Nawaombea mema kutoka kwa mungu wakenya wenzangu.nina imani siku moja tutashinda licha ya maumifu haya yote kuna siku kutakua na mwisho wake,chenye na mwanzo lazima kiko na mwisho wake hongera kwa kazi nzuri mungu awe nanyi.AMEN
Mungu baba tunakuomba uilinde nchi yetu na pia wanajeshi wetu, na wanao nena kinyume nasi Mungu pigana nawao hii vita tunakukabithi mungu katika jina la Yesu kristo mwokozi wetu amen
Nyi makafiri wakenya nd vita gani ivo mnapipigana tena hamuoni aibu kama mnfndishwa yani nyi mnachekesha hamna uezo wa kuazuia waume masimba alshabbab labda mjaribu huenda mkaweza mpo wingi na hamji amini eti mmeomba msaada marekani yani nyinyi kund hili dogo tu had msaada