Gavana wa Turkana Jeremiah Lomorukai hii Leo amelihutubia Bunge la Kaunti hiyo kuelezea hatua aliyopiga ya maendeleo tangu kuchaguliwa kwake, Afya,Maji,Kilimo na usalama kikiangaziwa pakubwa katika hotuba yake.#KitioMicah
10 сен 2024