Тёмный

MCHAMBUZI NASRI: YANGA HAITISHIKI TENA MICHUANO YA CAF/UBORA UMEPANDA/SIMBA UZOEFU UPO/KUNDI GUMU 

Scope Media
Подписаться 67 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

#azizki #msuva #alikamwe #hersisaid #live_ #mayele #yanga #yangaleo #yangasc #yangatv

Спорт

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 9   
@kehenguc
@kehenguc 17 часов назад
Mjomba umesema ukweli, Yanga hawana uoga wowote hata kama watafungwa itakuwa ni kizidiwa mbinu tu! Nakumbuka wakati Yanga wamepangwa kucheza na Mamelod Sundowns kwenye robo fainali ya CAFCL wengi walisahau mambo yao yote na kupiga domo kuwa Yanga wataloa magoli, lakini kilichotokea marefa na CAF ndio wana mjibu...
@AllenSalewa
@AllenSalewa 16 часов назад
Umeongea kiufundi kitaala RESPECT KWAKO👊👍🔥
@abednego3876
@abednego3876 13 часов назад
Mwandishi kajifunze kiswaili.
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 9 часов назад
Kwa hiyo jamedali wa makolo ndo yuko bora?.
@candidustomeka369
@candidustomeka369 16 часов назад
Huwa sizipendi introductions za mtangazaji. Mara zote hazina uhusiano na majadiliano yanayofanywa na wala hazitoi elimu yoyote ya maana.
@ShawnBeatz
@ShawnBeatz 16 часов назад
hajui tu inavoboa....
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 9 часов назад
Na wewe kajifunze lugha, siyo kiswaili, sema kiswahili.
@FiniasBugobola
@FiniasBugobola 16 часов назад
🎉🎉🎉
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 9 часов назад
Kweli Yanga kuna mahali wabadilike hasa Pacome kukaa na mpira huku akiwa mbali na box,
Далее
DOTA 2 - ПРОКЛЯТЫЙ АККАУНТ?!
23:03
Просмотров 246 тыс.
ОРБИЗ-ГАН за 1$ vs 10$ vs 100$!
19:01
Просмотров 418 тыс.