#Menina #Sijiwezi #SlideDigital Menina Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: ffm.to/sijiwezi Written & Performed by Menina Follow Menina on: / meninalegria Channel Administered by Slide Digital Instagram: / slidedigitaltz
Yani 2ga Mimi nakuombea tu usije choka kutupa wimbo wenye mistari tamu kama huu.... This what we call bongo music...yani nakupenda bure🤩 keep shining rock star💪💪💪
Ukweli nyimbo ni nzuri Sana pia video ni nzuri sana melody ni nzuri Sana sound ni nzuri san mashaili pia yamezingatiwa sauti zao pia zinakibali kiufuti wimbo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sishangai kuona nyimbo ikiwa nzuri hivi kwani wasani walio husika mmoja ni msomi wa mziki kutoka tht na mwingine anatoka kwenye nyumba ya mfarume wa mziki king's musc
Wadau hi nyimbo nimesikiliza mara tatu nikitaka kujilizisha hiv menina si mwasiti mpya anaye kubaliana na mimi like ziwe nyingi japo k2ga kauwa mazima Mana ni kama unasillkiliza menina ft Ali kiba