Тёмный

MIMI SIWASHAMBULII TU KWA CHUKI MANABII WA UONGO,NI KWA SABABU NAWAFAHAMU TULIKUWA NAO|MCH.KATEKELA 

Подписаться
Просмотров 17 тыс.
% 246

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.13322701
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4BKUoBsh0eBZ
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1lDtufLd2LPIP
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak5W0jXI0M1eX
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Опубликовано:

 

9 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 104   
@vicentraphael899
@vicentraphael899 17 дней назад
Mtumishi wa mungu huwa nakukubali sana na nabarikiwa sana na mahubili yako na shuhuda usipo sema mungu atainua hata maww yaseme we sema mpaka wawaachie watu waje kwa yesu.
@faridadauda3227
@faridadauda3227 14 дней назад
Napenda sana injili unayoitoa maana inatoka katika NENO NA NDIYE YESU MWENYEWE
@Mbingutv508
@Mbingutv508 17 дней назад
Ubarikiwe MTU. Wa Mungu Wacha watupige mawe lakini lazima tuhubiri ukweli mpaka KUFA
@marchymaziku6234
@marchymaziku6234 17 дней назад
Mwenye sikio na asikie Amen
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 15 дней назад
Katekela mimi binafsi akili yangu imepata uwanda mkubwa sana wa fikra nimepata mengi kupitia wewe Barikiwa sana
@faridadauda3227
@faridadauda3227 14 дней назад
Bwana hatakuacha mtumishi uangamizwe maana alikuokoa ili ukaifunue kweli . Nasi tunakuombea wigo wa Bwana Yesu uzidishwe sana kwako na familia yako, AMINA
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 16 дней назад
Twakupenda sana YESU asifiwe ,wengi wako uko ,Kwa ajili ya manjengo makumbwa magari ,na kutembea dunia nzima ,sifa ni YESU tuuu
@user-xn3vq1gq3p
@user-xn3vq1gq3p 16 дней назад
Mungu kweli anapatikana kwetu Kwa nguvu za maombi,kufunga na sadaka, Mtumishi utuokoe na manabii Hawa,Amina
@FaustineTz
@FaustineTz 16 дней назад
Napenda hii injili we wachane mch katekela manabii Wanazingua sana
@nyangiboke
@nyangiboke 17 дней назад
Napenda jinsi ulivyojasiri wa yesu kristo
@user-fu6fx8if6w
@user-fu6fx8if6w 17 дней назад
Mutumishi kazi yako imebarikiwa Kwa sababu unatuonya kile wewe Mwenyewe uliona.
@wilsonkombeyeri4623
@wilsonkombeyeri4623 17 дней назад
Sema kweli mtumishi, bendera chuma mulingoti chuma
@Mbingutv508
@Mbingutv508 17 дней назад
Mimi mwenyewe napigwa vita sana juu ya manabii hao Nikweli unachosema hakuna unafiki huo ni USHIRIKINA MTU Wacha wawanyweeshe DAMU ZA WATOTO Kwa ujinga wao wa kiroho mwenye SIKIO NA ASIKIE
@jossyayielo7576
@jossyayielo7576 16 дней назад
Twakungoja 🇰🇪🇰🇪mtumishi
@jovinmasekesa3272
@jovinmasekesa3272 15 дней назад
Hapa kweli bendera chuma mlingoti chuma Bwana akulinde
@Tutindaga
@Tutindaga 17 дней назад
kwanini huyo mtu anapiga keybord wakati mtumishi anahubiri???? *WACHA NENO LA MUNGU LITOKE KAVU KAVU NDUGU* inakuwa ni distraction wakati wa mahubiri unapiga keyboard!
@wilsonkombeyeri4623
@wilsonkombeyeri4623 17 дней назад
Alright that's a given
@servantofgod4340
@servantofgod4340 17 дней назад
Umeona .. Kanisa linakuwa na makelele ya Kinanda wakati watu wapo watashangilia. Utadhani wapo kwenye kampeni ya siasa. Hapo ni Kanisani madhabuhuni paheshimike. Mtumishi anapohubiri isikike sauti yake na waumini wanapomshangilia YESU. vinanda visubiri wakati wa praise na worship.
@servantofgod4340
@servantofgod4340 17 дней назад
Mkatazeni huyo anayepiga Kinanda makelele mtumishi hasikiki yanadisturb wasikilizaji.. Kanisa linakuwa na makelele ya Kinanda wakati watu wapo watashangilia. Utadhani wapo kwenye kampeni ya siasa. Hapo ni Kanisani madhabuhuni paheshimike. Mtumishi anapohubiri isikike sauti yake na waumini wanapomshangilia YESU. vinanda visubiri wakati wa praise na worship.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 17 дней назад
Ajabu saana ,Hawataki kusikiliza neno la Mungu
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 15 дней назад
😂
@SabinaEzekiel-vb5nh
@SabinaEzekiel-vb5nh 9 дней назад
Ubarikiwe mchungaji Katekela.
@rehemashariff3119
@rehemashariff3119 12 дней назад
Ameeeen Ameeeeen pastor Mungu qkulinde sana
@GoimNikodem
@GoimNikodem 16 дней назад
Ubarikiwe sana mtumish wa Mungu aliyehai nakukubali na unaniongezea kiwango cha iman yangu sana
@annissdaprincess3846
@annissdaprincess3846 16 дней назад
Amina ubarikiwe zaidi nazaidi Mtumishi wa MUNGU Kwa baraka za mbinguni naduniani Hallelujah
@ellyitete938
@ellyitete938 17 дней назад
Pianist anazingua jmn muda wa kubonyeza umeisha
@nyangiboke
@nyangiboke 17 дней назад
Mungu akulinde
@verroallex9144
@verroallex9144 4 дня назад
Biblia inasema "Niliyowaambia sirini yasemeni waziwazi, mliyoyasikia gizani yasemeni nuruni" Bwana Yesu azidi kukulinda. Ukweli lazima uwekwe wazi, Neno la Kristo ni Lazima lihubiriwe.
@edenparkhealingministrytz
@edenparkhealingministrytz 17 дней назад
Amen mtumishi, ila tunaomba ili kuondoa maswali katika jamii, tunaomba uwataje. Kwanini ukristo unakua na sura ya kuficha Mambo, kama umeamua kuwaumbua basi wataje utakuwa umesaidia jamii ya wakristo wengi. Hii kusema bila kutaja mnatuchanganya. Wataje Baba tunaomba..
@trophywilson7211
@trophywilson7211 17 дней назад
mmh wewe unaweza kuwataja
@JorvinVedasto-ic3su
@JorvinVedasto-ic3su 16 дней назад
alishawataja manabii wanaotumia maji na chumvi hujaelewa nn tena
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 16 дней назад
Mambo ya kiroho hayana ushahidi wa kimwili, akiwataja na wakimwambia atoe ushahidi na asipotoa si sheria itambana.
@user-un2td1no5f
@user-un2td1no5f 13 дней назад
Kweli kabisa haifai kuwataja haina maana kabisa kwa kua anatuhubiria yatosha​@@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@JohnsonMpinga-gy5wt
@JohnsonMpinga-gy5wt 15 дней назад
Mtumishi Mungu akutunze zaidi na utumie nafasi hii kuhubiri ukweli maana wakati ukilala mauti hautasema
@annambembela6661
@annambembela6661 17 дней назад
SEMA tu ukweli wametuchosha manabii wa uongo jaman , yesu kristo aendelee kukutumia pastor umenifungua mambo mengii
@samwelieliasi5730
@samwelieliasi5730 15 дней назад
Amina mtumishi barikiwa sana mtumishi
@mussamaro8068
@mussamaro8068 16 дней назад
Amen mtumish wa Mungu mwenye maskio na hasikiee na achukue hatua apone
@user-dd2xy3ey3k
@user-dd2xy3ey3k 3 дня назад
Wahoo ubarikiwe sanaa
@deogratiasmnubi8783
@deogratiasmnubi8783 4 дня назад
Be blesded mchungaji
@rehemashariff3119
@rehemashariff3119 12 дней назад
Njoo kenya mtu wa Mungu
@pastoreliya663
@pastoreliya663 17 дней назад
Akika Nami Nipo tayari Kufa kwajili ya kirsto lazima tuubiri ukweli ,Kuna manabii Waongo ,Wengi
@myself4128
@myself4128 17 дней назад
sio wengi wote mitume na manabii ni Feki
@user-sp4jr4vw6t
@user-sp4jr4vw6t 14 дней назад
Kweli mchungaji yaani kuna maruerue ktk haya makanisa cjui nini kinachoendelea ktk nyumba za baba yetu ni vtuko ni vtuko 8:52
@fridahkwamboka6905
@fridahkwamboka6905 14 дней назад
Amen..mtu wamungu 🙏🙏
@AnnaLwanda-oj4jn
@AnnaLwanda-oj4jn 14 дней назад
Mungu akubariki
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 14 дней назад
Hakika uko vzr sana
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 16 дней назад
Wanaohubirikinyume chaenjili auhatatorati ni mulipuko wa king'anng'anizi changuvu zashetani augiza enjili itaendeleakuwa neno lauzima nashetani ataendelea kupapasa gizanene nawafuasiwake. hiyo ikokwenye ufunuo alioonyeshwa Yohana naMungu kuwa hayana budi kutokea.
@RobertMushi-yh7re
@RobertMushi-yh7re 16 дней назад
Sema Mtumishi tupate kupona
@HappyJohn-kk1pr
@HappyJohn-kk1pr 8 дней назад
Shda ya watu awataki ukweli
@onalinasozigwa3167
@onalinasozigwa3167 14 дней назад
Kabisaa mtumishi naungana na wewe tumhubiri kristo wa kweri tukemee dhambi tuwatoe watu gizani kuwaleta nuruni watumishi tumelogwa nani tumeiacha kweri ya Mungu Mungu atusaidie sana
@mishlay8164
@mishlay8164 13 дней назад
Wewe mtumishi wa Mungu watumishi wa kweli wako wapi sasa ???
@newbornhaule
@newbornhaule 16 дней назад
MTU HUYU WA MUNGU KANISA TUMUOMBEE SANA MAANA AMEJITOA KUISEMA KWELI...
@EunnyNicks
@EunnyNicks 16 дней назад
Aminaa
@annambembela6661
@annambembela6661 17 дней назад
Mungu akubarikii
@VeeSunshine-zr3iv
@VeeSunshine-zr3iv 16 дней назад
Sema usimuogope mtu Mungu ndiye aliyekutuma
@JaneKuyokwa-ng2qf
@JaneKuyokwa-ng2qf 16 дней назад
Endeleya kusema ambaye nifilimasoni akasiliketuu SEMA TU mutumishi hata yesu walimuchukia kwakuwa alisema ukweli
@ajuayearon5760
@ajuayearon5760 15 дней назад
Ameen
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 15 дней назад
❤❤❤❤❤ ubarikiwe sana
@rosemarygelas1473
@rosemarygelas1473 17 дней назад
Sema kweli mtumishi watu wapone , hao manabii ni kama waganga wa kienyeji tu
@LispafulgenceSimon-rs1zg
@LispafulgenceSimon-rs1zg 14 дней назад
Barikiwa
@nehemiamwailongano2960
@nehemiamwailongano2960 14 дней назад
Mtumishi wa kinanda atulie siku nyingine kwa utulivu
@ElvisReinhard
@ElvisReinhard 16 дней назад
Mimi huwa nampenda huyu mtumishi wa MUNGU kwa ukweli anao usema kuna mambo nimedhibitisha mambo mengine
@lilyg2134
@lilyg2134 13 дней назад
TENA KATIKA HAO MANABII WA KUZIMU, MZEE WA UFOKO AKIWEMO
@sindabahabwoyaanacret660
@sindabahabwoyaanacret660 15 дней назад
Walewale tuu
@MeridaChawe-kd9is
@MeridaChawe-kd9is 17 дней назад
Toa hizo sauti za vyombo vya mziki tusikilize neno sio vyombo
@K-go1qj
@K-go1qj 16 дней назад
Manabii wa uongo wanawavuta watu kwa Kristo wakishaujua ukweli kisha wakaendelea kuwepo kwenye makanisa yao hilo ni tatizo lao
@samuelakanga5586
@samuelakanga5586 17 дней назад
Ubarikiwe na NENO lienee kote
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 13 дней назад
Mwamposa ni nabii wA uongo😅😢
@AllanLyombile
@AllanLyombile 14 дней назад
Wewe ni mshamba wa kiroho, vipi tukikuonyesha maandiko ambayo yanaonyesha watumishi wa agano la kale na agano jipya walitumia hivyo unavyoviita viambatanishi? hata Yesu mwenyewe unajuwa kuwa alivitumia? kaa chini ufundishwe.
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 16 дней назад
Ila wahaya bhn,
@RobertMushi-yh7re
@RobertMushi-yh7re 16 дней назад
Sema Mtumishi tupone
@zakariasengo8930
@zakariasengo8930 14 дней назад
Watu wa keyboard 🎹 nao wapuuz sana, badala ya kukaaa kusikiliza yeye anapiga piga kelele muda wote na keyboard yake
@romwaldkabwebwe6747
@romwaldkabwebwe6747 3 дня назад
Wanazenguaga sana hawa
@mishlay8164
@mishlay8164 13 дней назад
Na wale ambao huwakuwa nao wanafanya miujiza je wao wako wapi?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 17 дней назад
Maana Na wewe ulikuwa huko sasa Ni wakati ulipe Deni kupiga kelele saana kwa hao Manabii wa Uongo
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 16 дней назад
Sasa naww unaanza kujikusanyia watu kwa kuwaka dia wenzao ili wakuamin naww utengeneze pesa, duuhh😆😆
@Falialakiza
@Falialakiza 16 дней назад
Msanii huu hakuna kweli hapa
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 16 дней назад
Ahahahaha daaah ila hii nchi
@FrankMichael-us4dr
@FrankMichael-us4dr 17 дней назад
Mtumishi watu vichwa ngum hawaelewagi hata uwambie kwa Luga gani hawaelewi tuseme nini basi juu ya haya turudi kwenye neno la yesu akasema kila mwenye sikio na asikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa
@trophywilson7211
@trophywilson7211 17 дней назад
Siyo Vichwa ngumu wakati wao Bado
@trophywilson7211
@trophywilson7211 17 дней назад
Unalipa kwa sasa
@RodahAdonice-dz4sm
@RodahAdonice-dz4sm 12 дней назад
Walozama kwenye haya maji na mafuta humuambii kitu akakuelewa badala yake anakusikitikia wewe usiyetumia ivo vitu
@leonardalphonce8924
@leonardalphonce8924 16 дней назад
50 +60= 110000 hapo mchungaji umechemka hesabu af siungeearudishia hela yao mbona nawe unakua tapeli kama wao
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 15 дней назад
Hapo posta hata nabii esta masanja alisema
@JanethFortunatus
@JanethFortunatus 16 дней назад
Kwanini mtu ukiokoka mambo yanakuwa magumu zaidi😢
@user-nf8gk5fi6c
@user-nf8gk5fi6c 16 дней назад
Lazima yawe magumu ili uanze kutilia mashaka kile ulichopokea, shetani anaanza kushambulia Imani yako lengo urudi kwake. Kuokoka ni sawa na Wana wa Israel walipotaka kuondoka misri, biblia inasema farao alipoona Wana Israel Wanataka kuondoka ktk himaya yao, adhabu yao iliongezwa mpk wakaanza kumchukia Musa aliewaendea ili kuwaokoa. Songa mbele usiogope, yako mema mbele yako
@saimonijonas1471
@saimonijonas1471 14 дней назад
Nikutokujua agano la Mungu kwa wakristo Nawakristo nao waliopata neema yakujua Agano la Mungu hawakiishi. Wengi wanfikiri utajiri umo ndani ya maombi nakusali sana. Utajiri unapatikana ndani ya Agano. Ayubu 22:21 namaneno ya kutafakari sana.
@israelimarco6465
@israelimarco6465 16 дней назад
Bado umetumwa kwa siri
@jastinmkoba
@jastinmkoba 16 дней назад
Changamoto yako wewe uwtaji manaabii wauongo bari unafumba fumba akati mwanzo ulisema utawataja......
@K-go1qj
@K-go1qj 16 дней назад
Manabii wa uongo wanatimiza maandiko wasingekuwepo Biblia ingekuwa ni kitabu cha uongo
@kilelisemkere6845
@kilelisemkere6845 13 дней назад
Ndio ila kuna wasiojua maandiko
@phinescah7353
@phinescah7353 17 дней назад
Sema hata ikiwezekana sema majina yao wazi tutoke gizani
@trophywilson7211
@trophywilson7211 17 дней назад
Mmh si rahisi kihivyo
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 15 дней назад
ÀMEN
@AdamJonas-sx4mi
@AdamJonas-sx4mi 17 дней назад
Aah wapi kwa wema gani unaofanya mbele za Mungu mpaka ujione una haki ya kuwahukumu wengene ila nyie wachungaji jamani haa!
@ruthhamisi2902
@ruthhamisi2902 16 дней назад
Yesu kamuokoa ili salama yake, auseme ukweli wote, yesu ni bwana kwa wote wanaomwamini, soma biblia
@RobertMushi-yh7re
@RobertMushi-yh7re 16 дней назад
Sema Mtumishi tupate kupona