Тёмный
No video :(

MIRAJI|MADHARA YA HERSI NI MAKUBWA SANA |VAR ITAONGEZA MATUKIO |SIMUAMINI AISHI HATA LIGI DARAJA 3 

Finest Online
Подписаться 75 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 75   
@AllyJofrey-mg6ri
@AllyJofrey-mg6ri Месяц назад
Namb moja leo like ata 3
@eliaminrashid9317
@eliaminrashid9317 Месяц назад
Chagamba na miraji nawakubali 80% mnafanya vizuri alafu naomba mfate mzee said umuulize ashaona think you ya jobe
@KajingaFuraha
@KajingaFuraha Месяц назад
Namba 2 leo
@PASCHALPETER-gp8ek
@PASCHALPETER-gp8ek Месяц назад
Miraji leo anafuraha sana kusikia injinia kuachia ngazi lkn nikuhakikishie miraji injinia na gsm bado wapo sana nyie simba subilini kipigo chenu tarehe 8
@AishshibnShibani
@AishshibnShibani Месяц назад
Hahahah😂😂😂 mnajifaliji nabado
@Hope-ok9dy
@Hope-ok9dy Месяц назад
Mwambie akuelewe ongeza sauti naona hakusikii
@saidimwanyiro5147
@saidimwanyiro5147 Месяц назад
Hajabisha 😂😂😂
@lazaroaloyce6649
@lazaroaloyce6649 Месяц назад
Ombeni mgogoro wenu uishe kabla hatujakutana,make naona maumivu kwenu nyinyi yanga,trh 8 so mbali jiweke tayari Kwa lolote make dabi haitabiriki..
@deviskahamba8234
@deviskahamba8234 Месяц назад
Hivi wee Miraji huweziongea bila kumtandika mwenzio vibao mabegani😂
@ManjaHisani
@ManjaHisani Месяц назад
Nimeamini kweli viyongozi wanachama mashabiki wote hao wanamuwogopa injiniya heris bilayakuondoka hawana jeuri ya ubingwa
@mhehejrtv9637
@mhehejrtv9637 Месяц назад
Wa kwanza leoo
@markobukuku3841
@markobukuku3841 Месяц назад
miraji umeonyesha utoto sana yaan kisa goli tano poleni sana miraji umeonyesha udhaifu sana mbona magoli wengi wanafungwa gol nyingi tu
@yassinchuwa8824
@yassinchuwa8824 Месяц назад
Tangu usajili uanze leo ndo miraji kacheka. Hii ni wazi kuwa,adui muombee njaa. Ila nikuhakikishie miraji,ili linazidisha hasira na tunajuwa kuwa magoma anatumika.
@lourykibudu6180
@lourykibudu6180 Месяц назад
SEMA chagamba anavumiliaga sana yaani anakula sana kipigo kwa miraji Mda wote anakula migumi ya mabega kinoma 😂😂😂😂
@user-xq8pq2ey6t
@user-xq8pq2ey6t Месяц назад
Familia unyama sana💪💪💪💪
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 Месяц назад
Miraji sikia hiyo mnapigishwa shoti kwa ajili ya ngao ya jamii mjuwe hivyo mkizubaa Simba mtapigwa mengi hasa mkijichanganya mjuwe hivyo. Kalaga baho na ubozi wako
@RamadhanNgadalh
@RamadhanNgadalh Месяц назад
Kwan wanao fatilia hayo mamb ni viongzi wa simba au wachezaj wa simba watajichanganya wao kwan huy ni kiongzi wetu au mwana chama wetu😂😂😂
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 Месяц назад
Kweli Chagamba hajafurai😂
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 Месяц назад
Chagamba Mzee saidi Leo jamani chonde chonde
@FredyPeter-rq8hj
@FredyPeter-rq8hj Месяц назад
Leo ninapata laha sana mabega yanapigwa sana😅😅
@AlfredMwakabana
@AlfredMwakabana Месяц назад
Miraji pandishakofia mimi kipezi chako japo mwa yanga babaagu
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Месяц назад
Timu Rasta Huu Ndio Muda Wao Sahihi Wakufurahi Baada Yahapa Ligi Ikianza Nimauziko Nakuendelea.
@markobukuku3841
@markobukuku3841 Месяц назад
Kumbe na wewe miraji ni mshamba baadhi ya matukio ety mpila haupo hivyo unapotea kwenye raman
@Bangan-yu6sm
@Bangan-yu6sm Месяц назад
Miraji mpira unaujua na pia ukwrli wa injinia na mtu mafia mpaka mnalia Simba unaujua na ndo maana leo fraha teleee😂😂😂❤
@user-er1dk6zj6u
@user-er1dk6zj6u Месяц назад
Miraji maramoja
@mwankunjatyson
@mwankunjatyson Месяц назад
Yaan Mahakama ishatoa hukumu lakini watu bado wapo we huogopi halaaa!!😂
@DanielChaula
@DanielChaula Месяц назад
Ila RASTA noma sana wanae
@user-lc6te2pe2l
@user-lc6te2pe2l Месяц назад
Chagamba mfate mzee Said Pa Omary Jobe kashapewa thanks
@phirimrishomandari692
@phirimrishomandari692 Месяц назад
Yanga ana mchome,Simba ana Magoma. Ubaya Ubwela.
@MuddyAlly-jt8rn
@MuddyAlly-jt8rn Месяц назад
Milaji uko zizuli baba
@MuddyAlly-jt8rn
@MuddyAlly-jt8rn Месяц назад
Miraji wahambie ukweli wapinzani wetu awajitambui
@mwlhalimoja.ekingunza1819
@mwlhalimoja.ekingunza1819 Месяц назад
Chagamba Leo lazima uchapwe makofi ya mabega 😅😅
@stevennambunga9093
@stevennambunga9093 Месяц назад
Hakuna cha ubaya ubwela wala ubila!!
@JumaLembile
@JumaLembile Месяц назад
Milaji manula atuache tunamshukuru Kwa aliyotutendea amini nakwambia akirudíshwa kundini makipa wengine wote tutawatukana
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb Месяц назад
Siyo kilaisi hovyoo uoni kama Simba amedhalishwa kingine waandishi wameibeza sana Simba mara viongozi wasimba wahuni .
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d Месяц назад
Hapa naona ngogwe wa kijani wanaongea uji wakati izo Gori Tano za kununua Simba walishawapiga sitaki Tano nne mabwabwa nyie
@raphaeltanzania
@raphaeltanzania Месяц назад
hizo mambo za Yanga zitawavuruga mpk timu itayumba sana huku mnyama ndio anakuja kukiwasha zaidi
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Месяц назад
Ndio kawaida ya Bongo hiyo hakuna siku wataruhusu team zote mbili ziwe kwenye ubora lazima wadhoofishe moja
@allykawambwa
@allykawambwa Месяц назад
Sahau
@NellyWaKidato
@NellyWaKidato Месяц назад
Oya Rafa acha kuota Mwanangu😂😂😂
@hamisimtupa7327
@hamisimtupa7327 Месяц назад
Hukumu ina mwaka sasa toka ilivyotoka tatizo waandishi wa tz sio watafiti hua wanakurupuka tu sasa sijui tatizo lugha au
@HusseinIdrissa-ed6tl
@HusseinIdrissa-ed6tl Месяц назад
Mm wa nne
@jamesmaneno2281
@jamesmaneno2281 Месяц назад
Ha Leo 6 hahahahahahaay
@user-il6rm7cj1g
@user-il6rm7cj1g Месяц назад
Watajibeba wawape chochote waze wao
@NaomySamwel
@NaomySamwel Месяц назад
Na nyie kumbee mikunduu et,,mnaongea kishabikii kwenye suala la yanga
@johnmwita9370
@johnmwita9370 Месяц назад
Kweli Ata mm simwamini aende tu
@kadirichannelonlinetv4258
@kadirichannelonlinetv4258 Месяц назад
Mtasubir sana kugawanyika kwa yanga yanga ipo imara kama chuma
@Kabeya410
@Kabeya410 Месяц назад
Kingine miraji unajadili leo kishabiki hao watu walighushi saini za wadhamini
@Kabeya410
@Kabeya410 Месяц назад
Miraji viwanja vitaboreshwa kingine kuna Mobile truck ina kila kitu ndani itatembea vuwanja vyote vile ambavyo havina taa itaoneshwa mchana na vile vizuri utaoneshwa usiku
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 Месяц назад
Tuko pamoja miraji mpaka mwisho huyo manura aende TU.
@JumaKigambo
@JumaKigambo Месяц назад
Kuna watuuu wanalipenda bakuli inawezekana wanafaida nalo miraji (mwanakulitafuta mwanakulipata)
@user-gy6ru6dw1b
@user-gy6ru6dw1b Месяц назад
Miraji bega la chagamba litadondoka 😅😅
@essaumapunda5766
@essaumapunda5766 Месяц назад
Nssf hoi kwa magoma
@Kabeya410
@Kabeya410 Месяц назад
Mmechelewa wanasheria wa Yanga wamefafanua au we chagamba hukuwepo kwenye mkutano klabuni Yanga. Mgawanyiko hakuna watu wa Yanga wanajielewa tulipofika ni pakubwa usishangilie miraji viongozi wanaendelea kesi ile iliwahusu baraza la wadhamini siyo viongozi
@user-yz6ds9hn9l
@user-yz6ds9hn9l Месяц назад
Mta haha sana vote vibaya mlivyokuwa mnatusemea vinawarudia wenye na midomo yenu inakunyakunya kama bata watumie mawaziri wa yanga si mmefanya serikali yakwenu
@RabsonSalmon-ys7bf
@RabsonSalmon-ys7bf Месяц назад
Uakika
@bobbyfiasco4311
@bobbyfiasco4311 Месяц назад
Manula. Mtu taja goal alofungwa la kwake. Pale. Katika 5. Zile Tano. Chuki sio miraji. 😂
@saidikalendo5117
@saidikalendo5117 Месяц назад
Chagamba mfate mzee said pa omary jobe ametoka fanya mambo bro
@TofaMtofalike
@TofaMtofalike Месяц назад
Punguza shobo milaji
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u Месяц назад
Tena amechelewa mno tunasubili lini tunaambiwa anatoka
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 Месяц назад
Miraji ana ndoto za alinacha ,yaaani wana simba wana tamaaa ya fisi
@benadethajohn2696
@benadethajohn2696 Месяц назад
maramoja unatisha kaka madini yenyewe kabisa
@peterstewart9935
@peterstewart9935 Месяц назад
Mgawanyiko utokee wapi miraji wakati hakuna atayekubali Hersi ashuke?!
@DindoAbwe-ze8yx
@DindoAbwe-ze8yx Месяц назад
Twambie kuhusu clamon yupo kikosini au?
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 Месяц назад
Mzeee saidi alisema chagamba ni yangaaa haaaaah haaaaah
@TofaMtofalike
@TofaMtofalike Месяц назад
Tukutane saa nane
@ArafaHamadiFonda
@ArafaHamadiFonda Месяц назад
sa yale mamilion ya chama atamlipa nani kweli ubaya ubwela
@abdulazizmpilla5605
@abdulazizmpilla5605 Месяц назад
😂😂😂
@GucciJackson-sw6pg
@GucciJackson-sw6pg Месяц назад
Ivi nyie wenzangu hua mnawaambia nini wanawake adi wanakubali kua wapenzi wenu 🤔 nataka nioe
@user-dy7pc4tm6u
@user-dy7pc4tm6u Месяц назад
Ongea kama mtu wa mpila wewe.unamuongelea mchezaji aliyekupa mafanikio miaka minne.sasa mtafungwa mpaka matako yenu yapige filimbi
@dicksonmapunda7836
@dicksonmapunda7836 Месяц назад
0 🧠
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Месяц назад
Matusi hayajengi brother
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 Месяц назад
Heeeh jamani hivi kukoment ni lazima kaaaah
@denischemba
@denischemba Месяц назад
Yatapiga filimbi ya babaako
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz Месяц назад
Ukiona mtu ana isifia mvua ya leo kubwaa ujue ime mnyeshea ukiona mpuuzi kama huyu anaongelea uzuri wa kupiga filimbi ujue alisha jaribu kupiga philimbi na akajua ladha yake. Hawa watu wa Bara hawana adabu kabisa. Sijui wana akili gani wengi wao vijana
Далее
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
Просмотров 11 млн
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
Просмотров 11 млн