Hii ni sehemu ya mwisho ya mahojiano yetu na Mchizi Moxie. Katika interview hii anaelezea mambo mbalimbali ikiwemo maisha yake kiujumla, biashara zake na familia yake. Pia amegusia kipaji chake cha uigizaji na kuwemo katika filamu za kwanza kabisa za Bongo Movie.
#mchizimoxie #bongoproject #bongofleva
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: / bongo_project
Facebook: / bongo-project-10256641...
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: info@bongoproject.org
28 окт 2024