Тёмный
No video :(

MGUNDINI: Afanya Sherehe ya Kufuta Ushoga 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 3,9 тыс.
50% 1

Kupitia #Mgundini, Inakukutanisha na Mpemba mzaramo kutoka Kawe ambaye amefanya Sherehe yakufuta urafiki, Full stori anayo Kamshange.

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 14   
@jamilanasir6833
@jamilanasir6833 3 года назад
Wanawake mnashida jamani khaa hiyo pesa si ungefanya biashara kubwa tu
@MaryamMaryam-hd7es
@MaryamMaryam-hd7es 3 года назад
Yote ayo ni kukosa maadili tu
@joshuajacobs8852
@joshuajacobs8852 3 года назад
Sauti yko jaman kamshange
@manwoka4078
@manwoka4078 3 года назад
Wanawake wa Tz wengi wenu ni wapumbavu. Hamuwazi kufanya Ya maana kwa maendeleo Ya Familia nzima, nyie mashughuli Ya sio na maana. Kukosa elimu ni kitu kibaya
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 3 года назад
Uswahilini iko 🔥🔥🔥
@anyessemathias2657
@anyessemathias2657 3 года назад
Mashoga zangu naombeni mfute ushoga na mie kila mtu akinitunza laki 4 napata mtaji kabisa 😁
@salmangassu1011
@salmangassu1011 3 года назад
😀😀😀😀
@oyay2821
@oyay2821 2 года назад
La msingi na mfereji au la sekondari
@kamuletemichel1931
@kamuletemichel1931 3 года назад
Dada,mimi naomba number lako WhatsApp
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 года назад
Mtihani sasa kama wewe umeyafanya hoyo umeona umemkomoa unajisahau kama wewe nikiumbe dhaifu saaaa youote utaiyacha duniya
@halimakihame1744
@halimakihame1744 3 года назад
Uswahili kuna vituko mmh
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 3 года назад
tusamehe wanawake akiri zetu ndio hizo tufanyeje sasa 😂😂😂
@Mwarobaini
@Mwarobaini 3 года назад
Tunakuomba utembelee Channel yetu leo upate kujifunza na kutatua matatizo mbalimbali ya kiafya yanayokusumbua bofya ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-xs-7NAkkIdY.html
Далее
Lulu White Muuza Mkorogo Namba Moja Uswahilini
10:42
Просмотров 14 тыс.