Тёмный

MIRADI YA NYUMBA ZA NSSF 

NSSF TANZANIA
Подписаться 1,8 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 авг 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@imanmohamed2215
@imanmohamed2215 10 дней назад
MashaAllah TabarakkahAllah
@abedomar5183
@abedomar5183 11 месяцев назад
Nyumba nzuri sana sema bado miundo mbinu yake siyo mizuri majani mengi uchafu,sasa wanajenga nyumba nzuri Kisha miundo mbinu yake ovyo michafu kwanin msiweke lami sasa huwa hamtembei basi hata nje ya nchi muone wenzenu wanavyofanya wakijenga nyumba za complex kama hivyo au
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 18 дней назад
Mnatuibia pesa zetu ,wanachama mnashindwa hata kuwakopesha viwanja ,mnajilimbikizia mimali nyingi tu
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u 11 месяцев назад
Mimi ambaye ni mwana chama wa n s s f naomba kununua nyumba nifanyeje ilinipate ya kuishi😊
@user-dt9uv3hj6n
@user-dt9uv3hj6n 6 месяцев назад
miminaona mnawanyonyatu wafanyakazi nahela zao mimi ningefurahi kama mchangiaji /mfanyakazi anapostaafu wapewe hizo nyumba ilinaowafaidi mafao yao leohii mfanyakazi anapostaafu wengi hupoteza maisha tokana na msongowa mawazo kutokuwa na makazi wafikirieni kwanza wahusika wanaochangia mpaka mkajenga hizo nyumba wafikirieni
@GubraCity-dm5sx
@GubraCity-dm5sx 6 месяцев назад
Njooo uku oman tuongee vzr
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u 8 месяцев назад
Nyumba hizo ni kwa ajiri ya matajiri na wakubwa wa serikali tu wanachama wa N s s f hawana chao
@nzomukundafatuma5364
@nzomukundafatuma5364 Месяц назад
Wapi tatupana namba zenu
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 6 месяцев назад
Ukisikia wazimu ndiyo huu Labda kama walengwa si WATANZANIA wenye nchi yao Baadhi ya nchi kama Afrika kusini wamejenga nyumba kama hizi na kuwapa raia wao bure... Sawa uzeni ila iwe reasonable price kwa mtanzania wa kawaida ili waache kujenga kiholela
@fassykibona7212
@fassykibona7212 Месяц назад
Mbona mmeangalia matajilitu2 namaskini hamuwaangalii
@user-kc6lr3pq2c
@user-kc6lr3pq2c 6 месяцев назад
Jaman nyumba za bei yakawaidaaa hazipo
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u 11 месяцев назад
Naomba n s s f kwanini munauza nyumba kwa bei kubwa sana je wanachama wa n s s f ikitaka nyumba ya kawaida atapata
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 6 месяцев назад
Nyumba nzuri ila landscaping zero😊
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u 11 месяцев назад
Nyumba hizo ni kwa ajiri ya wakubwa tu huo si ubaguzi je mwanachama wa n s s f anafaidika na Nini kama meanachama
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 6 месяцев назад
Mnajenga kwa ajiri ya wageni au kwa watanzania mili.400 what?
@basilisashemetse7367
@basilisashemetse7367 9 месяцев назад
Je nitawa kiasi ngani cha down payment ya 160 million
@basilisashemetse7367
@basilisashemetse7367 9 месяцев назад
Je ulisema malipo ya down payment 10% ya bei inayohitajiwa
@basilisashemetse7367
@basilisashemetse7367 9 месяцев назад
Tufanyeje Wasikowska nje ya nchi😅
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u 5 месяцев назад
Je nyumba hizo ni kwa ajiri ya waku bwa na matajiritu ? Je mwanachama naye anaweza kumiliki nyumba kwa kutumia michango yake?
@Dr.Mo1510
@Dr.Mo1510 8 месяцев назад
Nipo nje ya nchi nataka kununua nyumba. Inawezekana?
@user-hj1qs8hf7v
@user-hj1qs8hf7v 6 месяцев назад
Mimi nipo nje ya nchi vp kuna vigezo gani ili nipate
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 6 месяцев назад
Mtanzania? Inamilili bank account za bongo unapata fasta
Далее
IPO #KIGAMBONI NYUMBA HII INAUZWA BEI NAFUU SANA!
2:02
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
BANGALORE LA VYUMBA 7 LINAUZWA TSHS BIL 1.4, SALASALA
9:11
Breaking Boundaries: Hamidu City Park (Documentary)
10:05
NYUMBA INAUZWA ILAZO EXTENSION
1:30
Просмотров 6 тыс.