Тёмный
Habari Digital
Habari Digital
Habari Digital
Подписаться
Habari Digital
a registered online TV with registration number TCRA/0CS-OT/02/2019 by Tanzania Communications Regulatory Authority.
we report all kinds of news in and outside the country every day.

Habari Digital ni runinga ya mtandaoni ambayo imejikita katika kutoa taarifa za kweli za michezo,burudani, siasa, elimu, sayansi na teknolojia na matukio mbalimbali kwa saa 24, siku 7 za wiki

Wewe kama mfuatiliaji (subscriber) wetu Karibu sana kwenye channel hii na endelea kufuatilia taarifa zetu kwa kuzingatia sheria na maadili ya nchi yetu,
Hepuka lugha za matusi na kashifa, heshimu mawazo ya kila mtu kwani kila mmoja ana haki ya kutoa maoni yake.
Habari Digital ina haki ya kufuta maoni ya mtu yoyote yanayokiuka sheria na miongozo ya nchi
Habari Digital ina haki ya kumzuia yeyote atakaekiuka sheria na miongozo ya nchi.

SUBSCRIBE CHANNEL HII ILI SIKU ZOTE UWE WA KWANZA

Contacts
Email: habaridigitalmedia@gmail.com
Contacts: +255 745 026 000
Комментарии
@user-rn1en4tq5z
@user-rn1en4tq5z 4 часа назад
SAWA BABA WAPE VIDONGE WEZI HAO WANAFICHA WEZI
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 6 часов назад
Serikali yoteingekua hv watumishi wangewajibika
@ibrahimjoseph3221
@ibrahimjoseph3221 6 часов назад
Kama makonda yule aliweza aliweza kufanyiwa yooote hayo vp mpinzani au mwananchi wa kawaida kuna watu wanarudishwa nyuma wanafilisiwa kwa mambo ambaya awajayatenda
@tigejuma9865
@tigejuma9865 6 часов назад
Napenda kuangalia interview zako bro...na maneno yako ya busara na kusaidia wanyonge...lakin hua naumia xna...najikuta nkilia Tu mm hua😢😢
@user-xy2hf5pl5y
@user-xy2hf5pl5y 7 часов назад
Mshukuma tunamjua ni kielele ananusa upepo Ili wamkubali amkumbuki wakati wa lowaso? Ajaribu kujirudi
@user-xy2hf5pl5y
@user-xy2hf5pl5y 7 часов назад
Huko mbunge na 1 Tanzania ni wewe tu mungu akupiganie
@mochemba
@mochemba 7 часов назад
Waziri Aweso Pongezi Sana hawa ndo viongozi, mm ndo maana huwa siliwalaumu viongozi wa juu kma vile Rais nk, ila wanaokwamisha mambo ni hawa watendaji wadogo wanatumia pesa vibaya Sana, pesa zinaletwa kutengeneza miradi ya wananchi Lkni mtu anasimama anaongea utumbo tu as if pesa zimekuja kuchezewa tu. Wakibanwa kuna mtu anajitokeza oh watumishi wa Umma wanadhalilishwa
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z 8 часов назад
Makonda MUNGU azidi kukulinda na kukuongezea ujasiri
@zeddysimfukwe6023
@zeddysimfukwe6023 16 часов назад
Mwamba nauona moyo unao lia Kwa uchungu ,,,,, 🙁🙁. Kikubwa uzima tu
@mihayomaziku9921
@mihayomaziku9921 16 часов назад
Chapa kazi kiongozi Mungu yupo atakusimamia
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 17 часов назад
Cheo ni dhamana wa samehee, wape honyo
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 17 часов назад
Sisi kigoma tuko vizuri, ubarikiwe
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 17 часов назад
Msamehe, Ana familiya
@seifsaidseifsaid1210
@seifsaidseifsaid1210 17 часов назад
Waambie mama wewe ni mvumilivu sana asiyekuelewa huyo ni mbumbumbu!
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 18 часов назад
Kazi nzuri sana. Pongezi kwa Mheshimiwa Makonda. Arusha mtafeli sana kama msipomuomba Makonda achukue fomu ya kugombea Jimbo la Arusha. Mimi natamani uingie Bungeni kisha Mungu akubariki uingie katika Baraza la Mawaziri
@3leggedbird222
@3leggedbird222 18 часов назад
Miamba si hiyo sasa love you sana kila mmoja anafit kwenye nafasi yake
@nyerere1259
@nyerere1259 18 часов назад
Wadudu wamenyoosha mikono respect to God
@emmanuelaloyce932
@emmanuelaloyce932 19 часов назад
Huyu jamaa,awe president wa Tz,,🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@sarafinasinkonde2711
@sarafinasinkonde2711 20 часов назад
Mwangu karawitia lakini kesi imezimwa kimyaa cjui hii serikari yet cjui nifanyaje Nini kinaendelea mtoto amelawiti harafu naishi ma hofu duu inauma jamani usikie.kwtu kesi imezimwa kimyaaaa 😢😢nimeghalamika kila siku natembea natembea hakuna haki Tanzania Ina watanzania wake naumiaaa
@Manywele-f2z
@Manywele-f2z 21 час назад
Viongozi wrote wangekuwa kama makonda JA tungefika Mbali sana
@khatibjuma9455
@khatibjuma9455 День назад
Asante mama endelea kuwapa kazi vijana wafanya kazi
@user-jz1or4mb7q
@user-jz1or4mb7q День назад
Kazi tunayo watanzania!
@user-jz1or4mb7q
@user-jz1or4mb7q День назад
😮
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq День назад
Maneno makali hayo makonda mungu akubariki. Sio vizuri leo kumsema hayati magufuli vibaya. 😢
@MaryBeauty-ck8ne
@MaryBeauty-ck8ne День назад
Yani naona makonda kama magufur kabsa hana utofaut na baba yetu magufur mungu akupe maisha maref baba
@bazarakimayenga3572
@bazarakimayenga3572 День назад
Rudisheni wanafunzi shuleni
@engineeratandi4267
@engineeratandi4267 День назад
Sawa mama
@menelus911mene5
@menelus911mene5 День назад
Duh!!! Masha Allah nimeipenda hiyo tuonyeshe mambo mazuri Makonda huyooooo ukojuuu piga kazi mhe wetu wewe nikiongozi❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@user-mc7lh6js3o
@user-mc7lh6js3o День назад
😢😢😢😢😢😢 mungu wabgu
@InesIrakoze-lj9pv
@InesIrakoze-lj9pv День назад
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 День назад
Nakumbuka movie moja hivi inaitwa aptocalipto ya wabrazil wakikatwa vichwa ni hivihivi
@user-nv7kj3gl3o
@user-nv7kj3gl3o День назад
Kwanini mama gesi usiwekeze kwa nguvu zone. Tunapikiya na magaripiya yanatumiya gesi .mama tunafeli vipi cc.mama mbona kama tumerogwa
@juliusmlula1658
@juliusmlula1658 День назад
Huyu Mbuge tumuunge mkono hasa Kanda ya ziwa tuuadamane Ili arudishwe bungeni kutuwakilisha ss wanaichi Lusinde na Musukuma hawafai shule ndogo
@ramadhaniyahaya7286
@ramadhaniyahaya7286 День назад
Makonda wakamue wanapeana tu kazi hawajasomea
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g День назад
Madoktar mjiandae kupokea vijana waliokatika miguu 😅😅😅😅 na hizo pesa watakazo pewa mtu mshindi anatoa nani mfukoni??
@JosephM.meiliari
@JosephM.meiliari День назад
Je serikali imetathmini madhara ya mashindano hayo?mm naona wengi wataumia kwa hivyo vichwa navyoviona hapo.mm nipo pale nasubiria matokeo
@stephenmsanzu9850
@stephenmsanzu9850 День назад
Wewe Wacha hiza kwa Jana rpc alivyo sema Kuna dakitari,ulikuwa uko wapi
@ngoshakulwa8348
@ngoshakulwa8348 День назад
Madaktari watafanya nini kama wakifa? Wapimwe kwanza afya ya akili kabla ya kushiriki​@@stephenmsanzu9850
@yohanaantony5774
@yohanaantony5774 День назад
Yaan sukar kununua 6000-7000 kp tulisaidiwa hapo
@camilomassao8971
@camilomassao8971 День назад
Kila kitu kimekuwa siasa
@TumainiHassan-bd2wj
@TumainiHassan-bd2wj День назад
Me 😅 mwanajeshiiii mmmmh niwaangalie tu hv kwa tv
@petercostakisoka
@petercostakisoka День назад
Daaah million kumi watauana apo Road
@emanuelyngailo6807
@emanuelyngailo6807 День назад
Na uchumi mwingine ni kukatika miguu hongera mkuu wa mkoa
@israelandemwakalundwa-iz1fc
@israelandemwakalundwa-iz1fc День назад
Ndio.wana.sema.tukiwapoteza.musiwatafute. Makonda. Mungu.akutumie.fagia.uchafu.huo.aa..basi.tusije.tukaitwa.wachochezi
@MsumalAloyce
@MsumalAloyce День назад
Ww ndo mwanaume
@LucknessPeter
@LucknessPeter 2 дня назад
mheshimiwa makonda MUNGU atakulipa kwa mema yako yote unayotutendea watanzania
@emmanuellupiga
@emmanuellupiga 2 дня назад
Lazima uyatoe machozi
@YusuphNdakama
@YusuphNdakama 2 дня назад
Makonda Hongeraaa sanaaa kaka!hakika unajua pande mbili uongozi na maisha harisia ya mwananchi
@allymoshi2053
@allymoshi2053 2 дня назад
Doto kadoshi mwl. Wangu wa hesabu paroma primary school aka the splash
@imanimwandosya370
@imanimwandosya370 2 дня назад
Eliza ni mchapakazi mzuri sana ila wasaidizi wake ziro, kibamba, Eliza mtamkumbuka sana,
@joojombi2341
@joojombi2341 2 дня назад
Mambo ya binafsi c maadili kuyauliza