Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe Daniel Chongolo ametembelea Banda la Halmashauri ya wilaya ya Chunya kujionea shughuli mbalimbali zinazofanyika wilayani Chunya na baadaye amepongeza kazi kubwa inayofanywa na wataalamu katika Sekta za Kilimo na Mifugo na Nyingine
Adha Mkuu wa wilaya ya Chunya mapema leo amempokea Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mhe Jaffary Haniu na kumpitisha kwenye Manda mbalimbali yanayoonesha shughuli mbalimbali zinazofanyika wilayani Chunya
Maonesho ya sherehe za wakulima maarufu kama Nanenane yako katika siku yake ya sita huku yakitaraji kutaamatika tarehe 8 August, 2024
30 окт 2024