Тёмный
No video :(

MIRAJI | YANGA VS AUGSBURG NI ZAID YA MECHI | TUACHE UTANI HUYU KIUNGO TUTAMUIMBA SANA SIMBA 

Finest Online
Подписаться 76 тыс.
Просмотров 51 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 74   
@user-rr9kv1cu7m
@user-rr9kv1cu7m Месяц назад
Nakukubali sana Miraji, ila vita kwa yanga na simba kupigana ni kawaida
@user-rr9kv1cu7m
@user-rr9kv1cu7m Месяц назад
Hongreni sana ,mmetisha
@errydeo8865
@errydeo8865 Месяц назад
Yanga tunaelekea pazuri! Gamond alisema juzi, IT IS NOT ABOUT RESULTS,TS ABOUT TESTING OURSELVES AND THIS THE BEST CHANCE!
@AbdulkareemKijarambe
@AbdulkareemKijarambe Месяц назад
Kaka miraji wew mtu wa football ⚽ sn mungu akusimamie San ndg yng
@ChenchiKing
@ChenchiKing Месяц назад
Yan Miraji Na Chagamba Uwaga Mnakiwasha Xana Yan🔥🔥🔥🔥
@huseinbusaba5064
@huseinbusaba5064 Месяц назад
Ila miraji bana badala ya Valentino Nouma yeye anakwambia eti *hakuna noma*😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
@user-iy6mt6hd8y
@user-iy6mt6hd8y Месяц назад
Milaji na chagamba mko vizuri saruti kwenu
@charlesmtamala4912
@charlesmtamala4912 Месяц назад
Mwanangu miraji maramoja nakuona mbali sana one day yes 🙏🙏👋👋👋👋
@AfricaBeauty-Vn1
@AfricaBeauty-Vn1 Месяц назад
Wa kwanza mimi Naitaji like zangu
@abtway66
@abtway66 Месяц назад
Miraji unajuwa sana aisee 🙌 chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉
@komboarts7110
@komboarts7110 Месяц назад
Miraji umezungumza kwa uzuri mkubwa sana Nakubari umezungumza kwa kujua mpira
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u Месяц назад
Miraji kwer Simba tunapigwa vita sana ila najua mungu atuingilie kati tutashinda tu
@msafirisalum8436
@msafirisalum8436 Месяц назад
Ahmed aly leo kaomba mapumziko aangalie raha za yanga
@taufiqis-haq536
@taufiqis-haq536 Месяц назад
Mungu ajaalie Wote wawake tuwaimbe Wote kwa manufaa ya Taifa 🙏
@moricemwamba4034
@moricemwamba4034 Месяц назад
Miraji miraji
@ZenaMkali
@ZenaMkali Месяц назад
❤❤❤nawapenda bure
@MzeeMzee-lv7sv
@MzeeMzee-lv7sv Месяц назад
Chagamba chagamba mdogo wangu wabega hayo ata maiming haujaanza Hali hio ukimaliza Mai my yashashuka
@SadiRashidiusiki
@SadiRashidiusiki Месяц назад
Mwenyezi mungu awajalie wapendwa
@MchomvuMasoud
@MchomvuMasoud Месяц назад
M/mungu akujalieni kwa hilo kaka ila nilitamani kua miongoni mwenu
@allenngole9813
@allenngole9813 Месяц назад
Da❤😢
@malietamaliet
@malietamaliet Месяц назад
Ila Mimi nilisikia ety awesu awesu ni mwananchii japo sitaki kubishana na miraji 😂😂
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Месяц назад
Izo idea za zamani mpira ni kazi yake mtu anaangalia maslahi mkude ni timu gani na leo anachezea wapi kina ajib walikua timu gani na walicheza timu gani
@malietamaliet
@malietamaliet Месяц назад
@@fahadfaraj6474 umenielewabnilichomanisha ama umekurupuka tu ndugu angu 🙄🙄🙄
@johnnyambuya8671
@johnnyambuya8671 Месяц назад
Hana D mbili hawezi kuelewa​@@malietamaliet
@kheirnahoda4099
@kheirnahoda4099 Месяц назад
Awesu hata baba yake ni mnyama
@andrewdaudindullu1749
@andrewdaudindullu1749 Месяц назад
Awesu kuanzia mama na Baba wote king of the jungle na Baba na mwana walikuwa wanacheza mawindo timu moja.
@errydeo8865
@errydeo8865 Месяц назад
Ila Bro Miraji timu kama simba,sio timu ya kutengeza kikosi tuseme ule ukweli! Arsenal tangia alipoondoka Prof Wenger,till today wamo kwenye PROJECT,vijana! Hawajauona uBingwa for how long?! Juzi tu ndo waliiona CL for twelve yrs! Ukiangalia waliochukua uBingwa Uingereza, walikua hawasajili MAKINDA! MAKINDA hutoka kwenye academies! Priority ya hizo team ni kombe la PL,Top 4( ili wacheze CL) na CL yenyewe! Hizo team hawajijengi! Sasa Clubs kama Simba na Yanga Sasa hivi AZamu in the mix,SIO clubs za kujijenga, ni clubs za kupigania uBingwa na CAFCL!! Azam ikishaonja CAFCL,unafikiri watataka kucheza shirikisho tena?! No way! Wakati simba 'inajijenga' YANGA na Azam wanazidi kujiimarisha! That means Simba itastruggle kurudi juu..na hii inamaanisha tutakua na two horse race kwa misimu mingi,ie Yanga n AZAM
@Mangunhabi
@Mangunhabi Месяц назад
Miraji uko na kitu utafika mbali mwamba
@FloraadrianiAdriani
@FloraadrianiAdriani Месяц назад
Mngu akulinde milaji
@kelvinalfayo3395
@kelvinalfayo3395 Месяц назад
Habari ya Kibu mmeimeza
@MrMatikiti_kudondoka
@MrMatikiti_kudondoka Месяц назад
miraj mnafik juz tu alikuw upand wa magoma leo et yanga duuuuh punguz usinich utapakw ya naz
@mbwakalambwa
@mbwakalambwa Месяц назад
Oya mnajuwa sana
@ChristianTubi
@ChristianTubi Месяц назад
Chagamba hilo bega lako huwa lina pitia taabu mpka kumaliza kipindi, Mwambie miraji Apunguze kukupiga bwana
@twalibkibiriti8990
@twalibkibiriti8990 Месяц назад
Moh alibeba misimu mi4 Yanga haikuwa na pesa,, na Azam Fc viongozi wao ni mashabiki wa Simba
@ABDALLAHMWATANDA
@ABDALLAHMWATANDA Месяц назад
SIMBA ILICHEZA NA SEVILA NYINYI MAPAPA....
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Месяц назад
Ktk watangazaji wa michezo chagamba nakupenda huna vichocheo upo safi
@Aziznachama
@Aziznachama Месяц назад
Miraji na mabega ya chagamba ni dam dam.
@SaidSalum-fl9mb
@SaidSalum-fl9mb Месяц назад
Amin kaka
@metsonjonas551
@metsonjonas551 Месяц назад
Miraji wewe sio mchambuzi wa mchongo kama wengine
@DanielChaula
@DanielChaula Месяц назад
Jangwani tuna tarajia kuona wiki moja ndani ya siku moja g acha huruma😢😢😢😢
@gracemtango
@gracemtango Месяц назад
Miraji naomba nitumie no yako ninavitu nataka tuzungumze vya mpira.
@killingmleke1810
@killingmleke1810 Месяц назад
Leo unasema umesajili na mashabiki mmeungana isije baadaye mkasema yanga tunanunua mechi maana kawaida yenu
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u Месяц назад
Awesu Ally Awesu mali
@allysunday8614
@allysunday8614 Месяц назад
Watani wanawapiga sana shoti.....wanatrend sana kupitia Simba..
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p Месяц назад
Yote yasemwe tuwe tunatazama takwimu na kupima mizani kati ya Yanga na Augsburg. Hiyo timu imecheza mechi za ligi 34, imeshinda 9. Imetoa sare 10 na imefungwa mechi 15 ikifunga magoli 50 na kufungwa goli 60 hivyo ikiwa na deni la magoli 10. Nina uhakika Yanga atashinda mechi ya leo maana kapata kitonga.
@shigetemteremko7551
@shigetemteremko7551 Месяц назад
🎉🎉🎉🎉
@user-cq3bq5rq3k
@user-cq3bq5rq3k Месяц назад
😊😊
@erickkaindoa8665
@erickkaindoa8665 Месяц назад
Jamaa unatakwimu sana
@user-gp7es3sg3k
@user-gp7es3sg3k Месяц назад
Milaji milaji bakisha maneno
@MathiasMzumbwe-yn2wc
@MathiasMzumbwe-yn2wc Месяц назад
Milaji nikuwa namkubali wakati anaongea kishabiki sio kuchambua michezo
@GucciJackson-sw6pg
@GucciJackson-sw6pg Месяц назад
Yanga isipo chukua CAF msim huu nahama nchi
@francisnyeriga
@francisnyeriga Месяц назад
Miraji a.k.a Jobe wa mchongo huwa mkweli
@chricjoseph1340
@chricjoseph1340 Месяц назад
Ila miraji eti bruno Fernandez 😂
@KhamisMgaya
@KhamisMgaya Месяц назад
Awesu mbona. Unalia hamna nanawaaaa😂
@paulmashimba60
@paulmashimba60 Месяц назад
Saa nne mchana😂😂😂😂 ila chagamba
@metsonjonas551
@metsonjonas551 Месяц назад
14:34 we sio mchambuzi wa mchongo kama wengine
@noraskobagule
@noraskobagule Месяц назад
Miraji ni wakwanza kucfia mchezaji pia atakuwa wa kwanza kuponda
@awazmudricbatamwak119
@awazmudricbatamwak119 Месяц назад
M shabiki wa yanga ila na kukubali sana
@user-sj9ob8vb3s
@user-sj9ob8vb3s Месяц назад
brother miraj siku zotemm huwa nakuku bari unajuwa mpira wewe sio mna fki wachambuzi wengu huwa wana weka mapenzi mere kuriko uharisia mno
@user-ze7zq9eq3k
@user-ze7zq9eq3k Месяц назад
Awesu mali ya yanga
@ibrakulwa2737
@ibrakulwa2737 Месяц назад
Acha kuchonga,mpira utaongea
@Zakayommkmusictz-mq3m
@Zakayommkmusictz-mq3m Месяц назад
Kaka chagamba tupe Namba ya Whatsapp tutowe kidogo tuliye jaliwa na mungu sisi vijana
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 Месяц назад
Miraji tupe habari za kibu vipi mmesha malizana nae au viipi ??
@SaidSeleman-wz6gh
@SaidSeleman-wz6gh Месяц назад
hiyo sehem chagamba ndo tunaipenda 😂😂😂😂😂
@tegemeongalama6737
@tegemeongalama6737 Месяц назад
Achana na kukaa kweny sofa😅
@andrewdaudindullu1749
@andrewdaudindullu1749 Месяц назад
Kibu kapata dili Marekani ?
@DanielChaula
@DanielChaula Месяц назад
Utani lazima undeleee
@enockabumba7513
@enockabumba7513 Месяц назад
Punguza matangazo bwana wengine tunatumia data
@samwelingasa1638
@samwelingasa1638 Месяц назад
Kuna huyu dogo valentine mashaka nae ni mzuri huyo namuona mbali sana akijitambua
@NaomiInsha
@NaomiInsha Месяц назад
Unaongea ukwer kabisa
Далее
Cristiano Ronaldo Surpassed Me! #shorts
00:17
Просмотров 11 млн