Mdogo wangu adamu umenikumbusha mbali sana nishapitia haya pia hongera sana kwa move nzuri za kuelimisha jamii hasa kwa sisi tunao changia mzazi mmoja mungu ajalie timu yenu mfike mbali
😂😂😂😂😂kaolwa na mganga tena mchawi 😂😂😂😂chezea penz ww naijua io series zako zina mafunzo sana hongera adam na kado mungu atimize itaji la mioyo wenu amiin thum amiin
Naishiwa bando tu ila hamu ya kuangalia tamthilia siishiwi hamu aisee adamu ktk pati zako unacheza vizuri inafundisha sana zuu nakupenda sana umekuwa msataarabu sana hivyo ndivyo inavyotakiwa mpewe mauwa yenu❤❤❤
Kaka Adam kweli umeamua kutuletea vitu moto moto ama kweli huu mwaka 2024 ni mwaka wafuraha nyingi sana, asante kazi njema bro bigup 👏👏👏👏👏❤.watching from mombasa- kenya.
Kwa kweli ni jambo la kufurai na kumpa sifa zote kaka etu Adam and the team Adm Group kwa kazi nzuri sana, # mdangaji huyu mdada anajua kuicheza hiyo tamtilia vizuri.
Nashangaa kuna filam mbovu hazina maadili wala ushauri wowote zina trends mbele ya filam zako nashangaa sana kaka kaza buti Mungu anaona kazi yako usikati tamaa Mungu atakupa tu km utaamini anaweza na sisi mashabiki zako tutabako na wewe km utabaki kwa hiyo hiyo style yako kwa sababu ndio yenye tumependa filam zako zinaujumbe mzuri