Тёмный

Mechi ya Yanga dhidi ya Augsburg, mashabiki watamba kutokea uwanja wa Mbombela 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 36 тыс.
50% 1

#MpumalangaPremiersInternationalCup2024: “Kufungwa goli 2-1 ni kama tumeshinda” maneno ya mmoja wa mashabiki wa Yanga waliozungumza muda mchache baada ya kumalizika mechi ndani ya dimba la Mbombela Mpumalanga Afrika Kusini.
Matokeo ni FC Augsburg 2-1 Yanga SC
#MpumalangaPremiersInternationalCup2024 #Mpumalanga #YangaSC #FCAugsburg #AUGYNG

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo 2 месяца назад
YES YANGA IMETUHESHIMISHA SANA UJERMAN NA SOUTH AFRICA NA DUNIANI.
@RhodaMloge
@RhodaMloge 2 месяца назад
Asante kwa uzalendo big up
@MartinWekesa-c2x
@MartinWekesa-c2x 2 месяца назад
Yaaani kwa hii Augsburg, ingekuwa Simba, ungekula 10
@JumaJux-fn3ff
@JumaJux-fn3ff 2 месяца назад
We mbwa Sevilla na augsburg ipi timu kubwa
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 2 месяца назад
​@@JumaJux-fn3ffUsifananishe huo uchafu na Augsburg wewe sevilla kitu gani kama hujui mpira bora ukae kimya
@Michembe_star_20
@Michembe_star_20 2 месяца назад
Kama unaamini huyu jamaa mweusi kaongea vizuri gonga like hapa
@kitauroSalim
@kitauroSalim 2 месяца назад
When you abuse people that they are stupid_that is too bad of you.kuna mchezo wa kutafuta pointi na mechi za kuiangalia timu.Yanga played very well.
@Tesocomedian
@Tesocomedian 2 месяца назад
Very nice 😮😮😮😮😮
@marthageorge5043
@marthageorge5043 2 месяца назад
💛💚💛
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 2 месяца назад
Jamaa wanamwambia mwenye bendera ache ujinga kuwa hapa hatutangazi vyama vya siasa
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 2 месяца назад
😅😅😅😅😅😅😅
@Lebabaz
@Lebabaz 2 месяца назад
Uchawa wa CCM hadi kwenye sports waliona bendera ya CCM gonga Like 👍 hapa
@charleskibiki217
@charleskibiki217 2 месяца назад
Hao ni WA bongo wanaoishi afrika kusini
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 2 месяца назад
Kijani na njano ni alama za Yanga ! Sijui wewe bwege wa wapi !
@MeryHk
@MeryHk 2 месяца назад
💚💛💚💛
@ladislaus799
@ladislaus799 2 месяца назад
KIGOMA KUNA VIPAJI SANA AZAM TV TEMBELEA SANA KIGOMA
@livesmwamba8233
@livesmwamba8233 2 месяца назад
Huyo mwandishi aliye mwambia mwenye bendera afiche sijamuelewa natamani kumuona
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 2 месяца назад
Uko Kwa system 🤔🤔🤔🤔
@deokibona2835
@deokibona2835 2 месяца назад
Amefanya vizuri, watu wanaongelea mpira, yeye analeta siasa. Mwandishi Yuko very Smart hataki biashara yake iharibike.
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 2 месяца назад
@@deokibona2835 . Amin kka ✌️
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 2 месяца назад
Congrat yanga mnaupiga mpira kinyakxxxxx
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 2 месяца назад
Ila kiukweli hata Mimi cpendi uchawa wawatu WA CCM mpaka kwenye sports
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 2 месяца назад
Unakonda ukiwa wapi? Utajifia bure mjomba,mwisho utamemwonea wivu hata Dada yako !
@ewaldambrose6136
@ewaldambrose6136 2 месяца назад
Yanga hamna kitu
@patricklaiton8939
@patricklaiton8939 2 месяца назад
MWENYEJI APEWE MAUA YAKE
@kadirichannelonlinetv4258
@kadirichannelonlinetv4258 2 месяца назад
Mbn huyo mang anafanana pasco kapombe wa azam? au ni ndugue?
@RayMyonga
@RayMyonga 2 месяца назад
Viva yanga
@SaidiYahya-t1c
@SaidiYahya-t1c 2 месяца назад
Nimepanda dada wa simba
@Bquality
@Bquality 2 месяца назад
Tukiiona hyo kofia yan dah umekosa ya tofaut na hyo lakn alaf unakuja mbele kabisa 😅😅😅😅
@HappyMunisi-ig6he
@HappyMunisi-ig6he 2 месяца назад
😅😅😅
@omaryabas2316
@omaryabas2316 2 месяца назад
Kuna shabiki anaitwa kolo halafu yey nikoloo😂
@malietamaliet
@malietamaliet 2 месяца назад
😂😂palipo yanga bhs simba yupo sema azam tafuteni dotto wenu hawa kariakoo derby ni maji marefu
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo 2 месяца назад
Were ndio uache ujinga. Hapo ni kutangaza vote. Mbona madina na nyerere wametajwa? Without that nothing could not have happened. Okay?
@Chelseaboy_1905
@Chelseaboy_1905 2 месяца назад
Sasa mama samia kaingiaje apo 😑
@OmanBarka-f4d
@OmanBarka-f4d 2 месяца назад
Wakija kwetu tano
@RhodaMloge
@RhodaMloge 2 месяца назад
😂😂 huyu aliesema mabingwa wa milele anataka kutukanwa
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 2 месяца назад
Kusoma ujuwi hata picha uwoni kuna timu gani ya kuwizuwia yanga kuchukuwa ubingwa yani kama alivyosema Enger Hears saidi na GSM Ghalibu yanga bingwa mpaka 2030 ukatae ukubali ndio hivyo
@MudrickyAbdully
@MudrickyAbdully 2 месяца назад
Gamba oshii hizo tea ukitupa hatusemi
@sadih5333
@sadih5333 2 месяца назад
Unasemaje wewe kolo kolo wamemiliki mchezo ? Hao yanga? Nyinyi vipi
@hamisramadhan-eb3ie
@hamisramadhan-eb3ie 2 месяца назад
Yangaaaaa😂😂😂😂
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 месяца назад
Mbona uwanja haukuwa na watu na mlisema yanga mna mashabiki wengi huko?
@EdsonMartin-e3k
@EdsonMartin-e3k 2 месяца назад
Tuliza mshono wewe
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm 2 месяца назад
Mama Debora unawashwa we dada
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 2 месяца назад
Tofautisha huko ni South Africa siyo viwanja vya ndondo huko Vingunguti na Buguruni!
@AmanaAmos-hv3yz
@AmanaAmos-hv3yz 2 месяца назад
Makasiliko fc
@mathewtwimanye92
@mathewtwimanye92 2 месяца назад
Usemapo hakuna watu, kwani hwa wanaoongea ni mbuzi?
@franccoz94
@franccoz94 2 месяца назад
Mpiraa wa bongo hatuwezi kusonga mbele, unafungwaa bado unafurahia na kushangilia very stupid
@MartinWekesa-c2x
@MartinWekesa-c2x 2 месяца назад
Nivile haya maneno huyaelewi....Na ndo Yanga itakukera sana ujipange
@EdsonMartin-e3k
@EdsonMartin-e3k 2 месяца назад
Kwendaa uko,...hujui mpiraa wewe
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 2 месяца назад
It's true anaiponda YANGA hajui anachokisema!!
@jacklinembuya2749
@jacklinembuya2749 2 месяца назад
Hujui mpira
@AmanaAmos-hv3yz
@AmanaAmos-hv3yz 2 месяца назад
Makasiliko fc
@ShabaniKhamis-z7c
@ShabaniKhamis-z7c 2 месяца назад
Hahahaha kwakweli yani mmipigwa mmichakazwa bado mnasema mpo vizuli poleni
@hassamdavid8792
@hassamdavid8792 2 месяца назад
shida sio kufungwa tatizo umefungwa na timu gani
@hassamdavid8792
@hassamdavid8792 2 месяца назад
nyi mlitegemea yanga anakufa hata 7 kichotokea hamjapenda😂
@mastidiawamara1264
@mastidiawamara1264 2 месяца назад
Waliochakazwa 6 kimya kimya je?😂
@MWALIMUCHAKATV
@MWALIMUCHAKATV 2 месяца назад
Tupo vizuri wala sio siri
@johncharles2256
@johncharles2256 2 месяца назад
nyie mlipigwa 6 misri
Далее
Слушали бы такое на повторе?
01:00