Тёмный
No video :(

MFAHAMU DKT MPANGO: MTOTO wa MKULIMA Aliyeutosa UPADRI na KUTEULIWA Kuwa MAKAMU wa RAIS... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

MFAHAMU DKT MPANGO: MTOTO wa MKULIMA Aliyeutosa UPADRI na KUTEULIWA Kuwa MAKAMU wa RAIS...
KIFO Cha Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, kimepelekea aliyekuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu, Kuapishwa kuwa Rais mpya wa Tanzania..
Jambo hilo limepelekea nafasi ya Makamuwa Rias kuka wazi kwa siku kadhaa mpaka tarehe 30 Machi ambapo Rais Samia aliteua jina la PHILIP MPANGO Kuwa Mkamu wa Rais na Bunge kulipitisha kwa asilimia 100.
Tarehe 31, Dkt Philip Mpango aliapishwa kuwa Makamu wa Rais na hivyo kuanza kuhudumu rasmi katika wadhifa huo.
Hata hivyo, Dkt Philip Mpango, Mkamu wa Rais wa Tanzania, hakuibuka kutoka kusikojulikana baali safari yake tangu utotoni imekuwa ikigubikwa na milima na mabonde mengi.
Global Tv Online tumekuandalia makala hii fupi kuangazia safari ya Dkt PHILIP MPANGO kuanzia enzi za utoto wake mpaka kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 4   
@sharifujuma9477
@sharifujuma9477 3 года назад
From kigoma aiseee baada ya kua mkoa wamwisho toka Uhuru upatikane Sasa tunaomba selikari yenye makamo anae ufaham mkoa wake kwa 100% tuna omba mungu kupitia makamo huyu mkoa wetu ukumbukwe 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@jumamnumbwa9483
@jumamnumbwa9483 3 года назад
Jk aliwarudisha wataalam wetu wengi sana kutoka nje waje kujenga nchi yao,inamaana mambo ya infrastructures ni wazo lake na jk,uchumi wa viwanda,ni (1)mashule na vyuo/wafanyakazi,(2)usafirishaji malifhafi/barabara na treni,(3)uendeshaji mitambo umeme/gesi,(4)wawekezaji wa ndani wasio na mitaji au mitaji midogo isotosha kuzalisha malighafi za viwanda wapewe ardhi,hati na wakopeshwe na serikali, hayo ni jk &mpango,sasa tunakuja na magufuli samia na mpango ni ukamilishaji wa miundombinu na udhibiti wa rasimali /kupambana na rushwa na utoroshaji wa rasilimali za nchi hii sasa ni vita ya uchumi makamanda wanakazi maana kuwanyang'anya watu matonge nikazi nzito ,tukipita na kufanikiwa tumetoboa
@msetimasatu181
@msetimasatu181 3 года назад
Tutatoboa kweli mbele ya mabeberu ?
@msetimasatu181
@msetimasatu181 3 года назад
Kwa sababu wana uwezo wa kutufinyanga finyanga kama tonge LA ugali mkononi .
Далее
HII HAPA HISTORIA YA DKT. PHILIP MPANGO
12:50
Просмотров 10 тыс.
Timings hated him #standoff #timing #meme
00:14
Просмотров 489 тыс.
La Tierra Robó El Anillo De Saturno #planetballs
00:14
🫢 #tiktok #elsarca
00:11
Просмотров 4,4 млн
Timings hated him #standoff #timing #meme
00:14
Просмотров 489 тыс.