Тёмный

Mikakati mipya ya klabu ya simba baada ya kushindwa kwa misimu mitatu mfululizo? 

BBC News Swahili
Подписаться 617 тыс.
Просмотров 33 тыс.
50% 1

Ahmed Ally @ahmedally_ ni meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya soka ya Simba ya nchini Tanzania @simbasctanzania, amezungumza masuala mbalimbali kuhusu klabu hiyo na Omary Mkambara @loko_omi katika ulimwengu wa soka
#bbcswahili #simbasctanzania #soka
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 60   
@salimmalaka256
@salimmalaka256 20 дней назад
UTOPOLO WANAWAPIGA VIPAPAI WACHEZAJI WETU SIMBA SIMBA TUAMKE ❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA UBAYA UBAYA UBWELA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@salimmalaka256
@salimmalaka256 20 дней назад
AHMED ALI NI GLOBAL SPEEKAR LEVO INGINNE ❤❤❤❤
@Ommybabaa47
@Ommybabaa47 20 дней назад
❤️ SEMEJI LA FIFA SEMEJI LENYE DEGREE ❤️ UBAYAAA UBWELAAA 🇹🇿 🇦🇪
@wachanambeletv5709
@wachanambeletv5709 20 дней назад
Hongera sana mtambo wa maongezi
@vedastucmazige1733
@vedastucmazige1733 20 дней назад
Mtangazaji pia wa bbc hongera sana unajuaaaaa
@iddymobae
@iddymobae 20 дней назад
Simba nguvu moja Ahmed ally ulipo nasi tupo
@geraldndibinze6837
@geraldndibinze6837 16 дней назад
Yupo Smart kichizi jamaa, ana composure ya hatari kwenye ujibuji wa maswali👊
@user-rk3qs3eh4z
@user-rk3qs3eh4z 4 дня назад
LUGANO mwasambaja kutoka border kusumulu mbeya AMED unatufa sana sisi Wana Simba .pia unakipaji caha tofauti mungu akusaidie usonge mbele zaidi Simba nguvu moja
@BigZhumbe
@BigZhumbe 20 дней назад
Semajiiiii la dunia 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-be9zb4eg2l
@user-be9zb4eg2l 20 дней назад
🔥🔥🔥
@MajidMajid-ll8mf
@MajidMajid-ll8mf 20 дней назад
Semaji upo vizuri ktk kazi yako na umahili wako
@bakarimlandulla2983
@bakarimlandulla2983 20 дней назад
Aliyepigwa 7 ni Mohamed Camara, Mussa Camara hakuwa hata Benchi.
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 20 дней назад
Ni Mohamed Kamara. Jina la pili ni Kamara siyo Camara
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 20 дней назад
Semaji uko live duniani nkukubar sana mwamba peperusha bendera yasimba duniani
@MohamedSaid-v6f
@MohamedSaid-v6f 20 дней назад
Simba nguvu moja semaji la caf
@user-bf3mm5wu1s
@user-bf3mm5wu1s 20 дней назад
mnyama simbaaa ❤
@abdallahonga6395
@abdallahonga6395 20 дней назад
Ahmedi Ally aache kuwasifia wachezaji anawapa matumaini makubwa mashabiki kuwa mchezaji fulani mzuri sana mwisho wa siku mchezaji asipoonyesha mashabiki hukosa imani na mchezaji husika huanza kuzomea
@BigZhumbe
@BigZhumbe 20 дней назад
Kwani kazi yake ni ipi?
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 16 дней назад
Mtangazaji Bora na Msemaji wa Club Bora kwenye Media Bora Duniani
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 20 дней назад
Round ya kwanza tulicheza dhidi ya Mussa Camara kule kwao wakatufunga 1- 0. Na mechi ya marudiano Dsm tulicheza dhidi ya Mohamed Kamara tukawafunga goli 7 - 0. Tuliyemsajili ni Mussa Camara ambaye hatukumfunga. Kwahiyo kuna Mussa Camara na Mohamed Kamara. Ni watu wawili tofauti.
@atenionesmo_A10
@atenionesmo_A10 16 дней назад
hapa sawa
@JumaKamasa-kl6pz
@JumaKamasa-kl6pz 9 дней назад
Feisalm toto aje simb 🖐️✋🖐️🔥🇹🇿
@user-kt6cf6vs2o
@user-kt6cf6vs2o 12 дней назад
Nakupate vizuri Sana kizimkazi
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 20 дней назад
Wengi bado mnakosea. Hao akina Camara wawili mmojavni Camara na wa pili ni Kamara. Kuna C na K. Aliyefungwa saba ni Mohamed Kamara.
@user-fu7zs9cd1x
@user-fu7zs9cd1x 19 дней назад
Usitumie nguvu
@godfreyselomba9378
@godfreyselomba9378 20 дней назад
Mimi Simba hata Ifungwe yani nipo ndani ya simba na simba ndani yangu kikubwa nikiona kuna maono mazuri ya mafanikio basi nimeridhika kiroho safi naamini ipo siku tutafanya makubwa mno.
@AbdulyMShego
@AbdulyMShego 20 дней назад
Aliye kula 7 ni Mohamed Camara
@user-vm5gy6sj9s
@user-vm5gy6sj9s 20 дней назад
Vizuri sana unafatilia mpira Mohamed Camara alikula wiki lkn kule Horoya Mousa Camara alifanya Simba tukaambulia yai
@user-kt6cf6vs2o
@user-kt6cf6vs2o 12 дней назад
Nipo kizimkazi Zanzibar namkubali Sana Ahmed ubingwa wetu mara hii
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 20 дней назад
Safi sana msemaji makini wa club makini.✌️
@user-hk7bp6pt6f
@user-hk7bp6pt6f 15 дней назад
❤❤❤simba nguvu moja ubayaubwela
@conesmo5266
@conesmo5266 14 дней назад
Uko vzr semaji👏👏👏
@zachariamarco6340
@zachariamarco6340 20 дней назад
aliyepigwa saba ni mohamed camara.
@HajihamisiKoroma
@HajihamisiKoroma 20 дней назад
Haji koroma naangalia bbc nikiwa koloezi congo semaji la kaafu anajua sana
@zainabsimbamtoro6790
@zainabsimbamtoro6790 3 дня назад
Simba Chama Kubwa Anahaki Kuhujiwa Chombo Kikubwa Duniyani Huyu Ndio Mwana Msimbazi Banah
@joshuamtagwa347
@joshuamtagwa347 14 дней назад
Semaji, huyu goal keeper tulie naye ni Musa Camara na sio yule tuliyemfunga goli 7, huyu Musa tusingeweza kumnywa goli zote zile, fuatilia comments za semaji na chambuzi lingine Ramadhani Mbwaduke! Hongera sana Semaji letu la viwango vya kimataifa!!
@user-uq3dq7sr3l
@user-uq3dq7sr3l 20 дней назад
Jezi ya bluu ni nzuri sana jamani
@abdallahonga6395
@abdallahonga6395 20 дней назад
Badala ya kusifia wachazaji Ahmedi awashawishi mashabiki kuwa kuwa nyuma na kuwapa muda na moyo wachezaji wapya ili kuzoea mazingira na kuwaondolea pressure
@neemamshote9577
@neemamshote9577 20 дней назад
Acha kutaka unachi amini ww wengine wa amini usichokijua hataki wachezaji wafanye kaz kwa presha maaana akiwapa presha aachezaji kisaikolojia watashindwa kupafomu katika ubora wao😊
@BarakajohnH.B-n9f
@BarakajohnH.B-n9f 20 дней назад
Jibu la alie fungwa 7 bila alikuwa muhamedy kamara mana mechi ya kwanza tulio cheza ugenini golikipa alikuwa mussa camar hiyo meji tulifungwa goli 1 bila mechi yapili ambayo tulichezea banjamini mkapa golikipa alikuwa muhamedy kamara ndo akunywa 7-0 kama unabisha rudia meche hiyo utajua ninacho kisema
@NyatseLogistics
@NyatseLogistics 4 дня назад
Ahmed,siku ya Horoya hakuna kipa aliyekula saba. Walikuwa wawili, mmoja alikula 3 baadae wa pili akala 4
@ShabaniAlly-oz9te
@ShabaniAlly-oz9te 21 день назад
🎉🎉
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 20 дней назад
We Ahmed tulia suprize ya kukupandisha cheo inakuja inshaallah. Usiahidi chochote hubiri uvumilivu usiropoke kama manara na mwijaku waliyoyavuna wakiwa Simba hawatasahau. Manara kisharopoka kuwa Yanga itabeba kombe hadi 2030..... sasa ameisha beba dhambi ya majigambo hakuna inshaallah subiri malipo ya dhambi ya ulimi
@Charles-f7d3e
@Charles-f7d3e 4 дня назад
Kaka ulipo nasi tupo simba nguvu moja
@joelsaganya4077
@joelsaganya4077 20 дней назад
Mambo mazuri yanakuja, tuna imani na mnyama
@user-uq3dq7sr3l
@user-uq3dq7sr3l 20 дней назад
Mwaka huu Nina Imani tutachukua vikombe vyote Simba nguvu moya ubaya ubwela
@AbediKivuma-j7l
@AbediKivuma-j7l 2 дня назад
Semaji nakukubali mno takutafuta na zawadi zako abedi jumaa kivuma alimalufu mbizinga
@ibrahimngirini8737
@ibrahimngirini8737 15 дней назад
Mkambala umetutupa mashabiki wenzako wa man utd.. LOKO KONTENT CHANNEL haiko active kaka
@msabahaissa6201
@msabahaissa6201 6 дней назад
Mohamedi kamara wa Singida kwa sasa ndiye aliyefungwa goli 7 na Simba.siyo huyu musa kamara wa Simba watu msichanyanye mafaiki
@jamesgeorge8279
@jamesgeorge8279 13 дней назад
Semaji nakukubali snaa vp ishu ya manula?
@mohamedrashidi4172
@mohamedrashidi4172 3 дня назад
Yan siku zote tff mnatakiwa msimamie haki za wachezaj
@RechalElisha
@RechalElisha 20 дней назад
⭐⭐💯💯⭐
@OmarmakameHaji
@OmarmakameHaji 20 дней назад
Ubaya ubwela
@user-mi2un9cs6g
@user-mi2un9cs6g 20 дней назад
Semaji la caf. Tueleze kuhusu lameck lawi hatuna majibu
@hamidjailos8171
@hamidjailos8171 20 дней назад
Kipa ni last defenda kimsingi kufungwa 7 sio ubovu wa kipa na kipa yeyote anaweza kufungwa 7 alifungwa 7 kipa wa Brazil leo mje mseme kipa mbovu sio kweli. Muvu ikipangwa na ikapangika goli linafungwa tu kwani kufunga ni timing kati ya fowadi na kipa.
@user-uq3dq7sr3l
@user-uq3dq7sr3l 20 дней назад
Kifupi Cha neno sandaland ni sanda ni sawa sawa na mtu kwa mfano anaitwa anamaria ukimuita anah si sawa Wala sio kosa
@hamzarufingo5792
@hamzarufingo5792 20 дней назад
Naitwa HAMZA Rufungo nipo katavi nawapata vema sana
@salimmalaka256
@salimmalaka256 20 дней назад
KUNA VIROPOKAJI VINATAMANI VINGE HOJIWA WAO NA BBC 😂😂😂😂 VITAIGIZA LAKINI SIO RAHISI 😂😂😂
@user-ec3iz6pg2i
@user-ec3iz6pg2i 20 дней назад
Semaji nitafute kaka nipo pemba zanzibar
@user-be9zb4eg2l
@user-be9zb4eg2l 21 день назад
🔥🔥
Далее
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:10
Просмотров 3,1 тыс.
Китайка и Зеленый Слайм😂😆
00:20
Ванесса 🆚 Крискас  | WICSUR #shorts
00:42
Cute
00:16
Просмотров 6 млн
Китайка и Зеленый Слайм😂😆
00:20