Тёмный

Michezo ya Hatari mbele ya MAKONDA wachezea PIKIPIKI wafanya balaa ofisini kwa MAKONDA, ARUSHA 

Habari Digital
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 36 тыс.
50% 1

..................
Kwa taarifa zaidi subscribe channel yetu na endelea kutufuatilia kupitia mitandao ya kijamii
Instagram, Twitter na Facebook

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 62   
@michaelnjau741
@michaelnjau741 4 месяца назад
Makonda janja janja saaana weye.. Cha muhimu wazingatie safety. Ni idea nzuri ili kwenda sawa na kukuza kipato cha hawa vijana. Kazi nzuri brother Makonda
@ce-08
@ce-08 4 месяца назад
Kuna umuhimu wa chuga kuwe na TV ambayo itakuwa inapatikana kwenye ving'amuzi vya Azam ds tv star times n.k maana kukosekana kwa tv kutoka sehemu mbalimbali za Tz inatufanya tuwe watumwa kuamini vitu vizuri vyote vipo dar
@MrishoMigesi
@MrishoMigesi 4 месяца назад
Sema makonda huwa anashuka siku zote... Jamaaa yuko vizur sana kwenye uongoz.. Big up makonda
@user-hg1es2eg5r
@user-hg1es2eg5r 4 месяца назад
Nakubali sana kelvin upo na brother makonda 🔥🔥🔥 noma sana
@PatriceDakho
@PatriceDakho Месяц назад
Makonda kiongozi mzurisana kwanzaanajikubali Munguampe maishamarefu
@fidhuman
@fidhuman 4 месяца назад
Mungu akubariki mkuu wa mkoa wa Arusha my lovely city
@jumason142
@jumason142 4 месяца назад
Jambo zuri mkuu ila wajitahidi kupata zana za kazi kama kofia na nguo mgumu kwa ajili ya safety
@israeluronu9958
@israeluronu9958 4 месяца назад
Makonda anajua jinsi ya kuishi na hao watu, ukitaka kumbadilisha mtu lazima umfanye rafiki.
@Josamjosam8
@Josamjosam8 4 месяца назад
Sio kazi rais kuwafanya machar wa r kuacha asili yao sema wanaheshima tu ila kuwafanya waache life stye yao sidhan
@AngelBoniface-oe8ug
@AngelBoniface-oe8ug 4 месяца назад
Umenena broo chuga ukienda wa moto utarudi wa baridi inabidi aende nao pole pole​@@Josamjosam8
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 4 месяца назад
congratulations P. M
@ValenceKazoba
@ValenceKazoba 4 месяца назад
Ujue ukiwa mtu waukweli razima watatokea wapumbavu waeneze ujinga kuwa Makonda anatafta kk Mungu atakurunda wasaidie vijana Mungu atakutunza pia uschoke
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 4 месяца назад
Kweli makonda uko vizuri
@abbumwaipopo2940
@abbumwaipopo2940 4 месяца назад
Ni noma sana
@drgeraldcubwa481
@drgeraldcubwa481 4 месяца назад
Mh Makonda ,fanya kama alivyanya Mh Tulia pale mbeya.Aliwatafutia vijana mikopo.yani vijana wa mbeya 95 %wako barabarani na boda boda,bajaji nk!! Wapiga Nondo wote kwisha kabisaaaa!! Big up Makonda
@simonsadala2386
@simonsadala2386 4 месяца назад
Yaaani Makonda unajua kucheza na akili za watu hao ndo ma informer wako matukio yote hutakuwa na haja ya kuambiwa na police watakwambia kila kitu Arusha iko salama
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 4 месяца назад
chuga Kama utoshuka uwez kuwangoza Mana kaskzn watu awapendi kupelewkwa Kama bendera
@user-sr3wb2hd1r
@user-sr3wb2hd1r 4 месяца назад
Sisi wa dar tumekumis kiongozi mzuri
@Timoclement
@Timoclement 4 месяца назад
Mpaka Raha Jiji limechangamka hatari
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 4 месяца назад
Jiji la Arusha limenoga limempata Mwenyewe Makonda
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 4 месяца назад
Maarifa yako ni mkubwa sana😂😂😂 una soma Sana vitabu vya Mungu Sana una Maarifa sana❤❤ ongera sana
@user-qi7px6nb8r
@user-qi7px6nb8r 4 месяца назад
Makonda ni kiongozi mzuri sana na anatumia ubunifu na akili sana kwenye kuongoza .Arusha ni ngumu sana lazima utumie akili sana kama anavyotumia makonda.Arusha ataiweza sana.
@user-kk2jd8fu6d
@user-kk2jd8fu6d 4 месяца назад
Makonda namkubali sana yupo pow sana
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 4 месяца назад
Jamaa anajuakuongoza kila ainayawatu kwanamnawalivyo ukimpigamajunguhuyujamaa utakuwamwehu
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 4 месяца назад
Nimeona pembeni kule Kuna Ngoma ya mganda inachezwa❤
@geoffreykebwaro5375
@geoffreykebwaro5375 4 месяца назад
Let us know race day we come from America please
@emanuelpelomollel8161
@emanuelpelomollel8161 4 месяца назад
Hii noma
@petromsangi6856
@petromsangi6856 4 месяца назад
Makonda kuna vitu uko vzur alafu umevificha. Viachie brother Mungu atakulinda mpaka wewe mwenyewe utashangaa
@AminaLibisa
@AminaLibisa 4 месяца назад
Mwanangu hawezi fsnya mchezo huu wa hatari 😢😢
@allysimu6856
@allysimu6856 4 месяца назад
Wewe nizaidi ya kiongozi
@AllyMohamed-xw6hy
@AllyMohamed-xw6hy 4 месяца назад
Big Apu pool makonda
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 4 месяца назад
Makonda kweli una mipango mingi 😂😂😂
@StevenPeter-sg7zo
@StevenPeter-sg7zo 4 месяца назад
Ila makonda akiwepo sehemu lazma utajua tu kama yupo 😊., big up kwake
@bekabakari7394
@bekabakari7394 4 месяца назад
Full ppe Yaani protection equipment Helmet,boat na mavazi rasmi Kwani kuna ajali please makonda Zingatia hili utapata lawana mtu Atakapo pata ajali na kupoteza maisha Thanks
@user-xe1im9tt1z
@user-xe1im9tt1z 4 месяца назад
Makin sana upo vizuri
@mobimbalongida
@mobimbalongida 4 месяца назад
jemedari yuko na makamanda
@edsondeus9525
@edsondeus9525 4 месяца назад
Makonda unaupiga mwingi!
@dennisngonyani1795
@dennisngonyani1795 4 месяца назад
HONGERA. MKUU KWA KUWAONA WAIMIZE WAWE NA SAFETY GEARS
@electronicdatasystems9250
@electronicdatasystems9250 4 месяца назад
Hawana jipya hao tunawataka wadudu
@adrianoseswa516
@adrianoseswa516 4 месяца назад
Makonda ana uongozi wa Aina yake , anaweza kuwa nafasi ya kwanza kuwa kiongozi wa namna yoyote na mazingira Yoyote.
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 4 месяца назад
Makonda we jamaa mjanja sana ww mi nilikuwa kama sikupendi kabisa ila unavyokaa na vijana na plan zako kama vile zinaenda iv hebu ngoja nione nikienda nitakuja ofcn kukupa hai
@julianmsele3880
@julianmsele3880 4 месяца назад
hapa sasa hat ualifu utaisha
@saidchombo5952
@saidchombo5952 4 месяца назад
Makonda yuko poa sana huyu jamaa
@marthamagota1536
@marthamagota1536 4 месяца назад
Nakuona vile unaishi na wadudu
@user-hl2qe1dk1y
@user-hl2qe1dk1y 4 месяца назад
Unajua ngosha kuchezea na akili za watu 2025 udizuduponya ntemi buswe
@user-ou7jp8ug7z
@user-ou7jp8ug7z 4 месяца назад
Kichwa cha makonda kime fanana na hao jamaa
@WinfredCharles-ij2ib
@WinfredCharles-ij2ib 4 месяца назад
Rais ajaye huyuuu
@user-hl2qe1dk1y
@user-hl2qe1dk1y 4 месяца назад
Wasukuma tupo hivyo kuchezea na akili za watu tunaweza machuga kuweni makini mlimuona komandoo muuza madafu ikulu
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 4 месяца назад
Makonda mi naona unatafuta kiki!!!🤣🤣🤣🤣
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb 4 месяца назад
Mmbwa ww kila kitu kk
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 4 месяца назад
Kuishi na watu hao yahitaji ukaribu,huwezi kuanz Kwa pupa pupa tuu,makonda anaweza,siku zinazokuja Arusha itakuwa nzuri saaaana
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 4 месяца назад
Siyo kiki kabisaaaaa
@MohamedAli-jo4yh
@MohamedAli-jo4yh 4 месяца назад
Ah! Binaadam sijuwi hata umfanyie jema gani kwake Z Zuri
@hmedoggftherljih199
@hmedoggftherljih199 4 месяца назад
#makonda🫡livelong RC
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq 4 месяца назад
Acha upendeleo mbona waha hujawataja weweee
@VictorJohn-fu7ch
@VictorJohn-fu7ch 4 месяца назад
😂😂😂
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 4 месяца назад
Mkuu wamkoa unasimamia uvunjifu washeria mbela yako hawana kofia ngungu miguuni wamevaa yebo yebo hawana vitu vyovyote vyakuwalinda sijui unamaana gani
@SaidiMkome
@SaidiMkome 4 месяца назад
Kwaiyo awavalishe
@MohamedAli-jo4yh
@MohamedAli-jo4yh 4 месяца назад
Maana ya kuitwa leo ni kwasababu anataka kuona jee pindi wanavyo fanya michezo hiyo huwa na mazingira gani,? Hebu Acha tuone huo mwisho wa mwaka jee wavalishwa nini na nini!!
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 4 месяца назад
@@SaidiMkome awavalishe nikondomu hiyoo awaambie kuhusu sheria wewe vipi
@danielamon3872
@danielamon3872 4 месяца назад
Hiyo michezo arusha ipo kabla ya makonda af swala la safety ni la mtu mwenyewe.. Sigara n hatari na watu wanavuta,na bado unafanya ngono bila kinga. Huko nako kiongozi awasimamie? Anayeona umuhimu wa afya yake haitaj kuelekezwa na hao wote wanaochezea vyombo hivyo vya moto hizo ndo office zao kwahyo makonda hana hatia kwenye hili.
@godfreymushi6966
@godfreymushi6966 4 месяца назад
0000
Далее
Introducing iPhone 16 | Apple
02:00
Просмотров 4,1 млн
Introducing iPhone 16 | Apple
02:00
Просмотров 4,1 млн