Тёмный

SOKA NA WENZIE KUTOWEKA, IGP, DPP KESI MAHAKAMANI “WASIOJULIKANA NI WATU WADOGO KULIKO MBU” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 21 тыс.
50% 1

SOKA NA WENZIE KUTOWEKA, IGP, DPP KESI MAHAKAMANI “WASIOJULIKANA NI WATU WADOGO KULIKO MBU”

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 87   
@EliaHiluka
@EliaHiluka 17 дней назад
Hongereni sana akina madereka Mungu awabariki sana
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 17 дней назад
Kazi nzuri sana Mawakili wetu Mungu awalinde na madui
@marieconnect6389
@marieconnect6389 17 дней назад
Kijana wa CCM hongera sana. Umeeleweka kabisa. Yawezekana kweli kuna njama za chini kwa chini za hujuma chama, serikali na mama.
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 13 дней назад
Ni kweli kabisa hivi kwa sasa wamehujumiwa wangapi na wametekwa wangapi hao vijana wa ccm na wanachama wametekwa wangapi? Ili tujue kweli wanahujimiwa
@EliaHiluka
@EliaHiluka 17 дней назад
Asanteni sana Mungu awabariki sana
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws 17 дней назад
Serikali ina wapigaji wengi sana kila siku wanajifany wanazungumzia amani kumbe wao wenyew nd wanaopinga iyo amani we ulion wap watu wasiojulikan wanalipwa mshahara na serikali si uhuni wa wazi kabisa.
@JeremiahMwakanyamale
@JeremiahMwakanyamale 17 дней назад
Kwauwepo wenu tunapata moyo...endeleeni na kazi hiyo mungu yu pamoja nanyi.
@majutoomari7445
@majutoomari7445 17 дней назад
Hongereni sana mawakili kwa kazi hii
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo 17 дней назад
Miaka yote Wah. Mawakili mlikuwa wapi??. Inapendeza sana kuona mpo na mnatetea haki za wananchi wazarendo. Nchi hii ni ya amani. Ee Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
@bakarially1288
@bakarially1288 17 дней назад
Pamoja sana mawakili Mungu yupo Pamoja nanyi hakika
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 17 дней назад
Tunawaombea hakika. Hiii iwe mwisho mwisho mwisho mwisho Tz tumezidi mno kufanya mambo mabaya , vijana wetu wanapotea mno mno
@NellyMadeni
@NellyMadeni 17 дней назад
Unazidi kunifurahisha madereka❤❤❤❤
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 17 дней назад
Madeleka na mawakili wenzako mnafanyaKazi ya kitume. Mungu awalinde.
@happymrema7487
@happymrema7487 17 дней назад
Safi sana kaka nimefurai nilikuwa nahuzunika sana kwa kwel
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md 17 дней назад
Mungu awape ushindi
@juliusmsegu3347
@juliusmsegu3347 16 дней назад
Madeleka Mungu akubariki Sana na akulinde katika maisha yako. My prayers will be on you kwa hii wiki nzima. Wewe na wenzio.
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 17 дней назад
Mtakatifu mtakatifu bwana mungu wamajeshi. Mbingu na dunia zimejaa utukufu wako.upo wapi mungu wamajeshi mbona kipande chako cha tanganyika kimeingia dosari .niwewe mtakatifu mtakatifu tuondowe na laana hii waliyo laaniwa nawalaniwe. Utukufu upo kwako mtakatifu hayupo tena mwingine zaidi yako wewe mtakatifu
@luciasteven3314
@luciasteven3314 16 дней назад
Next time nebo Mungu anza n herufi kubwa dear
@AbdulysuleimanShemashilu
@AbdulysuleimanShemashilu 17 дней назад
Hii nch yetu itakua yaajabu sana kama viongoz hawataliona hili kua ni jambo baya baya
@josephfrank4446
@josephfrank4446 17 дней назад
Kweli kabisa 😢😢bongo tuko pabaya
@marieconnect6389
@marieconnect6389 17 дней назад
Vitendo cha utekaji vijana wetu vikomeshwe kwa nguvu zote.
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 17 дней назад
Asanteni sana
@EmmyFesto
@EmmyFesto 17 дней назад
madeleka tunakupenda saana mungu akubalik saana ila angalia haoo wasioo julikana wasije wakakuchukuwa
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 17 дней назад
Jumapili ijayo ibada zote zisali kumwombea peter madereka
@jonasimwanzi
@jonasimwanzi 17 дней назад
Safi sana umewaza vyema
@deoselcom9701
@deoselcom9701 17 дней назад
Aiseee hili likijulikana itakuwa safiii sana na itakuwa funzo
@SaidHamis-hy5ps
@SaidHamis-hy5ps 16 дней назад
inauma sana lakini mungu yupo ayo nimadalaka tu. ya muda hawajajileta wao duniani mungu atajibu
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 17 дней назад
Soka na wote mliopotezwa tunawaombea Wazazi ndugu jamaa tunawaombea Mawakili tunawaombea Viongozi wa vyama mnaopaaza sauti zenu tunawaombea!!!! EE MUNGU TUONDOLEE WATAWALA WABAYA WADHALIMU
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 16 дней назад
eti kuwaua bila kufuata utaratibu,😆😆😆 sasa kuna kuua kwa utaratibu??
@YonahMwamwaja
@YonahMwamwaja 17 дней назад
Ongereni saana mawakiliwetu.
@saulimmbaga.safisana9556
@saulimmbaga.safisana9556 17 дней назад
Natamani sana nchi hii iongozwe na wanasheria
@user-qp6lx9ql1q
@user-qp6lx9ql1q 17 дней назад
Na yule wa mbeya jmn😢😢
@marieconnect6389
@marieconnect6389 17 дней назад
Mungu awalinde huko waliko
@ajuayearon5760
@ajuayearon5760 17 дней назад
Madeleke 👌👌💥💥💥
@Richzones
@Richzones 17 дней назад
Senate sna mawakili kwa kutusaidia
@lordymawoiya5818
@lordymawoiya5818 14 дней назад
I think judges are taking orders from above
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 17 дней назад
Kipimo tosha Cha uchaguzi mwakani .Wabongo tuamkeni jmn
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 17 дней назад
Nani atanitazama siku ya mateso yangu!! Wengine wanao watu wanaowategemea
@user-rl6vf9tg8m
@user-rl6vf9tg8m 17 дней назад
Madeleka uishi miaka mingi
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 17 дней назад
HATA MAJAJI WATUSAIDIE KUHUSU HILI MAANA YATAZIDI KUTOKEA NA MWISHO YATAKUJA KUTOKEA HATA KWA VIONGOZI wastaafu na sisi raia nchi itakua itatisha
@rithaurassa
@rithaurassa 16 дней назад
Eeee Mungu leta watetez wengi kama haw. Hadi machoz.Tumbo la wamama linuma jaman.Hawa Mawakili wetu wanajua uchungu wawazaz ndio maana.Mungu aendelee kuwakumbatia Mawakili woote wanaotetea haki za Watanzania.😊
@user-ct1qp3th5f
@user-ct1qp3th5f 12 дней назад
Kiburi Cha serikali hii ni kule kujenga mazoea kwamba wanaosema watachoka watalala.
@saimonntani6831
@saimonntani6831 16 дней назад
Yaani watanzania inabidi tukatae huu ujinga kabisa.hatakama hatujaenda shule hatapicha inaonekana.Hutu Rais hafai kuwa Raisi watanzania.utawalawake hata haueleweki hata kidogo kaziyao kufanya ufisadi tuu.akisgirikiana namzee mstaaffu wa musoga yaani hao Inabidi wanyingwe kabisa. Wananchi wanapata shidda sababu yWatu wa2 au 3
@stephenwakunyala4004
@stephenwakunyala4004 17 дней назад
Mungu awalinde Mawakili wetu, maana tunako elekea siko
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 17 дней назад
Mmh watakapo anza polisi kupotea labda ndo tutapata kujua
@mchungajimpigauzitv5703
@mchungajimpigauzitv5703 17 дней назад
Balikiwa sana mwana wa Mungu
@jumamzava2400
@jumamzava2400 17 дней назад
Kaka Madeleka kua makini hao mb'u kweli ni wadogo ila ndowanaotuuwa na maleriya
@DamasiMwanansila
@DamasiMwanansila 16 дней назад
Watanzania atuna ushilikiano malekan mwana nnchi mmoja aliuwawa na polisi wamalekani wote waliandamana
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 13 дней назад
Tunatamani kujua olodha ya vijana uv ccm wametekwa wangapi mpaka sasa tukijua itatupa kujua ukweli kwamba wasiojulikana wapo au hawapo
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 17 дней назад
Mmmh ni hatari!🤷🏾‍♀️
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 17 дней назад
Yesu awatetee,
@wilsonandlea8614
@wilsonandlea8614 17 дней назад
Pamoja mwamba
@kibwetere1418
@kibwetere1418 17 дней назад
Tunaomba namba za madereka ili mtu akipatwa Janga iwe raisi kuwasiliana naye
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 17 дней назад
Madeleka kweli uwakili wako una mashaka kwani wanaopotea woote mbona hamkuwateyea
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 17 дней назад
WATU WANAKOSA UBINADAMU KABISA MTAWATESA JE WANANCHI KI HIVI????
@kalebiestomihi
@kalebiestomihi 12 дней назад
mimi.natamani maisha ya.tanzania yawe kama ya huku.goma ninakoishi.nadhani.tungeeshimiana
@essaumapunda5766
@essaumapunda5766 17 дней назад
Tz inakwenda wapi sasa
@pennymahombo9528
@pennymahombo9528 17 дней назад
MUNGU walinde wote
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 17 дней назад
Kuwauwa bika kufata utaratibu sio😂😂
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 17 дней назад
Maana yake kama mtu amefanya kosa linaro stahili adhabu ya kifo hiyo adhabu inatolewa na mahakama tu . Ndiyo maana yake
@juliusmsegu3347
@juliusmsegu3347 16 дней назад
Haki ya Hawa vijana ikishindikana nashauri hii kesi ipelekwe katika kahakama za Africa ama za kidunia. Uhuni huu haukubaliki katika ardhi hii tukufu ya Tanzania chini ya Rais wetu mpendwa SSH.
@Mjeda-q1m
@Mjeda-q1m 17 дней назад
Magufuli aliwaingiza chaka iliawadhibiti wanaompinga kumbe alikuwa anapandikiza mbegu mbaya kwenye vyombo vyetu vya dola dhidi ya wananchi na wapinzani
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 17 дней назад
Sasa kwani wanaopotea woote ni polisi ndiyo wanaowapoteza Ni upumbavu tena upumbavu mkubwa sana
@DamasiMwanansila
@DamasiMwanansila 16 дней назад
Mjinga wewe vitendo vya utekaji vimeanza mda mrefu polisi wanafanya KAZI gani
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 16 дней назад
@@DamasiMwanansila kwa hiyo na wale wa SINGIDA POLISI NDIYO WALIWATEKA
@victorngukulu4992
@victorngukulu4992 17 дней назад
Waganga nao wafikisheni mahakamani
@DamasiMwanansila
@DamasiMwanansila 16 дней назад
Tupo tayali kuandamana juu vitendo vya utekaji
@fredducaunt
@fredducaunt 6 дней назад
😂😂 labda kwenye mitandao Sio watanzania ninao wafahamu 😂😂
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 17 дней назад
Kama police aijawashikiria basi Kuna watu wako kwenye chama Fulani wanajuwa
@tbreakerboysir5031
@tbreakerboysir5031 17 дней назад
👏🏾
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 16 дней назад
Awamu hii ya awamu ya sita kiboko
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 17 дней назад
HAYA MAMBO YA UTEKAJI NA MAUAJI YATALETA MACHAFUKO NCHINI KWETU HUKO MBELENI!
@juliuszakayo6771
@juliuszakayo6771 17 дней назад
Kazi inaanza
@overplantv21
@overplantv21 12 дней назад
UKIMFUATILIA VIZURI MIRAD AYO UTAGUNDUA KUWA HATA YEYE KUNA MAMBO YANAENDELEA YA KUWAKANDAMIZA WANANCHI...HAYAPENDI KABISA....THIS TIME INABIDI WANASHERIA WASIMAME KIDETE KUONDOA HUU UPUMBAVU WA HAWA WATU
@RamadhanMwijage-ul2kj
@RamadhanMwijage-ul2kj 17 дней назад
Pameanza kupambazuka sasa...
@Revelation1412.
@Revelation1412. 14 дней назад
Yani mtu anachukuliwa na police vyombo vya usalama kabisa harafu Watu wanaenda kuwatafuta huko police kisha police wanasema hawajui waliko HIVI HII NCHI KUMBE KILA RAIA AFAHAMU KUWA AMETEKWA YUPO CHINI YA POLICE NA HAWAJUI ALIKO😊 SIKU HIZI MIMI HATA NIKIDHULUMIWA SIWEZI KWENDA KITUO CHA POLICE MAANA NITAKUWA NIMEJIPELEKA KWA MAJAMBAZI
@DamasiMwanansila
@DamasiMwanansila 16 дней назад
Amani imetoweka Tanzania
@fredducaunt
@fredducaunt 6 дней назад
Ahh wewe Tanzania nchi ya amani hii kuwa balozi mzalendo wa nchi yako bhna 😂😂😂
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro 17 дней назад
Police wanapo mshikilia mtu anamakosa
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 17 дней назад
Madeleka usimalize Maneno kaka Utanikumbuka usiwaite mbu kaka eeeee Sawa
@akramissa3393
@akramissa3393 17 дней назад
Hawa jamaa utafikiria hawana watoto
@LameckZakaria-u9y
@LameckZakaria-u9y 17 дней назад
Me yangu macho katiba unaijua wewe jichanganye haya
@EliaHiluka
@EliaHiluka 17 дней назад
Naomba mawasiliano yenu Mawasiliano yenu ukiwepo wepo wewe madereka
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 17 дней назад
Soka Kwa nini Alisema Nchi atafanya Maandamano Jee Alijiuliza Maandamano wangekufa watu wangapi??
Далее
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Просмотров 7 тыс.
ну это жиза...  #standoff2
00:13
Просмотров 58 тыс.
To mahh too🫰🍅 #abirzkitchen #tomato
01:00
Просмотров 6 млн