Тёмный
No video :(

#MEDANIZASIASA 

Star TV Habari
Подписаться 156 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
Star TV Brightens Your Day !

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@albertvalentino130
@albertvalentino130 6 месяцев назад
Yakijirudia ya 2020 tunaweza kuwa kwenye hatari ya kutumbukia shimoni.
@PoliceBrutalityWorldWide-pd8mw
@PoliceBrutalityWorldWide-pd8mw 6 месяцев назад
Mbatia ni msomi na mwanasiasa mzuri , nakukubali toka Bungeni. Umetulia ingawa kuna usaliti. You look younger, calm and stable. God bless you always 🙏🏾
@ibrahimnyangura2195
@ibrahimnyangura2195 6 месяцев назад
👌👌
@jumahungulu9891
@jumahungulu9891 6 месяцев назад
@odemba👋
@reginamwendwa6709
@reginamwendwa6709 6 месяцев назад
Mbatia namkubali sana mtu wa uelewa mkubwa hekima na mcha Mungu NCCR bila mbatia inapwaya
@albongo6
@albongo6 6 месяцев назад
Mbatia ni mahiri sana
@deokessy6596
@deokessy6596 6 месяцев назад
Fact mbatia
@ChristerShao
@ChristerShao 6 месяцев назад
Mbatia hekima ipo,nilisikitika sana,alichofanyiwa na Selasini.Ni mtu wa Heshima sana.
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 6 месяцев назад
Mbatia uko vizuri sana ila odemba anataka kukubaisha, swala la uenyekiti kwa chama kinachotafuta dola siyo wakubadilisha hovyo hovyo unaweza kuleta mamuluki
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 месяцев назад
✌️👊👍.
@The199269
@The199269 6 месяцев назад
Edwin Odemba Ulindwe na Mizimu yote ya ma babu zetu
@frankmaeda4284
@frankmaeda4284 6 месяцев назад
Odemba huyu si kiongozi bandia unaowayumbisha.
@jumayussuf6786
@jumayussuf6786 6 месяцев назад
Ccm muandishi
@RichadTenga-ze4vp
@RichadTenga-ze4vp 6 месяцев назад
Mbatia NI comrade,WENYE akili wanamjua ndo maana wanamwekea njama KILA kona .tunamfurahia.mchango wake tumeukosa Sana shupavu huyu wa mama tanzania.hao waliompindua tunawajua hawana lolote NI wahuni wamenunuliwa,na hawafiki popote.na tunawafuatilia Kama wanna hoja hatuzioni.tunachoona NI ndevu tu zinapepea,majungu na maneno ya uongo na ya kumchafua mheshimiwa mbatia ili wammalize hawataweza huyu NI Nelson Mandela wa tz
@raymondswai5555
@raymondswai5555 6 месяцев назад
Odemba si mwandishi au mtangazaji mahiri,,,,uliza swali subiri jibu vinginevyo ni MDAKU tu
@csato9415
@csato9415 6 месяцев назад
Huwa nashangaa maana haachi mtu akamaliza kujieleza, labda mimi sijui... pengine ndio taratibu kwa wanahabari kuhoji !
@user-hf9kp7ys2h
@user-hf9kp7ys2h 6 месяцев назад
Ndugu odemba CCM hawachagui mwenyekiti bali hupatikana Kwa kuchaguliwa Kwa urais wake hivyo hatokani na kuchaguliwa kama wanavyochaguliwa wenyeviti wa vyama vya upinzani Kuna tofauti kubwa sana hapa na hii yote inafanyika kuwabana waliomashuhuri na viongozi wanaofanya vizuri kwenye upinzani wasiendelee kuchaguliwa. Tuviache vyama vya upinzani viwe huru kuwachagua viongozi wanaowataka wenyewe wawaongoze bila kujali ni Kwa muda Gani !
Далее
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
Просмотров 2,9 млн
Мама приболела😂@kak__oska
00:16
Просмотров 722 тыс.