Тёмный

#RAMANI 

Sanuka Media
Подписаться 48 тыс.
Просмотров 40 тыс.
50% 1

#ujenzi #ramanizanyumba #ujenzinafuu

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 107   
@odettevianney3026
@odettevianney3026 8 месяцев назад
Motivational speaker mzuri! Keep it up! Shida kuanza mengine utajipanga kama hiyo ni kweli au la
@aminaabood2898
@aminaabood2898 9 месяцев назад
Tuonyeshe ndan bro kaz zur nitakutafuta
@zamdamasondole8272
@zamdamasondole8272 8 месяцев назад
Wanauza Ramani wakikuonyesha hautanunua.
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 3 месяца назад
Tatizo hawaonyeshagi
@361NEWS
@361NEWS 10 месяцев назад
uko vzr sana kaka bei zako zimekaa vzr sanaaaaaaa!!!!!!!!!!
@ramadhanmboga6047
@ramadhanmboga6047 11 месяцев назад
Bro nakufatilia kutoka kenya. Nna malengo ya kujenga nyumba ya kupanga. Napenda ramani zako
@HappyJohn-rj8co
@HappyJohn-rj8co 9 месяцев назад
Umeongea kitu sana
@emmanuelmwangosi9400
@emmanuelmwangosi9400 8 месяцев назад
You are the best analyst. Good job
@mafioso1_.
@mafioso1_. 8 месяцев назад
Aisee una kipaji kikubwa sana ✊🏿✊🏿 Maelezoo yame nyooka
@zanzibarnikwetu1998
@zanzibarnikwetu1998 5 месяцев назад
WOW!!!! Keep it up brother!
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 Год назад
Aiseee ramani unauzaje ndugu nikupe kazi
@luciamsani
@luciamsani Год назад
Ahsante sana naanza kujichanga adoado
@halimasanga3830
@halimasanga3830 Год назад
Aiseee ansate sanaa kwa kutufungua. Ubarikiwe sanaaa
@ondiekooko6615
@ondiekooko6615 8 месяцев назад
Pokea simu
@ceciliamaneti5283
@ceciliamaneti5283 4 месяца назад
Tufanye kazi kaka
@PapakinyiMelita-f1x
@PapakinyiMelita-f1x 8 месяцев назад
Nafuu kweli kaka amani
@mbarukmohamed1399
@mbarukmohamed1399 Месяц назад
Lete namba yako ya simu
@SurprisedAtom-hg2wc
@SurprisedAtom-hg2wc 3 месяца назад
Pole nakazi natamani nione ndani kama inawezekana
@CatherineMwihumbo-y2e
@CatherineMwihumbo-y2e 3 месяца назад
Nimependa ramani zako,hasa ile ya vyumba vitatu,napataje ramani
@mariethaadelinminja6429
@mariethaadelinminja6429 Месяц назад
Iko wapi
@nasrahkarata
@nasrahkarata День назад
Ww kaka me nakupataje nipo uwarabuni naitaji kuongea na ww naitaji kujenga
@yusrababuu
@yusrababuu Год назад
Aisee ubarikiwe sana sana😊
@sanukamedia9084
@sanukamedia9084 Год назад
🙏🙏🙏
@ZakayoLaizer-v3g
@ZakayoLaizer-v3g 9 месяцев назад
Kaka uko sawa sana
@Jackilinedanielikilika
@Jackilinedanielikilika 8 месяцев назад
Asantee kk
@peterpaschal4522
@peterpaschal4522 9 месяцев назад
Mbn garama kidogo sana
@zamdamasondole8272
@zamdamasondole8272 9 месяцев назад
Yaani ndio nashangaa hapa !!
@zamdamasondole8272
@zamdamasondole8272 9 месяцев назад
Ina maana mpk Finishing??
@peterpaschal4522
@peterpaschal4522 9 месяцев назад
Hapa tunaletwa ase sijui lakni labda tumeibiwa na fundi
@stansiauisso5441
@stansiauisso5441 Год назад
Barikiwa zaidi hio bei ya bati sijaelewa aina gani ya bati
@jamiinaafyanjema2966
@jamiinaafyanjema2966 Год назад
Daah! umeniamsha aisee nashukulu sana🙏
@sanukamedia9084
@sanukamedia9084 Год назад
👍🙏💯💯
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Год назад
Hongera Raman nzur
@ZuwenaSoni
@ZuwenaSoni Год назад
Asante nitakutafuta
@MariamMpili-j6n
@MariamMpili-j6n Месяц назад
Mie nataka kujenga room 3 kwa raman hii inaweza ikawa bei gani
@HaliimaJuma-b6k
@HaliimaJuma-b6k 6 месяцев назад
Hi bro nakufatilia san nikiwa oman one day nitakucheki
@GustavitoJr
@GustavitoJr Год назад
We jamaa unajua sana
@Mpakauseme
@Mpakauseme Год назад
Salute 🫡 unatufungua vichwa
@sanukamedia9084
@sanukamedia9084 Год назад
👍💯🙏
@sikudhanimoshi6967
@sikudhanimoshi6967 9 месяцев назад
Mzuri
@ManukatoBand-ep3cu
@ManukatoBand-ep3cu 5 месяцев назад
Asante
@zechariahnganga3520
@zechariahnganga3520 4 месяца назад
Piping ya umeme na plumbing je?
@asyavuai
@asyavuai Год назад
ASSALAAM ALEKUM, BABA MWANANGUNAPENDA KUJUA UKUBWA WA VYUMBA NI FUTI NGAPI,? MAANA MIMI NAPENDA VYUMBA VIWE VIKUBWA KEA AJILI YA FANTURE
@FathimaOman-j5g
@FathimaOman-j5g 8 месяцев назад
Yani kaka nimependa Romania ya nyumba
@fahadally4444
@fahadally4444 Год назад
Mungu akulipe kwa mchango wako hakika nitakutafuta
@sanukamedia9084
@sanukamedia9084 Год назад
Inshallah 🙏
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 9 месяцев назад
Mwongo, Hapo bila be milioni 60 NI ndoto.
@zamdamasondole8272
@zamdamasondole8272 8 месяцев назад
Unajua haya mahesabu unaweza ukagombana na watu walikusimamiaa ujenzi..Nimechukuwa hesabu zke na za ujenzi wangu ziko tofauti sanaaa!!!
@zamdamasondole8272
@zamdamasondole8272 8 месяцев назад
Sioni hesabu ya mkanda na kinta hapa
@issasued957
@issasued957 8 месяцев назад
Kabsa 😂😂😂
@masalasona3735
@masalasona3735 Год назад
Thanks
@aludofaustine
@aludofaustine 5 месяцев назад
Nyumba hii aina mlango nyuma
@geofreyrwela594
@geofreyrwela594 Год назад
Unapatikana Dar Sehemu Gani?
@filafinancebss2925
@filafinancebss2925 Год назад
🔥🔥🔥🔥
@RathikaRathika-o9i
@RathikaRathika-o9i 11 месяцев назад
💯💯💯
@petermusa7711
@petermusa7711 9 месяцев назад
Nu vizuri useme nyumba hii inahitaji kiwanja cha ukubwa gani
@raphaelgodfrey3284
@raphaelgodfrey3284 8 месяцев назад
Ameshakuambia ukubwa wa nyumba, ukubwa wa kiwanja unajiongeza mwenyewe.
@imamuhamisi4421
@imamuhamisi4421 6 месяцев назад
​@@raphaelgodfrey3284ukubw wanyumber square meter 30😂? Sijaaelew apo
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 9 месяцев назад
Brother niko oman na nina kiwanja dara haki nachukua namba zako
@iddyjuma-iw5yy
@iddyjuma-iw5yy 6 месяцев назад
Habari kk nimekuelewa San namba namba yako
@KusirieJonathan-ln5hk
@KusirieJonathan-ln5hk 4 месяца назад
Nyumba ni nzuri,ila usituonyeshe nje TU,tunataka tuone na ndani
@RayaMussa-r3e
@RayaMussa-r3e 2 месяца назад
Tyr nnazo nitakupataje
@SaumaBakari-ld2dy
@SaumaBakari-ld2dy 4 месяца назад
Asate kak
@maryamChumas
@maryamChumas Год назад
Squal meter mie sijui ama ni sawa na kuhesabu miguuu
@zamdamasondole8272
@zamdamasondole8272 8 месяцев назад
Sijasikia hesabu ya kuweka Linta .
@estherdavidjohn-py7hh
@estherdavidjohn-py7hh 8 месяцев назад
hamjasema wiring ya umeme na maji
@josephmsabila9017
@josephmsabila9017 8 месяцев назад
Kwa bei uliyoitaja siyo sahihi kabisa. Nyumbai hiyo bila millioni 90, hutoboi. Hizo ulizozitaja ni kujenga boma tu.
@nyagwisipaul520
@nyagwisipaul520 4 месяца назад
ckiliza vzur
@innocentchuwa528
@innocentchuwa528 Год назад
💯
@Drcrazy123-d5q
@Drcrazy123-d5q Год назад
Yan kepten uko sw kabisa
@Hadia-w1s
@Hadia-w1s Год назад
Jamani.nitakutafuta
@ceciliamaneti5283
@ceciliamaneti5283 4 месяца назад
Naitaji tuwasiliane Naitaji unijengee kama hii, nakupataje?
@Jerie-q1c
@Jerie-q1c 8 месяцев назад
Sqm 30? Mjumba wote huo??
@imamuhamisi4421
@imamuhamisi4421 6 месяцев назад
Apo itakua kakosea hakuna nyumba ya vyumb ten vinne iwe na square meter 30, labd ivo vyumb ukubwa wake tu kam vyoo
@petermusa7711
@petermusa7711 9 месяцев назад
Huku dodoma naona fundi analipisha kwa tofari,,tofari moja ni 300
@hurumajosephat6333
@hurumajosephat6333 11 месяцев назад
Sio rahis kihivo
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 9 месяцев назад
Kweli kabisa sio rahis ki hivyo
@ginimbifamily3995
@ginimbifamily3995 9 месяцев назад
Uyu fundi anadanganya watu sana ...atakuj kufungwa akipewa kaz 😂😂😂😂
@chrissjapheth2803
@chrissjapheth2803 Год назад
Watu wa Dar mkishindwa kujenga, Aiseh mikoani huku sio poa Mchanga tu Tipa Mpaka 220,000
@sanukamedia9084
@sanukamedia9084 Год назад
Duu🤔
@chrissjapheth2803
@chrissjapheth2803 Год назад
Tena hapo uwe makini, unaweza uziwa mchanga una magadi
@chrissjapheth2803
@chrissjapheth2803 Год назад
Kokoto kuna za mkono na za crusher zote bei tofauti, kokoto inaanzia 150,000 usafiri inategemea umbali ila inafika hadi 200,000 kwa kokoto za mkono ila zile za crusher ndo bei mbaya kabisa
@chrissjapheth2803
@chrissjapheth2803 Год назад
Tofali na hii bei mpya ya cement inch 5 ni 1400 usafiri ndani ya km 6 ukitoka nje ya hapo jua unalipia usafiri yani Dar mjenge mapema aiseh🔥
@preciousjikoni
@preciousjikoni Год назад
shida sio kijenga shida viwanja sasa😅
@joshuamweta5550
@joshuamweta5550 8 месяцев назад
80*22000=1760000
@geofreyrwela594
@geofreyrwela594 Год назад
Ina square metre 30?
@Kalssambabo-gv6uh
@Kalssambabo-gv6uh Год назад
20 kwa 20 square mietre sawa na 400 hii itakua 600
@dork8749
@dork8749 7 месяцев назад
Sq 600 ni nyingi sana labda sqm400​ ukubwa huo @@Kalssambabo-gv6uh
@Jerie-q1c
@Jerie-q1c 8 месяцев назад
Labda kama unazungumzia nyumba ingine. Sio hio unayoionyesha
@annakbunga8377
@annakbunga8377 8 месяцев назад
Kabisa
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Год назад
Ndio tunasemaga hivyo Jenga nyumba ya uwezo wako
@asyavuai
@asyavuai Год назад
HIVYO VYUMBA VINA UKUBWA GANI
@agnessima5032
@agnessima5032 11 месяцев назад
Room 4
@st.alvincollege6184
@st.alvincollege6184 Год назад
unavyosema ina sqm30 maana yake nn? 30*30 au??
@anthonyilalio988
@anthonyilalio988 11 месяцев назад
Nauhakika kakosea hapa, jibu plz kama bado unaiona hii
@agnessima5032
@agnessima5032 11 месяцев назад
Nadhani.
@barakatingisa505
@barakatingisa505 9 месяцев назад
Hapo bila shaka kamaanisha 30mX30m
@issasued957
@issasued957 8 месяцев назад
5m×6m~ 30sqm
@issasued957
@issasued957 8 месяцев назад
​@@barakatingisa505 hyo ni 900sqm. Bonge la kiwanja hcho
@melch3097
@melch3097 9 месяцев назад
Tatizo lako hujibu simu
@eunicegerminus193
@eunicegerminus193 8 месяцев назад
Unafanya masihala nn ww hiyo nyumba bila ml.70 hutoboi na kwa tofari 2000 uwongo labda imejengwa bila msingi
@annakbunga8377
@annakbunga8377 8 месяцев назад
Umeona eee mm mbn kama sijaelewa
@arlonmwaka8077
@arlonmwaka8077 6 месяцев назад
Mnakariri eeeh 😂😅
Далее
EPUKA MTAZAMO HUU - JOEL NANAUKA
17:21
Просмотров 21 тыс.
Ujenzi  Wa Apartments wa Gharama Nafuu
2:51
Просмотров 23 тыс.