Тёмный

BEHIND THE SCENE: HUYU BOKA HATARI/ONA ALICHOKIFANYA WAKATI WA KUREKODI VIDEO ZA UTAMBULISHO. 

Yanga TV
Подписаться 619 тыс.
Просмотров 157 тыс.
50% 1

#daimambelenyumamwiko #timuyawananchi

Опубликовано:

 

6 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 297   
@dallovision
@dallovision День назад
MTU ASIGUSE HII COMENT
@JosephDamas
@JosephDamas День назад
Boka la wanainchi like zake Apo 👉🏼
@nicodemusmemba1402
@nicodemusmemba1402 День назад
GSM, pamoja na viongoxi wote wa Young Africans, Mungu awe upande wenu kuleta ubingwa wa CAF champions league 2024/25 na kuendelea
@halimahamis7370
@halimahamis7370 День назад
Namuona Lomalisa kwambaaaaali💛💚
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga День назад
Hili ni Gharika Yanga inatosha jamani hivi unajua watu hawalali leo .hata wekundu wa Msimbazi usingizi umekata hii inatisha sana daaaaaah
@ZipolaNgola
@ZipolaNgola День назад
Naungana na manara yanga ndoitakua time ya kwanza kuleta krabu bingwa 🇹🇿
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga День назад
Yanga ina balaa kubwa Watoto wangu wote wameamka daaaaah
@Papycon22_
@Papycon22_ День назад
Usajili wa kimataifa huu shukrani GSM 💚💛
@Bintisayuni50
@Bintisayuni50 День назад
Movie la Kutishaaaaaaaaa Hatari sanaaaaaa 💚💛💚💚💛💚👏🏼Weka mbali na Watotooooo
@user-we3cm7db2h
@user-we3cm7db2h День назад
Karibu kwa mabingwa BOKA letu la wananchii hatuna mbambambaaaaaa mwaka huuuu
@Cuteeeee477
@Cuteeeee477 День назад
Kafanana na mayele naipenda san yanga yangu 💚🔰💛
@abubakalimavumbi5846
@abubakalimavumbi5846 21 час назад
Hii yanga ebuu tusubili tuone kama unasubili kama mimi nipe like apa💚💚💛💛💛
@amaniomar1755
@amaniomar1755 День назад
Hatareeh 🎉🎉🎉 safi sana wanajeshi wetu wa media team Daima mbele nyuma mwiko jamaa ana passion kwa kazi yake.
@user-xi1vi6mn7d
@user-xi1vi6mn7d День назад
Hapa booka hapa bacca😂😂😂😂 we huogopii
@robertrobert563
@robertrobert563 21 час назад
Mbona kama lomalisa vile hadi kuchezea ball wanafanania.💪💪
@kidyabby6322
@kidyabby6322 День назад
Wa kwanza like zang wap
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 21 час назад
DRC Tuko pamoja na nyie
@timcee2670
@timcee2670 День назад
Pongezi kwa kitengo cha graphics, Mnafanya kazi nzuri sana, Very creative and professional
@killingmleke1810
@killingmleke1810 21 час назад
Hii yanga jaman mwaka huu sielewi tukienda uwanjani tutaenjoy vip mungu atupe uhai tu
@Emanuelimiyonjo
@Emanuelimiyonjo День назад
Wanainch awana jambo dogo 🔰🔰💚💚💛💛
Далее
Minecraft Pizza Mods
00:18
Просмотров 1,7 млн
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
Просмотров 126 млн
Minecraft Pizza Mods
00:18
Просмотров 1,7 млн