Тёмный

Mfanyabiashara apoteza pesa baada ya kutoka benki 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 47 тыс.
50% 1

Maafisa wa usalama eneo la Mlolongo wanachunguza kisa ambapo mfanyibiashara mmoja alipoteza shilingi milioni 1.7 kwa wezi wanaodaiwa kumfuata baada ya kutoa fedha hizo kutoka kwenye benki. Kamera za CCTV zimeonyesha jinsi mfanyibiashara huyo alifuatwa kutoka benki moja hadi Syokimau ambapo walivunja kioo cha gari lake kabla ya kuiba pesa alizokuwa ameweka kwenye sanduku

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 90   
@IBIE965
@IBIE965 26 дней назад
Why walk with cash and everything can be done cashless in Kenya
@samuelsamuel1800
@samuelsamuel1800 26 дней назад
I guess it's a choice, police are there to provide security but of course they fall short
@georgeodhiambo598
@georgeodhiambo598 26 дней назад
​@@samuelsamuel1800 As the saying goes, never tempt fate. Therefore, for such large sums of money, just avoid using cash. It is tempting.
@abelmakori
@abelmakori 26 дней назад
Very well said, nowadays people prefer electronic payments
@ChakitoTolu
@ChakitoTolu 26 дней назад
Hapo sasa.
@teresianjeri2722
@teresianjeri2722 26 дней назад
It's always an inside job
@Shakur_Pac
@Shakur_Pac 26 дней назад
Exactly 💯
@zalwango73
@zalwango73 26 дней назад
💯
@adungafredrick5981
@adungafredrick5981 26 дней назад
And they're not telling us the bank... that just confirms everything
@user-cs5bs8xd8r
@user-cs5bs8xd8r 26 дней назад
Hao lazima watapatina
@MrBonafide300
@MrBonafide300 26 дней назад
Sasa wezi wanatulia kwa line ya Bank waiting for Big withdrawals.. ka rada pia ya Bank teller anweza kupeana details zako😮
@holyjeffery
@holyjeffery 26 дней назад
Have heard a case like this,suspect is someone in the bank,staff
@muthonindiritu
@muthonindiritu 26 дней назад
Someone set him up a very close person to him 😑😑😑
@blakantcreative5072
@blakantcreative5072 26 дней назад
True
@FM-ir2nq
@FM-ir2nq 26 дней назад
💯
@RobertOburu-l1i
@RobertOburu-l1i 26 дней назад
The bank tellers probably.
@mrpain158
@mrpain158 25 дней назад
Bank teller's...ndio kazi yao
@isaacmuiruri6334
@isaacmuiruri6334 25 дней назад
And probably a she,
@denisouncho2513
@denisouncho2513 26 дней назад
At least hakupoteza maisha
@franciskamau9082
@franciskamau9082 26 дней назад
Kikulacho ki nguoni mwako..
@OfficialElishamaMulokozi
@OfficialElishamaMulokozi 19 дней назад
Hello.It's always an inside job
@user-yz1gx9qo7w
@user-yz1gx9qo7w 20 дней назад
Being a business man sometimes you need cash....you buy in cash you get a good Discount ! 😂
@solo7398
@solo7398 26 дней назад
Pole bana..hope uko na insurance. CIT
@susannyambura3759
@susannyambura3759 26 дней назад
Uliyemweleza kuhusu biashara na pesa unazo taka kutoa kwa benki na siku na saa na ukifuata sana alikua anakupigua simu sana akitaka kujua uko wapi na umefikia wapi wanadamu wengine ni sumu weee siku hizi ukitaka kufanya kitu nyamaza ukimaliza wacha wajione kwa macho sasa angalia hii hao wezi walikua sure na kitu wanafanya walijuaje pesa iko kwa safe ni mtu anakujua ndie alioganize.
@ChrispineWanje
@ChrispineWanje 26 дней назад
D.C.I washapewa Chao so lazma waseme No.plate n gushi...so ata mm nazingatia maokoto ama niaje wakuu
@salimadiyo9442
@salimadiyo9442 26 дней назад
magari zinatumiwa zinaibia watu,zinakidnap na sometimes kubeba maiti ama kutupa,but huwezi skia gari zikipigwa marufuku,imagine zingekuwa ni motorbike?
@jotonyae-04
@jotonyae-04 26 дней назад
Mungu Amsaidie huyo mwanabiashara
@user-ch9ei7hp4c
@user-ch9ei7hp4c 26 дней назад
“Bank” nowadays ndio wezi
@judymuindi2029
@judymuindi2029 23 дня назад
First suspect Wife or any girlfriend if he has . Have learnt a lot from content creators . Easter Tv by Samaritan and comrades flavor by Big man Stev. Thank you
@beatricekasudi4743
@beatricekasudi4743 21 день назад
Siku hizi customer care ndio hupeana information za watu wenye hutowa pesa kwa bank plus vile wamevaa karibu hata mimi niibiwe pesa nilifatwa na watu wa wili wakati nilitoka kwa bank uzuri kuna mtu nilikuwa nimeanda na yeye nikitowa yeye ndio alinisaidiya
@marypatrick6667
@marypatrick6667 26 дней назад
Always watch your surroundings..
@Mmmmmmm-k7s
@Mmmmmmm-k7s 26 дней назад
The question is how did they know that the businessman was withdrawing that kind of money? It's obvious once the teller tells you to wait for withdrawing ,they are always calling people from outside to rob you after
@negevmasmediamax6510
@negevmasmediamax6510 26 дней назад
The bank staff!!
@Mmmmmmm-k7s
@Mmmmmmm-k7s 26 дней назад
Hio deal na hao watu wa bank it happened to me once
@isaacmuiruri6334
@isaacmuiruri6334 25 дней назад
Whatever case,we can do without cash
@dahlia_sutton
@dahlia_sutton 26 дней назад
Surely nkt
@theanalyst8257
@theanalyst8257 26 дней назад
Hao ni warogwe. Huyo jamaa aje mombasa nimwonyeshe Babu. Hizo hela zitarudi
@summerrose8439
@summerrose8439 26 дней назад
Show me 4.3m. conned.
@moseskowino1519
@moseskowino1519 13 дней назад
why are you not mentioning which bank to be specific?
@gracejamo6146
@gracejamo6146 26 дней назад
Shuku.mungu.uko.mzima
@gugahmediaafrica9405
@gugahmediaafrica9405 26 дней назад
Aaaaaaaah mungu wangu ningekua apo si ningeomoka😢
@Kenypolitic
@Kenypolitic 26 дней назад
Waangalie Cctv ya bank, Waangalie jina ya huyo alimfwata
@Bless-br2mc
@Bless-br2mc 26 дней назад
Maybe ata Hana account there
@brigidmua2548
@brigidmua2548 26 дней назад
Sad
@Thgn-yt3ep
@Thgn-yt3ep 26 дней назад
unatoa pesa unaweka kwa gari? Also, who in this digital age transacts in cash? Patiwa adabu
@williamkirema6254
@williamkirema6254 26 дней назад
Wafanyi kazi wa izo bank dio ua wanakuset, hiyo tabia ilikua sana pale kasrani ukitoa pesa unafuatwa nyuma
@DJLOFTY
@DJLOFTY 26 дней назад
Syokimau is a crime scene
@MillicentAseyo
@MillicentAseyo 26 дней назад
Hapo DCI ni groups n hao henge so they work for them
@darinbellecollections1197
@darinbellecollections1197 26 дней назад
who withdraws money nowadays!
@setrickhamasi9533
@setrickhamasi9533 26 дней назад
Waaaaa
@g.k0213
@g.k0213 26 дней назад
Wezi aki
@priscillanjeri968
@priscillanjeri968 26 дней назад
Why carry cash???
@arvindmorjaria2
@arvindmorjaria2 26 дней назад
Kamata muhindi Patel na iba mali pale yote. Unseen shenzi.
@mufush
@mufush 26 дней назад
Hao ni police
@francismeeme3693
@francismeeme3693 26 дней назад
Wenywe kwa bank
@francisnjuguna2520
@francisnjuguna2520 26 дней назад
Importance of cashless society, that's seem inside job
@FelixOchieng-ue6cn
@FelixOchieng-ue6cn 26 дней назад
Mbona unabeba cash, you wanted to show off Kula ....,....
@Thgn-yt3ep
@Thgn-yt3ep 26 дней назад
msimba wa kujitakia
@mongarenation70
@mongarenation70 26 дней назад
Kama plates ni fake hiyo imeeendaa atafute pesa zingine.
@isaiahizzoh9644
@isaiahizzoh9644 26 дней назад
Car hire 😢😢😢😢
@elsachimwani5018
@elsachimwani5018 26 дней назад
Why not do transfers while paying for goods? Who walks with that kind of cash?
@daveparko3519
@daveparko3519 26 дней назад
Nairobi has become gangsters paradise. Looks like an inside job, people who know this guy movements. Never keep money in car even in safe and leave it somewhere people can access, so dumb of this guy.
@lagatochalz344
@lagatochalz344 25 дней назад
why would someone withdraw such amount and we have online systems mpesa and bank to bank transfers ukoloni ya kutotaka kulipa transaction fee will cost people
@moseskowino1519
@moseskowino1519 13 дней назад
even those using online transactions, also cry of theft of money within the system.
@shabankolia8204
@shabankolia8204 26 дней назад
Weee kana
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 26 дней назад
Milioni 1 .7 Tanzania bei gani jamani daaah pole yake
@fawziaabdurrahman2251
@fawziaabdurrahman2251 26 дней назад
1.7M x 20.84
@Dymitri-Babushka.
@Dymitri-Babushka. 26 дней назад
Rais alisema kazi ni kazi,so hio pia ni kazi
@Clipalert-ft2vj
@Clipalert-ft2vj 26 дней назад
😂😂😂uweh
@Travelwithfred
@Travelwithfred 26 дней назад
Why can't he use his card to purchase items??
@KarisBaya
@KarisBaya 26 дней назад
Hii imeenda hii imeenda kabisa, yaani nambari ya gari ni gushi,sasa hao wezi watapatikanaje sasa
@mikelay5360
@mikelay5360 26 дней назад
Wafanyikazi wa bank. 100%
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 26 дней назад
Yah siku zote hawa ni wezi no one​@mikelay5360
@lloydlyiamMusicChannel
@lloydlyiamMusicChannel 26 дней назад
Dumbest thing to have in a car is a safe ,better a hidden safe in the back seats than in the boot
@samuelsamuel1800
@samuelsamuel1800 26 дней назад
Better still, thieves should feel it not worthy to steal with enough police office and harsh penalties
@lydiahmogire4518
@lydiahmogire4518 26 дней назад
😂😂😂1m?
@lawrencelawrence3305
@lawrencelawrence3305 26 дней назад
This thieves are very dumb, that's too much risk for soo little, and the fact is, they won't go far, even in life
@wanjiruwanganga5707
@wanjiruwanganga5707 26 дней назад
Warogwe
@annakinuthia6591
@annakinuthia6591 25 дней назад
Hii ni unjinga ya hali ya juu bona mutu atoe pesa mingi hivyo
@flilechi
@flilechi 26 дней назад
Hio ni pesa kidogo sana na hii inflation ya Zakayo
@bestplaysinnflbasketball7443
@bestplaysinnflbasketball7443 26 дней назад
Onyesha yako mingi jinga
@flilechi
@flilechi 26 дней назад
@@bestplaysinnflbasketball7443 Ghasiaaa enda ulambane mikundu na huko...
Далее
To mahh too🫰🍅 #abirzkitchen #tomato
01:00
Просмотров 864 тыс.
Introducing iPhone 16 | Apple
02:00
Просмотров 4,1 млн
How to win a argument
9:28
Просмотров 522 тыс.
Apocalypto (2006): Great Escape Scene
5:58
Просмотров 23 млн
Hisia mbalimbali kuhusu sanamu jijini Eldoret
2:16
Просмотров 12 тыс.
To mahh too🫰🍅 #abirzkitchen #tomato
01:00
Просмотров 864 тыс.