hahahahha hapo umenikumbusha nyumbn hakuna mdada wakipare muoga👌👌hahahahah kweli mpare huwez acha asili yako eti lak 3 kwa wiki ungekubali ningekutimua uparen hiyo kwe2 bajet ya mwaka😂😂😂
Mimi Mars kwa hivyo vigenzo ulivyotaja, basi ideally unanizungumzia mimi. Cha kufanya reply number yako hapa kwa comment yangu then mimi nitakutafuta tuongee vizuri. 😂😂😂😂