Тёмный

HUYU MZEE NI BALAA! AMLIPUA RAIS SAMIA BILA WOGA, "ANANG'ANG'ANIA UFISADI" 

Mwanzo TV Plus
Подписаться 159 тыс.
Просмотров 266 тыс.
50% 1

#TANZANIA: Huyu mzee ni balaa! tazama alivyomlipua Rais Samia bila woga, "anang'ang'ania ufisadi"

Опубликовано:

 

30 сен 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 783   
@user-fs6lp3op1x
@user-fs6lp3op1x 9 месяцев назад
Mmmmhh tanzania tungekuwaa iviii ingee kuwa safiii saniiiiiii alieee muelewaa mzeee anipee like zanguuuu
@kassimsaid1723
@kassimsaid1723 5 месяцев назад
Chongesheni chengine icho kiti mbao zipo nyingi tu😢😮
@rayyahinay-hp7jf
@rayyahinay-hp7jf 4 месяца назад
Mwehu tu, huyo anatafuta kura huyo!!!
@rayyahinay-hp7jf
@rayyahinay-hp7jf 4 месяца назад
Kweli huyo achongeshe kiti cha chuma anachosema hakieleweki!!! Anafikiri urais mchezo???
@user-cw1mj6yx6y
@user-cw1mj6yx6y 2 месяца назад
Kabisaa ajakoseaa mzeee❤❤❤
@ShukuruShaban
@ShukuruShaban 5 месяцев назад
Mzee wangu Mungu akupe maisha marefu uendelee kututetea yaan mpaka nimetokwa na machozi ya furaha❤❤
@mahammadanhag4445
@mahammadanhag4445 5 месяцев назад
Acha umbeya ww mambo ya kike ayo
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 7 месяцев назад
Huyu mzee ndie maalim seif alie bakia daahhhh wanyonge maisha hatunufaiki sababu ni uongozi kauli mbiu daima . Ila mungu . Yuko
@user-dw9fl5sv2z
@user-dw9fl5sv2z 9 месяцев назад
Huna dhambi ya unafiki mzee wangu
@corrolesscps
@corrolesscps 3 месяца назад
Tumemchokaaaa, haendeee zakeee
@alfrediaugustino1026
@alfrediaugustino1026 8 месяцев назад
Yaan Zanzibari mmenyooka Sana muko vizuri Sana .
@MkeroMkero
@MkeroMkero 4 месяца назад
❤❤❤nakupenda sanaa mzeee wambie haooo nakukubali sanaaa
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 9 месяцев назад
Hongera sana mzee wangu.serikali tatu ndio chaguo la watanzania.Mama samia Rais wangu mpendwa wakati ndio huu wa kuweka historia ya kuruhusu katiba mpya yenye serikali tatu ili zanzibar na Tanganyika zipate mamlaka kamili na ziwe huru.Mfumo wa serikali mbili unainyonya sana zanzibar.
@johaiventimothy6583
@johaiventimothy6583 3 месяца назад
Unainyonyaje Zanzibar em nifafanulie ili nielewe kidogo
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 9 месяцев назад
Huyu mzee anajielewa tumuunge mkono😊
@karimkassam571
@karimkassam571 9 месяцев назад
Hajielewi CHIZI tu
@AgnessKabamanywa-sd2dw
@AgnessKabamanywa-sd2dw 9 месяцев назад
Sawa mzeee
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 9 месяцев назад
@@karimkassam571 musilete mambo ya dini apa samia ameshindwa ajiuzulu!
@frankcharles3980
@frankcharles3980 5 месяцев назад
​@@karimkassam571WEWE KICHWA HASARA NDO CHIZI MZEE YUPO SAWA KABISA
@azizauwase9207
@azizauwase9207 5 месяцев назад
Mzee enasema kweli.dini na politic ni vitu viwili viko opposit.kumbuka ukoo wako mama samia tena usitie ubaguzi kwa wanainchi juu uta fail
@lovenessfrancis5547
@lovenessfrancis5547 9 месяцев назад
Huyu mzee apewe maua yake 🌹🌹🌹mungu akutunze
@salomeshongola1697
@salomeshongola1697 9 месяцев назад
❤❤🎉🎉
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 4 месяца назад
Wewe KAMPE
@nefertitibelinda1146
@nefertitibelinda1146 4 месяца назад
Asante mnooooo
@AllySule-mh4xp
@AllySule-mh4xp 3 месяца назад
True
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn 9 месяцев назад
Sikutegemea madini kama haya kutoka Z'bar! Ila mzee mwenzangu ingefaa uje bara utoe madini kama hayo kwani bara bado kuna watu hawajitambui! Kumbe mama yetu ameongeza deni la taifa kutoka trilioni 60 hadi trilioni 90! Balaa!
@Salmakikuli
@Salmakikuli 4 месяца назад
Kasema kweli kabisa ila kuja bara unamdanganya atasombwa
@user-ku2sr9se2z
@user-ku2sr9se2z 3 месяца назад
Mzee kama. We ni msema kweli tutajie na mazuri yake kwakua umeeleza matakwa yako sio ukweli wako hakuna raisi alietoa ajira nyingi kama mama samia kumbe unataka uongozi wa chama chako hapo mzee umegonga mwamba ccm ni ile ile oooni ileileeee
@halimamremi5375
@halimamremi5375 7 месяцев назад
SEMAA BABA SEMAAA AFADHALI MUSEME UKWELI NYIE WAZEE MNALIONA HILOO MUNGU TUSAIDIEEE JAMANII!!!!
@philiplenardsylvester6063
@philiplenardsylvester6063 9 месяцев назад
Hongera sanaaa Mzee mungu akulinde
@user-rt5vq5vc3k
@user-rt5vq5vc3k 9 месяцев назад
Mungu akulinde baba huja taka kuwa mnafiki SEMA baba
@husseinkiondo7439
@husseinkiondo7439 5 месяцев назад
Nimekupenda sana
@mwenem8130
@mwenem8130 9 месяцев назад
Hata huku TANGANYIKA Hafai, unafiki na ubinafsi ndio mkubwa
@ezekielmatondane714
@ezekielmatondane714 9 месяцев назад
Uko sahihi kabisa huyu mama ni binafisi
@user-zm7kk1tr5l
@user-zm7kk1tr5l 7 дней назад
Arusha wambiye migambo waache kutukimbiza sisi mama mbonga watuache usiku tufanye kazi nje mwenyezi mungu atusaidiye sana mama mbonga
@user-fq2ut9ep8r
@user-fq2ut9ep8r 8 месяцев назад
Hongera kwa kututetea wanyonge watanzani.
@charlesassey5642
@charlesassey5642 5 месяцев назад
Safi sana watu kama hawa nawapenda sana hakuna kumuogopa mtu , wakimwaga mboga unamwaga ugali wote mnalala na njaa
@nasaelmanya1850
@nasaelmanya1850 9 месяцев назад
Kweli, Hana lolote huyu mama, Tunataka katiba mpya, Okoa bandari yetu...
@abedymtore2707
@abedymtore2707 9 месяцев назад
Bandary zetu
@corrolesscps
@corrolesscps 3 месяца назад
Hongera Sema usikike, Mwambie huyoo Mama
@adampetermakombe5654
@adampetermakombe5654 9 месяцев назад
Namuelewa Sana huyu muzeeee😂😅
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 5 месяцев назад
Mzee hongera sana. Mwenyezi Mungu akubariki. Tunakushukuru sana tena sana.
@user-fk1ne4qk7y
@user-fk1ne4qk7y 9 месяцев назад
Huyu mzee awekewe ulinzi mkali🙏🙏
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 9 месяцев назад
Acha umbea....
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 9 месяцев назад
@@aliyageorge6794 Mmbeya Mwenyewe.
@asifreds8787
@asifreds8787 9 месяцев назад
huyo chadema hizo ni siasa
@AgnessKabamanywa-sd2dw
@AgnessKabamanywa-sd2dw 9 месяцев назад
Hulu mbinafsi wa hatari
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 5 месяцев назад
Ulinzi anao mwenyewe M'mungu
@user-jy8fl1mv8j
@user-jy8fl1mv8j 9 месяцев назад
eee leo kapata chamoto asante sana mzee mungu akubariki
@user-bz2nd3bm1w
@user-bz2nd3bm1w 9 месяцев назад
Tungekuwa na wazee hawa nchi hii ingenyoka,tungeheshimiana,ingefika mbali sana bigup sana mzee wangu
@karimkassam571
@karimkassam571 9 месяцев назад
Mzee mnafiki
@hadimznz
@hadimznz 9 месяцев назад
Huyu, Mzee mgonjwa sana. hajui nafasi ya Rais wa Tanzania, anazungumza kwenye mkutano wa siasa kama kijiwe cha siasa
@hadimznz
@hadimznz 9 месяцев назад
Kijiwe cha kahawa
@hadimznz
@hadimznz 9 месяцев назад
😂😂😂😂wazee wachadema hatukubali tena kuolewa,eeeeeh aaaa kuonewa. ashapiga shishi huyo.
@isayashayo4777
@isayashayo4777 9 месяцев назад
Nimependa apo tumeshindwa kuthibiti wiz wa bandari apo apo unaweza kujiuzulu maana hiyo ni falier
@user-jo8xr8cx4s
@user-jo8xr8cx4s 7 месяцев назад
Asante baba
@steveJkaaya-qt1ih
@steveJkaaya-qt1ih 5 месяцев назад
respect dah sema mzeee wang b mkubwa anafel sana atumuelewi
@user-vs2hs6qy3p
@user-vs2hs6qy3p 5 месяцев назад
Ubarikiwe baba🎉❤
@alexmosha9979
@alexmosha9979 9 месяцев назад
Kweli watu wamechoka
@glorykapenja9473
@glorykapenja9473 2 месяца назад
Yaani zanzibari ni sehemu nzuri sana baadaye itakuwa ni tajili sana Mungu ataiinua sana hiyo Zanzibari watakuwa matajiri mno
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 9 месяцев назад
Huyu ni mzalendo haswa
@abdallamasoud7734
@abdallamasoud7734 9 месяцев назад
😂😂😂 Dah watu wamechoka sana maisha yamekua magumu sana kwa kweli uchumi umezidi kushuka kwa kweli..
@thomastarimo
@thomastarimo 9 месяцев назад
ana angalia kwao na siyo hapa na akuna mwenye imani na yeye
@thomastarimo
@thomastarimo 9 месяцев назад
amina amina amina ata engejenga bara bara ya kioo
@user-tj2rr6lv1k
@user-tj2rr6lv1k 2 месяца назад
Umetishaaaa sna sna Tajir Mungu akupe maisha marefu unafikii ni dhambi kubwa na ww umeikna
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 5 месяцев назад
Kweli mama Sikia ujumbe huu,
@zabronjonathan2264
@zabronjonathan2264 9 месяцев назад
Kweli Watanzania tunataka katiba mpya.
@JamesJasson-dg8lf
@JamesJasson-dg8lf 9 месяцев назад
Axante mzee wangu.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 9 месяцев назад
Mzee watu wa aina yako ni wapenzi wa mwenyezi Mungu, utaiona pepo ingawa wanadamu wenye laana watakuchukia. Neno lolote atakalokuja nalo kwenye press na vikosi kazi vyake kuchelewesha katiba ni kinyume cha haki. Wananchi tusikubaliane na ushauri Bali tushauriane wote namna ya kupata katiba sasa.
@user-ru9sh9ob4j
@user-ru9sh9ob4j 9 месяцев назад
1😊
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 9 месяцев назад
MWENYEZI MUNGU AKULINDE NA HILA ZA CCM BABA YETU.🙏🙏🙏
@muznamohammed1366
@muznamohammed1366 4 месяца назад
Aaamin
@dottondege8869
@dottondege8869 9 месяцев назад
uko sawa kamanda watanzania tunataka katiba
@AlvanEdwine-ih4vy
@AlvanEdwine-ih4vy 4 месяца назад
Lakini akifariki leo,mtamsifu yaan wanadamu hata ungewapa fedha bado watakuraum,mama samia chapa kazi mm nakukubali na pia naziona kazi zako😘😘
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 4 месяца назад
Binadamu Hawaridhiki na wa Hawatosheki, mpaka mwanandani haumtoshi binaadam, point umenena nakupa maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉
@user-gb5we7ts9o
@user-gb5we7ts9o 4 месяца назад
Msenge wewe
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 4 месяца назад
@@user-gb5we7ts9o Hivi mtu akitoa maoni yake anakuwa Msenge? Sasa wewe tukuiteje?
@AlvanEdwine-ih4vy
@AlvanEdwine-ih4vy 4 месяца назад
@@user-gb5we7ts9o ukiokoka Mungu ataondoa matusi ya kila namna kinywani mwako kaka
@AlvanEdwine-ih4vy
@AlvanEdwine-ih4vy 4 месяца назад
@@user-gb5we7ts9o ivo ulivo ukifa unakwenda jehanum ya moto,ningekusihi ungeokoka ukampendeza Mungu kaka
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 Месяц назад
Mzee Mungu akubariki pia Akupe Maisha Marefu Amen
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 6 месяцев назад
Hongera sana msemaji kwa sababu unaongea haki kabisa kwa sababu CCM hawana lo lote bali unafiki mtupu. Huyu samia analea wala rushwa na wezi mtupu. Na huyu mama naye ni mwizi kwa sababu analea wezi watupu na ndiyo wanampamba. Wanao mpamba wezi ni Samia
@oswardnshoki1000
@oswardnshoki1000 5 месяцев назад
Kuwa na SERIKALI tatu ni muhim sana hata mim huwa nafikiria hilo mara kwa mara
@user-tl1nz7qx2l
@user-tl1nz7qx2l 3 месяца назад
Safi sanaaaa Asante pepo hilooo!!!!
@josephbernadnajiunganisham453
@josephbernadnajiunganisham453 9 месяцев назад
mzee nimekupenda bre ww ndo mtu wamungu kabisa
@khelefsalum3803
@khelefsalum3803 9 месяцев назад
Maneno mazuri sana yanataja kufanyiwa kazi
@mohamedkigwehe3561
@mohamedkigwehe3561 9 месяцев назад
Mama Samia badilika mama asahivi watu tumechoka au mnataka mpaka tutoane damu?😢😢
@user-ry1pe3tu5s
@user-ry1pe3tu5s 8 месяцев назад
Uhiii ukweli mtupu, ,hongera mh Hashim
@felixsanga
@felixsanga 9 месяцев назад
Kila jambo ni "Wakati"A right word spoken in a right time is an "Apple in the golden Plate!Speak Loudly,Makeloud!Parles,parle,Sololar bien!Merci beau coup!
@HamzaHeri
@HamzaHeri 3 месяца назад
ACHAA UKUBWA JINGA WEWE MZANZIBARI SISI WOTE NI WA TANZANIA ACHA SIASA ZAKINA MBOWE ZAUBAGUZI NA UKABILA
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 9 месяцев назад
Huyu Mzee alikua kajificha wapi??!!
@Imaniamockgmail
@Imaniamockgmail 4 месяца назад
😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙏
@solutionprovider7155
@solutionprovider7155 9 месяцев назад
Kumbe tuko wengi,rais hana faida hata kidogo,ila Yeye na familia yake na wapambe wake tu ndio wanafaidi ila Mungu yupo
@TeamKRX
@TeamKRX 5 месяцев назад
Nasikia msago
@charlesbarongo2778
@charlesbarongo2778 9 месяцев назад
Amejitoa mzee wa watu
@user-mh5mx1kn8j
@user-mh5mx1kn8j 9 месяцев назад
Haya kwa mjomba hatuyasikia mliufyata Leo kila mtu mwanasiasa achen porojo zenu nyinyi mngelisema miaka miwili nyuma tungeona kwer wanasiasa Sasa upole wa mama umejua kosa heshimuni mamlaka na viongozi waliowekwa na mungu achen porojo zenu
@lameckmbele5901
@lameckmbele5901 9 месяцев назад
ww huna akili kweli Mungu gani kawaweka hao viongozi? unachopanda ndicho utakachovuna kama hutavuna ww watavuna watoto wako kama watoto hawatavuna vitukuu vyako Biblia imeandka atawabatiliza wana maovu ya baba zao kuwa makini kushabikia dhuruma huko mbele kizazi chako watajuta kuzaliwa na ww mjinga ww waandalie huo upuuzi wako kila ovu linalofanywa litalipwa sawa sawa na ulivyofanya kwasasa furahieni ni kwa muda mfupi sn acha watanzania walio wengi wateseke na udharimu wenu
@user-mh5mx1kn8j
@user-mh5mx1kn8j 9 месяцев назад
@@lameckmbele5901 roho mbaya inakusumbua mungu akipanga hakuna wa kupangua ndo maana unachuki zisizo na msing amin kwa Imani yako lakin mungu ndo mtoaji utasubir sana kama hajapanga kukupa utabaki lawama tu mungu ndio kila kitu broo anampa amtakaye kwa sababu zake mwenyew
@isaacdavid3997
@isaacdavid3997 9 месяцев назад
Si kila mamlaka duniani imewekwa na Mungu. Acheni kupotosha watu maana hata ibilisi ana nguvu za kuweka mamlaka za uongozi duniani. Maandiko ya vitabu vitakatifu yalilenga jamii za watu Wenye hofu ya Mungu na si jamii za watu wapumbavu kama hizi za kwetu. Hizi ni serikali za kishetani zenye asili ya kuzimu. Zingetoka Kwa Mungu zingejiepusha na maovu. Eti uongozi wa Mama Samia, Mwigulu, Nape au January umetoka Kwa Mungu? Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa asema Mungu.
@MohdSuleiman-fw2un
@MohdSuleiman-fw2un 9 месяцев назад
Nikwel kabisaaaaaa mzeee
@AbubakaryMohamedy
@AbubakaryMohamedy 5 месяцев назад
Really my brother msema kwel nimpenz wamungu mungu akusimamie san
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 5 дней назад
Kabisa mungu amulinde Kwan Kila siku Dr zanzimbar no mwanza or Arusha ahahahaaaaa
@user-zg1zf7er3c
@user-zg1zf7er3c 8 месяцев назад
Hongera sana mauayako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-ko8vq9mn8w
@user-ko8vq9mn8w 9 месяцев назад
Your so clever keep itup
@ReganChuwa
@ReganChuwa 13 дней назад
Congrats grandpa god protect you❤❤❤❤
@HenryKisusi
@HenryKisusi Месяц назад
Safiii sana we Mzee, duh huyu Mzee anafaa sana atuzwe tuzo! Mbinafsi sana Samia Suluhu Hassan leo kakumbushwa makumbusho na Wazanzibari wenyewee katiba iko wapi?
@elizabethnzunda9223
@elizabethnzunda9223 5 месяцев назад
Wewe ni nan ungekuwa ndo mama Samia ungefanya nn
@nefertitibelinda1146
@nefertitibelinda1146 4 месяца назад
Asante Sana kwa kutusemea.... Uchawa unaharibu nchi maana hakuna uwajibikaji na waliopo madarakani ni machawa wasio na weledi wa wizara au taasisi wanazopeana...😢
@w4058
@w4058 9 месяцев назад
Wote hawana Imani na Wazanzibar lakini na Wazanzibar wenyewe pia hawajipendi maana wana unafiki Allaah atuhifadhi
@bokasa5150
@bokasa5150 9 месяцев назад
Facts100%
@user-fg4oo9hi6v
@user-fg4oo9hi6v 3 месяца назад
Yote unayosem n kwel
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 9 месяцев назад
Bravo MZEE WETU.
@seiftaji7838
@seiftaji7838 9 месяцев назад
safi sana dawa imemuingia samia hana hofu ya mungu
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 8 месяцев назад
😂😂 kama vile wewe unahofu yaani kwanini mkishiba hamchukui jembe mkalime na mvua nyingi jamaani uongozi sio lelemama ebu jiangalie wee umeifanyia nn familia yako yaani mambo yote Aya yanayofanyika kila Kona yaani mnataka mnambie amuoni mkiwa mnasafiri mbona mambo yanakwenda au ukiwa na chuki huwezi ona mazuri ya mtu Niwaambie tu kama mmeamua kumkataa bila sababu kataeni kwa mapenzi yenu lkn mama anachapa kazi
@jayson.chanel.9870
@jayson.chanel.9870 9 месяцев назад
WELL SAID
@estambuya3901
@estambuya3901 9 месяцев назад
Mungu akulinde baba.
@user-yp6up9tg8b
@user-yp6up9tg8b Месяц назад
Aliyo yasema Mwalimu julius kambarage nyerere ndiyo haya hapa sasa 😊😊
@heliudjulias7748
@heliudjulias7748 9 месяцев назад
Huu ndio ukweri ata uku mtaani akubariki wara hatu muerewi cjui ana ongoza vitu gan ni panga pangua arafu mafisadi ndio rafiki zake nape mwigulu na januali makamba hata wana wake wenzie huku mtaani hawa mpendi kama kufa
@andrewdirangw8754
@andrewdirangw8754 4 месяца назад
Thats good freedom of speech
@lanezboy7016
@lanezboy7016 4 месяца назад
Safi sana tunataka watu kama hawa wenye kusema ukwer
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 Месяц назад
Huyu Baba nampenda kweli kabisa anasema ukweli handi Raha sana sio wengine wana Mwabundu huyu samia kama Mumgu
@user-jy8fl1mv8j
@user-jy8fl1mv8j 9 месяцев назад
afadhali umesema mzee wangu hata hafai kuitwa mama huyo ni mhuni tu wakawaida
@TeamKRX
@TeamKRX 5 месяцев назад
Muhuni nasikia pombe msago ndio zako
@yokoi3970
@yokoi3970 9 месяцев назад
Asante sana mzee wangu
@Time-ev3dw
@Time-ev3dw 2 месяца назад
Huyu Mzee amenyooka sana namkubali haika anaongea ukweli samia hajaidaidia kabisa Zanzibar
@luckynation7747
@luckynation7747 9 месяцев назад
Nimeipenda kinomaa speech yako mzee
@juliusryoba3142
@juliusryoba3142 9 месяцев назад
Mzee ahsant sana Mora akulinde na akupe afya njema, HUO NDO UZALENDO
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 9 месяцев назад
Nakupenda sana kakangu, mama jiondoe mapema mama, utaumhuka, yapo yanayokuja.
@cyriakusbaramba594
@cyriakusbaramba594 2 месяца назад
Mzee Yuko vizuri Sana. Tatizo la chadema Kama chadema ni rahisi kukiweka mfukoni njaa ni kali mno. Lowasa aliweza Sasa awamu hii sijui itakuwaje 2025 bado VAR inasikilizia
@user-pz7zi2bf1w
@user-pz7zi2bf1w 9 месяцев назад
Tamu sana
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 6 месяцев назад
Mnyonge mnyongeni hakiyake mpeni, mama samia tangu ameingia madarakani kapambanapakubwa sana kuihusu zanzibar amehakikisha kero za muungano zimepunguzwa pakubwa kuliko wakatiwowote acha chokochoko
@nyemowanyotanjemaudm4360
@nyemowanyotanjemaudm4360 5 месяцев назад
Msema kweli.uwaga nmpenz wa MUNGU 🙏🙏
@IssaJuma-jj6jx
@IssaJuma-jj6jx 5 месяцев назад
swadaktaaaa
@BeathaChambo
@BeathaChambo 9 месяцев назад
Kweli baba nakukubali mzee
@veronikakagali5997
@veronikakagali5997 3 месяца назад
NIPO NA MAMA SAMIA! Yeye ni mzalendo namba moja wa nchi ya Tanzania na sio Zanzibar! Ubaguzi hautawafikisha mbali...
@user-hr2hw9fc9q
@user-hr2hw9fc9q 4 месяца назад
Mama Samia Tuendelee na KAZI SAFI wacha Mzee Abwatee tuu!!
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 9 месяцев назад
❤❤❤ my brother
@mwankenjatv9330
@mwankenjatv9330 4 месяца назад
Mzee anaongea ujinga tu anawaza Samia awapendelee Zanzibar akili kisoda huyu😅😂😂😅kumbe anaiwazia zanzibar tu wakt samia ni rais wa Tanzania.
@ismaeliZakayo
@ismaeliZakayo 4 месяца назад
Ongera mzee tungepata wazee 1000 kama wewe nchi ingenyooka vizuri , Mungu akulinde ,akutunze ,mwombe Mungu sana sana, na uwe makini sana
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 9 месяцев назад
Good job wa zanzibar nduguzagu
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 9 месяцев назад
Huyo mzee ni hazina ya yetu. Anasema ukweli baadaye mtasema mchochezi ila anawachoma .ccm haiwezi kupita hata siku moja sasahivi wanapanga wizi mpya wa kura na katiba kamwe hamutaipata. Hata kwa uchawi muwatowe subutu .vyombo vyote angalia magufuri alikuwa anasafiri vyombo vyote vya usalam.nyerere hajawahi kufanya hivyo
@ReganChuwa
@ReganChuwa 13 дней назад
Hongeraaa mzeee
@umlaith2611
@umlaith2611 2 месяца назад
Koma wewe Mzee kuwataja WaTanzania. Sisi tunampenda ikiwa wewe humpendi na kikundi chako kidogo, sisi haituhusu. Wacha choko choko.
@aminielngungati1487
@aminielngungati1487 4 месяца назад
This is revolution Watanzania tuamke Sasa tunahutaji mabadiliko
@user-eu7jo4lx1c
@user-eu7jo4lx1c 5 месяцев назад
Allahu akbaru hawa ndio watu wanaotafuta pepo ikiwa kwaajili ya Allah
@user-gd7tw2ir5b
@user-gd7tw2ir5b 9 месяцев назад
Ukweli mtumishi wa Mungu uenena ukweli hata sisi wana ngorongoro anatunyanyaza tu na kutafuta sifa kwa waharabu
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 5 месяцев назад
Mzee mungu akuweke ww kwa kusema ukweli
@msabahaali758
@msabahaali758 9 месяцев назад
wazanzibari tunahitaji katiba mpya bila hivyo samia hujaisaidia Zanzibar
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 9 месяцев назад
Tena zanzibar ipate mamlaka kamili.
@modrikabdallah
@modrikabdallah 2 месяца назад
2memchoka wa tanzania wote naa wala habadiliki uyo samia nimwizi2 kwenye taifa le2❤
@zawadimatunda8914
@zawadimatunda8914 3 месяца назад
Big up you my bro ata nikiwa na stress mov zako huwa znanifundsha na kunipa ujasir
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 7 месяцев назад
Ni kweli kweli huyu mzee hajaongea pumba abadaan
@jayson.chanel.9870
@jayson.chanel.9870 9 месяцев назад
Ni kweli kabisa
Далее
The Trump rally shooting from a photographer's POV
00:58
This or That 🛍️
00:52
Просмотров 5 млн
Mbarikiwa ahoji. Je kikwete atakamatwa na simu yake...
20:02
The Trump rally shooting from a photographer's POV
00:58