sijali mimi ni wangapi kutazama filamu hii lakini ninapo fungulia account yangu kitu cha kwanza ni kuangalia notification zangu kama shadow ashaposti,napenda filamu zake,most love from kenya🤎🤎
Duuuuh, Shadow una maamuzi Magumu sana. Pamoja na yote bado ukakomaa nae. Ila cha kujifunza ni kwamba kuna wakati tunaoupitia kwenye Maisha unakuwa na changamoto ambayo mtu unaweza chagua jambo fulani ukadhani ni suluhisho. Linapogeuka unajuta na kusema ningejua bora ningebaki hivi au vile. Lakini yote KWa yote Tupambane kivyovyote halali kimaisha maana kesho yetu ni kubwa kuliko leo na siku Mungu akiamua ameamua Lili jema KWa mtu na kwa ukubwa anaoona unaweza kuubeba. Amina. Big up Shadow Kazi zako yunazipokea Wadau wako. Comarade Millinga - DSm - Kimara
Ulifanya jambo lamaana kwa sa7bu hat mkeo kufanya kitendo hik alifanya kwa ajil ya kuweka maisha Yako na yey Salam mwanamke anaonekan mjasili xan ingawa alifanya mistek unaweza ukamsameh bule kwa xa7bu alifanya kwa ajil bolesha maixha Yako na yey kutka na ulemav wak au. Nimekoxea
Kaka uko vizur sana Ila punguza maelezo mengi , na action ziwe nyingi , sio watu wanakuwa wanaongea mda mrefuuu inaboa Mzee , watazamaji wengi ni wale wanaorudia Rudia , mtu akiona haisisimui hata harudii kuchek tena, vitisho vitisho ndo watu tunapenda , mapenz mapenz sio kivile