Тёмный
No video :(

Mdahalo wa Muguka 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 33 тыс.
50% 1

#citizentv #citizendigital #kenya #news

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 132   
@Meshalleez
@Meshalleez 2 месяца назад
Miraa/Muguka usiyo ila yakuwashia Niiiii????? People should respect other peoples choices. We are adults, if we choose to chew Miraa/Muguka we have a right to chew it, if you don't like it, its also OK, it's your right. So to all trying to have miraa banned please stop trying to force everyone to your point of view. Save yourself first we don't need you to "Save" US, we want you to respect our choices same as we respect your harmful cigarettes, alcohol and religions.
@fahardkenga5034
@fahardkenga5034 2 месяца назад
Kula wewe na familia yako😂😂sisi watu wa Mombasa hatutaki tena!!!!
@shamsiyasalim6866
@shamsiyasalim6866 2 месяца назад
Waislamu na wakristo wasichoke kumlilia mungu aondowe janga hili la mukoka na mungu atajibu siku moja
@Meshalleez
@Meshalleez 2 месяца назад
Kwani ni nani alilete "janga hili" Si Mungu tena???? Sio yeye aliumba Muguka na Miraa???? Kama Mungu alisema Miraa na Muguka ni nzuri, wewe ni nani kusema ni mbaya????
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 месяца назад
KwanikilaKituAlichokiumbaKinaliwa.weVipi.mbona.huli.mavi​@@Meshalleez
@khamisibro2106
@khamisibro2106 2 месяца назад
Kama mimi mlaji wa miraa...hao jamaa si walaji kabisa wamelipwa
@florencewangechi8330
@florencewangechi8330 2 месяца назад
Miraa should be banned. Especially in coastal areas. The temperature there can be detrimental. Let the mountain respect the ocean
@user-oz9ib8gl5y
@user-oz9ib8gl5y 2 месяца назад
Kuna jamaa asema Yuko sawa hapo lakini ukimtazama katoa macho dhahiri kwamba abebwa na mawimbi ya maji ya mugoka, gonga like
@SuleimanJuma-dv8gt
@SuleimanJuma-dv8gt 2 месяца назад
Let's stop this nonsense, kuna vitu muhimu zakushughlikia kwa hii nchi. Kama wa Coast hatitaki miraa na mugokaa then stop it. It's not a must to bring that poison in Mombasa take it somewhere else.
@fablovesaadi9879
@fablovesaadi9879 2 месяца назад
Tawi la Mugoka inaleta uwazimu na ugomvi katika jamii na ni ukweli kwa hivo mimi ningesema ipigwe marufuku ipasavyo.
@saidibaya5327
@saidibaya5327 2 месяца назад
Kama muko wengi kwenu bcy uzeni huko kwenu
@margaretndeto2193
@margaretndeto2193 2 месяца назад
Huku kwetu kuna joto hatuna back up so kuleni wenyewe hatuutaki
@Darkroro_
@Darkroro_ 2 месяца назад
We ukona ujinga Sana key board warrior
@tatujuma8781
@tatujuma8781 2 месяца назад
​@@Darkroro_mjinga ni babako...
@aquiiinoaquino2380
@aquiiinoaquino2380 2 месяца назад
Kama ni nzuri Sana si mkule tu huku kwenu. Kwanza nyinyi ni wengi Sana. You said one man one shilling Sasa ni one box of muguka /miraah to one person. Thanks alot my coastal leader
@Meshalleez
@Meshalleez 2 месяца назад
Kama wewe hautaki usikule, wacha watu waishi vile wanataka. Sisi sio watoto.
@kimanithings5603
@kimanithings5603 2 месяца назад
hakuna mkenya anaitwa kama wewe na kwa hivyo ongelelea kwenye umetoka sio kwenye umekuja ku settle
@coolbz133
@coolbz133 2 месяца назад
Sio siasa hatutaki wapigieni simu wenye kutumia mgokaa waje waie huko kwenu mgokaa😂😂😂
@timaidarus4220
@timaidarus4220 2 месяца назад
Waraibu wa mogokaa hawawezi kubali kuachishwa majani hayo .MOGOKAA HATUTAKI .CITIZEN TV musichukue maoni ya watumiaji na wanaonufaika na majani haya hatari.pelekeni maabara muambiwe madhara yake halisi.
@saidibrahim5931
@saidibrahim5931 2 месяца назад
Pigana na dawa za kulevya ambao ndio wanauza hao watu sio muguka
@timaidarus4220
@timaidarus4220 2 месяца назад
@saidibrahim5931 madawa tunapigana nayo lakini yanauzwa kwa siri kubwa sana Mogokaa na merungi hatutaki wanaotaka hawajali afya zetu. MADHARA YAMETHIBITISHWA .makubwa kuliko madawa yote ya kulevya.
@osmanhaji2156
@osmanhaji2156 2 месяца назад
We want to research if mugoka is good for animal feed. Tunaweza kusaidiya mugoka farmers.
@daviddaking6761
@daviddaking6761 2 месяца назад
kama mbuzi haiezi kula moghokaa it tells alot😂😂
@abdulla201
@abdulla201 2 месяца назад
Miraa na muguka nitafauti...muguka ni noma sana
@shamsiyasalim6866
@shamsiyasalim6866 2 месяца назад
Ngependa waislamu na wakristo waigie makanisani na waislamu waigie miskitini wamlilie mungu awalani hao wanao unga mkono mukoka
@OldisGold1982
@OldisGold1982 2 месяца назад
Mukoka
@user-uj5pv3qn9y
@user-uj5pv3qn9y 2 месяца назад
Kama wewe
@DanielMwachira
@DanielMwachira 2 месяца назад
Hawa wote niwazima kiafya kweli? tena ati wanatetea mugokaa wapizi sana
@oyay2821
@oyay2821 2 месяца назад
Kama ni nzuri wakule wao wenyewe, sisi Mombasa hatutaki Mogokaa
@user-sp2fq5xu6v
@user-sp2fq5xu6v 2 месяца назад
hata weee rasta angalia ulivyo,kama mwizi tu juu ya jaba
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 месяца назад
🤣🤣🤣
@chriscao9828
@chriscao9828 2 месяца назад
Wameru na waembu mtafugwa safari hii 😂🤣🤣
@sosdododo5653
@sosdododo5653 2 месяца назад
Sawa kuleni huko fujo lanini simukule nyinyi tena muuko wengi uzeni huko ,,huku coast hawataki sasa munawalazimisha kwanini
@ANTONYMUNENE-oh7vm
@ANTONYMUNENE-oh7vm 2 месяца назад
Wewe ni mojinga
@sosdododo5653
@sosdododo5653 2 месяца назад
@ANTONYMUNENE-oh7vm mjinga ni yule anaelazimisha mwenzake kufanya kitu ambao hakitaki ,,sasa waona vipi kua na akili kua na mawaoza yakiheshima
@Musenangu001
@Musenangu001 2 месяца назад
Kulingana na mimi ningependa miraa na mogokaa ingepigwa marufuku kabisa. Jaba ni nini ? shame on you
@chriscao9828
@chriscao9828 2 месяца назад
The bottom line hatutaki hizo takataka pwani
@excovitormantitusmontana3789
@excovitormantitusmontana3789 2 месяца назад
pwani Kuna vitu zingine munatumia mnawekelea mugoka
@chriscao9828
@chriscao9828 2 месяца назад
@@excovitormantitusmontana3789 mtafugwa safari hii hakuna biashara ya mugukaa itafanywa huku
@waywepet6871
@waywepet6871 2 месяца назад
Nyinyi mnaona tu pesa ila sio kuona madhara kwa watu.
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 месяца назад
Wote wanaopiga kelele kumbe ni wauwaji wanatetea mifuko yao!
@mohamedalimwangare
@mohamedalimwangare 2 месяца назад
Hawa hawaelewi vita vikubwa ni Mugokaa na kisha kama hiyo miraa wenyewe wasema ni watu wakubwa hakuna watoto shida huku unauzwa kiholela na utumiaji hadi watoto wa chini ya miaka 15. Kwenu Ina manufaa ila huku kwetu madhara matupu ukweli ndio huo na kama lazima kuuzwa Kenya iko na county ya 47 watoe za pwani wapiganie soko katika hizo county nyengine.
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y 2 месяца назад
Kuleni uko kwenu msa atutaki kwani shida ikko wapi kuleni uko uko
@niominiomi3334
@niominiomi3334 2 месяца назад
Kwanini mna lazimisha watu kununua mogoka?🤨 hiyo mogoka ni mbaya
@user-sp2fq5xu6v
@user-sp2fq5xu6v 2 месяца назад
vizuri msinge lalamika,mnge uzia huko kwenu tu
@shamsiyasalim6866
@shamsiyasalim6866 2 месяца назад
Na mungu atawajibu maombi yao mungu hatawaacha watajibiwa maombi yao mungu awalani sana mungutena walaniwe
@user-zq6dw1zv4g
@user-zq6dw1zv4g 2 месяца назад
Huyo maziwa lala Governor ni mjinga wa mwisho 😅😅😅
@shuaibalula9003
@shuaibalula9003 2 месяца назад
Muuza bangi pia anasomesha
@user-sp2fq5xu6v
@user-sp2fq5xu6v 2 месяца назад
angalia afya ya hao wanao kula mgokaa
@jotonyae-04
@jotonyae-04 2 месяца назад
Vijana wa jaba hawafanyi kazi, hilo ni kweli
@josphatananga4963
@josphatananga4963 2 месяца назад
Hakuna kwenu Mombasa Ni yetu Sisi zote.
@naftalyondara3054
@naftalyondara3054 2 месяца назад
Muguka na miraa marufuku kenya mzima
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 2 месяца назад
Kazi kubwa hii.
@bakariweko3958
@bakariweko3958 2 месяца назад
Nyinyi wenyewe amko sawa watu wa kimana
@user-sz9hx9pr6t
@user-sz9hx9pr6t 2 месяца назад
Wale wao hiyo miraa na migokaa .wasilazimishe wapwani
@user-nh1yc4nt4p
@user-nh1yc4nt4p 2 месяца назад
Sio lazima ww peleka sehemu nyengine kwenye wanataka pwani hatutaki
@rahmatsumo3274
@rahmatsumo3274 2 месяца назад
Wote hao ni wameru wenye mashamba ya mugokaa na miraa hatutaki mugokaa mombasa
@ahmedaljabri5891
@ahmedaljabri5891 2 месяца назад
Wa Embu na Wa Meru kama ina wapa faida na kazi kwa watu wengi endeleni kupanda na muvune muji uzie wenyewe usomeshe watoto wenu
@linewangui8997
@linewangui8997 2 месяца назад
ASK WOMEN. THEY DON'T WANT MUGUKA. IT HAS MADE MEN USELESS
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d 2 месяца назад
Mombasa wameshindwa kupambana na ushoga wanapamba na miraa
@HELLENNdungo
@HELLENNdungo 2 месяца назад
Kuleni kwenu hatutaki
@benjaminosura7665
@benjaminosura7665 2 месяца назад
Kwao ni wapi kuma ww hii kenya ni yetu sisi sote no matter where the corner of kenya you come from u are allowed to do business without fear or contradiction
@martinwambua8720
@martinwambua8720 2 месяца назад
Angalia hao watu wanakaa mbuzi😂😢
@user-uj5pv3qn9y
@user-uj5pv3qn9y 2 месяца назад
Muguka na miraa marufuku mara moja,
@user-nh1yc4nt4p
@user-nh1yc4nt4p 2 месяца назад
Sasa ww kula lkn mombasa hatutaki
@naftalyondara3054
@naftalyondara3054 2 месяца назад
Miracle na muguka inashapisha wizi wa :mayai,kuku,ngombe,mbuzi, na vinginevyo ipiwe marufuku Mara Mia tano
@user-vg8ok3vc9n
@user-vg8ok3vc9n 2 месяца назад
Kaeini na faida zenu
@user-uj5pv3qn9y
@user-uj5pv3qn9y 2 месяца назад
Miraa na muguka ingorewe kutoka mashambani mwao na lpotelee mbali san
@martinwambua8720
@martinwambua8720 2 месяца назад
Mwendawazimu atajua vipi akona wazimu?
@KenJuma-tz2hg
@KenJuma-tz2hg 2 месяца назад
Mnapack kwa magari mkipeleka wapi?
@waywepet6871
@waywepet6871 2 месяца назад
Sasa ukiangalia Hawa watu wanaongea wako sawa kweli
@gonasaidjuma2700
@gonasaidjuma2700 2 месяца назад
Wamelipwa hao muda murefu gani wenyewe ukiangalia Wana umri gani wakusema mdamurefu wote ni under 27 /30 yrs
@TaifaPictures
@TaifaPictures 2 месяца назад
Kuleni huko kwenu nyinyi SI wazima
@AbisaeOketch
@AbisaeOketch 2 месяца назад
Hata wewe unaona ao wanatao maoni wako sawa kweli 😂
@tsumaanthonyndewa9696
@tsumaanthonyndewa9696 2 месяца назад
He says it right in meru people don’t eat miraa but in coast we don’t miraa.. free miraa in coast.
@user-nh1yc4nt4p
@user-nh1yc4nt4p 2 месяца назад
Sasa kama Iko na faida nyingi kuleni huko pwani hatuutaki
@Irene-rt4bf
@Irene-rt4bf 2 месяца назад
Hawajakatazwa wauze ila wauzie kwao kwan shida iko wapi nyinyi uzueni na msomeshe hao watoto wenu,huu n ujinga tuu,
@abdulla201
@abdulla201 2 месяца назад
Shida sio kuvaa shida sx aufanyi poa yani nguvu zakiume ziko chini sana
@user-uj5pv3qn9y
@user-uj5pv3qn9y 2 месяца назад
Muguka ibanniwe mara na kungorewa kutoka kwa shamba na kujangia wizi na hawaogi hata na kunuka miili yao
@naftalyondara3054
@naftalyondara3054 2 месяца назад
Chapa ifungwe kabisa kote nchini
@-xm6qj
@-xm6qj 2 месяца назад
Wanafki sana hawa watu.... Mara munasema mugokaa unesababisha wasiuze madawa mengine sasa mume ambiwa watu wanachizika munasema mugokaa unatumiwa na madawa mengine... Bado pande moja munasema mugokaa sio madawa ya kulevya pande nyingine munasema mugoka ume replace heroin na cocaine... Mungu atawashinda na mutokomee kabisa na kila maafa muliyosababisha wenzenu yatawafuata kizazi chenu, mashetani, wachawi, hypocrites.... Public enemy namba moja. Mushindwe na mulegee
@Fitima-ds7kf
@Fitima-ds7kf 2 месяца назад
Idlers wako wengi Mombasa while Meru people are active.
@user-kv1tm4kc4y
@user-kv1tm4kc4y 2 месяца назад
mwende mtupu kanisani, miraa ni bangi
@wilsonmwalungo7704
@wilsonmwalungo7704 2 месяца назад
Huku kwetu twapiga unga bugizi kwa wingi mugokaa wafanya twafikiria hadi samaki wetu na minazi nayo iwe yauzwa kenya nzima toka Coast na viongozi wetu hawataki hilo swala ju hawatatutumia tena sasa kuleni wenyewe mugokaa sisi tubaki na unga mabugizi bangi😂😂😂
@naftalyondara3054
@naftalyondara3054 2 месяца назад
Muguka ibaniwe Mara moja
@user-iv3mj2dq3o
@user-iv3mj2dq3o 2 месяца назад
Don't forget condition varies Na hao wakula miraa si mugoka
@saidmohamed7178
@saidmohamed7178 2 месяца назад
Miraa sio mbaya ni mungoka tuu
@KenJuma-tz2hg
@KenJuma-tz2hg 2 месяца назад
Haram
@naftalyondara3054
@naftalyondara3054 2 месяца назад
Marufuku miraa na muguka iende mendo wa kasi
@user-uj5pv3qn9y
@user-uj5pv3qn9y 2 месяца назад
Wameru wause kwa watoto wao
@muneshizationed
@muneshizationed 2 месяца назад
Muguka labda ata ndio inaokoa hao vijana wa pwani. Wasipo ila wataendea unga pale maeneo. Pia wasipo ila wata hisi njaa na watakosa pahali pa ku idle juu enyewe muaelewa na vijana pale. Mwishowe ni shingo zenu wata idle nazo. Mkitaka waachane na mogoka watafutieni njia za kupata riziki. Wakipata kazi self esteem ipande then hakuna mwenye ata taka kuonekana vibarazani wakitafuna mogoka. Pia ukimwi utaongezeka pwani mkiipiga marufuku.
@KenJuma-tz2hg
@KenJuma-tz2hg 2 месяца назад
Simple minded
@user-zq6dw1zv4g
@user-zq6dw1zv4g 2 месяца назад
Governor maziwa lala fuata wale wa Dawa za ulevia sio mogoka
@IsmailBaya
@IsmailBaya 2 месяца назад
Muna lazima gani na mombsa,shenz type
@JacksonMutinda-jw5qw
@JacksonMutinda-jw5qw 2 месяца назад
We kweda uko,dogo jiga
@bakariweko3958
@bakariweko3958 2 месяца назад
Atutaki tena mumetubeba ujiga miaka mingi sasa tumeamka sasa pwani
@Vincentmwangi-co8hr
@Vincentmwangi-co8hr 2 месяца назад
Kuleni nyinyi wameru
@mikeotwani8974
@mikeotwani8974 2 месяца назад
Vijana vijana
@naftalyondara3054
@naftalyondara3054 2 месяца назад
Kutoka kimana ifungwe Mara MOJa iwesekanavyo
@bahatisuleimangowa1980
@bahatisuleimangowa1980 2 месяца назад
Huenda mazigara ya pwani !Joto,jua na chumvi ya bahari ndio aingiliani na migoka na miraa.
@KenJuma-tz2hg
@KenJuma-tz2hg 2 месяца назад
Leteni vitu za maana, hatutakosana
@mohddon9899
@mohddon9899 2 месяца назад
You are chewing for the camera you can't fool us
@user-uj5pv3qn9y
@user-uj5pv3qn9y 2 месяца назад
Chapa ifungwe mara moja
@Diani_lifestyle-254.
@Diani_lifestyle-254. 2 месяца назад
Did i just see a plastic paper bag...and government is quite about it
@nelsonnyaga1979
@nelsonnyaga1979 2 месяца назад
Mombasa they are naturaly lizy....wato wao ni unga na dawa zingine...
@user-sp2fq5xu6v
@user-sp2fq5xu6v 2 месяца назад
uzeni kwenu
@user-is7hj1ol9l
@user-is7hj1ol9l 2 месяца назад
Wakule wameruu
@margaretreeves3792
@margaretreeves3792 2 месяца назад
Then eat it yourself don’t force other people
@AbdikadirMagan
@AbdikadirMagan 2 месяца назад
Mirror👍❤
@alka-xo2ho
@alka-xo2ho 2 месяца назад
What's the defference between miraa and Mugika are they not drugs which's a drug which is a medicine even tobacco is a drug bann all if you want .
@KenJuma-tz2hg
@KenJuma-tz2hg 2 месяца назад
Almost there
@Dr.Salem-user-vq5jc1vj7x
@Dr.Salem-user-vq5jc1vj7x 2 месяца назад
No decent individual has been seen in those cameras who chews Miraa ...Muguka is hell on earth and should have been banned long time. On issue of Economy even Bhang,Heroine and some other drugs are economic boost!
@IreneKendi-zl6zo
@IreneKendi-zl6zo 2 месяца назад
Mombasa ni ukabila cuz viongozi wa MSA ni WA upinzani so wanaona kule muguka/miraa inatoka ni upande wa serikali so wameanza njia ya kumtafuta Raisi wetu na mm nawambia hawatuwezi it's a cash crop like any other, so namuomba governor wa Mombasa apigane na unga mwanzo ndio afikie muguka
@KenJuma-tz2hg
@KenJuma-tz2hg 2 месяца назад
Uzieni raisi wenu basi
@margaretreeves3792
@margaretreeves3792 2 месяца назад
You have been paid to chew for the camera
@gerishorion-hl7oe
@gerishorion-hl7oe 2 месяца назад
miraa was not ban what was ban was munguka
@tatujuma8781
@tatujuma8781 2 месяца назад
Si muuze kwenu
@shafikarzai321
@shafikarzai321 2 месяца назад
That's true
@piusnyaboga903
@piusnyaboga903 2 месяца назад
Wajinga nani alisem mwanaume dio upeana twins
@IreneKendi-zl6zo
@IreneKendi-zl6zo 2 месяца назад
Pigana na izo unga na bangi yaani mihandarati yote
@KenJuma-tz2hg
@KenJuma-tz2hg 2 месяца назад
Inamaana hizo lorry za muguka,ndizo huleta dawa za kulevya mkisingizia eti mnaleta miraa na iyo taka taka
@AbdikadirMagan
@AbdikadirMagan 2 месяца назад
Kkkkkkkk
@shamsiyasalim6866
@shamsiyasalim6866 2 месяца назад
Mungu ayateketeze hayo mashamba ya mukoka kwani ardhi ni yake hakuna mtu aliyeumba ardhi. isipokuwa ni mungu tu! Walaniwe wote na mungu
@JacksonMutinda-jw5qw
@JacksonMutinda-jw5qw 2 месяца назад
Uko na akili wewe??? Silly
@ED-zi9rb
@ED-zi9rb 2 месяца назад
From Yemen to Ethiopia to Kenya God made a grave sin to create miraa tree.?
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y 2 месяца назад
Ya bora mukule uko ivo tu akuna shida
@AliAbdul-ve5ve
@AliAbdul-ve5ve 2 месяца назад
Bangi pia ameajiri watu wengi watoto wanasomeshwa
Далее
СМАЗАЛ ДВЕРЬ
00:31
Просмотров 188 тыс.
Fangs of Corruption
32:40
Просмотров 57 тыс.