Тёмный

Salama Na GODLIVER SE6 EP26 | LUVVIE PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 

YahStoneTown
Подписаться 397 тыс.
Просмотров 62 тыс.
50% 1

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
LUVVIE
Jina la episode litosheleze kumuelezea mgeni wetu wa wiki hii, hodari, mahiri, mcheshi na mwenye kujielewa ila kikubwa kuliko yote ni Mwanamke. Alipotoka na mipango yake ya maisha ilikua ni moja ya chachu zilizotufanya mimi na wenzangu tuone anastahili kukaa kitako kwenye kiti chetu kile kilichopauka. Na hakukua na mjadala juu ya yeye kuipata nafasi hii.
Godliver kwa sasa ndo nyota yetu ing’arayo kila kona ya bara na dunia kwa ujumla, kwa imani niliyonayo kwake naamini huu ni mwanzo tu wa mengi makubwa na mazuri na pengine ya kushangaza na kuiandikia historia Taifa letu yanakuja, kiu hiyo ya kupata hayo na zaidi unaiona kwenye macho yake na kujiamini alikonako. Ukibahatika na kuangalia kazi zake basi ndo utazidi kuamini na kumtakia kila lenye kheri.
Mitihani na kupanda na kushuka kwenye maisha yake naye alipitia kama kila mmoja wetu, jinsi alivyokua anayapangua na kutengeneza kinywaji kila mara alipokua anarushiwa malimao kumemfanya awe na kiu zaidi na kutaka kusonga mbele zaidi kwa kasi ya majaaliwa.
Alianza kama mas’hara tu na mengine ni historia tu kwa sasa. Mama wa mtoto mmoja ambaye ni kila kitu kwake, Godliver ananihadithia moja ya mikasa mingi ilowahi kumkuta maishani mwake, na pia amenikumbusha umuhimu wa kuchagua marafiki na watu ambao unawaweka karibu kwenye maisha yako.
Alishawahi kubadili dini na kuwa Muislamu, bahati nzuri alikua na wazazi ambao ni waelewa sana, hakuna aliyekua anamhukumu kwenye maamuzi yake, pengine walikua disappointed kwa kiasi fulani, zaidi Mzee wake lakini wala hakuonyesha kushutushwa au kutaka kumsema vibaya kwa maamuzi yake, badala yake waliheshimu na kumpa support tu kwenye maamuzi na maisha yake.
Maisha yamemumfundisha mengi tu, pengine kwa adhabu zaidi yamemfundisha kuwa marafiki ambao ndo aliwaona wanampenda sana waliishia kumhusisha na mambo ambayo si mazuri na ambayo yalimfanya ajaribu imani yake kwa kiasi kikubwa sana.
Humu anakumbuka jinsi alivyokua anahangaika kwa waganga na kujaribu kwa nguvu vitu ambayo vilikua hata havihitaji hiyo njia ambayo alikua anaaminishwa kama ndo zilikua sahihi.
Anakumbuka Imani yake ilivyo jaribiwa na utukufu wa Mungu alipokuja kumuongoza.
Hapo juu nilisema huyo ndo muigizaji BORA wa kike kwa sasa, pengine wengine wanaweza wakawa na mawazo tofauti kidogo na haikatazwi, ila kwenye vitabu vyangu? Kwa hesabu ya leo? Huyu ndo Mama yao.
Sasa aliwezaje kutoka huko? Alikutana vipi na Baba wa mtoto wake? Na filamu au kazi yake ya kwanza ilikua inatwaje? Na aliipataje hasa? Nani ndo anamuangalia sana maishani mwake? Ambaye angependa kuwa kama yeye? Wapi anajiona huko mbele kwenye kazi yake hii?
Natumai utajifunza mawili matatu kutoka kwa Dada Mkali na uta enjoy pia.
Love,
Salama.
Support us through anchor.fm/yahs...
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
Audiomack Link bit.ly/YahSton...
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidS...
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 102   
@albertlokoya7937
@albertlokoya7937 2 года назад
Good Interview, Amenifanya nitake kuokoka na kumkabidhi Huyu YESU Maisha yangu
@evahdaud5045
@evahdaud5045 2 года назад
Karibu Sana Kaka MUNGU akusaidie
@till...m2585
@till...m2585 Год назад
Karibu Mungu anakupenda sana
@jescamathias4673
@jescamathias4673 Год назад
Waooh hongera sana Dadangu kumpokea YESU ubarikiwe sana na utamuona akikushindia
@bustani-inn7328
@bustani-inn7328 2 года назад
Hongera sana Godliver, professionalism, kumpenda Yesu na kumwakilisha katika kazi yako ya sanaa ni mahibiri tosha. Wewe ni mfano wa kuigwa
@hopennko5242
@hopennko5242 2 года назад
Kati ya interview niliwah kuangalia nzuri na hiii,hongereni sana
@dr.sarahbusongo
@dr.sarahbusongo 2 года назад
Glory be To God.... A star made by Jesus Himself.
@sabratally7688
@sabratally7688 Год назад
Nakuelewa sana mdada nakupnda pia na Kwa uchache unahistoria kama yangu kwenye upande wa dini......yesu ni BWANA
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
Ulianzia kwenye uislam pia
@alphaxadackim
@alphaxadackim 2 года назад
Bwana azidi kupokea utukufu wake kupitia Godliver inawezekana kabisa watu wa Mungu kuwa msanii na kumcha Mungu ur blessed dada
@mariagwaje8976
@mariagwaje8976 2 года назад
Wanawake wanaojitambua I love the interview Nakupenda sanaaa Endelea kumwamini Mungu 🙏
@rehemacharles6159
@rehemacharles6159 2 года назад
Nimejifunza kitu kwamba kila jambo ni kumtanguliza Mungu ubarikiwe sana dada
@kazkaz1943
@kazkaz1943 2 года назад
Salama nakupenda sanaaaaa zaman ulikua mkaliii enz za pb unawachamba kina 20%nilikua sikupend ila tangu uwe sweetgirl bint mwenye tabasam nakupenda jaman unatabasam kwa manjonjoo
@nadyaalmhroki8890
@nadyaalmhroki8890 2 года назад
Jamani. Mbona ile ya salama na zuchu hatuipati RU-vid. Ipo vipande vipande imekuaje
@tunumponda8150
@tunumponda8150 2 года назад
Yan sijui wanaweka lini
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 2 года назад
Huyuuuu dada kuzariwa bongo bahati mbayaaa ungekuwa mbele tuuu ww habali nyingine au South Africa ww hela
@neemakikoti5091
@neemakikoti5091 Год назад
Kweli ukimpokea Yesu anakubadilisha, anakuinua anakupa kibali hakika Mungu azidi kukutunza dada Godliv
@rosemaryjohn3860
@rosemaryjohn3860 2 года назад
Glory to God... She is really good, cool and professional
@jn_mustonez7842
@jn_mustonez7842 2 года назад
Napenda ingekuwa unauliza miaka yao ili tujue,sababu wengine tunaogopa kwasababu ya umri wetu kuona mdogo au mkubwa
@jacquelinekadati6142
@jacquelinekadati6142 2 года назад
Nice interview keep going Godliver n God bless up ur career🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 2 года назад
She is so humble anaonyesha n mrembo
@leaherasto929
@leaherasto929 2 года назад
Godliver anajua sana pia anampenda nakumuamin Mungu
@colexcolex952
@colexcolex952 2 года назад
Bbn bo nyjuih
@colexcolex952
@colexcolex952 2 года назад
Bbn
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 2 года назад
Unaweza kuanguka lakini ukiinuka unainuka na sura mpya...Go kipenzi changu Godliver MUNGU ndio kila kitu kwetu
@kissageorge3987
@kissageorge3987 2 дня назад
YESU ni njia na kweli na uzima mtu haji kwangu bila kupita kwa YESU
@nyamarasapeter4302
@nyamarasapeter4302 2 года назад
Nmeangalia nkajikuta nmezama na kusahau kuwa hii ni part 2 na kudhani ni part 1 wakati nmeshaingalia iyo part 1 tayari. Very nice interview; nna uhakika Godliver alisali kwanza na kumuomba Mungu nini cha kuongea kabla ya kuja kwenye interview
@mwanaidikipande513
@mwanaidikipande513 Год назад
Nakupenda Sanaa Godlive natamani sana nikuone
@rachealmbaji9766
@rachealmbaji9766 2 года назад
Keep the fire burning😍😍God is taking you to places❤️
@neemashao5328
@neemashao5328 Год назад
Kumbe kwenye interview wanakaribishana Chakula,wow!salama mkarimu
@PamellaMugisha
@PamellaMugisha Год назад
Mungu azidi kukubariki sana nakuku inuwa zaidi uhedeleye bele zaidi.Pamoja na Mungu ahutaziwilika tena utazidi kusoga mbele zaidi❤❤❤
@evahaje2816
@evahaje2816 2 года назад
Keep going my dear sister neema ya mungu ijuuu yako....we love you
@raimajimoto1122
@raimajimoto1122 2 года назад
Gns.....Mungu amuweke sana uyu dada
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 2 года назад
Ukiwa mtangazaji uta noga sana Una sauti nzuri sana G
@fakiimohamed6163
@fakiimohamed6163 2 года назад
good speaking,, en smile alot 😘
@sara-os9dn
@sara-os9dn Год назад
Godliver your so special in Jesus.
@flaviakennedylwiza1131
@flaviakennedylwiza1131 2 года назад
Very nice interview I appreciate nakupenda Godliver
@mahmoudalawy4931
@mahmoudalawy4931 2 года назад
Nice discussion 👌 Nice experience and excellent 👍 Nice explanation 👌
@aminaawal8953
@aminaawal8953 2 года назад
Mungu akubariki sana wewe ni shabiki wangu ❤️❤️❤️
@jn_mustonez7842
@jn_mustonez7842 2 года назад
Nampenda huyu dada aseeee
@fatufatu5754
@fatufatu5754 2 года назад
Asante sana yaan Kuna kitu kikubwa nimejifunza
@saralusinde53
@saralusinde53 2 года назад
unaongea vizuri,unafunza unajenga na unampenda YESU nakupenda najifunza kupitia wewe
@mwanaidimuhindi6671
@mwanaidimuhindi6671 2 года назад
Jamani Mwanaidi wajina 😀
@jacklinemrina456
@jacklinemrina456 2 года назад
Best interview ever
@rashidathman4831
@rashidathman4831 2 года назад
Indeed!
@mansourahmzinga9256
@mansourahmzinga9256 2 года назад
Salama asante sana kwa kutuletea mgeni pendwa but me lop u ver much ver ver much my dear...
@lokole22tv
@lokole22tv 2 года назад
Wonderful interview 👏
@goodhopeshombe6722
@goodhopeshombe6722 2 года назад
This interview wud be much interesting if it was a gospal interview😊
@ganjatunikilemile719
@ganjatunikilemile719 2 года назад
U said something
@ridhwanally3119
@ridhwanally3119 2 года назад
I like this interview well done 💕💕💕💕😘😘😘
@victoriajoachim7271
@victoriajoachim7271 Год назад
Ila salama jamani una chekesha sana wewe dada.
@careenclay4396
@careenclay4396 2 года назад
Well said apo kwenye kutuambia wadada U said it all sisy
@reginajava4775
@reginajava4775 2 года назад
Mm nampenda Sana huyu dada
@dullydullahsenior756
@dullydullahsenior756 Год назад
Is blessed to do the interview with legend Salama 🔥🔥🔥🏆🏆🏆❤️❤️❤️❤️
@rosehaule6765
@rosehaule6765 2 года назад
Yaan hapa vichwa vimekutana so amaizing mashallah bless guys 🖕👌
@araskiezgoldskies
@araskiezgoldskies 2 года назад
Aisee kongole Godliver talanta yako ni kubwa mnoo tunakutegemea kwenye Hollywood wakati ujao ucheze Filamu na Kina John Dywane (The Rock) Ufanye Science Friction Hiyo filamu Jay Z awe mtozi (producer) mhusika mkuu wewe na will smith .......pia unapendeze kwenye fantasy
@rosegideon336
@rosegideon336 2 года назад
Godliver Mungu akubariki.
@paulinalonje794
@paulinalonje794 2 года назад
God be with her♥️♥️
@maisalahhassan3180
@maisalahhassan3180 2 года назад
Nampenda sana na anajua sana kuigiza
@fatmaamissi7251
@fatmaamissi7251 2 года назад
Salam napend saàn hich kipid chak saàn msalim Na da Anna
@hildahtemu
@hildahtemu Год назад
Ahahaha mi nilijuaga Mzee ahahaha
@nellymsigwa6997
@nellymsigwa6997 Год назад
MUNGU hana upendeleo,barikiwa
@ireneanold1662
@ireneanold1662 Год назад
Nampenda sana huyu dada❤ she is special
@elizaberthmalewa8045
@elizaberthmalewa8045 2 года назад
Sijachoka kuangalia Aiseee G yupo vizuri mnoo
@moses_2555
@moses_2555 Год назад
Safi sana nimekuelewa GOD bless u
@fauziakitenge8061
@fauziakitenge8061 2 года назад
Mbona ile interview ya Zuchu haipo?
@sophiamfikwa7340
@sophiamfikwa7340 2 года назад
Godlvr🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🤛God bless you sstr
@agnessmyonga2267
@agnessmyonga2267 2 года назад
My favorite
@ericadepree1906
@ericadepree1906 Год назад
❤️❤️❤️
@damianachengula1412
@damianachengula1412 Год назад
Nimekupenda sana dada
@salummakenzi4846
@salummakenzi4846 Год назад
Nakupenda bule anna wa jua kali
@MagrethMaganga-uu2nj
@MagrethMaganga-uu2nj Год назад
nakupenda saaa dada anguu
@thobiethalibutu1465
@thobiethalibutu1465 2 года назад
I like you Godliver a.k.a Anna.
@rebecapeter8694
@rebecapeter8694 2 года назад
Nice interview..waooo
@ashumohd2192
@ashumohd2192 2 года назад
Ahahaha 😂 et makengeza
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
💙🔨👏
@jacqueveoliver918
@jacqueveoliver918 Год назад
Lov you two
@ArafaMalinga-bq8cq
@ArafaMalinga-bq8cq Год назад
Two
@adelaashery8315
@adelaashery8315 Год назад
Glory to God
@fabiolabeni71
@fabiolabeni71 2 года назад
Anna bill mazengo nampenda mnooo
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
🔥🔥
@bupesauly2256
@bupesauly2256 Год назад
Nakupenda sana
@aikashayo4305
@aikashayo4305 2 года назад
I love her
@rashidngwawile9062
@rashidngwawile9062 2 года назад
Huyu dada jaman yupo vzr
@chimamyatu4124
@chimamyatu4124 2 года назад
👏👏👏👏👏👏
@linnetmbotto7212
@linnetmbotto7212 Год назад
W😮W
@namnyakiabell3818
@namnyakiabell3818 Год назад
🥰🥰🥰
@jacklinejerr2447
@jacklinejerr2447 2 года назад
Amesema ukweli kuhusu wasanii kutokua serious na kaz
@gradnessjackson8922
@gradnessjackson8922 2 года назад
Ant ana samahani naomba uniunganishe kwenye sanaa zenu
@judithmwakatundu
@judithmwakatundu Год назад
Amen
@jn_mustonez7842
@jn_mustonez7842 2 года назад
Napenda ingekuwa unauliza miaka yao ili tujue,sababu wengine tunaogopa kwasababu ya umri wetu kuona mdogo au mkubwa
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
Kwa nini unaogopa kujulikana umri wako
@JacqueUlomy-nn9mm
@JacqueUlomy-nn9mm Год назад
❤❤
@jn_mustonez7842
@jn_mustonez7842 2 года назад
Napenda ingekuwa unauliza miaka yao ili tujue,sababu wengine tunaogopa kwasababu ya umri wetu kuona mdogo au mkubwa
@sikudhanicharles3933
@sikudhanicharles3933 2 года назад
Ww miaka ya mtu inakusaidia nn yani jaman😂😂😂watu mmekazana kutaka kujua miaka ya watu heee ukijua yako inatosha tu jaman
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
@@sikudhanicharles3933 🤣🤣
@arafasaid
@arafasaid Год назад
Nakupenda bure bure Godliver
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
​@@sikudhanicharles3933 😂😂😂
@arafasaid
@arafasaid Год назад
@@Catherine-mh8sw nop
Далее
POLI и Маша - Сигма бой
00:20
Просмотров 285 тыс.
USIYOYAJUA KUHUSU KARIAKOO || KARIAKOO HISTORY!!
33:03
Mimi S01Ep01 (TV Series)
25:19
Просмотров 99 тыс.
Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1
25:27