Anachambua kama Mimi binafsi mtu akiniambia Ronaldo anajua kuliko Messi nakataa kwasababu ukisoma takwimu za Messi na Ronaldo Kwa maana ya magoli utakuwa Ronaldo kamzidi Messi lakin kamzidi pia ma mechezo, ikienda uwanjani au kwenye tv kuwaangalia Hawa wawili Messi anakupa vitu vingi Sana uwanjani, na Kwa mashabiki wa chelsea wote kama mmemuelewa jamaa vizur ndo mtajua kuwa Jackson ni bonge la mchezaji