Aliwika wakati fulani kwa nyimbo zake na ingawa bado yuko katika ulimwengu wa muziki lakini hajasikika siku za hivi karibuni. Mwanahabari wetu Joab Mwaura alimtafuta mwanamuziki Prezzo na kutaka kujua mengi na kitu gani anachofanya kwa sasa na kutuletea makala ya miondoko.
14 окт 2024