri 💯🔥👍🏿
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 2 месяца назад
Ufanyikie mwanza itakua vizuri
@JanethAnton-fx1mk
@JanethAnton-fx1mk 2 месяца назад
Nimependa aana Ndacha shaffi anongea sana
@joshuajohn2668
@joshuajohn2668 2 месяца назад
Shafii akuna Mwalimu pale anatafuta umaarufu
@DesderiusHaule
@DesderiusHaule 2 месяца назад
Ustadh shaffi usikubali kuwa na mhadhara na pastor Ndacha kwasababu utaudhalilisha uislamu kwa maswali utakayo shindwa kuyajibu.
@Saidfadhil-o3o
@Saidfadhil-o3o 2 месяца назад
Hakuna muislamu anaepinga au kuona tusi kwa kurogwa mtume
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 2 месяца назад
Shafii awezi kushindana na wewe lazima atalala mitini huyo
@favoritebrayo
@favoritebrayo 2 месяца назад
shafii yani ni mtoto sana ata mimi haniwezi
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 2 месяца назад
Kabsaaa
@Saidfadhil-o3o
@Saidfadhil-o3o 2 месяца назад
@favorite Shafii kweli hakuwezi kwa upotovu na ujinga
@JUMAKANYEBWE-hy7ge
@JUMAKANYEBWE-hy7ge 2 месяца назад
Kwa ubishi uko swa
@favoritebrayo
@favoritebrayo 2 месяца назад
@@JUMAKANYEBWE-hy7ge hakuna muislam anajua MUNGU allah si mungu ndugu zangu endeni mtubu kwanza kwa kumwabudu shetani ibilisi na malaika zake majini
@favoritebrayo
@favoritebrayo 2 месяца назад
@@Saidfadhil-o3o babako ndio mjinga
@kimanimuikamba4714
@kimanimuikamba4714 2 месяца назад
Hivii akina juma kinyogoli waliingia baridi kabisa
@user-to8on2pj9x
@user-to8on2pj9x 2 месяца назад
Waambie kweli wape kweli ya mungu ya juu hakun mtu anae yajua maandiko dunian wazungu wanashindwa kujibu wewe unaweza sule kakushindw kuusu uungu mazinge kakushindw hao walimu wa kiisilamu wakikufata fata watasilimu bola wake kimya tu
@emmanuelomary1725
@emmanuelomary1725 2 месяца назад
Hahaaa ndacha unanipa amani ya moyo sana
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 2 месяца назад
Shafi aende asome mwanzo...Kisha awache kueka masharti.
@sifamanyori
@sifamanyori 2 месяца назад
Ndacha wakubuke wahisiram wamefanya zabisana kuwafanya wezao kama ngombe kwasababu yakuabudu majini baharini
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 2 месяца назад
Ndaji hana mpinzani
@samxx411
@samxx411 2 месяца назад
Ndacha kuwabadili waislamu utachelewa sana labda awe hajatokea katika mifupa ya muislam. Tatizo lako ww huna hoja ila unapindisha maandiko..muislam hawezi kumtukana yesu wala manabii wengine wa Mungu ila nyie ndio mnamtukana yesu.
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 2 месяца назад
Hujui kua hujui
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats 2 месяца назад
Kweli kabisa hafii hana elimu hata kidogo. Me namfatilia ila hatumii maandiko hata kidogo anatumia maneno yake kichwani. Yani ye analeta umbea badala alete maandiko yao yanasemaje kwa kupiga hoja anazopewa. Ye anatoa maneno kichwani.😂😂😂 Ndacha elimu imelala na anajiamini sana. Shafii mbwembwe kibao😂
@JanethAnton-fx1mk
@JanethAnton-fx1mk 2 месяца назад
Kwani huu wa juzi na sulle si walitumia Quran na Biblia asa kaangalie nani alishinda Ndacha anajua sana hammuwezi
@ShomiLongwa
@ShomiLongwa 2 месяца назад
Poster ndacha mungu akusamehe na akuongoze uione njia,uuji uislamu na huna hata robo ya elimu ya dinin uislamu mungu ni mmja na hakuna mungu isipokuwa yeye msimamo ni huo,
@user-wb4xv7lf1h
@user-wb4xv7lf1h 2 месяца назад
Imani inaongozwa na roho ya Mungu tatizo nyie mnajikuta wasomi Sanaa lakn hamna mwongozo wa kiMungu mnatumia akili zenu wenyewe ndo maana mnafel
@user-to8on2pj9x
@user-to8on2pj9x 2 месяца назад
Walitudanganya sana wakristo wa tanzania wakina sule na mazinge wakampinga kristo wakina mwaipopo wakasilimu kwakua hawakujua maandiko sasa kumbe uislam ni uwongo hoja zako hawagusi wape habari njema 😢😢😢😢😢😢😂
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 месяца назад
👍✌️🙏.
@MajiiIfande
@MajiiIfande 2 месяца назад
2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
@AbuuAnuwar-ip7dr
@AbuuAnuwar-ip7dr 2 месяца назад
Hoja zandacha nindogo Sana, Ila kwakuwa Wahadhiri wetu niwavivu wakusoma vitabu vyakiislaam, wao wamediri Sana kusoma Qur-an na Bible tu, nakwahali hiyo hawatomiweza ndacha kwasababu ndacha anapitia sana vitabu vyawaislaam, maana hizo hoja anazozijenga nindogo sana vitabu vyakiislaam vikowazi navimekunjuliwa maana zake, maana hizo hoja anazozipinga Shafy nikweli zipo ila uwelewa wandacha2 mdogo, Sasa alitakiwa apatikane muhadhiri mwenye elimu mzuri wahadithi amnyoonye vizuuri
@moshantoj
@moshantoj 2 месяца назад
Mr stone kisser unataka aelewe aje na iko wazi? Mkunduthe hii😂😂
@benjaminheadman8337
@benjaminheadman8337 2 месяца назад
Yaani wewe umenikosha,,nikweli ulivyosema!!!!ila kunakitu hujamalizia kusema kuwa wahathir wenu niwazeee wa mshahara....ndio kama akina Sule"wanatembelea mashangingi,mwenzio anasoma...
@AbasHabimana
@AbasHabimana Месяц назад
Ndacha si lolote wala si chochote kakalia ubishi tu anawabisha hadi wakristo wenzake sabato si dini sabato ni siku Docta sule mwenyewe kamshinda Ndacha kwa hoja Mwalim ndacha rudi shuleni
@solihanegier890
@solihanegier890 2 месяца назад
Muhammad hakutumwa na mwenyezi mungu tena katuma ww kafiri mkubwa
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 2 месяца назад
Tuache unafiki Ndacha kiboko.
@MajiiIfande
@MajiiIfande 2 месяца назад
Je, adui wa Jibril ni nani??
@samxx411
@samxx411 2 месяца назад
Ni wakristo na makafiri wengine ambao walimchukia jibril ambae ndie alieshusha quran kwa nabii Muhammad
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 2 месяца назад
Ndacha haumueez shafii hata kidogo,maana yeye hanaga kuungaunga kama wewe,tunachojivunia sisi waisalaam ni vitu viwili tu ambavyo tumepewa ambavyo ndio muongozo kwa kila muislaam,navyo ni QURAN na Sunnah, ukija kichwa kichwa tu na kuparamia viwili hivyo bila kusomeshwa ukajisomesha mwenyewe basi lazima upotee kama huyu ndacha na group lake.
@michaeldoroleo4864
@michaeldoroleo4864 2 месяца назад
Waislam ndio mnafanywa punda kwa kuaminishwa kwamba huwezi soma hicho kijitabu mpaka usomeshwe,jisomeeni muijue quran sio kuishi kwa mazoea.
@moshantoj
@moshantoj 2 месяца назад
Hata Allah hawezi Ndacha 😂😂😂
@abduljaffer
@abduljaffer 2 месяца назад
Ndacha akili finyu shida iko wapi kama jini wako na ni waisilamu
@patiencesamba9467
@patiencesamba9467 2 месяца назад
SHIDA NI MNAKATAA HILO
@Commonp
@Commonp 2 месяца назад
Mpumbavu nini wee mtu akili huna sio wa kubishana 😂😂😂
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 2 месяца назад
Ndacha ww wacha mchezo,ww na msomaji wako,mm ni Muislam lakini nawakubali sana akina Yohana omari,lakini sio ww,hufanyi mjadala kufundisha watu bali kuharibu maandiko kabsaa,unasoma andiko alafu mnaanza kujibizana na msomaji wako,andiko linasema vingine ww na msomaji wako malnaingiza mambo mengine...alafu unapenda sana maneno ya mtaani ya uzushi..huko si kufunza watu...unaboesha sana
@zaburionlinetv6245
@zaburionlinetv6245 2 месяца назад
ndo maana unaambiwa acha vitu vya Kuokoteza okoteza, sasa unanukuu maneno ya mtu kisha unasema hiyo ni dalili ilihali huyo mtu hakunukuu hayo maneno kutoka kwenye reference yoyote, hili nalo ropokaji
@ZukhelRwegoshora
@ZukhelRwegoshora 2 месяца назад
Toa aya au hadith inayosema tunasalimia majin na malaika kwenye swalaa
@PaladinInsurance
@PaladinInsurance 2 месяца назад
Ndacha Wacha matusi hamna lolote unajua
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 2 месяца назад
Unasema ukweli ndacha hajui chochote ama umepanic
@BarakaAkech-r9q
@BarakaAkech-r9q 2 месяца назад
Shaffi hawez lolote hana elimu
@mussakamando2678
@mussakamando2678 2 месяца назад
Ndacha haijui Quran wala Biblia
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 2 месяца назад
Huyu ndacha aisee ni mtihani anaonekana hana akili timamu Sasa kama hicho kitabu kimeandikwa wananukuu katika hadithi sahihi vitabu vya hadithi sahihi vipo kwa nini usilete hicho kitabu cha hadithi unaleta kitabu cha babu sijui ulimwengu wa majini halafu anaonekana ana hoja
@samxx411
@samxx411 2 месяца назад
Ikisha ndacha unajichanganya, unasema tafsiri ya ahmadiyya haikubaliki kwa sunni ikisha hiyohiyo unakuja kuitumia kwa defend sasa hao wafuasi wako wafahamishe wafahamu huo uongo wako
@BarakaAkech-r9q
@BarakaAkech-r9q 2 месяца назад
Shaffi wewe aujaandika kitabu naunajifanya msomi
@myself4128
@myself4128 Месяц назад
SHAFFII MUOGA😂😂😂 KESHAONA ATADHALILIKA,HAKUNA DEBATE YA KUCHAGUA VITABU😂😂😂😂 HADITHI NA QURAN ZOTE NDIO MSINGI WA UISLAMU SASA ANAANZA KURUKARUKA KAMA MAHARAGE KWENYE SUFURIA
@Commonp
@Commonp 2 месяца назад
Kwani huyu ndacha chizi ee 😅😅😅
@samxx411
@samxx411 2 месяца назад
Si chizi ila hana hoja za ukweli
@aliabdallah4233
@aliabdallah4233 2 месяца назад
Yani uwatowe waislam ktka giza uwapeleke ktk ukristo kwenye mwanga...mchuzi mwekundu bana😅
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 2 месяца назад
Ukristo umetokana na ukatoliki ,ukatoliki umetokana na roman empire tangu kwenye vitabu vyenu ,na ukatoliki ndio unatangaza ushoga duniani ,jitambueni ,ukija kwa lutheran nitakupa hoja ukija kwa matayo nitakupa hoja ukija paulo nitakupa hoja.....
@msemakweli243
@msemakweli243 2 месяца назад
Ujui kama mhamad na quran imeletwa na shetani quran2:97
@mobutu3884
@mobutu3884 2 месяца назад
Wakristo wanaongozwa na Biblia, kwa hiyo hayo maelezo yako yote hayapo kwenye Biblia unajifurahisha tu 😂😂
@KHADIJANDABABISA
@KHADIJANDABABISA 2 месяца назад
Ndacha elimu ya quran hana ndio maana ALLAH kashasema elimu ni nuru yake huwa hapewi mtu asi
@moshantoj
@moshantoj 2 месяца назад
Mr stone kisser 😂😂😂
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 2 месяца назад
😂😂😂😂😂 yaan ndio nazid kuamin maamuz ya kuhama Ukristo nilikuwa sahihi, yaan nimesikiliza maneno Shekh Shafii nime msikia na Ndacha😂😂😂halafu kwenye comment wakristo wanajifarij
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 2 месяца назад
Ww kwenye ukriso hulikua hujui chochote
@111dudi
@111dudi 2 месяца назад
Ndacha kasema hautambui uislam, na hapo hapo anatumia quraan ktk hoja zake. Mbona hajielewi?
@silveriusfungilwa5995
@silveriusfungilwa5995 2 месяца назад
Mwalimu Ndacha shafii mwoga hata kuweza
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 2 месяца назад
ndo nyie MAKAFIRI mnaoburuzwa kw uongo anaosambaza ndacha, utapoingia kaburin ndo utakapojua
@gotfriedmwesiga4234
@gotfriedmwesiga4234 2 месяца назад
@@halidimgonza5945 msikilize vizuri Ndacha uelewe hoja zake zinahitaji kujibiwa kwa hoja za maana siyo kwa ushabiki
@ShomiLongwa
@ShomiLongwa 2 месяца назад
Makafiri kama wewe walikuepu na wataendelea kuepo una elomu unaongea upuuzi tu
@moshantoj
@moshantoj 2 месяца назад
Kafiri ni Allah
@aliabdallah4233
@aliabdallah4233 2 месяца назад
Mzee wa kueka viraka😅😅
@moshantoj
@moshantoj 2 месяца назад
Ni vile unataka ujibiwe na elimu ya msikiti. Mr stone kisser wewe
@salisali3738
@salisali3738 2 месяца назад
Ndacha hana ila maneno ya kukejeli tu
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 2 месяца назад
Ww huwelewi ila sister tunaelewa vizuri
@mobutu3884
@mobutu3884 2 месяца назад
Wewe humsikilizi ndacha ili uelewe, au huenda jini karini anakutoa akili ukianza kumsikiliza, yani hata kiziwi akimsikiliza ndacha bila ushabiki anamuelewa 😂😂
@Saidfadhil-o3o
@Saidfadhil-o3o 2 месяца назад
Hebu wakiristo tofautisheni baina ya Injili na Biblia
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 месяца назад
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu kuanzia uumbaji hadi mwisho wa hii Dunia
@benjaminheadman8337
@benjaminheadman8337 2 месяца назад
Nawewe tenganisha uislam na puruan
@DavidSungu-my3dh
@DavidSungu-my3dh 2 месяца назад
Je paulo amesilim
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 2 месяца назад
Paulo hajasilimu na hata hana idear na kusilimu juu akokwa njia sahihi ya christo,ata jana alikua akisoma bibilia kwa mhadhara mungu awalinde wote
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 2 месяца назад
Yule muratad paulo ipo clip yake RU-vid anaelezea kilichompeleka ukristo anaongea mwenyewe na jinsi wanavyopindisha hakuna mkristo anaweza kumuingiza muislam aliesoma kwa hoja ndacha kilaza na muongo maandiko mengi anaongopa
@solihanegier890
@solihanegier890 2 месяца назад
Kwani huujuwi km uo uisilam Ndio dini ya khaki ila ww unawapotosha watu kwa MAFANIKIO yako lakini iko siku yako utajuwa au hujuwi kafiri mkubwa wee
@user-wb4xv7lf1h
@user-wb4xv7lf1h 2 месяца назад
Mjifunze kuwa na hekima ukiwa na Mungu hayo matusi yenu yataisha ila kwa sababu mnatumia akili hamtaelewa
@moshantoj
@moshantoj 2 месяца назад
Peleka ujinga kama ya mtume wako na Allah mbali
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 2 месяца назад
ustadh shafii yuko sahh, ww ndacha unapenda kutumia vitabu vya vichochoron kusambaza uongo kw lengo la kupotosha watu, tembeen kwnye biblia, Quran na vitabu sahh vya hadith uone km utachukua round, acha uongo utaenda chomwa
@MollelSirikwa
@MollelSirikwa 2 месяца назад
Unajua ukweli ni moja na inaumaga
@denismahlangu
@denismahlangu 2 месяца назад
Nfacha yeye ni mtu wa viraka 😂😂😂😂nimeangalia midahalo yake ya kenya anatukana tuu hana hoja ndio maana shafii hataki kuwa naye jukwaani
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 2 месяца назад
@@denismahlangu swadakta 👍
@msemakweli243
@msemakweli243 2 месяца назад
Wewe na shafii ndo amjui
@msemakweli243
@msemakweli243 2 месяца назад
​@@denismahlangukwa vilaka msikilize mazinge,shaffi,kinyogoli,sulle,na wengine wafatilie bila ushabiki
@BaruMasimango-zo2se
@BaruMasimango-zo2se 2 месяца назад
Ndacha acha uwongo'' ata mimi takufundisha'' njo congo kalemie'' takulipiya nauli
@GodyMussa-sc9fj
@GodyMussa-sc9fj 2 месяца назад
Sasa amedanganya nini mbon haujafafanua??
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 2 месяца назад
Nazani uislamu mwingi ndio unakusumbua
@faithfultoyeshua4576
@faithfultoyeshua4576 2 месяца назад
Alikuwa congo. Hukumuita
@FrankAloyce-ic6rq
@FrankAloyce-ic6rq 2 месяца назад
Safi jembe la yesu
@samxx411
@samxx411 2 месяца назад
Yesu hana jembe, yesu ni muislam hata kanisani hajawahi kuingia wala kufundisha, wala biblia haijuwi wala hajawai kuiona..
@FrankAloyce-ic6rq
@FrankAloyce-ic6rq 2 месяца назад
Yan ww umechanganyikiwa kwel wap yesu anasema najuwa Quran ?wap yes kasoma sura za Quran?wap yesu kaenda maka kuiji kama waislamu wanavofanya ili awe kwel muislamu kama ulivosema?acha kukariri najua ulichokalilishwa nakungoja
@samxx411
@samxx411 2 месяца назад
@@FrankAloyce-ic6rq ndo mana mnaambiwa msome, sasa yesu ameteremshiwa injili kwa wakati sio quran, ni sawa nakusema wapi Mussa alisoma injil au daudi alisoma injil hivyo huwezi kupata ila yesu ni yake lkn biblia haijuwi...soma uelewe kama hujui tafuta mwalimu usibishe ulichokuwa hujui ikisha unajiona unajuwa
@zaburionlinetv6245
@zaburionlinetv6245 2 месяца назад
Kuna watu wanaitwa Ahlu hadith waliobobea kwenye elimu ya Hadith ya kuweza kuchambua Hadith kujua Hadith na daraja lake, wewe mropokaji wa Kuokoteza okoteza vitu hauyajuwi hayo
@richardchimba3800
@richardchimba3800 2 месяца назад
Omba mjadala naye basi
@zaburionlinetv6245
@zaburionlinetv6245 2 месяца назад
@@richardchimba3800 Nitaomba na wangapi Dunia nzima hii ??
@salisali3738
@salisali3738 2 месяца назад
Huto weza kuwa toa Wa Islamu abadani mpaka ije kiyama labda awe Muislamu feki
@DodomaTanzania-r5z
@DodomaTanzania-r5z 2 месяца назад
Ww ndo mbishi ila wengi wanasilimu
@msemakweli243
@msemakweli243 2 месяца назад
Kiama kinapofika utakuwa ushachelewa
@salisali3738
@salisali3738 2 месяца назад
@@msemakweli243 ww ulieye wahi hongera zako
@mobutu3884
@mobutu3884 2 месяца назад
Na hicho kiama atakayekuja kuhukumu ndio huyo wanaemfata wakristo, sasa sijui utaponea wapi labda utengeneze kiama chako 😂😂
@salisali3738
@salisali3738 2 месяца назад
@@mobutu3884 nita tengeneza kama nyie mlivo tengeneza msalaba na sanamu la yesu mna vaa shingoni si ndio kuabudu sanamu huko
@seifserenge3340
@seifserenge3340 2 месяца назад
Niwaulize wakristo hio biblia mnayotumia aliteremshiwa mtume gani ? Naomba andiko kutoka katika hio biblia yenu sio maneno ya kuungaunga
@msemakweli243
@msemakweli243 2 месяца назад
Wewe ukijibu hili nitakujibu quran imetelemshwa na nani?
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 2 месяца назад
Bibili nimkusanyiko wa vitabu,imebeba injili,zaburi,Torati hio ni bibilia full
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 2 месяца назад
Then mungu aliteremsha torati kwa musa,akatemsha zaburi kwa dauudi na yesu(isa)akateremshia injili,ikikusanywa pamoja inaitwa bibilia Nathani umeelewa sasa
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 2 месяца назад
Kuelewa ndio shida ama mnapuuza na macho makafu,maana quraan imewafafanulia vizuuri na hamwelewi mtafunzwa mpaka lini duuuuuuu:
@msemakweli243
@msemakweli243 2 месяца назад
@@JohnOuya-w7j wanaelewa hila majini yanawafunga ufahamu maana yanajua wakifata yaliyomo kwenye bibilia watawakosa
@jumahenriquesgeraldo9837
@jumahenriquesgeraldo9837 2 месяца назад
Kitabu cha wenye akili ndio Ilo bíblia la upotofu? Wacha upagani wewe ndacha. Tena ukime. Biblia ni kitabu cha wajinga na maneno yote Kwa kireno tunaita poesia. Tânia ni kama nyimbo za wasanii.
@denismahlangu
@denismahlangu 2 месяца назад
Ndacha wewe unachojua ni kuweka viraka huna hoja shafii fundi ikitaka dizaini yoyote anakushonea lakini ndacha fundi viraka hana ilm ata anza kutukana mitume
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 2 месяца назад
Hakuna uisilamu bila viraka
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 2 месяца назад
Waislam wote hawana chochote katika vichwa vyao Kisa Muhammad
@mobutu3884
@mobutu3884 2 месяца назад
Wewe uanamuona shafii anajua sababu hujui chochote zaidi ya usihabiki, ila mwenye uelewa akiwasikiliza anagundua shafii ni janjajanja tu na mashabiki zake ndio nyie😂
@sosdododo5653
@sosdododo5653 2 месяца назад
Sasa mugahalo ufanye wewe ikiwa Huna kitabu wewe ,,sema kitabu gani unacho unacho kifwata wewe ,,wacha nikuuleze basi ikiwa no biblia basi hiyo biblia mwanzo hata hakitambuliki kwanini nasema hivyo mwanzo hio ni translation of translation of translation of translation of translation of translation,,sasa unakuja na kitu translation hata hujui mwanzo wake iko wapi kabisa hujui wala hujaiona wala hutaiona sasa kuna faida gani hapo ati kujadiliana hio ni waist of time unafwata kitu hata hukijui ,,lakini tuje kwa quran iko original na tafsiri yake kitu kiko sawa
@mobutu3884
@mobutu3884 2 месяца назад
Na wewe tafakari hii, hiyo Biblia ambayo unasema ina translation nyingi iliandikwa kabla ya quran, sasa swali la kujiuliza kwa nini hiyo hiyo Biblia maandiko yaliyoandikwa humo na quran imekuja kuyaandika hayo hayo? Kwa hiyo hii inamaanisha walioandika Biblia waliongozwa na Mungu na walikuwa sahihi mpaka quran ikakopi yaleyale 😂😂 Ila mnadanganywa eti Mungu alimtuma malaika kuishusha quran,kwa hiyo malaika alikuwa anashusha maandiko ambayo yapo kwenye Biblia ambayo ilikuwepo hata kabla ya Mohamad , halafu mnasema wahyi 😂, someni vitabu vyenu vizuri mtajua mlipopotezwa 😂
@sosdododo5653
@sosdododo5653 2 месяца назад
@@mobutu3884 ati quran imekopi kitu cha translation of translation of translation of translation,,,quran iko madhubuti haina upungufu hata kidgo inekamilika mkamiliko wakisawa mwenye ezi ashasema yeye ndio atahifadhi quran na paka sasa million of million wamehifadhi quran hata ikapotezwa hio quran,,sasa hivi iteregeshwa manake watu wanaisoma bila kuiona hio quran,,tuje biblia maskini ikipotea ndio imepotea ,,hivi tiari imepotea imebaki hio translation of translation of translation hata hamujui mumeandikiwa nini nani ameandika hajulikani nini author hakuna hakuna amjuae author hata ni aibu kitabu hakina author pengine hata hujui hivo nanajua hujui hio wewe poleni sana
@JanethAnton-fx1mk
@JanethAnton-fx1mk 2 месяца назад
Kwani huu wa juzi na sulle si walitumia Quran na Biblia asa kaangalie nani alishinda Ndacha anajua sana hammuwezi
@samxx411
@samxx411 2 месяца назад
Kwa wewe unaona sawa ila maandiko hayajuwi anabadili maandiko
Далее