Тёмный

MCHENGERWA AKERWA NA YANAYOENDELEA MBEYA, RAIS SAMIA NA DKT. TULIA WATAJWA "MTANISAMEHE, ACHENI" 

Uhondo TV
Подписаться 611 тыс.
Просмотров 3,9 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@shadracknjogolo6108
@shadracknjogolo6108 3 месяца назад
Atupisheee uko sungu the champion 2025
@user13375
@user13375 3 месяца назад
Kwa huyo wabunge wengine hawana lolote? Basi ukubali kuwa wengine watupishe😮😮😮😮
@namaanwilson6467
@namaanwilson6467 3 месяца назад
Kweri kabisaaa kaka
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 месяца назад
wanawaomba w/nchi kura ili wakale wenyewe, wakishachaguliwa wanatuangalia kama sio wazawa, kuja kwao ni kura tuu..sie tukienda kuomba haki zetu wanatufukuza. Mungu Tusimamie MUngu wangu
@Sangaadam
@Sangaadam 3 месяца назад
Ivi Kipindi cha kampeni kimeisha anza?
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 месяца назад
Mchengerwa ww ndo boss wa Makonda, kingozi wako yuko wapi? mbona husemi?
@samasob8233
@samasob8233 3 месяца назад
Amekuja kufoka! Chawa No1
@MagrinZellah-tm1ng
@MagrinZellah-tm1ng 3 месяца назад
Kama kuna majimbo wanamtamani wamchukue
@jellyyatta7597
@jellyyatta7597 3 месяца назад
Kwa nilivoelewa hapa kitu Ambacho kimejificha ccm mbeya yawezekana Kuna mvurugano kupitia hii hotuba nilivyoielewa mimi
@festokemibala5832
@festokemibala5832 3 месяца назад
Tatizo uchawa kiasi hakuna kutwnda bila kutaja mtu hilo ndo linawapa shida. Fanya kazi kwa uwezo wako na kwa kufuata sheria na maelekezo kama yapo kwa uwezo wako pasi na kutaja aliyekutuma kwa sababu hakuna the one man show bali uqajibikaji wa pamoja
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 месяца назад
Sijui anajichekesha nini wakati wapiga kura wana maamuzi labda ccm impitishe kwa uchafuzi tu mana mlijua Mbeya ina mwenyewe, mkambananisha kwa nguvu ati mzaliwa. Hata huko uwezekano mdogo safari hii labda atangazwe tu na chombo chenu...
@Lwitikomsongole-z5f
@Lwitikomsongole-z5f 3 месяца назад
Umekuja kumpigia kambeni
@SimionMabuga
@SimionMabuga 3 месяца назад
Nikama waziri au!?
@HamisLeo
@HamisLeo 3 месяца назад
Hatutaki wanambeya,
@mustafaalli4698
@mustafaalli4698 3 месяца назад
Ivi mh mchengerwa vip wahanga wa mafuriko Rufiji wanaendeleaje..😂
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 месяца назад
wanaendelea vizuri walipewa 40milion hapo kwa papo
@noelluchiba3660
@noelluchiba3660 3 месяца назад
Million 40Kila mmoja au
@noelluchiba3660
@noelluchiba3660 3 месяца назад
Fafanua vizuri
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 месяца назад
@@noelluchiba3660 hapana, ni kwenye jimbo kaipeleka
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 3 месяца назад
Yaani unatuona mambumbu! Kufoka basi!
@VenaEliki
@VenaEliki 3 месяца назад
Zungumzia maendeleo wenye wivi wamchukue magufuli alisema tukimchagua mbeya itakuwa Kama Chicago miaka ndo inaisha hatuon kitu da
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 месяца назад
ni siasa baba, unaskika anasema anawajali watt, wamama, wababa, wazee nk. anawashika kama watt wake..haya Mbeya mtatuambia
@MagrinZellah-tm1ng
@MagrinZellah-tm1ng 3 месяца назад
Kama angekua anatujali barabara za mitaa zingekua chafu hivi? Ondoka nae hatufai, hana kazi
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 месяца назад
hiyo ndo siasa zilivo, alafu msipomchagua ndo kusaulika kabisaaa
@AmisiLulacha
@AmisiLulacha 3 месяца назад
Wewe hata ukeshe unaongea watu hawata kusikia hilo jimbo Lina mwenyewe Sugu
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 месяца назад
ingaswa ni Sugu ndo mwenye mkoa lakini utaona atapita tuu Akson,,,ndo siasa hizi mkuu
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 3 месяца назад
Mbona kama nasikia arufu ya sugu kwenye iri jimbo
@MnubiMm
@MnubiMm 2 месяца назад
Hata pua ya mlevi wa Akili inaongozwa na akili sio uwezo wa kunusa iliyonao Sugu ni Sugu Tulia ni Tulia vitu viwili tofauti SANA ni Ajabu kipofu kubishana na mwenye UONI
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 месяца назад
INATAKIWA NCHI NZIMA ISICHAGUE CCM HATA KURA MOJA KWA WABUNGE,,IWE WAPINZANI TUU wakatuongelee bunge mle. Tuone kama Samia atabana hela kusipelekwe maendeleo kokote..CCM bhana wanatuchosha kweli hawa
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 3 месяца назад
Kajamaa kamekula uwaziri...kwa kuwa kanagonga binti wa kibibi cha kimkazi... This is Nepotism !!
@MnubiMm
@MnubiMm 2 месяца назад
Hata Mwenyekiti wako Amekabiziwa chama na mkwe wake ndio maana hawezi kutoka na hakuna wa kumtoa Mwenye chama ndio mwenye mkwe
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 2 месяца назад
@@MnubiMm chawa , hukosagi argument, .ana hata pale matakoni unaweza ukaishi kwa kuwa napo Pana nywele, regardless it's harufu there!!
@MnubiMm
@MnubiMm 2 месяца назад
@@DiwaniMwafongo utumwa wa fikra wepesi wa Mtazamo huu sio wakati wa komaa kamanda swaga nyingi umeshapita Chawa hufikili Kila mwenye Mtazamo tofauti ni Kama yy kisa bosi kapingwa povu unafikili kingereza ndio usomi au ndio ujuaji bc wachina wangekuwa gizani afazari ungebaki na ukana nongi wako ungeonekana wa maana uchawa wako unabadilisha utajo wako
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 3 месяца назад
Hana lolote
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 3 месяца назад
Hivi kampeni imeanza?? Kazi ndiyo basi tena
Далее
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
He went ALL in 😭
00:12
Просмотров 1,9 млн
МЭЙБИ БЭЙБИ - Hit Em Up (DISS)
02:48
Просмотров 287 тыс.
He went ALL in 😭
00:12
Просмотров 1,9 млн