Тёмный
No video :(

MZEE SAID |😂 YANGA KWENYE TIMU YAO WAOGOPE SANA | PA OMARY JOBE KASALIMIE NYUMBANI😂 | TUTAWAFUNGA😂 

Finest Online
Подписаться 75 тыс.
Просмотров 69 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 254   
@errydeo8865
@errydeo8865 Месяц назад
Mimi Yanga,lkn nampenda sana Mzee Said! Namsubiri tarehe 9 baada ya kula 😂😂😂
@BarakaMagesa-b2j
@BarakaMagesa-b2j Месяц назад
Mzee Mungu akupe maisha malefu nakukubali sana mzee wangu
@LinusSirayo
@LinusSirayo Месяц назад
Chagamba mm nitajitoleaa kunuliaa jez mzee said no yako naomba tafadhalii🤙🤙 34:49
@ChenchiKing
@ChenchiKing Месяц назад
Mzee Kahamuw Kutema Cheche Sas Yan Mpak Wamkome Mzee Said Mwaka Huu🙌🙌🙌🔥🔥🔥
@JosephMwita-g2d
@JosephMwita-g2d Месяц назад
Huyu mzee mungu amlinde sana anaongea point😂😂😂😂😂😅🎉
@mwlhalimoja.ekingunza1819
@mwlhalimoja.ekingunza1819 Месяц назад
Wowww tuliokuwa tunasubiri interview ya Chagamba na Mzee Side tujuane aisee. 😂
@abelimaganga417
@abelimaganga417 Месяц назад
Ahsant Sana mzeee wangu nakukubali mnooooo hakika nimefurah❤❤🦁🦁🦁🦁
@elicktilia4430
@elicktilia4430 Месяц назад
Hii media utam wangu mzeeee said🎉🎉🎉🎉 only
@KizingiliRamadhani-gh5gq
@KizingiliRamadhani-gh5gq Месяц назад
Daaa mzee saidi hua unanifuriisha xana
@PaulSengo
@PaulSengo Месяц назад
mwandishi wa habari na mzee side wanashinda mda wote mpaka saiz wamekua kama na patterns 🤣😆😆😆😆😆
@MpembaMayunga
@MpembaMayunga Месяц назад
Mzee said huwa anaongea uhalisia kabsa kama ndugu zangu mnamkubali Mzee said naomba like zenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@GASPERSHAIBU
@GASPERSHAIBU Месяц назад
vjmo mv
@AmaniMadata
@AmaniMadata Месяц назад
Ningekuwa na mjomba kama mzee said Haki hakuna makasiliko maisha yangu yote.nikiwa na huzuni nikumcheki tu mzee said 🤣🤣🤣
@mengiiblahim4215
@mengiiblahim4215 Месяц назад
Mzee sde safisana nakupenda bure
@JohnWick-h4z
@JohnWick-h4z Месяц назад
Nakupend san mzee said na chagamb
@YusufSuleiman-th2hg
@YusufSuleiman-th2hg Месяц назад
Habari jaman,huyu mzee said na chagamba ikiwezekana wajiunge crown media ila tuwape maua yao🎉 na like nyingi
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 Месяц назад
Nakukubali sana mzee saidi nakufatilia nikiwa dubai kweli wewe unatisha
@user-gr6xq8je5p
@user-gr6xq8je5p Месяц назад
mzé saidi c est mon préféré
@abdallayunnus3475
@abdallayunnus3475 Месяц назад
Namkubali mzee said
@laithalfairuz1189
@laithalfairuz1189 Месяц назад
Mzee said leo umefurahi kicheko cha halooooooo 😂😂😂😂😂 Hatari kweli babu kiboko ww
@kelvinakyoo3737
@kelvinakyoo3737 Месяц назад
ila mzee saidu🤣🤣
@zainaburamadhani1444
@zainaburamadhani1444 Месяц назад
😂😂😂😂😂chagamba mwambie mzee saiid tukutane tareh 9/8 baada ya matokeo mana naona anafurahia magoma kuleta vurugu
@kefangendwa3336
@kefangendwa3336 Месяц назад
Mzee hadi mrusi😂😂
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Месяц назад
Mzee said nimekuelewa sana Hadi mpinzani ameona kua Injinia Hersi Said ni mtu Muhim sana
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 Месяц назад
Yaani nimemtafuta mzee said,mpaka nilikosa Raha hu nimefurahi kumuona😂😂
@ashurasaid1315
@ashurasaid1315 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 babuuu mungu akujaalie maisha maref inshaallah
@DullahMapesa
@DullahMapesa Месяц назад
Mzee Ibrahim ajibu alifanyaje alitoka wapi akaenda wapi😅😅
@LinusSirayo
@LinusSirayo Месяц назад
Chagambaaa nilikuwa nasubir sana mzee saidiii😅😅😅😅😅
@huseinbusaba5064
@huseinbusaba5064 Месяц назад
ila mzee said bana amemsahau Emmanuel Okwi😅😅😅😅😅😅😅
@izdorythadeo4636
@izdorythadeo4636 Месяц назад
Sina hata haja ya kuwasikiliza wachambuzi huhyu mzee said 🎉🎉 mauwa yake
@officialbenzanboy
@officialbenzanboy Месяц назад
Chagamba huyu Mzee saidi usimuweke mbali anachangamsha sana nganga shene😂😂😂😂
@charlesmtamala4912
@charlesmtamala4912 Месяц назад
dah huyu mzee saidi interview zake hazichoshi kuzitazama😊😊😊😊😊😊
@idybwoytz8485
@idybwoytz8485 Месяц назад
Safii sana mzee saidy 😂😂😂😂 mbn pagumu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@user-rr9kv1cu7m
@user-rr9kv1cu7m Месяц назад
Mzee said husifurahie sana yanga kuvurugwa, haya ndo maisha ya yanga na simba,leo linawaka yanga kesho linawaka simba.
@jamesgeorge8279
@jamesgeorge8279 Месяц назад
Aisee nilimmis sana mzee saidi chagamba safiiiiii
@malietamaliet
@malietamaliet Месяц назад
😂😂😂mzee said unaijua yanga kuliko sis tunavyojijua daima mbele nyuma mwiko hersi tunae na tunatamba nae na chamaatacheza na mtafungwa taree 8 ila nimecheka kama vile siumii Kwa hik kinachoendelea kwenye tim angu
@ReginaSungura
@ReginaSungura Месяц назад
Mzeee wetu wanguvu alituaidi 🐐 koleo tuandae meno 2🎉🎉😂
@alfredymalata269
@alfredymalata269 Месяц назад
Magoma kaulizwa kuwa anatambua nani ndio kiongozi wa Yanga kajibu Hersi, kaulizwa kivipi unamtambua Hersi wakati kawekwa na katiba ambayo Unasema huitambui, Mwamba kakata Simu😂😂
@Wami-Sababisho
@Wami-Sababisho Месяц назад
Mzee wa soccer anayeweza kuongea ukweli na uhalisia 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉. Mzee Saidy ishi miaka mingi sana maana huna mambo ya kona kona.
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 Месяц назад
Jamni nimecheka apo kwenye kutupiwa viazi😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@andrewwilly-bu1wi
@andrewwilly-bu1wi Месяц назад
Mzee wangu wa faida😂
@edozumba5339
@edozumba5339 Месяц назад
UZURI WA TANZANIA KICK NI SIKU 5 TU KWAHIYO HATA HILI KWA YANGA INSHA'ALLAH LITAPITA
@hossanamwakasita
@hossanamwakasita Месяц назад
Mzee saidi yanga day tunakutambulisha maana unatupa sifa za ukweli your welcome mzee Jiandae yanga day unatambulishwa
@user-eh6wn9qf4b
@user-eh6wn9qf4b Месяц назад
Chagamba anazingua sanaaa yan. Unamalza wiki haujaenda kumtembelea mzee said 😅😅😅😅😅
@nishimwejames83
@nishimwejames83 Месяц назад
😂😂
@ErastoOmari-ij1zs
@ErastoOmari-ij1zs Месяц назад
Umeonaee
@MaulidKidenga
@MaulidKidenga Месяц назад
😂😂😂 uyu mzee ni burudan asee
@salumuseif3324
@salumuseif3324 Месяц назад
hehehehehehehehehheeheheh
@arondotto
@arondotto Месяц назад
Mzee masatu unanikosha sana mengi kupigwana na viazi nimecheka sana hongela Mzee wangu heshimayako
@emmaaugustine5606
@emmaaugustine5606 Месяц назад
Mzee magoma anataka ofis ya Ally Kamwe sasa hapo ndo utaskia kazn kwa ally kuna kaz na kazi ya mzee magoma ana taka kazi ally kamwe atarudi tandare kwa tumbo 😂😂 muda si mrefu Mzee saidi kwamba CHAMA anamsalimia mzee MPIRI shikamoo babu 😂😂 hii kali sana..
@ashabakari1448
@ashabakari1448 Месяц назад
Anafanya interview hko global anasema hersi, Simon na ally hawataki ni simba
@emmaaugustine5606
@emmaaugustine5606 Месяц назад
@@ashabakari1448 Ahahaha huyu mzee ni hatari anatak time awe rais yey
@emmaaugustine5606
@emmaaugustine5606 Месяц назад
@@ashabakari1448 huyu mzee ni hatari na tishio sana anatak nafas pale yanga anasema hawatambui engineer heris kapita kwa kifungo ngan cha sheri na anasema waljpokuw kwny mkutano mkuu wakasoma katiba baade walipomaliza mkutano engineer na watu wakaenda kubadilisha vifungu vya katiba na wakaipeleka Tff kwny kupitishwa bila kurudishwa kwa wana chama na anadai engineer alikuchaguliwa na wanachama akupgiwa kula kuna wajumbe wachache ndo walimpitisha ahahahah anaona kuna ulaji wamemnyima yeye mzee wa watu....anatak timu ya wazee ile anaona wachache wananufaika wengi wanakosa pesa
@halidijuma1884
@halidijuma1884 Месяц назад
Mzee SAIDI mtaalam sana maashaAllah
@franktarimo271
@franktarimo271 Месяц назад
Mzee said uko vizuri sana tunakukubaliiii
@sikatendedidas7255
@sikatendedidas7255 Месяц назад
😂😂😂😂 sinachasema mzee saidi duh
@user-cw8yt9pr8j
@user-cw8yt9pr8j Месяц назад
😂😂😂 ww mze uwishi miyaka mingi nime jikuta nashindwa kujizuia nacheka 🎉🎉😅😅
@saidamour4791
@saidamour4791 Месяц назад
Mwambie mzee saidi asikope anitafute nitamlipia jezi 1
@JumaMasalu-dm5nu
@JumaMasalu-dm5nu Месяц назад
Ila huyu mzee❤❤❤❤
@isackjeremiahabarimkuu7212
@isackjeremiahabarimkuu7212 Месяц назад
Huyo Mzee ataomba mwenye ulinzi Kwa masikari
@nassorabdul6703
@nassorabdul6703 Месяц назад
Mm ni Simba dam❤ ....ila sipendi migogoro ana affect mpira wetu,,, Kwan hao wazee hata wakiachiw Tim Hawana uwezo kulipa hata mchezaji mmoja.....
@ErastoOmari-ij1zs
@ErastoOmari-ij1zs Месяц назад
Asante Mwamba
@sharifukilongo2565
@sharifukilongo2565 Месяц назад
Kawasaidie ,nyuma mwiko
@lutenganoclement9357
@lutenganoclement9357 Месяц назад
wewe simba damu waaaapi
@haidarykufakunoga8869
@haidarykufakunoga8869 Месяц назад
Yanga Asili na Yanga Kampuni. Siyo Yanga Asili na Yanga Original. Asili na Original Zina maana Moja.🤣🤣🤣🤣
@Abdul-zg7ci
@Abdul-zg7ci Месяц назад
Namkubali sana huyu mzee Allah akujalie kher na baraka tele
@mwanaidimtengo8151
@mwanaidimtengo8151 Месяц назад
Mzee Saidi tarehe 8 unafumuliwa,utamnunia Chagamba akija kwenye Interview,Hahahaaaaaaaaaa
@ChumaBoy-v6c
@ChumaBoy-v6c Месяц назад
Mwambie mzee saidi anitafute nita mnunulia hizo jersey za SIMBA na nauli ya SIMBA DAY
@CheerfulDrumKit-du7qk
@CheerfulDrumKit-du7qk 14 дней назад
Hili zee zee KWELI tena lileeeeee la kihistoria
@user-rr9kv1cu7m
@user-rr9kv1cu7m Месяц назад
Hapo mzee Said umesema kweli,hawawezi kuiongaza Club,wataishia kuiharibu tu,na ndo wanachotafuta. Ila hawataweza kuiharibu Yanga kwa jina la yesu
@saidjumanne7029
@saidjumanne7029 Месяц назад
Ivi kile Kioo pale nyuma si kipo mbali 😅kisije kumchoma wajina
@mamuumamuu7743
@mamuumamuu7743 Месяц назад
😂😂😂😂😂mola mueke huyu mzee kwa ajili ya furahaa
@philoteuslwena3082
@philoteuslwena3082 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jaman huyu mzee apewe tuzo ya kuongeza maisha kwamashabiki wa Simba😅😅 Chagambaaaaaa usiwe unakaa siku3 bila kumuhoji huyu mzee plz😅😅
@Shadia544
@Shadia544 Месяц назад
Jamaniii jamaniii jamaniii 😂nilikuwa namsubili mzee saidi jamaniii chagamba na mzee saidi 😂😂😂LIKE 10 kama na wewe tunamsubili mzee saidi 😂😂😂😊
@user-ds8kq8ov6l
@user-ds8kq8ov6l Месяц назад
Tuko wengi
@SadatiRajabu
@SadatiRajabu Месяц назад
Shadia hivi unalalaga humu rafiki yangu 😂😂😂😂😂
@SadatiRajabu
@SadatiRajabu Месяц назад
@@user-ds8kq8ov6l kwakweli wengi sana
@yasinfinin1799
@yasinfinin1799 Месяц назад
😊​@@user-ds8kq8ov6l
@allyjuma4896
@allyjuma4896 Месяц назад
Mambo😊
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l Месяц назад
BUNDI KAHAMIA JANGWANI 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ndomtajua lile neno ubaya ubwela😅😅
@kefangendwa3336
@kefangendwa3336 Месяц назад
Mtangazaji wa yanga🎉🎉🎉😂
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Месяц назад
😂😂😂😂Mzee Said bana
@jumannemwakalinga2586
@jumannemwakalinga2586 Месяц назад
Mzee Saidi leo umepwaya sana, unasema vitu usivyovijibu.
@maikomatayo2794
@maikomatayo2794 Месяц назад
kama umecheka kabla uja msikilisa mzee sadi gonga like hapo 😂😂😂
@marthastephen6600
@marthastephen6600 Месяц назад
Lakin mzee Said mbona na nyie mlimchukua morrison na niyonzima kipind sis tunajitafuta iweje nyie mseme sisi tumewadhulumu chama
@user-fg8hg9fe1w
@user-fg8hg9fe1w Месяц назад
Ulituhaidi mbuzi pa Omar job akiondoka tunataka mbuzi wetu tule supu mzee saidi ahadi ni deni
@ashrafchande869
@ashrafchande869 Месяц назад
Mzee amewageuka wazee😅😊😅 chukuw maua yak🎉🎉
@rashadymuhamad6293
@rashadymuhamad6293 Месяц назад
Ah! Mzee Saidi na hizo unazo hizoo? Nasikia He heeee! Haloooo!!! Ah! Wee kiboko aisee.
@JelemiaPanja
@JelemiaPanja Месяц назад
Uko sawa mze said
@edsonmalcel4478
@edsonmalcel4478 Месяц назад
Leo mzeee hapo umeupigaaa mwingii
@zainabumlozi2764
@zainabumlozi2764 Месяц назад
Kumbuka wanakes ya jinai ya kugushi sahihi za watu.!
@imanimwampagama8390
@imanimwampagama8390 Месяц назад
Hapo mzee said Tukukumbushe tu ajibu, okwi, kaseja wote walitoka Simba kwenda Yanga na wakarudi Tena Simba kuchukua mafao
@user-sn9nm1wu9j
@user-sn9nm1wu9j Месяц назад
mzee said utasubili sana magoma asumbui watu haki yake kusikilizwa mahakamani lakini si kusikizwa upande mmoja
@IssamarusuIssa
@IssamarusuIssa Месяц назад
Mzee said umesahau ajibu alitoka Simba akaja yanga ila akarud kwenu Simba au sio Simba yenu😂😂😂 nakukubali ila chagamba nahis kasau angekumbuka angekuambia sema nn umetshutua tutatulia kabla ya tareh ya nane 😅😅
@user-sn9nm1wu9j
@user-sn9nm1wu9j Месяц назад
mzee said magoma ana hata kadi kadi aliyonayo ya mwaka 1990 wakati katiba ya mwaka 90 aipo tena
@Fundirichie
@Fundirichie Месяц назад
Leo nimechelewa kumusikiliza Mzee wangu.
@user-mq4yq6rw1w
@user-mq4yq6rw1w Месяц назад
Mzee said hawatoki hao.
@SwaumuAmiri
@SwaumuAmiri Месяц назад
Dah mzee said😂😂😂
@BrackPetharm
@BrackPetharm Месяц назад
Kule juma magoma huku mangungu patamu hapo😂😂😂😂😂
@yahayabakari9387
@yahayabakari9387 Месяц назад
Relax thrn rough😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 mxee side 😂
@MuammaryAbdalla
@MuammaryAbdalla Месяц назад
ukiwekwa uchaguzi wamchaguwe mzee mpili wamuweke awe kiongozi
@yanquefaustinodaipo8878
@yanquefaustinodaipo8878 Месяц назад
Chagamba uyo mze Saidi kwanzia sasa aitwe Debora .
@zakariazakaria3853
@zakariazakaria3853 Месяц назад
Chagamba hicho kioo na huo upara wa Mzee Said ni hatari sana
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z Месяц назад
😂😂😂 Bongo Rahaa Sana hii sheria za kukumbilia kisutu bs ata washabiki wa smba waende 😂ili wapate viongoz wapnguze makelele😂😂😂
@HusseinIdrissa-ed6tl
@HusseinIdrissa-ed6tl Месяц назад
Yes mzee said
@SophiaManeno-hc8hl
@SophiaManeno-hc8hl Месяц назад
Chagamba utuambiage mzee said unamuhoji lini na lin tujue 😂😂😂
@victorernest7702
@victorernest7702 Месяц назад
Ajibu alitoka wap akaenda yanga na katika yanga akaenda wap 😂😂😂😂
@RabsonSalmon-ys7bf
@RabsonSalmon-ys7bf Месяц назад
Mzeeeee saidiiiii🎉🎉🎉
@ashrafhamza9988
@ashrafhamza9988 Месяц назад
🐐 vp mzee😂
@user-cb1cq3wh2k
@user-cb1cq3wh2k Месяц назад
Mzee said nakubali
@YusuphTabibu-jy4re
@YusuphTabibu-jy4re Месяц назад
Mzee said tuna injoi kwakwel
@kolosii4351
@kolosii4351 Месяц назад
Mzee said upo sahihi hao wazee ni wawili tu. Tena sio wanachama hai.
@errydeo8865
@errydeo8865 Месяц назад
😂😂😂asili na original kuna tofauti gani?
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd Месяц назад
Yani juma magoma apewe team aiongoze😅😅😅😅😅😅😅
@alisharif570
@alisharif570 Месяц назад
Hahhhhhhhhhhaaaaaaaaaa we mzeee saidi wee
@mrrockboy9508
@mrrockboy9508 Месяц назад
Mzee Saidi injinia awezi chomoka iyo ishinayo
@mczoo-g4t
@mczoo-g4t Месяц назад
😂😂😂😂😂 mzeeee said😂😂😂
Далее
Chelsea gym be like.. 😅⚽️
00:20
Просмотров 12 млн
ЛОВИМ НОВЫХ МОНСТРОВ В LETHAL COMPANY
2:42:22
🎙ПОЮ ВЖИВУЮ!
3:17:56
Просмотров 1,5 млн
Chelsea gym be like.. 😅⚽️
00:20
Просмотров 12 млн